Mwalimu kauliza swali darasani wanafunzi wataje kazi za wazazi wao:
Tina : Mimi baba yangu mfanyabiashara mama yangu mwalimu.
Mwalimu : Safi, haya Juma
Juma : Baba yangu dereva mama yangu hafanyi kazi.
Mwalimu : Vizuri, haya Zogo
Zogo: Mimi mama yangu malaya anajiuza baba simjui.
Mwalimu : Pumbavu wewe, nenda ofisini kwa mwalimu mkuu ukamueleze upuuzi wote uliosema hapa.
Zogo anaenda ofisini anarudi huku anatabasamu na anakula biskuti.
Mwalimu : Mwalimu mkuu kakupa adhabu gani?
Zogo: Kaniambia nimpe namba ya mama…
😂
😂😂😂😂.