Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  artist

MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 4

15th Jun, 2025 Views 25

MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 4

Nilivaa nguo zangu vzr huku nalia, nikasema ee Mungu nimekukosea nn mm? Mbona matatizo kwangu yamekuwa mengi? Kila cku nimekuww mtu wa kubakwa tuu?? Nililia sanaa hadi macho yakawa mekunduu, nikachukua zile hela nikaweka kwenye chupi na ile CM nikaweka kwenye kitopu, nikatoka njee, nikakutana na muhudumu wa ile hotel, akaniambia Binti kuna usafiri wa bajaji hapo nje imelipiwa na Boss amesema ikupeleke nyumbani, nilitaka kukataa ila nikasema ngoja nipande tu, nikapanda ile bajaji nikamuelekeza dereva hadi ninapo kwenda, nilifika nyumbani bahati nzuri sikumkuta Dada jirani wala Kaka hakuwepo, nilifungua mlango maana funguo nilielekezwa na Dada ilipo, nikaoga nikavaa pensi zile hela na cm nikazificha kwenye pensi nje nikavaa sketi nikalala

Niliamshwa na Dada jirani akaniambia Jee mbona umelala mapema ivo? Amka tule alikuwa kabeba chips niliamka nikala mara Kaka akaja tukasalimiana vzr akanipa ticket ya safari, akaniambia amepata gari ya kesho kutwa kwhyo nijiandae kwa safari,, moyoni nilishukuru nikasema ngoja nirudi nyumbani maana huku mjini naishia kubakwa tuu najua sina wazazi ila sina jinsi nyumbani ni nyumbani,, bc Kaka aliniita nje tuongee, akaniambia Jee mdogo wng sio kama nakurudisha nyumbani ctaki ufanye kazi hapa Dar hapana, ila hii Dar sio sehemu salama ww ni mdogo sana ila nitakupa laki moja ya mtaji ukifika nyumbani ufanye biashara na ukiona umekwama kwa chochote bc utanipigia cm ili tujue cha kufanya, ww umekuwa ndugu yangu Sasa nililia mnooo nikasema sijawahi kupata upendo wa namna ile tangu Baba yangu alipofariki nimekuwa mtu wa kusukumwa sukumwa na kupigwa tuu ,, nilimshukuru Kaka mnoo akanipa hela laki na ishirini, ile ishirini nile njiani then laki nikafanye biashara, akanipa na namba yake ya cm tukaagana akaingia ndani kwake mie nikarudi kwa Dada jirani,, hapo sikutaka kumuambia Dada yaliyonikuta kabisa niliogopa asinione Malaya

Cku ya safari iliwadia Kaka alinifata saa kumi alfajiri kunipeleka ubungo, tuliagana pale nilimshukuru Dada jirani kwa msaada wake kwangu pia nilichukua namba yake,,, nilipanda basi safari ya Musoma ikaanza rasmi,, hapo nina hela zangu pamoja na cm nimeweka kwenye pensi

Nilifika nyumbani salama kabisa, nikachukua pikipiki hadi nyumbani kwetu, Marehemu Baba yangu alikuwa na mji wake ambapo ndipo kwetu, alijenga tu nyumba za msonge wakazi wa Mara mtakuwa mnazifahamu, bc nilifika hadi nyumbani nikagonga hodi maana kulikuwa kunaonekana tu kuna watu wanaishi hapo,, nikakaribishwa na sauti ya mwanamke, alivyotoka nikamuona Mama mdogo ni mke wa Baba yangu mdogo ndugu yake Baba,, bc tukasalimiana vzr ila nikamuona kama hakufurahi iv, nikaenda hadi kwenye chumba changu nikaweka begi langu nikalala maana nilichoka sana tulilala njiani na basi, nilishutuliwa na sauti ya Baba mdogo aliniita kwa sauti kali sana Amamu!! Kijijini wananiita Amamu! Nilitoka nikamsalimia aliitika ila kakunja sura yake,, Ww dar ulitoka lini?? Mbona shangazi yako alituambia umetoka mda mrefu sana na huku ndio unafika leo ulikuwa wapi?? Kumbe kweli ww ni Malaya na umembaka mjomba wako huko dar?? Kwann unatupa aibu ww mtoto?? Kabla sijanyanyua mdomo kujibu, baba mdogo akaanza kunipiga, nilipigwa sana,. Nililia kuomba msaada lkn wapi hakunisikia wala kunionea huruma hadi nilipoteza fahamu

Itaendelea

MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 5

Nilipata fahamu nikajikuta nipo chumbani kwangu tena chini, nilijaribu kujiinua nikashindwa mwili wote ulikuwa unauma, nikalala pale chini hadi asbh hakuna hata aliyekuja kunitazama asbh ilivyokucha nikajitahidi kujinyanyua mwili mzima ulikuwa umevimba, nikajisachi nione hela zangu zilikuwa vile vile pamoja na cm maana niliweka mfuko wa pensi ndani nje nikavaa nguo kama kawaida, nilitoka nje sikumkuta mtu, nikaenda kuoga nikavaa nguo zangu nikatoka ili nikatafute chochote nile nilikuwa na njaa sana, nikaenda hadi kwenye mabanda nikaagiza chai nikanywa, wakati narudi nyumbani huku natembea kwa shida nikakutana na msichana mmoja tulikuwa tunasoma wote ila yeye alinitangulia kidato, anaitwa Ghati, tulisalimiana vzr yeye tyr kamaliza shule na matokeo yametoka alikuwa ameferi, bc tuliongea akaniambia nasikia ulikuwa dar? Vp mbona umerudi huku tena? Nikamuhadisia mkasa wangu wote hadi kubakwa na mjomba, ila kuhusu yule Mwarabu nilimficha niliogopa asijue nina hela, bc alinihurumia sana akaniambia bora ungebaki dar ukatafuta hata kazi za ndani au bar kuliko kuja huku,, tuliongea mengi tukaagana na Ghati nikarudi home, nimetoka home nikamkuta Mama mdogo nikamsalimia akaniambia Baba yangu mdogo ana maongezi na mm kwhyo nimsubiri nikamwambia sawa nikaingia Chumbani

Nimekaa chumbani nikatafakari sana nikasema bora niondoke hapa nitafute sehemu niende, cjui niende Arusha kwa Kaka yngu ila sipajui na mawasiliano sina, nikatafakari sana nikasema nikiondoka hapa naenda wapi? Nikiwa na mawazo mengi gafra nikaitwa nje nikatoka alikuwa Baba mdogo, nikakaa chini kumsikiliza,, akaniambia kama nimerudi pale bc nitafata sheria za pale, kuanzia Sasa natakiwa nilime shamba na sitakula chakula hadi ucku yaan nikiamka asbh kesho naenda shambani siruhusiwi kula chakula hadi ucku labda ninywe maji tu na ole wangu nilete uvivu pia siruhusiwi kwenda popote Zaid ya shambani na ole akute nimetoka,, nimeenda kufanya umalaya wangu bc ataniua, niliitika nikasema sawa Baba mdogo, nikarudi chumbani nikalia sana nikasema potelea mbali acha niondoke zangu kama kubakwa bc nikazidi kubakwa hadi nife kuliko kuteseka huku tena na ndugu wa Baba yangu nilisubiri giza liingie nitoroke,, nikiwa chumbani nawaza hayo akaja Mama mdogo akaniambia nitoke nikachote maji, bc nikatoka kwenda ramboni kufata maji, nikiwa bado nasomba maji maana nasomba maji na baiskeri, nikapata wazo nichukue baiskeri hadi center ili nikaweke chumba kabisa ili usiku nikitoka nyumbani nipate pa kulala ( gesti) bc nikaacha madumu hapo ramboni nikakimbiza baiskeri hadi center, nikatafuta gesti nikalipia, nilitoa kwenye zile hela nilizopewa na Kaka dar nilikuwa maziwa kwenye maziwa sikuzichanganya na zile zingingine, nikalipa chumba elfu kumi nikaandikisha jina nikasema nitarudi ucku kulala, bc nikakimbiza baiskeri hadi ramboni nikabeba maji yangu hadi nyumbani, nikaingia jikoni nikapika fasta huku nina mipango yangu kichwani, giza lilipo ingia nikatoa begi langu nikalificha nyuma ya nyumba kisha nikarudi ndani, nikatenga chakula vzr tukala, nikawaacha wao wanaangalia taarifa ya habari nikatoa vyombo nje ili nijifanye naviosha nilipotoka ndio kimoja sikurudi ndani nilifata begi langu nikabeba kichwani viatu mikononi huku natembea kwa shida hadi mbele mbele kidogo nikachukua pikipiki hadi center nikamwambia nishushe nikaogopa kumpeleka hadi pale gesti, nikatembea tena hadi gesti, nilivyofika mapokezi walinipa funguo nikaingia ndani

Nilishusha mapazia vzr na kufunga mlango vzr pale gesti ndipo nikatoa cm yangu ili niichaji ,, nikaiangalia vzr cm yangu ilikuwa iPhone nikaweka chaji nikalala, japo kuwa usingizi ulikuwa wa wasiwasi sana, ilivyofika saa kumi na moja alfajiri nikaamka nikaoga nikachukua begi langu na cm yangu nikaweka tena kwenye pensi pamoja na hela zile nyingi nikabakisha hela zile za Kaka niliweka kwenye maziwa nikatoka nje nikachukua pikipiki hadi stendi ya Mabasi ,, basi za Dar zilikuwa zimejaa nikaamua nipande zinazoishia mwanza kisha nilale gest asbh nipande za Dar,, nilifika Mwanza mida ya saa tisa ilikuwa mapema sana nikakata ticket vzr gari ya Dar lux, nikatafuta gesti nikalipia nikaenda kupumzika,, nimekaa zangu pale Mwanza gest ndipo wazo la kuwaza cm yangu likanijia,, nikawasha nikaanza kuangalia angalia japo sikujua kuingilia vzr ile cm lkn ilikuwa imewekwa hadi wtsap,, nikatoka nje nikaagiza chips na soda pamoja na maji, wakati nipo nasubiri chips nikawa naongea na Muhudumu akaniambia KAMA nina safiri nisiwe na shida watu wote wanaolala hapo ambao wanasafiri asbh wanafatwa na gari la hio gest wanapelekwa hadi stendi, bc nikamwambia na mm nina safiri bc watanigongea asbh akasema sawa niwe na amani tu,, nikarudi home kwangu nikafunga mlango vzr nikakaa kucheza cm,, Mara cm ikaja likatokea jina Mahamood" mhhh niliogopa ila nikapokea,, halow Mamujee hujambo?? Nikamwambia cjambo shikamoo,, Marhaba, habari za Tanzania? Nikamjibu nzuri,, akaniambia nilikutafuta sana kwann hukuwasha CM?? Nilikaa kimya, akaniambia bc kuanzia Sasa nisizime cm tena coz atakuwa ananiuliza mara kwa mara,, nikamwambia sawa,, akaniuliza uko wapi sasa?? Nikamwambia Mwanza,, akasema ulifata nn huko?? Nikamuhadisia mkasa wangu wote,, akaniambia nikifika Dar tu nifungue akaunti benk ili anitumie pesa nipange nyumba nikamwambia sawa,, akasema yaan nikifika tu nimjulishe kupitia wtsap na yeye atanipigia ili ajue kama nimefika salama,,, bc nikala zangu pale nikalala,,, kweli alfajiri nikagongewa mlango ili tupelekwe stendi,, nilifika stendi nyegezi Mwanza nikapanda gari Dar lux Safari ya Dar ikaanza tena kwa mara ya pili,, Mamujee kama Mamujee
Muendelezo sh 1000
Njoo fasta WhatsApp uisome
No ni 0743433005

Wanangu wa Kenya ???????? Uganda ???????? Rwanda ???????? Tanzania huduma iko nje nje
WhatsApp +255743433005.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MWARABU HUKO MI SIJAZOEA 4 https://gonga94.com/semajambo/mwarabu-huko-mi-sijazoea-4 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MARIA Sehemu 16

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MARIA Sehemu ya 10

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MARIA Sehemu ya 7

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

RATIFA sehemu ya 37

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

RATIFA sehemu ya 36

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

Obi's Pain Chapter 4.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

TAMU YA SAKINA 02.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DEAR DOCTOR 01

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MPANGAJI ... 01

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MIMBA YA BESTMAN 15

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MIMBA YA BESTMAN 14

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

TAMU YA SAKINA 01

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

Obi's Pain Chapter 1

mjukuu rewards 100 Comments 1
 

MSHANGAZI EPISODE 2

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MIMBA YA BESTMAN 14

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MSHANGAZI EPISODE 1

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MIMBA YA BESTMAN 13

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MIMBA YA BESTMAN 10

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

YAMENIKUTA

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MIMBA YA BESTMAN 9

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

JINSI YA KUTUNZA UKE

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

PART 5 MY HEART

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest