JIRANI ACHA UKOROFI
EPISODE 01
Naitwa kelvin ni kijana wa miaka 25 naishi katika nyumba moja ya kupanga iliyopo huku ubungo maeneo ya kibo. Npambana na maisha yangu na hakuna kitu nachokijali kama maisha yangu ....
Mtaani kwetu yaani sehemu tuliyopanga kuna wapangaji wengi sana . Lakini asilimia kubwa ni wanawake. wanaume tupo tupo ila wanawake ndo wengi kama nyuki ila mimi sio pigo zangu . Wapangaji wengi wanasema labda jogoo hapandi mtungi ... Lakini mimi nasemaje waje wajaribu na wakawasimulie wengine ....
Hadithi inaanza majira ya jioni nikiwa gengeni nanunua vitu kwa ajili ya kujipikia si unajua usingle boy na mambo ya kupika. Kazi nafanya lakini kazi ya kupika ni ngumu sana
" naomba dagaa wa buku "
" oooh nikuwekee wakubwa au hawa wadogo"
" niwekee hawa wadogo nikapike haraka"
Basi ule mshangazi ukanihudumia naupa hela ukakataa et umetoa sadaka nilifurahi mi sina hiyana niliondoka lakini akawa ananikonyeza . Nikajue yaleyale mambo ambayo siyataki kabisa . Basi nilipitia gengeni na kuchukua nyanya kisha nikaelekea nyumbani ... .....
Akili nilimuwaza Fatuma ule mshangazi ulionipa dagaa unanitaka sio siri tatiza mi na mapenzi wapi na wapi?
Nikirudi geto nilipofika nilisalimiana na wapangaji wenzangu japo kila wakiniona wanasema mwamba huyu. Asiyependa wanawake wanasema eti labda jogoo hawiki niliwatazma na kuingia ndani . Huko nilipika chapu . Kuna kupika na kuna kupika vizuri sijuwi mimi niko wapi lakini we jua tu napika chakula kilichoiva na kina lika kuhusu kupika vizuri hiyo sijuwi ....
Nilikiwa nimejipumzisha mida ya saa mbili jioni nilishtuliwa kutoka usingizi baada ya mlango kugonga ...nilijiuliza ni nani ? Maana hakuna anayegonga mlango wangu hovyo hovyo nikajua mama mwenye nyumba ananidai kodi yake sjamlipa
“NGO! NGO! NGO ! ”
Niliamka na kuweka laptop pembeni na kuinuka taratibu. Nlipofungua mlango, niliikutana uso kwa uso na jirani mpya ambaye kahamia juzi anaitwa Tina msichana mrefu, mweusi mwenye tabasamu la kuvutia na nywele zilizopambwa kwa rasta fupi.
TINA: (akiwa na simu mkononi) "Pole na kazi Kelvin… naomba nichaji kidogo, simu yangu imezimika kabisa."
KELVIN: (akiwa ameshtuka kidogo) "Ah, hakuna shida. Ingia tu, weka hapo kwenye soketi."
Tina aliingia kwa tabasamu na kuweka simu yake chaji. Badala ya kutoka kama alivyotarajiwa, alikaa pembeni ya kochi na kunitazama muda huo narudi kukaa kitandani ....
TINA: "Nitakaa tu hapa ningoje ijae kidogo, si unajua kwetu umeme haupo?"
Nilmwangalia kwa kushangaa yaliyojaa udadisi.
"Una uhakika itakaa muda mfupi? Unajua usiku huu…"
TINA: (akimkatisha kwa tabasamu) "Usijali, siwezi kaa muda mrefu… au kama unanitaka nikae zaidi uniambie mapema."
Nilimeza mate taratibu Ghafla alivyokua kakaa kwenye kiti maana tulikuwa twatazamana alitanua ma** j a nikaona kufuri la pinki mjumbe aliinuka haraka kama mshale .....
????????????????????????????????????
Follow the HADITHI ZA KELVIN MLOWE ❤️✋???? channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029Vaw5SzK7YSd3RKAO8G46.