🆕️ Taarifa za awali zinaarifu yakuwa klabu ya Azam FC iko njiani kuanza ujenzi wa uwanja mpya wa kimataifa ambao utakuwa unatazamana na bahari ya hindi wenye uwezo wa kuchukua mashabiki 25000. Maeneo yanayotajwa mpaka sasa ni Kijichi na Kigamboni ndipo ambapo uwanja huo unakwenda kujengwa. Hii itakuwa timu ya kwanza Afrika Mashariki na kati kuwa na uwanja baharini.
BIG MOVE?
@alilkhalid8 @alikhalid_sports
#bullasreports.