Huyu dogo anaitwa Rayan Cherki.... Sijawahi kumuandika mara moja au mara mbili .... Huyu kwa macho yangu namuona Ben Arfa kwenye uzao wa GEN Z...
Talent hii ... Kaingia dakika ya 63 ya mchezo dhidi ya Hispania...Kabadilisha mchezo na amehusika kwenye magoli matatu ya Ufaransa...
Ni mali mpya ya Manchester City hii ... Manchester City haitojutia kufanya hii biashara ...
Top quality 🙌
KWA HESHIMA 🫡.