MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 19
Bc bhana yale majibu ya Dactari yalitupa mshituko sana hasa mie, nikamwambia Mahamood itakuwaje? Mahamood akanitia moyo akaniambia ngoja turudi nyumbani KWANZA,, nilihisi kudata jmn, bc hatukwenda hata nyumbani tulienda hotel pale Mahamood anapenda kufikia, alinitoa wasiwasi sana akaniambia yeye ni Baba na hatahakikisha watoto wake wanazaliwa salama kwa gharama yeyote ile labda iwe mapenzi ya Mungu,, bc alimpigia cm bi mkubwa kumpa zile taarifa walikuwa wanaongea kiarabu,, nikashangaa napewa cm niongee na bi mkubwa, nikazungumza nae anaongea Kiswahili kama cha mombasa ila ni muarabu, akaniambia Mamujee usijali itabidi MUME wangu akuoe rasmi kisha uje huku Dubai ukae hadi ujifungue ndipo urudi Tanzania, nikabaki. Mhh!! mhhh!!! Mhhhh, haya!! Kiufupi nilishikwa na kigugumizi japo kuwa kwa maumbile yangu harisi nina kigugumizi ila pale kiliongezeka bc nikarudisha cm kwa Mahamood
Nakumbuka siku hio nilikuwa kama mfalme wa inchi za kiarabu, mara nabebwa, mara nashushwa, mara naulizwa nikufanyie nini yaan tafrani tu nikaulizwa km nipo tyr kufunga ndoa nikasema ndio, akaniomba namba za Kaka yangu, akampigia akajitambulisha , akamuambia kuhusu ndoa, Kaka hakupinga kabisa ila akamwambia utaratibu ufanyike, bc Mahamood akamwambia kaka kama yupo tyr ampelekee mahari Arusha, Kaka akamwambia asubiri kwanza atampa majibu, wakakubariana ndani ya cku mbili majibu yatakuwa tyr
Tukiendelea kusubiri majibu ya Kaka ndipo Mahamood akaamua amuambie mkewe mdogo wa Uingereza coz hawezi kufunga ndoa bila ya kumpa taarifa, kabla hajamwambia akaniambia Mamujee huyu mke wangu ni mkorofi balaa cjui kama atanielewa, ila vyovyote vile mm ni mwanaume,, bc akampigia cm, Mhhhhh cjui ikawaje maana Mahamood alitoka nje kuongea na cm mm kaniacha ndani ila alivyorudi kapoa kawa mwekunduu,, mhhhh niliogopa nikamuuliza vp,, kabla hajajibu cm yake ikaita ni huyo mkewe,, Mahamood akapokea bc ile halow aliishia hapo hapo mwanamke anaongea yeye tu, Mahamood akitaka kuongea anakatishwa,,, nikasema Amamu mie mbona mikosi kwangu haiishi jmn,, bc waliongea mwisho Mahamood akapaniki akakata cm,, nilivyoona ile hali nikanyanyuka nikachukua pochi yangu nikashuka chini,, nikahisi moyo unaenda mbio htr,, mara namuona Mahamood nae ananifata Mamujee, Mamujee, sikugeuka nyuma hadi nje ya geti, alivyoona vile akarudi ndani nadhani alifata funguo ya gari,, nikatoka nje nikaita bajaji, nikamwambia nipeleke mwenge, hapo nimepanga niende ile hotel aliyofikia Kaka, bc ikanipeleka hadi mwenge nikapata wazo, nikamwambia nishushe hapa hapa sikutaka aone ninapo elekea maana ile bajaji nilichukulia pale Hotelini chini nikahofia anaweza kuuliza,, nikamlipa hela yake nikarudi nyuma kidogo nikachukua bajaji nyingine hadi pale Hotelini, nikaripia nikaingia room, hapo cm yangu inaita hatari,, nikavua nguo zote nikawasha AC nikaanza kulia, nililia hadi nikajiona mwepesi cm yangu iliendelea kuita tu ni Mahamood anapiga wala sikupokea, kumbe na yeye alitoka akaanza kunifatilia akaenda hadi kwangu akakuta cjafika, akaamua apaki gari nje anisubiri maana funguo nilikuwa nazo, akapiga cm weeee wala sikupokea, Mara naona cm ya Kaka yangu, nikapokea akaniuliza upo wp nikamjibu nipo mwenge kwan vp akasema amna nilitaka kujua then nikwambie mwanaume wako anataka kuleta mahari ila nimemwambia anipe mda wa cku mbili,, nikamwambia sawa, kumbe Kaka ametumwa na Mahamood anipeleleze,, tukaongea na Kaka akaniambia Sasa mwenge unafanya nn mida hii ww mtoto wa kike, nikamwambia leo nalala Hotelini kwako ulipo fikia ukiwa dar,, kumbe Kaka ananichora tu,, akaniuliza room gn upo hapo, nikamtajia, bc akaniaga akaniambia tu kesho nenda kwako,, nimekaa kama nusu saa mlango wangu ukagongwa nikajua Muhudumu, nafungua tu nakutana na Mahamood,, akanibeba huku analia, nisamehe mke wangu,, naomba usipate presha ukaharibu huo ujauzito,, hujui ni kiasi gn nimetafuta mtoto,, imefikia hatua hadi kutaka kupandikiza,, naomba Mamujee nielewe nitakupa hakuna wa kunizuia kama mke wangu atakuwa tayari nimpe taraka bc nitafanya ivo lkn lzm nikuoe Mamujee,, nililia mm tukalia wote,, tukasameheana, , cm ya bi mdogo ikazidi kuita Mahamood hakupokea, tulilala pale hadi asbh,, tukajiandaa kuondoka kwetu
Nikawa namtafakari bi mdogo, kwann hataki mi niolewe?? Mbona yeye hakukataliwa na bi mkubwa?? Nilimuwaza sana,. Hapo ndo hajui kama mm mjamzito,, bc bi mdogo alivyoona Mahamood apokei cm yake akampigia bi mkubwa,, bi mkubwa akampigia cm Mahamood wakaongea kiarabu huku wanachanganya na Kiswahili kidogo,, kumbe bi mdogo kasema ole wake amuoe huyo mwanamke, kama shida ni mtoto yupo tyr akapandikizwe, bi mkubwa akamwambia muache aoe tu kwan shida nn?? Akasema akilazimisha kumuoa bc sitakuwa radhi leo hadi kesho kiama mhhhh cjui nitamuweza mie huyu bi mdogo??? Vita ni vita Muraa
Itaendelea
All reactions:
1.6K1.6K
MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 20
Bc bhana vita ikaanza rasmi kati yangu na bi mdogo, nilikuwa naogopa balaa, nashukuru Mahamood na bi mkubwa walikuwa upande wangu na walinitia moyo sana, hasa Mahamood hakutaka kabisa nipate presha, cm zilizidi kupigwa kutoka kwa bi mdogo akimpigia mume wake akimsisitiza asioe,, zile cku mbili walizokubaliana Kaka na Mahamood zikafika na Kaka alipiga cm kwa Mahamood na kumpangia mahari, bc ilibidi tusafiri na Mahamood kwenda Arusha kwa Kaka, Mahamood alichukua watu wake watatu wawili walikuwa wa ofisini kwake na mmoja ni muarabu mwenzie, tuliondoka na magari mawili hadi Arusha, Mungu alitusaidia tulifika salama kabisa, tulikuta Kaka anatusubiri alishaandaa watu wake, mhhhh nilivyofika kwenye nyumba ya Kaka,, kweli Mungu c Mwanadamu,, nilikuta nyumba kubwa ina kila kitu, magari yake matatu kapaki hapo kwake, mhhhh nikamtania Kaka, angalia usijekuwa Freemason Kaka akanijibu umejuaje na lazima nikutoe ww kafara tulicheka pale nikaingizwa chumbani,, nilikuta house girl wawili na house boy mmoja,, Mahamood hakutaka kuchelewa alisema anatoa mahali na ndoa hapo hapo, bc ikabidi Mahamood mwenyewe atoke akatafute mashehe,, ikabidi nisilimishwe kwanza ndipo ndoa ifungwe, tukafanikiwa kufunga ndoa rasmi na Mahamood,, vitu vyote hivo tunafanya hatujashirikisha ndugu yetu yeyote nipo mm na kaka tu,, ndoa ilipita salama bc Mahamood akaongea na Kaka kuhusu ujauzito wangu unahitaji mtu wa kuniangalia na yeye haishi Sana Tanzania , so anaomba aondoke na mm kwenda Dubai,, Kaka yangu alikataa kata kata akamwambia hapana shemeji,, huyu ndugu yangu ndio mimba yake ya kwanza inabidi ajifungulie kwetu isitoshe tupo wawili tu kama macho,, cwez kumruhusu ndugu yangu kwenda huko kwa hali yake hii japokuwa ni mkeo,, bc Mahamood akakubali mm nibaki Arusha hadi nijifungue, ila yeye atakuwa anakuja kuniona,, tulikubaliana hivo,, wale wageni wakaondoka kuja dar nikabaki na Mahamood tukawa tunakaa Hotelin wiki Mahamood anarudi dar anakaa kama wiki mbili anakuja Arusha,,
Nilivyokaa na Kaka ndio nikajua vzr maisha yake,, alikuwa na Maisha ya starehe htr, pombe sana wanawake ndio usiseme kila cku naletewa wifi mpya kutambulishwa nadhani mnawajua watu wa madini,, Kaka yangu ni mfanya biashara mkubwa wa madini,, yaan pale Arusha anajulikana htr yupo kwenye kundi la watu wenye pesa,, Sasa wanawake nao hawapo nyuma kila cku analeta mpya,, nikaona hapana,, cku moja Kaka karudi mapema amerudi peke yake cku hio, mzima hata pombe hana kichwani,, kwake pia kuna kaunta huwa kama ajanywa nje bc analewea ndani Sasa cku hio karudi mkavu,, huwa anakawaida akirudi hata iwe saa ngapi lazima aite Amamuuuu tena kwa fujo,,,. Njoo ndugu yangu wa damu, wewe ndio unajua thamani yangu kuliko mtu yeyote yule njoo mdogo wangu,, cku hio karudi kimya kimya, nikajiuliza kulikoni?? Nikamfata chumbani kwake kugonga,, nikasikia analia tena sauti kubwa,, nikamwita Kaka vp? Unaumwa?? Akaniambia hapana Amamu,, nikamwambia bc fungua mlango,, akanifungulia huku analia, nikasema vp, kapoteza pesa?? au kaachwa?? Mhhhh,, nikamuuliza vp mbona unaniogopesha mwenzio? Akaanza kuniambia, nawakumbuka wazazi wetu sana,, nakumbuka maisha niliyopitia mm,, na ww Dada yangu?? Eti ulibakwa na mjomba na wakakupiga nusu ya kukuua?? Nikamwambia Kaka tuyaache hayo achana nayo tuangalie maisha yetu upya,, akaniambia hapana,, kesho naenda Musoma, nataka nikamfate Baba mdogo aniambie kwann alitaka kukuua?? Nikamwambia hapana Kaka,, nikamuomba sana apunguze starehe sio nzuri, hata wazazi wetu huko walipo hawawezi kufurahia wakijua unaishi haya maisha,, bc alinihahidi kubadilika ila kuhusu Baba mdogo lazima akaonane nae
Mahamood alisafiri kwenda kwa bi mdogo mm kabla cjajifungua ila nilikuwa mwishoni sana,, alikuwa anawasiliana na mm kwa shida sana kama kawaida yake,, inaweza kuisha wiki bila salamu, cku akikutafuta sory zinakuwa nyingi,, nikawa ctaki kujipa presha na ukizingatia nimechoka,, Kaka yangu alikuwa ananipa kila kitu ( kasoro sex) nilijikuta nina amani ya moyo wala sikuwaza kuhusu Mahamood,, nakumbuka siku hio nimeshika cm yangu ile nafungua wtsap tu nakutana na voice note, nikaifungua, hee! Mke wa Mahamood cjui namba yangu kapata wapi,, nikaisikiliza ni matusi jmn,, tena anatukana Kiswahili anachanganya na kingereza,, eti ww malaya,, huwezi kuolewa na Mume wangu, na ole wako uendelee kudil na Mume wangu utajua ujui,, yaan vitisho vingi na matusi,, kiukweli niliumia sana nikasema shida yote hii ya nn?? Kwanza huyo mumewe wala sikumpenda kwa hiali yangu, kukosa kunibaka ningekuwa nae mm?? Niliumia nikaanza kulia nikasema Mahamood akinitafuta namwambia ckutaki na anikome,, ilipita wiki hakunitafuta nikamtumia voice note na mm Mahamood,, nikamwambia kwann ulinibaka wakati ulijua fika upo na wake zako?? Na kwa nn uliniingilia kinyume na maumbile yangu?? Nakuchukia!! Mwambie huyo mkeo ukweli,, asinitukane mm, sina makosa,, pia naomba unitumie taraka yangu kwenye cm pindi tu utakapo upokea ujumbe huu,, na nikijifungua hawa watoto nitawaambia ukweli Baba yenu alinibaka kwanza kabla sijampenda,,,,,, nilivyomaliza kuongea nikatuma,, nikatuma na ile voice note ya mkewe,, nikakaa zangu kimya haikupita nusu saa cm ya Mahamood inaingia
Soma mpaka mwisho kwa sh 1000
Njoo WhatsApp 0743433005.