Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94

MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 20

14th Apr, 2025 Views 9

Story……………….MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 20
Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER
Whatsap………....0613083801/0748697173
Umri………………..18+

ENDELEA.........
Masaa kadhaa yalipita na mida ya jioni ilipofika nilipigiwa simu na mpiga alikuwa ni mama, kiukweli sikuwa na uwezo wa kuipokea hivyo nilibaki nikiwa naitazama simu yangu.
Mama alipiga zaidi ya mara tano na alipoona sitaki kupokea simu aliamua kunitumia ujumbe akinitaka niende nyumbani haraka na upesi.

Siku iliyofata nilienda nyumbani na nilipofika mama alianza kunitupia lawama huku akinilaumu kwa kosa la kuchepuka na shemeji Rashidi.
"Mama sikuwa na njia nyingine niliingia kwenye mtego wa shemeji"
"Mtego upi Fatuma, mpaka unamvulia nguo kwani ulikuwa hujui kama yule ni shemeji yako!?"
"Ni kweli mama nilikosea ila nilikuwa na shida na kazi na kwakuwa nimeshaipata nitakae nae mbali shemeji"
"Mwenzako akija sijui nitamwambia nini anielewe yupo njiani anakuja, nyie watoto mtakuja kuniua mimi mama yenu" mama aliongea huku akikaa akishika sehemu ya mapigo yake ya moyoni na kama angekuwa na plesha basi hiyo siku huenda angeanguka kwa plesha.

Dada Aisha alivyofikia alikuwa bado na hasira na mimi na mbele ya mama alisema undugu umekufa kuanzia siku hiyo, basi baadae ilibidi niondoke lakini tayari tulikuwa tumeshakosana mimi pamoja na dada Aisha, sikumlaumu maana alikuwa sahihi kwa maamuzi aliyoyachukua kwani ata kama ningekuwa mimi ningechukua maamuzi kama aliyoyachukua.

Tangu siku hiyo tulikuwa hatupatani na ilipita wiki moja nikiwa sijui kinachoendelea kwani ata Shemeji Rashidi hakuwahi kunitafuta.

Siku moja mida ya jioni baada ya kutoka kazini Dada Aisha alinipigia simu, kiukweli nilikuwa mzito kuipokea simu lakini baadae niliamua kuipokea baada ya kuita kwa mda mrefu.
"Hello!"
"Hello dada" niliongea kwa sauti ya unyenyekevu.
"Usiniite dada niite jina langu Aisha, dada aliongea akiwa na hasira na hakunipa nafasi ya kuongea, sasa sikia nikwambie ata hivyo huyo Rashidi sina mpango nae na hapa ninavyoongea tumetengana wewe endelea nae tu"
"Dada lakini ilitokea bahati mbaya yule ni mme wako bado"
"Koma kabisa fatuma yule ni mme wako sio mme wangu mimi, naenda kuishi kwa mchepuko wangu na hapa na mimba yake tayari" dada aliongea maneno ya kila aina hiyo siku ila machache tu ndiyo niliyashika kwani mengine yalikuwa yakiingilia sikio la kulia na kutokea kushoto.

Baadae alikata simu na mimi niliendelea na mambo yangu, siku hiyo shemeji Rashidi alikuja nyumbani nakuniambia kama nilivyoambiwa na Aisha. Ajabu shemeji Rashidi aliongea kitu kilichonishangaza kwa kuniambia kuwa anataka anioe.
"Shemeji hapana kwakweli mimi na wewe hatuwezi kuoana"
"Kwani tatizo lipo wapi! sijawahi kuzaa na dada yako, sioni sababu ya wewe kukataa"
"Ata kama ila hilo halitawezekana"
"Kwanza sitaki kuendelea kusikiliza ngojera zako nimeukumbuka utamu wako Fatuma leo nataka nimalize upwiru wangu wote"
"Leo sina hamu mimi" niliongea lakini Shemeji Rashidi hakutaka kujali zaidi ya kunisogelea na kuanza kuyapigapiga makalio yangu.
"Alafu sipendi unavyopiga piga matako yangu shem"
"Umesema huna hamu Fatuma hapa nataka nipandishe nyege zako kwanza" aliongea huku akiendelea kuyapiga na kuyabinyabinya.
"Sheme..ji me sipendi unavyofanya" nilimwambia shemeji Rashidi lakini tayari alikuwa ameshasimamisha hivyo alinipeleka mpaka kitandani na kunilaza, alianza kunivulisha nguo zangu na mimi kwa kipindi hicho sikuwa na woga tena mbele ya shemeji Rashidi kwakuwa tayari alikuwa ameshaachana na dada Aisha. Siku hiyo tulizagamuana mimi pamoja na shemeji Rashidi.

Usiku mzima tuliutumia tukiwa pamoja na siku iliyofata asubuhi na mapema tuliamka na kila mtu alijiandaa kwa ajili ya kwenda kazini kwake.
Shemeji aliniambia atafanya mpango wa kunitafutia nafasi kwenye hospital aliyokuwa akifanyia yeye kazi lakini sikuwa tayari kwa hilo kwani sehemu niliyokuwa nikifanyia kazi hakukuwa na usumbufu wa kusumbuliwa mara kwa mara na wanaume. Kila mtu alipita njia yake kuelekea kazini kwake.

Nilifika na kuingia kwenye majukumu yangu ya kikazi, siku hiyo nilielekezwa kwenda kwenye chumba cha mgonjwa aliyekuwa amelezwa kwa ajili kwenda kumpa maelekezo ya kutumia dawa, nilienda mpaka kwenye chumba husika na kijana aliyekuwa amelazwa alikuwa ni kijana wa makamo. Nilimpa maelekezo na kuziweka dawa pembeni kisha baada ya hapo niligeuka kwa ajili ya kuondoka ila nilishangaa kijana akinishika makalio yangu. Niligeuka nikiwa na hasira na kutaka kumpiga kofi ila nafsi nyingi ilinikanya ikiniambia, ole wako umpige Fatuma huna kazi!! nilibaki nikimtazama na kushindwa cha kufanya zaidi ya kumuuliza kwa hasira.
"Nani amekuruhusu unishike!?"
"Nimeyashika kwa mara ya mwisho nesi makalio yako maana najua sina mda nitaondoka duniani"
"Nani kakwambia kuwa unaenda kufa!?"
"Mimi ndiyo mgonjwa najijua mwenyewe, niruhusu niyashike kwa mara ya mwisho tena makalio yako nesi" aliongea nakutaka kuusogeza mkono wake ila niliona naongea na kichaa hivyo niliamua kuondoka.

Moyoni nilijisemea mwenyewe kijana aliyetoka kunishika makalio yangu ata akifa sizani kama ataiona mbingu maana alionekana ni kicheche sana na mpenda ngono.

Mda wa kazi ulipoisha nilielekea nyumbani kwangu lakini nikiwa njiani nilisikia sauti ya kiume ikiniita, nilivunga kama siisikii, nilijua ni mtu anayetaka kunitongoza ila baadae nilishituka baada ya kumuona mtu akija nyuma yangu kwa kukimbia huku akiwa ananiita.
"Fatuma mda wote huo nakuita husikii tu au!?"
"Oooh kumbe ni wewe!?" Alikuwa ni Kasimu aliyenifukuza kazi kisa kukataa kufanya nae mapenzi.......ITAENDELEA.

Full Tsh 800 namba za malipo ???

0613083801 HALOPESA JINA JOHN BUGUMBA

0755271203 M-PESA JINA JOHN BUGUMBA.

Za hivi punde ni za 🔥🔥🔥 | Sema Jambo

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest