Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  artist

NIPE YOTE DADY💞💞💞 SEHEMU YA 16~17

4th Jun, 2025 Views 22

NIPE YOTE DADY💞💞💞

SEHEMU YA 16~17
Baba yangu alitoa amri kuwa nijiandae tuondoke alichukizwa sana na lile tukio Selim alivosikia habari za kuondoka alichanganyikiwa..

Ikabidi aanze kuomba msamaha ila baba alikuwa
kakasirika mno hakutaka hata kumuona selim mbele yake😰😰

Kila mtu ilibidi aanze kujieleza kule ndani baada ya mama Selim kujieleza na baba kutokuelewa baba Selim na Selim waliungana na kumuomba baba msamaha walimbembeleza mwisho akakubali.

Alitoa onyo kwa selim na kumwambia iwe mwisho kuninyanyulia mkono kama ndoa imeshindikana anirudishe nyumbani sio kunipiga..

Baada ya hapo baba hakutaka maongezi mengine aliondoka bila hata kusema ni kipi kilichomleta katika ile familia hakika alichukizwa sana..

Baada ya baba kuondoka kesi ikabaki kwa Selim na
mama yake aisee Baba selim aliongea kamavile
hatoongea tena selim alifokewa kama mtoto ugomvi ulikuwa mkubwa mpaka mzee akasusa kula na kuondoka..

Selim alivoona baba yake kaondoka nae akasusa akasepa Mama yake nae akaunga,mimi na aunt tulikaa mezani tukala nilipomaliza niliinuka haraka na kwenda chumbani..

nilipofika huko nilimkuta selim kajilaza kwenye kochi kama kawaida yake..nilipanda kitandani nikajifunika kisha nikaanza kulia😭😭😭nililia mno hiyo siku😭😭

Nililia hadi kwi kwi selim uvumilivu ulimshinda aliamka na kuja kitandani akalala na
kunishika mgongoni kisha akaniambia "

"nisamehe nilikuwa na hasira sana wala
sikukusudia kukupiga " sikutaka kuongea chochote aliomba msamaha hadi akachoka na kulala pale pale pembeni yangu🙈..

Nyiee🙈🙈et akanikumbatia kabisa na kunisogelea zero distance 🙈🙈basi namimi nikatulia tuli🙈🙈tukalala mpaka asubuhi

Kulipokucha tu mimi ndo nilikuwa wa kwanza kuamka nikakimbilia bafuni😁😁nilifungulia maji kisha nikakaa pembeni nikawa nawaza usiku mzima selim alivolala pembeni yangu😌😌

Basi mawazo yalienda mbali nikasahau kabisa habari za kuoga😁😁lisaa lizima lilikata maji yanamwagika tu mimi niko pembeni..

Selim aliendelea kulala akawa anasubiri nitoke bafuni akashangaa mbona sitoki lisaa la pili lilikuwa linaenda kuisha😌😌ilibidi aje kunigongea kwani nilisikia?. Nilikuwa nawaza vitu vingi kiasi kwamba hata ukisimama mbele ya macho yangu naweza nikakwangalia lakini nisikuone😁

Selim aliita weee akachoka akaamua kusukuma mlango na kuingia kule bafuni huku akiwa na presha za kufa mtu..sijui alijua nimejiua??

Aliingia akanikuta niko zangu pembeni tu nawaza hata kuoga sijaoga😌😌alinisogelea akanigusa begani akaniuliza shida nini??

Wala sikumjibu nilianza tena kulia😭😭akakazana kunibembeleza huku akiomba msamaha nikamwambia "Selim nimechoka na haya maisha natamani tu unirudishe kwetu😭😭

please naomba tu uniache niende kwetu" masikini alinikumbatia🙈🙈akawa anashindwa hata cha kuongea 🙈🙈aliniangalia kwa muda akaniambia "Noraha naelewa kwamba hunipendi ila tambua familia zetu ndo zilitaka hivi sisi hatuna budi Norah naomba tu ubaki namimi please.."

"Selim siwezi mimi nimechoka siwezi kuendelea kubaki hapa😭😭hunipendi mama yako hanipendi ndo maana mnashirikiana kunipga mtakuja kuni ua siku moja😭😭"

Nisamehe Norah najua unaongea hivi kwasababu nilikupga jana please niambie nifanye nini ili unisamehe🥹🥹

"Nataka uniache niende mbali nawewe ukifanya hivo kweli nitakusamehe🥹🥹selim alipiga goti akaniambia No siwezi kukuacha Norah siwezi"

"kwann?" aliniangalia kwa mda kisha akataka
kujibu akasita baada ya kusikia sauti ya baba
yake ikimuita aliniinua tukatoka mle bafuni
akaniacha chumbani na kwenda kumsikiliza baba yake...

Alitaka kuniambia kitu gani?. Alafu mbona hataki kuniacha niondoke?? Au selim ananipenda???Nilibaki nikijiuliza maswali mimi mwenyewe😑

Selim na baba yake sijui waliongea nini ila Selim alirudi chumbani akiwa amepoa sana nikaona nimuache nisimletee drama nitaendelea kumuumiza😰😰

Basi aliingia bafuni na kwenda kuoga alimaliza akatoka nikamfuata nikamuuliza unataka
kula nini nikakuletee akanambia kuwa hataki
kitu nilimhurumia maana usiku wa jana alilala njaa nilimwambia please niambie unachojisikia kula..

Alibaki ananiangalia tu🙄🙄nilimpapasa usoni kidogo nikamwambia basi acha mi nikakuletee chochote..nilitoka mpaka jikoni nikaandaa chakula cha selim kisha nikampelekea chumbani..

Alikula akamaliza akaniambia asante Norah..siku hiyo selim hakutoka kwenda sehemu yoyote
zaidi alikuwa chumbani tu na kazi zake alizifanyia
nyumbani..

Zilipita wiki mbili tukiwa na amani selim alibadilika sana namimi nikakaa kama mke mwema sikutaka kuleta fujo wala drama zozote..

Siku moja mchana tulikuwa wote chumbani mimi na Selim..Selim alianza kulalamika njaa nikamuuliza unajisikia kula nini nikakupikie?.

Bado mimi na Selim tulikuwa hatujaanza kuishi kama wanandoa lakini amani ilikuwepo tulikuwa na masikilizano ya amani sana..

Selim aliniambia chakula anachotamani kula nikatoka mpaka jikoni nikaenda kuandaa nilipika vizuri wakati napakua kwenye hotpot mara mama mkwe akaja pale jikoni..

Ni harufu ya nini hiyo aliuliza akiwa ameshika kiuno alisogea na kuangalia akaniuliza..
"umepika nini hiki"
Nikamjibu kuwa nimepika lost ya maini na wali
wamaua...

Kabla hata sijamaliza kujibu nikashangaa mama anakimwaga kile chakula chote😳😳aiseee nilipatwa na hasira mpaka nikawa natetemeka..Ivi mnajua kwa hiko kipindi mimi na Selim ni kama tulishaanza kupendana fulani hivi..

Hata hiko chakula my wenu nilijipinda kukipika vizuri ili nimfrahishe selim sasa why mama akimwage chakula changu lakini😭😭

Nilimuuliza "mama unamaana gani kumwaga
chakula hiki chakula nimempikia mme wangu"
"Mama aliniambia nilikwambia hii sio nyumba ya baba yako kwamba unajiamlia tu nini ufanye nini upike hapa sio kwenu😨😨"

"Kama ni chakula ulitakiwa ufuate ratiba ya leo inasema nini ratiba inasema tambi nyama wewe unaenda kupika huu ujinga wako nani alokupa ruhusa?"
"Lakini mama mimi nimepika cha mume wangu tu na mwanao ndio kaniomba nimpikie hivo lakini kwanini umenifanyia hivi mama😭😭"

"mwanangu tangu lini akala maini toka nimemzaa selim amekuwa akiyachukia maini
inakuwaje leo akutume umpikie?.."
"swala la kutokula maini silijui ila mimi
nimefanya kama alivyotaka basi🥹🥹"

"Nasra nakujua vizuri na ninajua ni namna
gani mama yako kawalea vibaya acha tu leo kwambie Nasra hutakaa uishi kwaamani kwenye hii nyumba lbda niwe nimekufa"

Aisee Mama selim aliamua kunionyesha wazi ni kwa namna gani anavonichukia💔💔niliishiwa nguvu😭😭hata kale kaupendo nilikoanza kuwa nako moyoni juu ya selim nilikaondoa..

Niliona kabisa kwenye hii nyumba sitokaa nikubalike bora niishi tu kama Norah na niwe tyr kuondoka hapa muda na wakati wowote..

Baada ya yote hayo nilianza kupiga hatua mdogo mdogo nikawa naondoka kule jikoni💔💔moyo wangu ulikuwa umegawanyika vipande sielewi nini nachotakiwa kukifanya...

Wakati naondoka mama alinistopisha na
kusema "Unaenda wapi rudi hapa upike "Dah nyieee sikutaka ubishi nikarudi na kumuuliza "sawa mama unataka nipike chakula gani "

"kwani haujui kusoma " nilijibu sawa kisha
nikatoa nyama kwenye friji nikakaa kusubiri
iyeyuke ili nianze kupika wakati nasubiri mama aliniita akanambia " kuna
nguo zimeanikwa nje nenda kazianue na
uzikunje "

"nilimuangalia na kumuuliza "zile
nguo walizofua wadada wakazi " alijibu ndio
nikasema sawa na kutoka nje nikaanua za
Asma wifi yangu na zakwake za baba mkwe nikaziacha"

alafu nikamwambia msichana azianue maana
niliona sio sawa mimi kushika nguo za baba
mkwe wangu wakati mke wake yupo.

Sasa kitendo cha mama kumuona msichana
akipeleka nguo za baba chumbani kwao ikawa kosa kwann aniambie mimi kitu alafu mimi
nimwambie mtu mwingine.

Alinifuata na kuanza kunitukana nilimuuliza swali moja tu "je nisawa mimi kuanua nguo za baba mkwe wangu na kupeleka chumbani kwenu ikiwa upo na hauumwi?"

Mama alichukia akaanza kufoka kwamba
namfundisha namna ya kuishi kwenye nyumba
yake nikaona anatafuta ugomvi wa lazima nikamucha na kuingia jikon na kuanza kupika.

Alisubiri nimemaliza kupika akaja kufunua vyakula
akasema baba hali vyakula vyenye sukari wala
hatumii nyama nyekundu sasa nikamuuliza
nimekuuliza mnapika nini umeniambia nisome kwenye ratiba😳😳

nimesoma ratiba nakupika sawa sawa na maelezo yaliyopo kwenye ratiba alafu saizi unakuja kusema sijui mumeo hatumii nyama nyekundu mimi ningeota??

kama sukari mbona anakunywa kwenye chai
kila siku asubuhi nyiee yalizuka mabishano pale jikoni🥹🥹mama akaniamuru nitoe kuku nipike haraka kabla baba hajarudi..

Nilijifikiria sana nikasema inafu is inafu hivi kwenye hii nyumba ninafanya nini?? Hakuna ninachofaidika nacho kwenye hii nyumba zaidi ya manyanyaso..

Niliamua kuacha kila kitu nikatoka kule jikoni mama alinizuia na kuniambia ni lazima nifanye anachotaka nifanye...

nilimwangalia nikamuuliza mama hivi ukiniangalia unaona ni kama ninaweza kuvumilia hivi vitimbwi vyako..???au kwasababu unaona nakuwa mpole basi unanichukulia kama mjinga?..

sasa sikia nikwambie kitu sipiki chochote yule
ni mume wako wewe ingia jikon pika vile
anavyopenda"

Baada ya kumwambia hivo mama nilishituliwa na bonge moja la kofi🥹🥹sikutaka hata
kumcheleweshea aisee tulianza kuzichapa kule kule jikoni😌😌

Nilimpiga yule mama hatokaa anisahau🔥🔥na siku hiyo watu ni kama walizibwa masikio huko vyumbani kwao hakuna aliesikia hata kelele za ugomvi..

Nilimkalia chini nikawa nampa kipigo huku namziba mdomo kelele zisitoke nje😩😩yani nilimpa kipondo cha mwanaukome nilivochoka nikamwachia akatoka mimi nikabaki jikoni..

Nilijua tu atakachokifanya ni kwenda kuwaelezea watu kilichotokea sasa kabla ya yote nilipakua kwanza chakula nikala ili wakija kunirudisha kwetu nirudishwe nikiwa nimeshiba..

Nilijua kabisa ule ndo mwisho wangu na selim na ule ndo mwisho wangu kwenye ile nyumba..

Je itakuwaje?? Ni kweli ndoa ya vipenzi vyetu ndo itaishia hapo?. Selim ataamua nini?.

Full 1000

WhatsApp 0742133100.
   

SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


mjukuu rewards 100 Comments 0
 

YAMENIKUTA

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MIMBA YA BESTMAN 9

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

JINSI YA KUTUNZA UKE

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

PART 5 MY HEART

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MY HEART 03--04

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

*MY HEART* *1---2 *

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MIMBA YA BESTMAN 7

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

ANIPHA 6--7.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MIMBA YA BESTMAN 05

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

side chick episode 3

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

SIDE CHICK EPisode 2

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 18

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 17

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 16

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 8

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 1

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

RATIFA Sehemu ya 32

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

JINA LANGU SHAMSA EP3

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

JINA LANGU SHAMSA EP2

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

JINA LANGU SHAMSA EP1

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

BOYCHILD PART 3

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DRAMA OF LOVE part 4.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DRAMA OF LOVE part 3

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NJERI part 29

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

LOVE Part 1

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest