SABABU 3 KWANINI MUME WA MTU ATATAKUTAKA KINYUME NA MAUMBILE.
Umekutana na mwanaume, anakuambia kabisa kuwa ameoa, au mwanzo hakukuambia lakini baadaye ukaja kugundua kuwa ameoa. Katika mahusiano yenu anakuambia kuwa anapenda kufanya mapenzi kinyume na maumbile, anakusifia sana kuwa wewe ni mzuri, labda anakuambia hawezi kufanya na mke wake kwakua ni mshamba.
Mwingine anakuambia kuwa anataka kumuacha mke wake kwakua hawezi kuishi na mwanamke ambaye hapendi kufanya mapenzi kinyume na maumbile. Anakufanya ujisikie spesho kiasi kwamba unahisi anakupenda ndiyo maana anataka kufanya nawewe, basi jua mume wa mtu akikutaka kinyume na maumbile kuna sababu 3 tu!
1_ Anamheshimu sana mke wake hawezi kufanya naye huo upuuzi. Wanaume wengi wanajua kuwa, kama ukifanya hivi kwa muda mrefu basi mwanamke huharibika, hivyo wanaona aibu kufanya na mwanamke wanayemheshimu, Mama wa watoto wao na mara nyingi huona ni bora kufanya na Malaya ambaye kesho unamuacha unarudi kwa familia yako, hivyo ukiona kaja kwako basi inawezekana wewe kashakuona malaya!
2 _Ameshamharibu mke wake na kashamchoka anataka kumuacha. Kuna wale walishakua mateja, labda alimdanganya mke wake kuwa hawezi kufurahia tendo la ndoa kabisa, mwingine walianza tu pamoja kwa wote kupenda, lakini baada ya miaka miwili mitatu ya ndoa mke huharibika, ladha hupotea hivyo kulazimika kutafuta mchepuko nao akiuharibu anahamia kwingine.
3_ Mke wake kashamkatalia na hataki kusikia hayo mambo. Hawa nao wanakua mateja, anafikia hatua aibu inaondoka anamuambia mke wake, lakini kwakua mwanamke ana akili anamkatalia hivyo kulazimika kuchepuka kwaajili hiyo. Mara nyingi wanakua na ahadi nyingi na kujifanya kuwa watachana na wake zoa ila wanajua kuwa utaharibika muda si mrefu hivyo watakuacha hawatataka mambo ya ndoa hawa!
DADA MAUSIA YANGU YACHUKU UTASAIDIKA.
Kufanya Mapenzi Kinyume na Maumbile; Asilimia tisini ya wanaume wanaofanya mapenzi kinyume na maumbile ukiwauliza unaweza kufanya na mkeo wanakuambia hapana,🥲
wanakuambia kabisa hawawezi kuoa mwanamke ambaye anafanya hivyo. Wanaume wengi wanaopenda kufanya mapenzi kinyume na maumbile hufanya kwa malaya wanaojiuza, michepuko au kama hawajaoa basi mademu zao ambao wanajua napiga na kuacha! Hii ni kwasababu wanajua madhara yake lakini wanaona kama ni umalaya kufanya hivyo.
Wanaume hawa huona kua mwanamke anayefanyiwa hivyo hapaswi kuwa Mama hivyo wanaona ni bora kufanya na michepuko. Ukiona boyfriend wako anakuambia mfanye hivyo basi jua kua wewe ni demu wake tu ambaye anajua kua atakuacha, anao wengi wa namna hiyo. Lakini kama ni mume wako basi jua ashakua addicted kiasi kwamba hawezi kujizuia, kwamba hasisimkwi tena akifanya mapenzi kwa njia ya kawaida na tuseme ni mgonjwa. Hivyo unapokubali kubalia kama demu lakini si mke mtarajiwa.
Binafsi hata mimi mtu akiniomba ushauri namuambia acha kuoa mwanamke kama huyo atakusumbua. Lakini kufanya ni jambo moja, jambo gumu zaidi ni kwa mwanaume kuoa mwanamke ambaye ashafanyiwa hivyo na wanaume wengine, aisee kwa mwanaume ambaye hajawahi fanya ni ngumu sana kuoa, mbali na kumuona mwanamke kama Malaya aliyekubuhu lakini wanaume huona kama hata kama akisema kaacha basi atakua anadanganya kwani hawezi kujizuia.
Kwahiyo Dada yangu kamwe usijekumuambia mume wako kua ulishawahi kufanya mapenzi kinyume na maumbile hata kama ni kwa utani. Hata kama mwanaume anakuambia yeye anapenda na kazoea, ndugu yangu labda kama nawewe una enjoy ushakua mgonjwa, lakini kama ni ili kumridhisha na kuoneysha kua wewe mjanja basi atakuacha. Hata kama yeye anafanya huko nnje, hawezi kufurahia kujua kua mkewe naye alikua nafanyiwa huo ufirauni na mtu mwingine, kufa na dhambi yako si ujanja kufanyiwa hivyo!
NB: Kwa wale ambao mnajishaua “Mimi nampa kila kitu” poleni mimi sipo nimefundisha atakae sikia na asikie🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏Nawapenda sana wanafunzi wangu natamani mfanikiwe zaidi katika ndoa zenu na maisha yako ya kila siku ukawe na heri bila kua namajuto kwa maamuzi yako.
Kumbuka kua hakuna kitu kinachoweza kumaliza tamaa za mwanaume au kinachoweza kumfanya mwanaume atulie kwako nakua muaminifu zaidi ya MUNGU TU.
KARIBU TUJIFUNZE MENGI ZAIDI KULEEE WASP
0769228130.