😳 "Siwezi kuji0gesha mwenyewe hivyo nimemuajiri mtu wa kuni0gesha kwa mwezi ninamlipa shilingi milioni 20" - amesema Aisha Feruzy, socialite wa Kibongo
Awali, mrembo huyo alieleza yafuatayo
"Asili yangu mimi ni mtu wa Singida lakini sijawahi kufika huko kwasababu hakuna uwanja wa ndege(airport), siwezi kupanda basi kama ch0mbo cha usafiri sababu nitaambukizwa mag0njwa, kiufupi mimi sijawahi kwenda mikoani, nimezaliwa hapahapa Dar es salaam" - alijitapa kimwana huyo.