Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  artist

Story………………...SHE WAS MY WIFE (ALIKUWA MKE WANGU) Mtunzi……………..Simulizi Za Zooper sehemu ya 04

7th Jun, 2025 Views 2

Story………………...SHE WAS MY WIFE (ALIKUWA MKE WANGU)
Mtunzi……………..Simulizi Za Zooper
sehemu ya 04
WhatsApp……....0613083801
Umri………………...18+

ENDELEA..........
"Unataka nipigwe risasi ya kichwa!?"
"Hawezi kujua wewe fanya mpango uwe unamfua Bibiana kisiri!"
"Hiyo siwezi aise kwanza na hasira na Bibiana acha tu, tutaongea kesho ngoja nipumzike"
"Poa poa!"
Niko alikata simu na kuupuzia kabisa ushauri aliopewa na Ben.
Dakika chache mbele chakula cha maana kililetwa ambacho hakuwa kukila toka azaliwe.
"Furahia siku yako!"
"Asante!"
Niko alianza kukifakamia na baada ya kutosheka kula ulikuwa ni mda wa kupumzika.

Siku iliyofata Bibiana alienda kumpokea Mama yake na nyumba ilibakiwa na watu wawili tu Makoye na Tatiana ambaye ni binti wa kazi, Makoye alimwita Tatiana na alipofika alianza kumtongo...za ila Tatiana alimkataa.
"Mbona unanitolea nje kila nikikutongoza!?"
"Sikupendi!"
"Acha mambo yako hunipendi wakati nimekuona jana unamkonyeza Niko au mna mambo yenu ya siri!?"
"Hayo tunajua sisi ila elewa tu sikupendi!"
Tatiana aligeuka zake na kutaka kuondoka ila Makoye alikuwa na uhaba wa tendo kwa wakati huo na ukizingatia wamebaki wao wawili tu ndani ya nyumba.
Alimsogelea Tatiana na kumshika kwa nguvu nakuanza kumvuta akitaka kumpeleka kwenye gheto analolala na Niko.
"Niachie Makoye!"
"Kidogo tu Tatiana mbona tunabaniana!?"
"Tapiga kelele kwa watu kuwa unataka kuni..baka!?"
Makoye hakutaka kuelewa zaidi ya kuendelea kumvuta mpaka akafanikiwa kumfikisha mlango.
"Piiiii!"
Sauti ya gari ilisikika upande wa nje na ndiyo ilikuwa pona pona ya Tatiana mbele ya simba mwenye njaa kali.
"Ukomee na subiri nakuja kumwambia boss!"
Tatiana aliongea kwa hasira na kuondoka.
"Dah, nani tena huyu kaharibu mambo!?"
Makoye alifoka na kusogea getini kuchungulia kwanza kabra ya kufungua na kumshuhudia Bibiana akiwa na mama yake mzazi wakishuka kwenye pikipiki.
"Duuh! kumbe ni mke wa boss!?"
Haraka alifungua geti na Bibiana akaingia ndani akimkaribisha mama yake.
"Mbona umechelewa kufungua geti!?"
"Nilikuwa nimepumzika kidogo!"
"Sawa, mama karibu ndani!"
"Asante mwanangu!"
Walielekea ndani na kupokelewa na Tatiana aliyekuwa kafyumu kwa hasira baada ya kukoswa kutafunwa na mlinzi na kama wasingekuwa wao kuja basi mambo yangekuwa yameshaharibika tayari.

Siku ya tatu yake Niko na boss wake walirudi tena ikiwa ni mida ya asubuhi na Bibiana alikuwa kakaa nje pamoja na Mama yake na hakuwahi kumwambia mama yake kama Niko ni dereva wao, macho yalimtoka Mama Bibiana baada ya kumuona Niko.
"Wewe Bibiana yule si Niko aliyekuwa mme wako!?"
"Ndio mama!"
"Imekuwaje mpaka akaongozana na mme wako na hapa anafanya nini!?"
"Nyamaza Mama asije kukusikia mme wangu"
Bibiana alinyenyuka sehemu aliyokuwa amekaa na kwenda kumpokea Ivan na macho ya Niko yalikutana na macho ya aliyekuwa Mama mkwe wake na hakutaka kujihangaisha kumsalimia baada ya kuikumbuka siku aliyotimuliwa akiwa na swahiba wake Ben.
"Kijana toa mizigo uingize ndani!"
"Aya boss!"
Niko alikubali nakuanza kutoa mizigo kama alivyoambiwa na boss wake na baada ya kumaliza alianza kuiingiza ndani mmoja baada ya mwingine na mda wote Mama Bibiana alikuwa akimchora tu.
"Mama shikamoo!"
"Marahaba mwanangu za utokako!?"
"Njema kabisa mbona umekaa nje?, tuingie ndani!"
"Napungwa upepo mwanangu ila sio mda nitakuja ndani!"
"Basi sawa Mama mimi nipo ndani"
Bibiana aliingia ndani na mmewe akimuacha Mama yake nje na Niko aliingiza mzigo wa mwisho na baada mda alitoka nje na kutaka kumpita Mama Bibiana ila alishikwa mkono.
"Eheeee! unafanyeje kwenye nyumba ya mwanangu!?"
"Nafanyakazi!"
"Hukuona sehemu zingine za kuomba kazi mpaka uje uombe kazi hapa!?"
"Eeeh sikuona!"
"Unamajibu ya dharau wewe kijana!?"
Niko alimkata jicho na kuamua kuondoka akimuacha Mama Bibiana akimwangalia kwa uchu.
"Huyu dawa yake ndogo subiri tu"
Aliingia ndani na hakupenda kabisa kumuona Niko akiishi ndani ya nyumba hiyo ukizingatia aliwahi kumuoa binti yake.

Niko aliingia ndani ya getho lao na kumkuta Makoye ametulizana kitandani.
"Oya nipe mapya ya huko mlikokuwa!"
"Hakuna cha maana!"
"Sema wewe jamaa unakula sana bata na kazi yako ni nzuri kuliko hii ya ulinzi, sijui nilikuwa wapi tu kujitunza kazi ya udereva na mimi!"
"Kazi ni kazi mhimu umeingiza pesa tu!"
"Hatakama ila sio ya ulinzi, kazi kubwa ila malipo kidogo, kwanza ningekuwa na kazi kama yako wanawake wangenikoma"
"Kwanini!?"
"Chuma za boss, ningetumia chuma za boss kuwala ninavyotaka mimi na wote wangeamini kuwa ni gari zangu!"
"Duuh kumbe na wewe umo!"
"Acha tu juzi Tatiana kanibania nusu nilie!"
Baada ya Matayo kuongea Niko alikumbuka kuwa aliwahi kuchukia namba ya binti aliyekuwa kaumbika siku aliyoenda kumchukua Bibiana stendi.

Pale pale aliitafuta namba yake na kumtumia ujumbe na bahati nzuri ujumbe ulijibiwa mda huo huo, alijitambulisha na binti alikumbuka vizuri alivyomkuta Niko akiwa na gari la kifahari hivyo alianza kujirahisha kwa Niko akiamini kuwa ni gari lake.
"Aise nimeamini maneno yako!"
"Kwanini Niko!?"
"Wanawake wanathamini sana watu wenye magari kuliko nyumba, hapa kuna mwanamke kaishaeleweka tayari!"
"Umeona eeeh!? nilikwambia jamaa yangu kazi kwako tu akijaa kwenye mfumo wewe pita naye tumeubiwa hawa viumbe na sir God"
Makoye alizidi kumjaza na kumtia hamasa Niko ambaye naye aliweka ubize mkubwa wa kuchati na binti aliyejitambulisha kwake kwa jina la Tatu.

Upande wa ndani Mama Bibiana alitafta upenyo wa kuongea na mwanae na bahati nzuri aliupata baada ya mme wa Bibiana kuingia chumbani.
"Mwanangu fanya juu chini huyu chizi umfukuze hapa!"
"Nani mama!?"
"Niko kwani kuna chizi mwingine kwenye hii nyumba zaidi yake!?"
"Mmmmh kwanini Mama!?"
"Atakuja kukuharibia ndoa yako huyu na inaonekana kaja hapa kwa mpango maalumu au mmeo anajua kama aliwahi kukuoa!?"
Bibiana alikataa na kumjibu mama yake kuwa mme wake hajui.
"Basi mfukuze mapema kabra hajakuharibia"
"Siwezi maana aliyemwajiri hapa ni mme wangu na sio mim!"
"Hatakama wewe fanya juu chini aondoke!"
"Ngoja nitajaribu"
"Sio ujaribu hakikisha anaondoka!"
Bibiana alikubali tu ili kumridhisha lakini moyoni hakuwa na huo mpango kabisa wa kumchongea Niko ili afukuzwe kwani bado alikuwa na kazi naye maalumu na hakutaka kumshirikisha mama yake maana asingekubaliana naye kabisa.

Usiku ulipofika akiwa amelala kitandani pamoja na mmewe aliyekuwa kwenye usingizi mzito kutokana na safari ndefu ya siku hiyo Bibiana alishika simu yake na kumtumia ujumbe Niko huku akitamani ujumbe ujibiwe kwa wakati.
Alisubiri bila mafanikio yoyote yale mpaka usingizi ulimchukua akiwa kaishika simu yake mkononi na palivyokucha Niko aliamka na kutazama mda kupitia simu yake na ndipo alipokutana na ujumbe aliotumiwa na Bibiana na ujembe wenyewe ulisema.
"Toka nje tuonane sasa ivi na jambo la mhimu la kukwambia!"
Niko aliuupuza na kuamka zake kwenda kufanyakazi ya kuyaosha magari ya boss wake...........ITAENDELEA.

Full Tsh 1000, WhatsApp 0613083801

Namba za Malipo 👇👇👇👇

0613083801 HALOPESA JINA JOHN
0748697173 M-PESA JINA JOHN..
   

SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MSHANGAZI EPISODE 1

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MIMBA YA BESTMAN 13

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MIMBA YA BESTMAN 10

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

YAMENIKUTA

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MIMBA YA BESTMAN 9

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

JINSI YA KUTUNZA UKE

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

PART 5 MY HEART

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MY HEART 03--04

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

*MY HEART* *1---2 *

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MIMBA YA BESTMAN 7

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

ANIPHA 6--7.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MIMBA YA BESTMAN 05

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

side chick episode 3

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

SIDE CHICK EPisode 2

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 18

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 17

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 16

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 8

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 1

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

RATIFA Sehemu ya 32

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

JINA LANGU SHAMSA EP3

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

JINA LANGU SHAMSA EP2

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

JINA LANGU SHAMSA EP1

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

BOYCHILD PART 3

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DRAMA OF LOVE part 4.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DRAMA OF LOVE part 3

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest