💕😁💖DRAMA OF LOVE💖😁.
part 15
Who among Njeri and Brianna is truly in love with me🤔🤔. I thought I had found Njeri 🤔, is this the way she talks or it's because she's just angry and jealousy of Brianna 🤔. Kumbe sikuwa namjuwa vizuri, lakin ni mrembo jamani❣️....... Wait🤔, pia Brianna ni mrembo sana 🙈. Who's a true lover here🤔.
Hellen naye nilidhan alinipa barua kisiri ndo Njeri asijue kumbe pia alikuwa kwa game😪😪. The way Njeri alikuwa ananiongelesha ilibidi nianze kumcompare na Brianna 🤔. Brianna had never insulted me before ❣️, it's only that she moved aside during the time I needed her most🤔, after there she realized her mistake and apologized 🙏. Should I give her a second chance, should I catch these two birds at the same time in my hand🤔. Mshika mbili moja humponyoka walisema wazamani🙏🙏, wakarudia wakasema njia mbili siku moja zilimshinda fisi akafa😂.
Mm mwenyewe hata sijui nampenda nani sasa😂😂, Brianna ako sawa sana kimaumbile❣️❣️, but pia Njeri ni mama lao ukija kwa maumbile. Kwanza lips oh my goodness 😍 I can't leave Njeri walahi🙏🙏. I can't,,, Yes Njeri is my choice🤩. Nilianza kujiongeleaha pekee yangu
"Wee, kwani uko na nani huko??, Fungua huu mlango😪" ilikuwa sauti ya mama ambayo ilinitoa kwenye ndimbwi la mawazo🙆🙆.
Mom: NJERI ako wapi ndo unashinda ukimtaja😪😪. Umeanza mambo ya mapenzi sky?? Ako wap??
Me: Mom😪, hakuna mtu humu ndani🙏🙏.
Aliangalia chin ya bed na kila mahali hakupata mtu🙆.
Her: Na mbna unashinda ukisema Yes njeri, njeri is my choice, who's she??
Me: Mom you are taking it more serious 😂. It was a song, nilikuwa naimba wimbo tu🙈🙈.
Mom: Haya imba basi(simu yangu akaita tena😲😲, oh my God, alikuwa Brianna 🙆🙆) si ushike simu, ebu leta😪😪.
Mom alichukuwa simu😭😭.
Her: Brianna Queen ndo jina lake ama umemsave tu🤔🤔.
Me: Ni jina lake mam😭😭.
Alirecieve 😱.
Brianna: Hello honey??
Ngài 😭, karibu nifaint koz simu mm nilinunuliwa ili nisomee😭.
Mom: Honey hayuko sasa unaongea na nyuki😱 sema😱.
Brianna: ooh Mom habari yako??
Mathe: 😓😓, poa wewe ni nani, unasaviwa Queen, wewe unaitwa Queen 🤔🤔.
BRIANNA: (silent)
Mom: eeh nakuuliza, hello??
Brianna: Ndio mom. Tunasoma nayeye🙆🙆.
Mom alinirushia simu na kutoka nje😱.
Mom: sky kesho tukutane shuleni😭😭. Nataka kumjuwa huyo Queen ndo nani🙆🙆.
Brianna hakuhang up simu, after mathe kutoka ndo nikaanza kuongea na yeye.
Me: Wee sasa mbna umekol na tulikuwa tumemaliza tu vizuri😪😪. Brianna ninini huwa ikakusumbua lakn😪😪.
HER: sky you saved me Queen ❣️❣️?? Wow. Okay am sorry King 💖.
Me: Who's your King??
HER: And who's your Queen 💖. Okay am sorry Njeri's King 🙏🙏.
Me: Who's Njeri's King 😪😪.
Her: 😂😂sasa msimamo wako uko wap wewe. But I know unanipenda lakn unajifanya hunipendi❣️❣️.
Nilimkata, that night sikuchat na any of them, ingawa Njeri bado hakuwacha kunitumia messages za love,,
"Hey sky. I know It was wrong to call you idiõt 🙏, but am sorry, I didn't mean it please, see you tomorrow tuongee kama wapenzi dear, it's only one day and have already missed you so much ❤️. Good night my king 💖💖"
Bado sikurply. On Monday shule, kwa class Brianna hakuwa anashikika, kidogo hellen akakam palali nilikuwa😪😪.
HER: Mr lover boy,, vipy??
"Hellen I need to be left alone please 😪, mm hiyo michezo ya kutumwa ukikam kunisoma sitaki😪" I said to her.
"😂😂, Huku mm niko katikati bwana, nililipwa donge nono sana kufanya hiyo kazi, lakn hayo yakiwemo ya kumsave Brianna et Queen ni ya baadae, tutaongelea, ebu nisaidie hiyo book niliweka kwa bag yako🙏🙏"
Me: Kwa bag yangu?? Uliweka when🤔🤔?
Her: Ile day mlikuwa mnafanya prac kwa lab🙏. You mean hukuifungua ukasoma??
Me: ak walahi siwezi lie🙏. Kulikuwa na good news ama??
HELLEN: Sijui kama kwako ingekuwa good news but kwangu it means a lot ❣️❣️.
Tuliangalia kwa bag nikapata kumbe ameniandikia barua😱.
Hellen: Wee kwan unataka kusomea kwa daro,, si ungesoma ukiwa home🤝.
Me: Ok hellen, niachie kitabu basi nitajisomea baadae, kwanza inahusu nini??
HELLEN: Utajuwa tu Sky,, utakam uchukuwe jioni sawa❣️.
Aaih anyway, yan Brianna alikuwa ashawaambia venye aliongea na mathe🙆🙆. Even Njeri alionekana kunikasirikia sana😲. Mara hiyo Kamau akafika🙏.
HIM: Bro now days uko kimia sana manze,, is it because of Njeri??
Me: Hahaa how now,,, wewe tuko tu kimoja man, umefikia wap hiyo risto ya assignment??
Kamau: Bro hayo ni baadae 🤟. Kwa Sasa ni kuhusu Njeri 🙏🙏. Do you love her for real, coz I remember ilikuwa tu game ya kumleta Brianna kwa life yako tena,, am like your brother sky, hide nothing from me❣️❣️.
Me: Mm simpendi Njeri bro,, na kama nampenda basi nampenda kama beshte yangu❣️. Nothing more 🙏.
HIM: sky wacha chocha. What about the kisses and hugs in the lab?? Isitoshe, hata yeye mwenyewe alisema ilikuwa game but now mko serious 🙏. YES or NO??
Me: 🤔🤔🤔, kamau do you love NJERI ??
HIM: No need to explain bro,,, look at my hand 😱😱.
Kamau hadi alikuwa ameeka jina la Njeri kama tattoo 😲😲.
Me: You can't be serious bro,, what if she doesn't love you back?? What Will you do??
HIM: Already ashakataa man,,, anasema et nyinyi mko kimoja sahi🙏🙏. But ju wewe umekana, am sure ukimsho venye nampenda atanikubali bro, she listens to you much🙏🙏. Please help me to get her 😭.
Me: 🤔🤔, waah kamau,?? Anyway wacha nitajaribu tuone🙏.
HIM: Nitashukuru sana bro,,, then nina riport yako kutoka kwa class officials ✌️✌️.
Me: Class official?? Hellen ama Nancy??
Kamau: Hellen....
Me: Amesema nini?? (Kidogo Njeri akafika tukiwa na Kamau)
Her: Hey, Mambo Beb. Hadi huwezi nipa salamu ak💖💖. Oh sorry,, mambo KAMAU??
Kamau: poa Sana Njeri (huku ameniangalia kwa macho ya huruma)
NJERI: Sky so?? Waah lakn nimekumiss💖💖, ebu songa kidogo nikwambie kitu??
Kamau: Bro, si tutachekiana magithaa(matime)
Me: Fity jamaa🙏🙏.
NJERI: Ak Beb leo lazma tumwambie Brianna ukweli kwamba humpendi😪😪. Mm ak sijui kwann nahisi ni kama mnaweza rudiana😭. Please isiwe ivo, mm nakupenda sana dear, and you know it 🙏🙏. Si tutamkataza ujinga jioni??
Me: 🤔🤔🤔.
Mlangoni kukaingia walimu wawili na mam😭😭.
Principal: Yes mama Sky,, Who are you looking for??
Mom: Am looking for Queen 😱😱.
Brianna aliniangalia nikajuwa hapa sisi kwisha😭.
Principal: Samahani mama, hapa hakuna msichana anaitwa Queen 🙆🙆.
Mom: mwalimu mm sio miinga, akatoa simu yangu😭😭. Si huyu amesaviwa Queen na sky alisema wanasoma class moja😱😱.
NJERI akadhani ni yeye🙆🙆. Akaniangalia kama amesmile😭.
Mom: Brianna Queen ndio nani😱😱.
Ngài 😭😭
NJERI:.......
To be continued.... Part 16. Usikose
Usipite hii jamani..