Tukisema Manchester United imekosa mvuto sokoni me nakukatalia mchana kweupe Bryan Mbeumo huyoo kakubali Kujiunga na Manchester United hataki kusikia kilabu chochote kinamfatilia Zaidi ya Manchester United 😀 .
Amevikataa vilabu Kama Arsenal, Newcastle na Spurs sasa hadi Arsenal haina mvuto sokoni hapana Muda mwingine ni Mapenzi tu mchezaji mwenyewe na target zake wala siyo pesa au mafanikio🥴 .
Mbeumo huyooo msimu ujao maji mtaita mma dadeki zenu 😁🙌.