💕😁💖DRAMA OF LOVE💖😁.
part 17
Kumbe sijui maneno matamu ya mapenzi🙆, sijui kabisa mm, kumchanganya mtoto wa mtu kwa maneno ili anipende kumbe sijui🙆. Kweli usione jua la asubuhi ukadhania halichomi🙏, ikifika mchana utashangaa, kamau alirushia Njeri mishale ya maneno hadi nikajiona sijui chochote kwa mapenzi😱😱.
Nani alitarajia hayo🤔, nan alitarajia kamau anaweza geuza akili za Njeri 🤔, anyway ilibidi nikanyage kando ndo wapate nafasi nzuri na murwa ya kuongea ❣️❣️. Nilitamani nisiangalie nyuma lakn shingo likateta, kutazama nilipowaacha bado wameshikana mikono🤩🤩.
Hakuna mtu aliyefurahia kama Brianna 💖, hakuwacha kuwarushia jicho kila mara🤩. Kamau ni kama alikuwa na bahati ya mtende, hakuna mwalimu aliyekanyaga darasani, ilionekana walikuwa kwa meeting baada ya mgeni kuwasili🙏🙏. Nje walikubaliana?? Walipendana?? Tutoke hapo🙌🙌.
Brianna: I'm very sure this is a joke Beb, kamau and Njeri on the same sentence??
Me: Wewe hujaila pilipili wala kuionja, mbna inakuwasha sasa😂😂. Kam nje tuongee kidogo💖.
HELLEN: Love love love, morning, love, afternoon, love, now it's evening bado ni Love 😪😪. Kwan mnadhani sisi hatuna ma boyfriend 😪.
BRIANNA: sky you have to be careful with this soul😂😂. Mbna inamuuma ivo, wee ama umemcrushia boy wangu🙄.
ME: Who said that? Brianna chunga huo mdomo wako🙄. She's our class rep🙏🙏.
HELLEN: Na sasa kuwa na crush kwa msee ni mbaya😂😂. Oyah sky mbna hukukamia hizo bidhaa😱😱.
Me: Utanipa usiku kwa preps sawa??
BRIANNA: 🤔🤔🤔
HELLEN: Okay take care❣️. (Akimwangalia BRIANNA kwa dharau)
What is this that Hellen is insisting me to read?? Anyway mbna niandikie mate wakati wino upo, preps hazikuwa far❣️.
BRIANNA: Mbna uliniita😪😪?
Me: I hope hujakasirika juu ya Hellen??
HER: Why should I get angry for someone who doesn't beat me in everything, bora isiwe venye nafikiria😪. Mara hii nanyonga tu mtu walahi🙄
Me: Waah wewe ungekuwa radio ningetoa mawe ndo inyamaze😂😂. Mbna umekunja uso lakn, kuja haapaa🤩🤩.
Nilikavuta kakanilalia kifuani then nikamsukuma uko💖.
ME: Ujuwe kesi bado haijaisha Brianna,, mara hii tusijiconfuse please 🙏🙏. Unajuwa venye mathe alisema😭.
HER: Hapo hakuna cha kuogopa dude✌️💪. We'll just say the truth, am sure hawezi tupatia suspension koz bado anakumbuka maneno ya OCS ✌️.
Me: OCS ule siz wa njeri mwenye alinisaidia kunitoa kwa ngori baada ya wale niliowaamini kunikimbia😭😭.
BRIANNA: aki usianze tena please 🙆🙆. Haven't we talked about it already??
ME: Anyway (staring at her 🍑👁️👁️) WOW 😋 hiyo chest 👅👄.
Brianna: 🙈🙈twende class wacha ufisi na ulishindwa 😂😂.
ME: Nilishindwa wap🙄🙄.
HER: Ile tym ulikam home,, yani umepewa mali safi ukague unashindwa🙈🙈.
ME: 😂 ilikuwa tufike hapo kweli🙈. Si dadako alitupata ndo nikawacha❣️.
HER: hahaa so sahi nikikupa unaweza kagua, ebu cheky🍑🍑,(she opened her bra 😱😱) si usonge hata uguze sky. ooh❣️❣️.
Me: Ngài, mbele ya wasee beb??
HER: akh! Sasa muone Wasee wako wap na tuko nyuma ya daro, mamode wako meeting, kam bana naungua🍑🍆.
Me: Waaah Brianna please,, sitaki sahi🙈🙈.
HER: Hutaki na mbna hapo mbele trouser imenini😱.
ME: Wewe tu ak🙈, twende daro 🙈.
HER: 😂😂😂wewe hata sidhani kama una nguvu za kiume😂.
ME: whaaat😱😱. Brianna unaweza niambia ivo surely 😭😭.
Kufika kwa mlango wa class kumbe madam Stacy aliingia kitambo😲😲. Tuliingia Brianna akakaa, before mm kuketi....
Madam: SKY ebu rudi huku mbele haraka😪😪. Mbna unaingia kama umepocket kwa trouser, hiyo ni tabia gani😪. Toa mkono kwa mfuko na usimame straight Kama mwanafunzi🙏🙏.
Hehee madam hakuwa anajuwa nilichokuwa nmefanyiwa na sistake 😭. Wanaume wanajuwa kwann nilikuwa nmepocket😭👉🍆😭😭. Ingawa niliamua kutoa mkono tu🙆.
MADAM: Nimesema simama straight 😲😲. Woih weee kwan umeficha nini kwa trouser kijana😭. Ebu toa
Wanafunzi wote isipokuwa Njeri wakapasuka kwa kicheko😭.
MADAM Stacy: Ngài ak huyu mtoto,,, kwan mmetoka wap na Brianna?? Wewe kuja hapa😪.(Mtoto akaamka) Mmnetoka wap na Sky??
BRIANNA: Hatujatoka pamoja, mm nmetoka Loo🙏🙏😱.
Madam: Enda mketi but lesson ikiisha mnifwate😭.
Lesson kuishia alikuwa ameshasahau😂😂. Lakn mbna Njeri hakufurahia🤔🤔. Ina maana hawakukubaliana na KAMAU ama?🤔?
KIDOGO kengele ya kutoka nje ikapigwa💪💪😂. "Siih kamau, ebu njoo kidogo" nilimuita after kila mtu alitoka nje🙏.
Me: Kuliendaje man,,, niliacha kama umefanya mtoto karibu alie💪💪.
HIM: Bado Nina kazi bro,, imgn alikataa kabisa, but akasema we can be best friends 🙏🙏. Bado anainsist tu et huenda wewe ukakasirika ju hujamshow chochote kuonyesha mmeachana, so alidhani huenda tunampima🙆🙆.
"Usikuwe na wasiwasi bana,, mm na BRIANNA nimejaribu nikaona bado kananimind🙏🙏, we'll make sure hawa watu wamekuwa marafiki, then BRIANNA amalizie hiyo game sawa💪💪" nilimshow❣️.
Kidogo Nancy akafika na kitabu akiomba tumsaidie❣️.
ME: Mbna unasema " please" sisi wote ni wasomi, lazma tusaidiane kwa chochote💖. Umekwama wap??
Nancy: Hii kitu mm hunichanganya ak,,, nmekam tu mniangalilie kama niko correct🙏.
KAMAU: Hapa ulikuwa umeanza vizuri but (thinking 🤔🤔) hii 36 uliitoa wap?? Juu (🤔🤔) I think jibu ni 11 sio 36 dear..
ME: 😱😱, umeipata aje bro,,,
Kamau alikuwa ameivia hesabu already❣️. Aliicalculate hadi pia nikatii, Nancy alishukuru sana ❣️.
ME: You don't have to do that Nancy.. we're like your brothers,, be free to ask us anything 🙏🙏❣️.
Nancy: Anything??
Me: yes anything ❣️❣️.
HER: Sky is it good for someone to fall in love with a person who is 30years older than her 😭😭😭. Is it good for her to go ahead and sleep with him, either willingly or forced😭.
Nancy alipomaliza tu kuongea, machozi yakamtoka😱😱.
HER: Ama wacha tu😭😭. Sorry for telling you please 😭. Bye bye 😭😱😱.
KAMAU: Bro, this girl is undergoing depression 😭😭, please save her life the way you saved mine😭. It seems she's being mistreated by the person she's living with 😭. Harakisha before it's too late man😭. Oh my God, look, she's still crying 😭😭😭.
Nilimuendea na kuketi kando yake😱😱.
ME: My dear, crying will not change anything, but sharing can change everything. You seem to be so stressed Nancy, what is the matter??
HER: My uncle 😭😭😭. (Nancy alijikuta analia kwa sauti😭)
Hadi mm nikashindwa kuongea😭😭. Nilitoa tu handkerchief yangu na kuanza kumpanguza machozi😭.
Me: Cry no more Nancy,, it's enough 😭😭. Look, you have to share everything with me,, a problem shared is a problem is half solved dear,, (bado nampanguza machozi)
Nancy: Sky why am I going through all these, why??😭😭, just because I don't have parents ??
Niliona huo sio wakati poa wa kuongea naye, koz nilishinda nikimpanguza machozi hadi Briannaakatupata😱.
HER: Whaaat,, wewe malaya? Unafanya nini na bwanangu😪😪. Eeh leo utanijuwa😱😱(akamrukia but nikamtoanisha)
ME: Hey Beb please,, you don't know what she's going through 😭. Wacha kupayukapayuka hapa Ngoja uelewe story kwanza😭.
BRIANNA: Unaona venye umefanya nitusiwe,, wee Malaya, unalilia nani sasa, mbna unalia kama yatima, nakuuliza wewe mjinga😪
Nilijikuta nmemwekelea Brianna kofi😭😭😭.
Hellen: Ngai 😱😱😱 sky??
BRIANNA: ...........
To be continued.....
Part 18 usikose ak❣️❣️❣️. Make sure umelike🙏🙏.