Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  artist

Mama mmoja aliamua kumtembelea mtoto wake wa kiume anayesoma chuo kikuu katika HOSTEL

7th Jun, 2025 Views 4

Mama mmoja aliamua kumtembelea mtoto wake wa kiume anayesoma chuo kikuu katika HOSTEL aliyopanga ili wale chakula cha jioni pamoja..

Alipofika hapo chumbani kwa mtoto wake alimkuta mwanaye anaishi na msichana mrembo sana, pia kuna vitanda viwili, yule msichana akaanda chakula wakala pamoja,,,
Lakini Mama akawa anamuangalia sana yule binti, mtoto wake akavunja ukimya na kusema:
(NAJUA UNACHOFIKIRIA MAMA, USIWE NA WASIWASI HUYO NI MWANACHUO MWENZANGU TUU WALA SIO MPENZI WANGU)!

Mama akatabasamu tuu lakini hakujibu kitu!

Halafu akawaaga na kuondoka zake!

Baada ya siku tatu, yule msichana akamwambia yule jamaa kuwa, tangu mama yake aje kula chakula siku ile kuna sahani moja ya SILVER imepotea pale chumbani!

Jamaa akaamua amuandikie BARUA mama yake isemayo:

(SHIKAMOO MAMA YANGU KIPENZI, NI MATUMAINI YANGU KUWA UMZIMA WA AFYA NA MIMI PIA NI MZIMA, MAMA KUNA SAHANI YA SILVER ILIPOTEA HAPA CHUMBANI KWANGU TANGU BAADA YA WEWE KUONDOKA SIKU ILE ULIPOKUJA KULA CHAKULA,,,, SIO KWAMBA NASEMA UMEICHUKUA WALA SISEMI KWAMBA HUJAICHUA ILA KIUKWELI SAHANI HIYO ILIPOTEA TANGU SIKU ILE ULIPOONDOKA HUKU✍🏿
Wako mwanao kipenzi)

Mama baada ya kupokea ile barua akaamua kujibu namna hii:

✍🏿 MARHABA MWANANGU KIPENZI, SISI SOTE NI WAZIMA,, SIO KWAMBA NASEMA HUYO MSICHANA HUWA UNALALA NAYE KITANDA KIMOJA WALA SISEMI KUWA HUWA HULALI NAYE KITANDA KIMOJA, ila ukweli ni kwamba kama huwa analala kwenye kitanda chake basi angeiona hiyo SAHANI YA SILVER chini Ya mto wa kitanda chake...
wako mama kipenzi.

USIFANYE MCHEZO NA MHENGA,,, WANA AKILI NYINGI SANA HAWA WATU.

Fahari ya vijana ni nguvu zao, Na uzuri wa wazee ni kichwa chenye mvi.
😁😁😁

USISAHAU KUSHARE.
   

SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MSHANGAZI EPISODE 1

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MIMBA YA BESTMAN 13

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MIMBA YA BESTMAN 10

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

YAMENIKUTA

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MIMBA YA BESTMAN 9

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

JINSI YA KUTUNZA UKE

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

PART 5 MY HEART

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MY HEART 03--04

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

*MY HEART* *1---2 *

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MIMBA YA BESTMAN 7

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

ANIPHA 6--7.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MIMBA YA BESTMAN 05

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

side chick episode 3

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

SIDE CHICK EPisode 2

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 18

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 17

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 16

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 8

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 1

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

RATIFA Sehemu ya 32

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

JINA LANGU SHAMSA EP3

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

JINA LANGU SHAMSA EP2

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

JINA LANGU SHAMSA EP1

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

BOYCHILD PART 3

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DRAMA OF LOVE part 4.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DRAMA OF LOVE part 3

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest