Gen Z methali zimeanza kuwa nyingi sasa.. Ebu tuandike notes sasa
7th Jun, 2025 Views 5
Hizi Gen Z methali zimeanza kuwa nyingi sasa.. Ebu tuandike notes sasa
1. Chelewa chelewa utapata ushagongewa.. 2. Aliye juu mfuate huko
3. Samaki mkunje, atoshee kwa sufuria... Ongeza yako..