Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  artist

NIPE YOTE DADY💞💞💞 SEHEMU YA 18~~20

5th Jun, 2025 Views 96

NIPE YOTE DADY💞💞💞

SEHEMU YA 18~~20
Nilikula nikamaliza nikachukua simu yangu nikamtafuta Selim nikamwambia "ukiandika
talaka tafadhali andika tatu ikiwezekana
niongezee moja ya ziada "

Muda huo Selim hakuwepo ndani nahisi alitoka wakati niko jikoni..baada ya kumtumia ujumbe nilielekea chumbani moja kwa moja nikaanza kupanga nguo zangu vizuri

kisha nikaoga na kuvaa nguo nzuri nikajiremba na
unyunyu kwa mbali alafu nikakaa tayari
kusubiri talaka zangu😍😍.

Mda ulienda hadi inafika saa mbili usiku Selim
hajarudi mmhh hata ile sms pia hakuijibu duh sasa mbona kachelewa hivi😔😔

hebu acha niende nikachukue kinywaji pia nimuangalie mama mkwe wangu kichomi usikute kafa huko namimi sijui🙄🙄

Niliinuka kitandani nikaelekea mlangoni ile nafungua tu mlango nikakutana na Aunt suna
hata kabla sijamsalimia akanikumbatia na
kunikambia😍😍.

"katika siku ulizowahi kunifurahisha ni leo aise
ungemtengua hata mgongo maana anataka
kukufanya zoba " nilishangaa yani badala ya
kugombezwa napongezwa"

basi nikajichekesha pale ila nilikuwa nawaza naandaliwa bomu nini maana kwa kitu nilichofanya na hizi pongezi
haviendani kabisa..

Basi nikatoka na kwenda jikon nikakuta mama mkwe hayupo nilimimina juice mara akaja SAUDA
(msichana wa kazi) akaanza na yeye kunipa
hongera na kusema kuwa alinisikia nikimpiga ila akajifanya hasikii maana hakutaka kuja kumsaidia...

Nilibaki najisemea kweli mama mkwe ni kichomi mpaka watu wote wamemchoka, yuko wapi saiz?? Sauda akasema yuko chumbani ndo nimetoka kumkanda.

Nilicheka na kurudi chumbani kwangu, nikamsubirie simba wangu aje na talaka zake nirudi kwetu😑😑uzuri baba mkwe kumbe alisafiri kwa hiyo mama alivyokuwa ananiambia nipike sijui hiki mara kile likuwa ni kunichosha tu.

Nilikaa hadi saa tatu Selim hajarudi Aunt
Suna akaja kuniita nikaenda sebleni nakuta
wameagiza piza na kuku wa kfc.
Aunt akasema "binti yangu kaa hapo
tusherekee ushindi wa mtu aliejifanya simba
jike leo kavunjwa nyonga na swala "

Nilishindwa kujizuia nikabaki nacheka yani
kumpiga wifi yake ndio anaagiza hadi piza
kweli kama ni hivi nipewe kazi ya kumbonda
kila siku tafadhali.

Bila kugoma nikakunja miguu tukaanza kula
kwa raha zetu kwambaali tunaburudishwa na
mziki mwanana.

Basi bwana tulikula na kusaza kile
nilichopika tukaweka kwenye friji pamoja
na hiki kilichobaki.

Baada ya kushiba tukakaa na kuangalia
movies yani watu walikuwa na amani utafikili
kunamtu kapandishwa cheo kumbe ni
kukunjwa kwa mtu😂

Tulikaa seblen hadi saa tano muda wote naangalia saa mbona minuno wangu harudi😌 basi kufikia saa sita kasoro Selim alirudi nyumbani
alikuja akiwa amekasirika sana😌alitupita bila kutusemesha akaelekea chumbani..

Niliinuka nikawaaga kina aunt namimi nikaelekea chumbani fasta😩😩nilimkuta selim amekaa tu kwenye kochi huku kainamisha kichwa..alionekana mwenye mawazo mengi sana..

Nilimfuata nikamuita honey uko sawa kweli??aliinua uso na kuniangalia kisha akaniambia Norah kwanini unaniona mjinga kama Jeni anavyoniona mjinga??kwanini mnanifanya mimi kama mtu asie jielewa why🥹🥹??

Toba😑😑mbona Jeni na sio mama?. Huyu itakuwa katoka kwa Jeni huyu..anaonekana kavurugwa sana 😢 sitakiwi kumuongezea mawazo mengine acha nijaribu kumuondoa kwenye hiyo hali kwanza..

"niliwaza hivo kisha nikamtizama selim niliketi pembeni yake nikamwambia wewe sio mjinga Selim, wewe ni kijana mwelevu mwenye kujituma na kusimamia vyema kile unachokifanya"

"Selim aliniambia siyo kweli najua unanidanyanga ili niweze kujisikia vizuri ila ukweli mimi ni mjinga tena mpumbavu sana🥹🥹🥹"

"Nilimshika selim mkono nikamwambia mimi nikikuangalia sikuoni hivyo wewe kwenye macho yangu unaonekana bonge moja la mwanaume ambae kila mwanamke anatamani kuwa nae"

"Selim aliniambia sizani kama kila mwanamke anatamani niwe mume wake ikiwemo wewe hapo Norah 🥹"

"Nilimwangalia sana selim maskini mimi ni mke wake na yeye ni jukumu langu hata kama bado hatujawa pamoja kimwili ila tayari tushafunga ndoa sisi"

"Nilimwambia selim huwezi kuwa wa kila mtu unapaswa kumchagua mmoja unaempenda wewe ili uwe nae alafu pia tambua kuwa mimi sikuchukii.."

"Norah please acha kunidanganya we niambie tu ukweli🥹🥹nikweli mimi ni mjinga ndio maana nashindwa hata kuamua mambo yangu mwenyewe"

"Nipo kama kivuli tu maisha yangu yanashikiliwa na wazazi wangu wao wamegeuka na kuwa kama remote kwangu wananicontrol vile wanavotaka wao hivi mimi ni mwanaume wa aina gani sasa?"

Yani selim huko alikotoka sijui kakumbwa na nini mimi nilijua akifika atachochewa moto na mama yake ataniandikia talaka haraka na kunirudisha kwetu lakini kaja tofauti na nilivotarajia..

Nilijua tu huyu mwanaume itakuwa ametoka kwa Jeni na huko kwa Jeni itakuwa kawashiwa moto ndo maana akili yake imevurugika kiasi hiki..kinachomsumbua ni mapnzi na si kitu kingine..

Nilimuuliza tu kwa upole Jeni ndo kakuvuruga??anatamani ufuate kile anachokitaka uache kufuata kile anachokitaka baba yako siyo??selim wewe ni mtoto wa kiume hebu jisimamie kaa chini wewe kama wewe jiangalie nikitu gani unachokitaka kipambanie hichohicho..

Alafu huu ujinga hata mimi natamani ufike mwisho hebu jisimamie wewe ni mtoto wa kiume linapokuja swala la mapnzi zisimamie hisia zako na si kufuata kile unachopangiwa na wazazi wako..

kama unamtaka jeni weka wazi kwa familia yako kisha mimi unipe talaka niondoke mbona unashindwa kuwa na msimamo wewe??

Selim aliniambia naelewa Norah ndio maana nimetangulia kukwambia mimi ni mjinga sijui hata niamue lipi najua mimi ni mjinga ila nakuomba plz endelea kunivumilia..

Nilikaa kimya kwa mda kisha nikamwambia"
Selim nikikuita mjinga nitakuwa najitukana
mwenyewe acha tu niendelee kukuvumilia..

Mimi na wewe tuliunganishwa na wazazi wetu bado tuna muda wa kuzipambania hisia zetu acha tuendelee kuvumiliana

Ikitokea tukapendana na kuridhiana ni sawaa ikitokea pia tukaona hatuwezi kuwa pamoja tutaachana kila mmoja atamfuata yule anaeona ni sahihi kwake..

Kama ukiona jeni ndio sahihi kwako mimi sitokuwa na neno juu ya hilo nitaziheshimu hisia zako na nitamwachia jeni nafasi ya kuwa nawewe..

Selim alinikumbatia akaniambia asante Norah kwa kunipa moyo hakika maneno yako yamenipa nguvu mpya💞💞nilimwambia usijali selim mimi nitakuwa upande wako siku zote mpaka pale utakapoamua uamuzi wako mwenyewe bila kuingiliwa na familia yako..

Kwa mara ya kwanza selim alitabasamu 🥹 nilifurahi sana kuliona tabasamu lake🥹❤️❤️nilitabasamu pia kisha nikamwambia Selim kabla ya yote mimi na mama yako tumetoka kupigana

kwahiyo ni bora nikwambie mwenyewe kabla hujasikia kutoka kwa mtu mwingine..nilimwelezea selim kila kitu kuhusu ugomvi wetu ulivokuwa selim aliniuliza vipi hujaumia??

Nilishangaa😳😳nikawa ni kama sijamsikia vizuri nikamuuliza unasema??nakuuliza hajakuumiza?? Hapana mimi ndo nimemuumiza nasikia katoka kukandwa huko..

Selim alitabasamu na kujibu nashukuru kama uko salama kuhusu mama yangu ukipata nafasi mpige tena ila usimuue tafadhali..

Nyieee🤣🤣🤣ilibidi nimnuse selim mdomoni hajanywa kitu kweli?? Mbona leo kasimama kiume nilitarajia talaka nginja nginja ndo kwanza naulizwa kama niko salama hahahaaa🤣🤣

Itaendeleaaaaaa

Full 1000

WhatsApp 0742133100.
   

SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


mjukuu rewards 100 Comments 0
 

YAMENIKUTA

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MIMBA YA BESTMAN 9

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

JINSI YA KUTUNZA UKE

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

PART 5 MY HEART

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MY HEART 03--04

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

*MY HEART* *1---2 *

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MIMBA YA BESTMAN 7

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

ANIPHA 6--7.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MIMBA YA BESTMAN 05

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

side chick episode 3

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

SIDE CHICK EPisode 2

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 18

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 17

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 16

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 8

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 1

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

RATIFA Sehemu ya 32

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

JINA LANGU SHAMSA EP3

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

JINA LANGU SHAMSA EP2

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

JINA LANGU SHAMSA EP1

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

BOYCHILD PART 3

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DRAMA OF LOVE part 4.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DRAMA OF LOVE part 3

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NJERI part 29

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest