Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  artist

JINSI YA KUTUNZA UKE

5th Jun, 2025 Views 44

LEO NAWAJIBU HILI SWALI

JINSI YA KUTUNZA UKE

Kuna mambo mengi sana yanayopelekea wanawake kutokuwa na joto wakati wa tendo au uke kulegea.
Asikudanganye mtu kuzaa hakumsababishi mwanamke kuwa na uke uliolegea au mwanamke kukosa joto wakati wa tendo ila wanawake wengi hawajui kujitunza vyema kwa ajili ya kusababisha kila siku kuonekana wanawari wadogo.
Baadhi ya mambo ukiyazingatia unaweza kuwa mnato kila siku hata kama una umri mkubwa au umezaa sana.

1____Usilale na shahawa. (Manii)
Kwa namna moja au nyingine shahawa zinaweza kupelekea uke kulegea ingawa sio kwa asilimia kubwa hivyo mwanamke pale utakapomaliza kufanya tendo la ndoa hakikisha unaenda chooni unakojoa hata kama ni kidogo kisha unajikamua kisha unawe vizuri.

2___Nawa na maji baridi kila siku asubuhi.
Hakikisha maji niya baridi,utakapo amka kanawe na maji baridi na upitishe kidole ndani na uhakikishe utelezi wote umetoka tena bila sabuni maana maji pekee yanatosha. (kidole KISIWE na kucha ndefu kata kucha)
Wale wa inajisafisha yenyewe mtanisamehe kidogo.

3__Pendelea kupikia jiko la mkaa au jiko la kuni Kama linapatikana.
Tena mwanamke shart uwe na kigoda,umekaa kwenye kigoda chako unapika.
Ule mvuke unaotoka kwenye mkaa unasababisha uke kuwa na joto.
wale watumia umeme mtusamehe kidogo.

4____ Usipende kuvaa nguo zinazoacha sehemu kubwa ya mwili wako wazi.
Pendelea kuvaa nguo zinazoficha sehemu kubwa ya mwili wako kwa maana joto la jua likigonga ngozi linaathari kidogo na linaweza Sababisha ngozi kukakamaa na hata kuungua.
Lakin jua litakapokutana na kitambaa kabla ya kufikia ngozi linasababisha ngozi kuwa nyororo na kuongeza joto mwilini maana zile nguo ulizo vaa zinauwezo wa kuhifadhi joto kwa muda kadhaa.

5__ Kunywa chai ya tangawizi au juice ya tangawizi kabla ya tendo Kama hauna vidonda vya tumbo.

Chai ya tangawizi au juice ya tangawizi inaongeza joto mwilini na hata ukeni pia kwa mwanaume inaweza kumletea msisimko wa haraka wakati wa maandalizi ya tendo.

TUKUTANE KWENYE GROUP TUMALIZIE MADA UJUE JINSI YA KUJITUNZA KWAJUTUMIA VITU VYA ASILI VISIVYO NA CHEMICAL.

WASP ME

0769228130.
   

SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


mjukuu rewards 100 Comments 0
 

YAMENIKUTA

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MIMBA YA BESTMAN 9

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

JINSI YA KUTUNZA UKE

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

PART 5 MY HEART

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MY HEART 03--04

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

*MY HEART* *1---2 *

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MIMBA YA BESTMAN 7

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

ANIPHA 6--7.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MIMBA YA BESTMAN 05

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

side chick episode 3

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

SIDE CHICK EPisode 2

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 18

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 17

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 16

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 8

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 1

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

RATIFA Sehemu ya 32

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

JINA LANGU SHAMSA EP3

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

JINA LANGU SHAMSA EP2

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

JINA LANGU SHAMSA EP1

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

BOYCHILD PART 3

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DRAMA OF LOVE part 4.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DRAMA OF LOVE part 3

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NJERI part 29

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest