Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 28
Gonga94 · Stories

MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 28

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Story……………….MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 28
Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER
Whatsap………....0613083801/0748697173
Umri………………..18+

ENDELEA.........
Niliamka na kwenda kuoga na baadae nilitoka chumbani na kumkuta shemeji Nasib akiwa sebleni akitazama Tv, nilimkata jicho pasipo kuongea neno lolote lile na kuelekea jikoni, nilimkuta mfanyakazi wa ndani aliyekuwa amebeba mtoto mgogoni na alikuwa akinitazama kwa macho ya chini chini, niligundua jinsi alivyokuwa akiniangalia hivyo niliamua kumuuliza.
"Mbona unaniangalia hivyo!?"
"Hapana dada ila tu tabia ya kaka Nasib sio nzuri kabisa!" Mfanyakazi aliongea na kidogo nilishituka kwa kile alichokisema.
"Una maana gani!?"
"Nilimuona kaka Nasib alivyokuwa akiingia chumbani kwenu na kila kitu kilichokuwa kikiendelea humu chumbani nilikuwa nakisikia, ata mimi pia aliwahi kunifanyia hivyo hivyo, pole dada kwa kilichokukuta" mfanyakazi wangu aliongea, hakukuwa na siri tena mbele ya mfanyakazi wetu wa ndani kwani tayari alikuwa shahidi wa kile kilichotokea.

Nilimwambia asije kumwambia mtu yoyote kwa kile alichokiona na nilipanga kuja kuongea na Rashidi ili amwambie mdogo wake ahame na aende akajitegemee mwenyewe, Jioni ya siku hiyo Rashidi aliwahi kufika nyumbani na kunikuta nikijiandaa kwenda kazini hivyo niliamua kumwambia amwambie mdogo wake akajitegemee.
"Kwani kuna shida gani mdogo wangu akiendelee kukaa nyumbani kwangu na ukizingatia hapa ni karibu na anapofanyia kazi!?"
"Hamna shida ila tayari ameshaanza kutembea na binti wa kazi, siku akimpiga mimba tutakuja kuletewa kesi hapa ni bora haya mambo akayafanyie kwake huko"
"Duh kama ni hivyo hapo umeongea Fatuma kipenzi" Rashidi alizungumza na aliniahidi atalifanyia kazi hivyo niliamua kuondoka na kwenda kazini.

Nilifika na siku hiyo Dr David hakuwa zamu usiku zaidi ya Nasir peke yake, kulikuwa na wagonjwa wa kuwahudumia hiyo siku na nilimuhudumia mgonjwa aliyewahi kuniomba namba kipindi cha nyuma hivyo baada ya kuniona aliongea.
"Nesi uliniahidi utanipatia namba yako"
"Sasa mzee wangu namba yangu inaumhimu gani kwako mbona unaitaka sana!?" nilimuuliza maana umri wake ulikuwa umeshaanza kwenda kidogo.
"Mimi nimetokea kukupenda nesi usinione ivi mimi na mashamba ya kutosha hivyo nitaenda kuuza mashaba yote na kukupa wewe"
"Heeeh!!! makubwa kwanini usiwape watoto wako au wajukuu zako!?"
"Niwape wakati sasa ivi na karibia mwezi nimelazwa na hawaji kunitembelea, bora nikupe wewe alafu unipe nafasi ya kuyashika tu makalio yako nione kama ni original au fake"
"Haina haja ata ya kuyashika haya ni original na nimenyewe haya mzee wangu, nimezaliwa ivi ivi"
"Duh basi umejaliwa kuwa na msabwada wa maana nesi" mzee huyo aliyeonekana ni muongeaji sikutaka kuendelea kumsikiliza zaidi ya kuondoka kwenda kuendelea na kazi zangu kwani nilikuwa na kazi nyingi hiyo siku.

Nasir alijaribu kutafuta mda wa kuongea na mimi ili kunishawishi lakini sikutaka kumpa nafasi kwani nilikuwa nimeshamtoa moyoni kwa wakati huo na ukizingatia tayari nilikuwa kwenye mahusiano na Rashidi.

Usumbufu wa Nasir ulinifanya nichukie na nilijikuta nikitamani kutafta sehemu nyingine ya kazi, bahati nzuri kwangu palikucha na ulikuwa ni mda wa kurudi nyumbani, nilifika na kuwakuta Rashidi na Shemeji Nasib wakijiandaa kuondoka.
Nilisalimia nao na Shemeji Nasib alikuwa akinitazama kila mda akionesha kuna kitu anachotamani kuniambia lakini hakuwa na nafasi hiyo kutokana na uwepo wa Rashidi, Waliniaga nakuondoka hivyo nilielekea chumbani kwa ajili ya kupumzika.

Nililala na mida ya saa 5 asubuhi niliamka na kukutana na jumbe zilizotumwa na shemeji Nasib zikiniambia kuwa Rashidi amepanga kufanya mapenzi na mimi kama siku tuliyofanya mpaka akaanguka chini, niliendelea kusoma jumbe zingine alizonitumia na ujumbe mwingine uliingia mda huo huo ukiniambia.
"Ametoka kazini sasa ivi na ameniambia kuwa anakuja huko Fatuma, kama huna hisia za kufanya mapenzi bora tu ukaondoka maana atakuumiza" nilimaliza kusoma ujumbe wa Shemeji Nasib na kushindwa kumwelewa kwanini anahofu na mimi kiasi hicho, sikufikiria sana kuhusu kile alichokisema kuwa Rashidi yupo njiani anakuja.

Baada ya nusu saa kupita Rashidi alifika na kunikuta chumbani, nilishangaa baada ya kuona misuli ya kwenye shingo yake ikiwa imekakamaa na kwenye suruali yake akiwa amesimamisha.
"Kuna tatizo gani mbona hivyo Rashidi!?"
"Sina mda Fatuma" Rashidi alinijibu huku akivua nguo zake pasipo kunifafanulia vizuri.
Akili ilianza kufanya kazi baada ya kukumbuka sms za Shemeji Nasib alizonitumia hivyo nilinyenyuka kitandani kwa ajili ya kuondoka chumbani lakini Rashidi aliniwahi na kunishika.
"Fatuma nimekuja kwa ajili yako alafu wewe unataka kuondoka!?"
"Ndio mpaka utumie dawa za kuongeza nguvu unataka kuniua au!?"
"Hapana!! ni kwa leo tu maana tuna mda hatujafanya mapenzi nataka tufanya mapenzi mpaka basi leo" aliongea na kunipeleka kitandani.
"Hapana kwakweli mimi sipo tayari" niliongea na kunyenyuka kitandani kwa ajili ya kukimbia, nilifika mlangoni na kuufungua mlango ili niweze kutoka nje lakini Rashidi aliniwahi na kunishika mkono.

Hakutaka kuongea tena zaidi ya kuufunga mlango na funguo kisha baada ya hapo funguo aliitupia kitandani.
"Kwanini unashindwa kuwa mwelewa Fatuma ndiyo tabia gani hii ya kuanza kukimbizana wakati ni haki yangu kufanya mapenzi na wewe!?" aliniuliza lakini mimi nilikuwa na pumua kama mtu aliyetoka kukimbia kwenye mashindano ya mita 1000.

Hakutaka kupoteza mda na badala yake alinipeleka mpaka kitandani, kwakuwa alikuwa bado hajamalizia kuvua vizuri alitoa nguo zake na kubaki kama alivyozaliwa, kiukweli uume wake ulikuwa ukitisha kwani kwa mbele palikuwa pamevimba kidogo tofauti na sehemu zingine huku misuli ikijichora kwa wingi. Sikutaka kukubali kuona akifanya mapenzi na mimi hivyo nilipata wazo la kukimbilia bafuni, nilitaka kutoka kitandani kwa ajili ya kwenda bafuni lakini napo alinirudisha na alinirudisha na kibao juu.
"Mpaka nikupige ndiyo akili yako itakaa sawa" Rashidi aliongea kwa hasira baada ya kunipiga.....ITAENDELEA.
Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 28

Story……………….MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 28
Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER
Whatsap………....0613083801/0748697173
Umri………………..18+

ENDELEA.........
Niliamka na kwenda kuoga na baadae nilitoka chumbani na kumkuta shemeji Nasib akiwa sebleni akitazama Tv, nilimkata jicho pasipo kuongea neno lolote lile na kuelekea jikoni, nilimkuta mfanyakazi wa ndani aliyekuwa amebeba mtoto mgogoni na alikuwa akinitazama kwa macho ya chini chini, niligundua jinsi alivyokuwa akiniangalia hivyo niliamua kumuuliza.
"Mbona unaniangalia hivyo!?"
"Hapana dada ila tu tabia ya kaka Nasib sio nzuri kabisa!" Mfanyakazi aliongea na kidogo nilishituka kwa kile alichokisema.
"Una maana gani!?"
"Nilimuona kaka Nasib alivyokuwa akiingia chumbani kwenu na kila kitu kilichokuwa kikiendelea humu chumbani nilikuwa nakisikia, ata mimi pia aliwahi kunifanyia hivyo hivyo, pole dada kwa...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mmmmh-shemeji-hapana-28

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mmmmh-shemeji-hapana
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 01
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 01
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 30 FINAL
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 30 FINAL
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 03
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 03
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 04
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 04
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 29
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 29
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 15
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 15
MMMMH....SHEMEJI HAPANA!!!?? 02
MMMMH....SHEMEJI HAPANA!!!?? 02
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 12
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 12
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 27
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 27
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 26
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 26
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 24 Mtunzi……………
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 24 Mtunzi……………
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 22
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 22
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 20
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 20
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 14
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 14
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 16
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 16
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 13
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 13
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? (18 & 19)
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? (18 & 19)
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 05
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 05
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 25
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 25
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 17
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 17
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 23
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 23
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 21 Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 21 Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 06
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 06
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 07
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 07
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 11
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 11
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 08
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 08
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 09
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 09
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 10
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 10
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

8.84K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

5.48K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.22K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.17K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

1.91K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

1.89K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

1.71K
RUNGU LA KIPOFU 21.

RUNGU LA KIPOFU 21.

1.64K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

1.61K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

1.61K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest