Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  artist

TAMUUUUU KAMA CHOCOLATE ???????? SEHEMU YA 01

1st Jun, 2025 Views 43

TAMUUUUU KAMA CHOCOLATE ????????

SEHEMU YA 01

Nikiwa ndio mara yangu yakwanza kuingia ofisini yaani ndio nimeajiliwa tuu hakika nilikutana nawatu wakila aina pale ofisini????????????

Walikuwa kilammoja na tabia zake wasichana niwarembo haswa na wanamagari yao????????

Mimi hata baiskeli sina nilikuwa najiona waajabu wahadhi ya chini mnoo????????

Basi nilipangiwa kitengo changu cha kazi nikafunga moyo sikujali mtu nilipiga kazi bila kumtizama mtu yeyeto????????????

Walinipenda kwakuwa nilikuwa nikitumwa na mtu yeyote sijawahi kumgomea ????????

Wengine walikuwa wananipa kazi zao nawafanyia sijawai hata kuwakatalia ????????

Japo kuwa walinidharau na kuniona kama house girl ila sikujali walinituma tuma hovyo wala sikujali..

Nilikuwa naenda kwa furaha sijawahi kumnunia mtu au kumchukia mtu????????

Nikiwa kazini pale siku hiyo nilikuwa nimechoka choka nika jikuta natafuta sehem nijipumzishe

Nikaenda kukaa kwenye packing ya magari nikaegemea gari moja zuri sana lakifahari????????

Alikuja mbaba mwenye hiyo gari nimbaba wa kiarabu mrefu kidogo anamwili wa wastani anabody nzuri hivi ????????????

Alipofika akaniona akaniuliza unafanya nini hapa

Niliogopa nikamjibu samahani nilikuwa kichwa kinaniuma nikaona nipumzike hapa ????????

Akaniambia kwanini usimwambie matron wenu huko akuruhusu uende nyumbani ukapumzike

Nilimjibu sawa nitafanya hivyo ila sio tatizo kubwa sana ngoja niende ofisini ????????

Niliondoka haraka na kwenda zangu ofisini

Lakini yule baba alinitizama sana nikiondoka nabaada ya hapo aliondoka

Nikiwa ofisini alikuja mkaka mmoja akaniita na kisha akaniuliza unaitwa nani

Nilimjibu naitwa Natasha

Akaniuliza unaishi wapi

Nilimjibu naishi buguruni rozana

Akaniuliza hapa upo kitengo gani

Nikamwambia kitengo changu

Kisha akaniambia niandike namba yangu ya sim kwenye karatasi nimpe????????????

Sikuogopa kwakuwa alikuwa nikiongozi wetu hivyo nilimwandikia na nilimjiibu kila alichoniuliza

Kisha aliniruhusu niende kwenye kitengo changu

Nilifanya kazi zangu vizuri nakisha muda wakutoka ulipofika niliondoka nyumbani

Nilikuwa hivyo kila siku pale kazini nanidham na upendo sijawahi mdharau mtu

Ila wao ndio wananidharau mimi wananionaje sijui vile sijirembi nawala sijishaui

Basi bwana sikuhiyo kulikuwa na sherehe ofisini walisuka vizuri walipendeza sana wadada wakaka pia ????????

Namimi sikuhiyo nilisuka notres na kujipodoa pia nilivaa gauni nzuri ilinishika kishepu changu????????

Nilipendeza sana nilivaa kiatu kirefu na nilikuja na bajaji niliingia kama wa mwisho hivi ????

Watu wote walishindwa kunitambua kwa haraka walinisifia na kujiuliza nanihuyu ????????

Nilipendeza sana kila mtu alitaka kucheza na mimi

Wakaingia viongozi kuanzia meneja hadi mkurugenzi bodi nzima ya viongozi????????

Tuliikaribisha kisha sherehe ilianza na alisimama meneja na kutoa nasaha zake na kuelezea manufaa ya kampuni na hasara ????????

Kisha tulipongezwa kwa kuwa na manufaa makubwa baada ya hapo alikaribishwa mkurugenzi mkuu ambaye watu wengi hawakuwa wanamjua

Akasimama yule mbaba niliekuwa nimeegemea gari yake ????????????

Watu wote walishangaa na wasichana kumsifia hakika ni handsome wamaana ????????????

Alikua nimtu mzima kiasi ila anaejijali nimwarabu mwenye pesa nyingi

Aliongea hapo na kutupongeza sana kisha aliruhusu sherehe ianze watu wale chakula wanywe na kucheza mziki watu wewe????????????

Tulikula chakula watu walikunywa mivinyo nakucheza mziki sana kila mtu alikuwa na wake hahahaaa????????

Mimi nilichukua juice yangu nikawa na kunywa zangu taratibu peke yangu huku natizama muda nisichelewe nyumbani si mnajua sinaga usafiri my wenu na usiku ukiwa mwingi nitazikosa bajaji????

Nikiwa nipo mwenyewe ghafla????????alikuja kiongozi wa tim yetu???????? akaniita na kuniambia unaitwa huku naomba unifuate

Nyieeeeee????????nani huyo ananiita????????

Niliinuka na kinywaji changu nikamfuata jamaa alinipeleka kwa nyuma kunasehem imejificha sana na pia imetulia sana????????

Mama weeee mbona huku tenaaa????????kunaniiiii..

Itaendeleaaaa...

Full 1000

WhatsApp 0742133100.
   

SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MY HEART 03--04

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

*MY HEART* *1---2 *

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MIMBA YA BESTMAN 7

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

ANIPHA 6--7.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MIMBA YA BESTMAN 05

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

side chick episode 3

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

SIDE CHICK EPisode 2

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY???15

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 18

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 17

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 16

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 8

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 1

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

RATIFA Sehemu ya 32

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NAWASHWAA? Sehemu 13.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

JINA LANGU SHAMSA EP3

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

JINA LANGU SHAMSA EP2

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

JINA LANGU SHAMSA EP1

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY ???11

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

BOYCHILD PART 3

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DRAMA OF LOVE part 4.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DRAMA OF LOVE part 3

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NJERI part 29

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

LOVE Part 1

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NJERI part 28

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NAWASHWAA Sehemu nne.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NJERI part 26

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest