Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  artist

SITASAHAU NILICHOKIONA KWENYE LILE KANISA ๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ˜ฑ Sehemu ya PILI ( 2 ) ***********

7th Jun, 2025 Views 8

SITASAHAU NILICHOKIONA KWENYE LILE KANISA ๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ˜ฑ
Sehemu ya PILI ( 2 )
************
@Kila Mtu
๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
Ghafla palitokea mtu ambaye alikuwa na ulinzi mkali sana.Ulinzi wake ulikuwa ni ulinzi wa mbwa,Yaani kuna mbwa ambao walikuwa pembeni yake,wakiwa wanamlinda huku wakiboka"huhuuu..........................."
Huyo mtu alikuwa ni bibi kizee wa zamani sana,macho yake yalikuwa mekundu mithili ya wavuta bangi.huku kichwani mwake pakiwa na mvi za kutosha.
Hatimaye mazungumzo yalianza rasmi.
"Shikamo Mama" Yule mchungaji alisema.
"Marahaba mwanangu" Yule bibi alijibu.
"Kuna mtoto nimemuokota,huyu mtoto inaonekana kuwa ana nguvu za ajabu hivyo Naomba umwangalie kama kweli ana nguvu"Yule mchungaji alisema.
Hatimaye Yule bibi alimchukua mtoto kisha alianza kuimba nyimbo zake,wakati huo,yule mtoto mchanga alikuwa analia sana.
Baada ya mda,Yule bibi alicheka sana"hahahahaha........................"
Hatimaye alisema kuwa huyo mtoto ana nguvu za ajabu sana,hivyo wanatakiwa kumlea vizuri ili baadae aje kuwa mrithi wao.
Hatimaye Yule mchungaji alifurahi sana kusikia hivyo,Baada ya mda,alimchukua yule mtoto kisha alikwenda nae nyumbani kwake.
Baada ya mda,Yule mchungaji alifika kwenye jumba lake la kifahari ambalo lilikuwa na ulinzi mkali pamoja na CCTV Camera. Ndani ya hilo jumba palikuwa na magari ya kifahari ikiwemo,Hammer, VAT na Mercedes Benz.
Yule mchungaji aliingia ndani ya jumba lake akiwa na yule mtoto.
Hatimaye alipokelewa na mabinti warembo sana ambao walikuwa nusu uchi.kisha aliketi chini.Hao mabinti walishangaa sana kumuona mtoto mchanga.Baadhi yao waliuliza maswali lakini Yule mchungaji hakujibu hata moja.
Hatimaye alitoa amri kwa mfanyakazi wake wa ndani ambaye alijulikana kwa jina la Yemi.Yemi alikabidhiwa huyo mtoto kwa lengo la kumtunza mpaka pale ambapo atakuwa mkubwa.Yemi alimpokea huyo mtoto kwa mikono miwili huku akiwa na maswali kedekede.
Baada ya mda,wale mabinti ambao walikuwa nusu uchi,walianza kumchezea mchungaji,Yaani walianza kumshika mchungaji katika Sehemu nyeti za mwili wake.
Yule mchungaji alikwenda nao mpaka chumbani kwake,kisha alizini nao.
Siku iliyofuata, Yule mchungaji alikwenda kwenye kanisa lake,alikuwa anamiliki kanisa kubwa sana ambao lilijulikana kama"AGAPE HOME OF ALL NATIONS"Hili kanisa lilikuwa maarufu sana,hii ni kutokana na ishara pamoja na miujiza ambayo ilikuwa ikitendeka mahali hapo.
Watu kutoka mashariki,magharibi,kusini na kaskazini,walifurika kwenye kanisa la huyo mchungaji.
Baada ya mchungaji kufika kanisani,alimkuta mwanamke mmoja ambaye alikuwa analia sana.kilio cha huyo mwanamke ilikuwa ni kupata mume kwani miaka imeenda sana hana mume.
Yule mchungaji alimuita yule mwanamke kisha alimwambia kwanini unalia???Yule mwanamke alisema kuwa shida yaku ni mume,anatamani sana kupata mwanaume ambaye atafunga nae pingu za maisha.
Yule mchungaji alimwambia kuwa ili apate mume anatakiwa kuacha kazi yake ya kikahaba ambayo kimsingi ndio sababu ya Yeye kutopata mume mpaka sasa.
Hatimaye Yule mwanamke aliingiwa na hofu huku akipata mshangao kuwa mchungaji amejuaje kuwa Yeye ni kahaba.Baada ya mda,alikwenda zake.
Hatimaye Yule mchungaji aliingia kwenye chumba chake.
Baada ya mda,Yule mchungaji alichukua kitabu Fulani ambacho kilikuwa na rangi nyeusi.kitabu hicho kilisomeka hivi"No Body Is safe"hilo ndilo lilikuwa jina la hicho kitabu.
Ndani yake palikuwa na picha za watu wengi sana ikiwemo; watoto,vijana pamoja na wazee.Jinsia zote wakike kwa wakiume.Lakini kwenye hicho kitabu, Baadhi ya picha zilikuwa na alama nyekundu ya (X).Alafu kila picha ilikuwa na namba yake.
Yule mchungaji alifungua mpaka kwenye picha namba 346,ilikuwa ni picha ya mwanamke mmoja mrembo sana.jina lake lilisomeka Lilian.
Hatimaye Yule mchungaji alichukua kalamu kisha aliweka alama ya (X) kwenye hiyo picha.
Baada ya mda,Yule mchungaji alichukua fimbo yake ya Dhahabu ambayo ilikuwa na sanamu yenye vichwa vitatu vya Nyoka aina ya Python.Nyoka mwenye sumu Kali sana.kisha Alinena maneno machache kwenye hiyo fimbo.Mara tu Baada ya kumaliza,ghafla ile fimbo ilibadilika na kuwa Nyoka mkubwa mwenye vichwa vitatu.huyo Nyoka alijulikana kwa jina la MUNA ambaye kazi yake ilikuwa kutoa kafara.
Hatimaye Yule mchungaji alimpatia MUNA kazi ya kwenda kuondoa uhai wa mwanamke mmoja kwa jina la Lilian ambaye tulimuona kwenye kile kitabu cha No body is safe.
Baada ya MUNA kupatiwa hiyo kazi,ghafla alipotea katika mazingira ya kutatanisha.
Majira ya Usiku,katika familia Fulani,palionekana picha ambazo zilikuwa ukutani.Hizo picha zilikuwa niza ndoa huku nyingine zikiwa ni picha za familia.
Wakati huo,Mr James alikuwa mezani Yeye pamoja na mke wake kwa jina la Lilian, pamoja na watoto wao wawili,Jimmy pamoja na Angel.
Walikuwa wanakula pamoja na kunywa huku wakifurahi na kucheka.
wakiwa kwenye hali hiyo,ghafla Lilian alihisi kutapika,hivyo alikwenda mpaka bafuni.Alifungua mlango wa bafuni kwa haraka sana lakini alichokutana nacho.........................................Dah.
Dah.................directed by Wile boy.
Lilian alikutana na yule Nyoka mwenye vichwa vitatu, Yaani MUNA.
Lilian alikutana uso kwa uso na MUNA, pale pale alimng'ata kwenye paji la uso wake.Sauti ilisikika"noooooo..........................."
Baada ya mda,Lilian alikimbizwa hospitalini huku hali yake ikiwa mbaya sana.
Madaktari bigwa walijitahidi kwa hamu na Mali kuokoa maisha ya Lilian, lakini kwa bahati mbaya sana sumu ya MUNA ilikuwa hatari sana ambayo haina tiba wala dawa.
Usiku wa saa Sita,Lilian alipoteza maisha akiwa na umri wa miaka Ishirini na Tano......huku akiwa na watoto wawili.
Rest In peace Lilian...........
Upande wa pili,kwenye lile kanisa la Yule mchungaji palionekana ....๐Ÿค”๐Ÿค” Nyieeeee....Mambo ni ya motooo.๐Ÿ˜‚ Kwani wewe auogopi Usipite bila kulike na kukomeniti fanya ku share kabisa ili sehemu inayofuata isikukose maana ndiyo sehemu balaaa๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ.
Jamani comment zenu zikiwa nyingi naleta mwendelezo fasta..
   

SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MSHANGAZI EPISODE 1

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MIMBA YA BESTMAN 13

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MIMBA YA BESTMAN 10

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

YAMENIKUTA

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MIMBA YA BESTMAN 9

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

JINSI YA KUTUNZA UKE

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

PART 5 MY HEART

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MY HEART 03--04

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

*MY HEART* *1---2 *

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MIMBA YA BESTMAN 7

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

ANIPHA 6--7.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MIMBA YA BESTMAN 05

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

side chick episode 3

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

SIDE CHICK EPisode 2

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 18

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 17

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 16

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 8

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 1

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

RATIFA Sehemu ya 32

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

JINA LANGU SHAMSA EP3

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

JINA LANGU SHAMSA EP2

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

JINA LANGU SHAMSA EP1

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

BOYCHILD PART 3

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DRAMA OF LOVE part 4.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DRAMA OF LOVE part 3

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest