Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94

MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 06

14th Apr, 2025 Views 11

Story……………….MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 06
Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER
Whatsap………....0613083801/0748697173
Umri………………..18+

ENDELEA.........
Nilifika mpaka nje na kutapika na baada ya mda nilirudi ndani na dada Aisha aliniuliza.
"Kitu gani kinachokusumbua Fatuma mdogo wangu!?"
"Nipo sawa tu dada ila nilishikwa na kichefuchefu na kwenda kutapika nje" nilimjibu lakini shemeji Rashidi alikuwa kimya na aliamua kuondoka pasipo kuongea neno lolote lile.

Basi usiku ulifika na ulikuwa ni mda wa kulala hivyo nilienda kulala kwenye chumba changu na kuufunga mlango ili shemeji Rashidi asiweze kuingia. nilipanda kitandani na kulala na ilipofika mida ya saa 8 usiku nilianza kusikia mlango ukigongwa kwa mbali na moja kwa moja nilijua ni shemeji Rashidi aliyekuwa akitaka nimfungulie.

Sikutaka kwenda kumfungulia zaidi ya kuendelea kulala na kujifanya kuwa simsikii, aligonga mlango kwa mda mrefu lakini mimi niliendelea kuigiza kuwa simsikii na baadae alinitumia ujumbe ulioingia kwenye simu yangu.
"Unajifanya mjanja Fatuma basi sawa haina shida" nilimaliza kuusoma ujumbe wa shemeji Rashidi ila sikutaka kutishika na ujumbe wake zaidi ya kuitupa simu pembeni ya kitanda na kuendelea kulala.

Siku iliyofata shemeji Rashidi hakutaka kuniongelesha zaidi ya kuninunia, sikutaka kujihangaisha nae zaidi ya mimi kuondoka na kuwahi kazini, zilipita siku kadhaa huku nikiwa sina maelewano mazuri na shemeji Rashidi na baadae nilikuja kugundua kuwa na mimba yake na hapo ndipo tatizo jingine lilipoanzia.

Nilihisi kuchanganyikiwa baada ya kugundua kuwa na mimba ya shemeji Rashidi na njia pekee niliyoona inafaa ni kuitoa mimba pasipo kumshirikisha shemeji Rashidi na bahati nzuri nilifanikiwa kuitoa.

Maisha yaliendelea nikiwa bado naishi kwenye nyumba yao.
Siku moja nilikuwa nikioga bafuni na ilikuwa ni siku ya jumapili hivyo hatukwenda kazini mimi pamoja na shemeji Rashidi. nilisikia mlango wa chumbani ukifunguliwa lakini sikutaka kujali sana zaidi ya kuendelea kuoga mpaka nilipomaliza kuoga.

Nilijifunga taulo na kutoka bafuni na macho yangu yalipatwa na mshangao baada ya kumuona shemeji Rashidi akiwa chumbani.
"Nani kakupa ruhusa ya kuingia chumbani kwangu!?" nilimuuliza lakini shemeji Rashidi hakutaka kunijibu zaidi ya kunisogelea mahali nilipokuwa na mimi nilitambua lengo lake hivyo nilitaka kukimbia kwa ajili ya kurudi bafuni lakini shemeji aliniwahi na kunizuia.
"Unataka kwenda wapi Fatuma ivi unajua nimekukumbuka sana kipenzi!?" aliniuliza huku akiwa amenishika kwa kunikumbatia kwa nyuma.
"Nimeshasema sitaki kuendelea kuwa kwenye mahusiano na wewe shemeji mbona hutaki kunielewa lakini..!" niliongea ila shemeji Rashidi hakutaka kunijibu zaidi ya kuupeleka mkono wake kwenye makalio yangu nakuanza kuyashika na ukizingatia nilikuwa nimejifunga taulo tu.
"Shemeji hapana usinifanyie hivyoo!!" niliongea na kumbe sauti yangu ndiyo ilizidi kumpandisha midadi shemeji Rashidi, nilishangaa kumuona akinigusisha mtalimbo wake kwenye makalio yangu aliokuwa ameuchomoa tayari kwenye suruali yake, ilinibidi nijigeuze kwa nguvu kwa ajili ya kumzuia lakini badala yake nilimpa upenyo wa kunivuta kwa nguvu na kunipeleka kitandani.

Ushauri kwa wanawake wenzangu inatakiwa walau tuwe tunafanya mazoezi walau mara moja moja ili tusiwe lege lege na ndicho kilichokuwa kikiniponza mimi maana nilikuwa sina nguvu zozote zile na sikuwa na ubavu wa kumzuia shemeji Rashidi.

Alinilaza kitandani kwa nguvu na kuniwekea mpini wake pasipo kujali kama nilikuwa na hisia za kufanya mapenzi au la!, kwakuwa sikuwa na hisia kwa wakati huo niliendelea kumsukuma nikimtaka shemeji Rashidi atoke kwenye mwili wangu ili asiendelee kunizagamua lakini hakutaka kufata kile nilichokuwa nikikitaka.

Akiwa bado juu ya mwili wangu nilisikia sauti ya dada Aisha ikiniuliza.
"Fatuma shemeji yako kaenda wapi..!?" dada aliniuliza na shemeji aliamua kujitoa kwenye mwili wangu huku akinitaka nimjibu kuwa sijui alipoelekea.
Kiukweli niwe tu muwazi kati ya kitu nilichokuwa sitaki kitokee nikuivunja ndoa ya dada hivyo niliamua kumjibu kwa kumwambia dada kuwa sijui ni wapi alipo shemeji.
Baadae nilitoka kitandani na kwenda kuvaa nguo huku shemeji Rashidi akinitazama na kutoka chumbani nikimuacha mwenyewe pasipo kumsemesha.

Baada ya mda shemeji nae alitoka kwa uangarifu kwenye chumba changu na dada alipomuuliza aliamua kumdanganya kuwa alikuwa amepanda juu ya dali kwa ajili ya kurekebisha baadhi ya vitu.

Niliona sitakiwi tena kuendelea kukaa nyumbani kwa dada hivyo baada ya kupokea mshahara wangu wa kwanza niliondoka nyumbani kwa dada na kwenda kupanga na kuanzisha maisha ya kujitegemea mwenyewe, kidogo ilisaidia kupunguza usumbufu kutoka kwa shemeji Rashidi licha ya yeye kuendelea kunitaka kimapenzi ila sikuwa tayari kwa hilo......ITAENDELEA.

Like na comment zenu za kutosha ndiyo zitafanya iwe inapostiwa mara mbili kwa siku, kazi kwenu wasomaji.

Full Tsh1000 namba za malipo ????????????

0613083801 HALOPESA JINA JOHN BUGUMBA

0755271203 M-PESA JINA JOHN BUGUMBA.

Za hivi punde ni za 🔥🔥🔥 | Sema Jambo

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest