"Nitaongea na Boss wangu Kipenzi Tum sign
dogo Dada zako na kaka zako tupo Pamoja na ww
na Tutakuchangia hela kwetu sio tatizo ila Boss wangu 1B hela ya kunywa maji tu ngoja afanye jambo mtu mwenye roho safi uje huku huku ni kuna rahaaa" Ameandika - Diva The Bawse wa wasafi Fm.