Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 04
Gonga94 · Stories

MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 04

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Story……………….MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 04
Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER
Whatsap………....0613083801/0748697173
Umri………………..18+

ENDELEA.........
Nilimtimua na shemeji Rashidi aliondoka na mimi nilirudi kitandani na kukaa huku nikiendelea kuwaza kile kilichotokea, baadae nilipata wazo na kuanza kukunja nguo zangu.
"Siwezi kuendelea kukaa hapa tena sitaweza kumuangalia dada Aisha usoni" niliongea mwenyewe huku nikikunja nguo zangu na kuziweka kwenye begi.

Baada ya kumaliza nilienda kuoga na bahati nzuri shemeji Rashidi alitoka na kwenda kazini na kuniacha mimi mwenyewe nyumbani. Baada ya kumaliza kuoga nilivaa nguo na kubeba begi na kuianza safari ya kurudi nyumbani pasipo kumuaga mtu yoyote yule.

Nilifika nyumbani na mama alishangaa kuniona maana sikumjulisha kama nitakuja siku hiyo.
"Fatuma mbona gafra sana!?"
"Mama nahitaji kupumzika kwa sasa, tutaongea baadae" nilimwambia na kuingia kwenye chumba changu kwa ajili ya kupumzika pasipo kumwambia mama sababu iliyonitoa kwa dada haraka kiasi kile.

Masaa kadhaa yalipita nikiwa nyumbani na mda huo nilikuwa tayari nimeshaamka, sikutaka kumwambia mama kile kilichonitokea ila simu yangu iliita na mpigaji alikuwa ni dada Aisha, moyo wangu ulienda mbio baada ya kuona dada akinipigia simu ila nilijikakamua na kuamua kuipokea.
"Fatuma mbona umeondoka pasipo kutupa taarifa!?" Dada aliniuliza.
"Utanisamehe dada yangu nilimkumbuka mama ndiyo maana nikaamua kuja nyumbani mara moja" nilimjibu na baadae dada aliniambia.
"Yote sawa lakini kwanini uondoke pasipo kutuambia na chumba umekiacha hovyo huku ukiwa umemwaga chai chini na kupasua sahani pasipo ata kukifanyia usafi!?" Swali la dada lilinifanya nikumbuke kile kilichotokea asubuhi ila niliamua kumuomba msamaha na kumwambia kuwa nilikuwa na haraka ndiyo maana sikukisafisha chumba nilichokuwa nikilala.

Maongezi yetu mama alikuwa akiyasikia na baadae aliamua kuniuliza.
"Hiyo ndiyo sababu iliyokutoa kwa dada yako!?"
"Ndiyo mama ata hivyo mimi siwezi kurudi huko tena na uzuri shemeji ameahidi mwenyewe atanisaidia kunitafutia kazi" nilimjibu mama na bahati nzuri mama alinielewa na hakuendelea tena kuniuliza maswali.

Siku hiyo ilipita nikiwa nyumbani na siku iliyofata shemeji Rashidi alinipigia simu lakini sikutaka kuipokea na baada ya kuona sipokei simu alinitumia ujumbe wa kunipa taarifa kuwa tayari ameshafanikisha kunitengenezea mpango wa kufanyakazi kwenye hospital aliyokuwa akifanyiakazi yeye. Kiukweli nilijikuta nikifurahi nakusahau kile alichonifanyia shemeji Rashidi maana niliamini ndoto yangu inaenda kutimia.

Haikupita mda shemeji Rashidi alinipigia simu na mimi sikutaka kuacha kuipokea kama nilivyokuwa nikifanya mwanzo, niliipokea na Shemeji Rashidi aliongea.
"Kesho kutwa unatakiwa ufike haraka kazini" aliniambia na kukata simu na hakutaka kunipa nafasi ya mimi kumuuliza.

Niliamua kumtumia ujumbe nikimtaka anipe maelezo vizuri lakini shemeji Rashidi hakunijibu zaidi ya kukaa kimya.
Sikutaka kuendelea kuumiza kichwa kwa kitendo cha shemeji Rashidi kutokujibu ujumbe wangu hivyo nilipanga kuondoka nyumbani siku inayofata kwa ajili ya kwenda kuishi kwa dada kwa mda kwani kulikuwa na ukaribu mkubwa na sehemu niliyotakiwa kufanya kazi.

Siku iliyofata niliondoka nyumbani na kwenda nyumbani kwa dada Aisha na nilimkuta akiwa mwenyewe huku shemeji Rashidi akiwa kazini.
"Hongera mdogo wangu kwa kupata kazi shemeji yako amekupambania sana" dada alinipa pongezi na mimi niliamua kuzipokea pongezi zake.

Baada ya masaa kwenda shemeji Rashidi aliweza kurudi nyumbani na alinikuta nikiwa nimekaa mwenyewe sebleni, alinipita pasipo ata kunisemesha na mimi kidogo nilianza kujiuliza amepatwa na kitu gani shemeji Rashidi mpaka kuamua kuninunia kiasi kile!!.

Siku hiyo ilipita bira shemeji Rashidi kuniongelesha na siku iliyofata nilijiandaa mapema ili niweze kuelekea kazini maana ndiyo ilikuwa siku yangu ya kwanza. Niliongozana na shemeji Rashidi kwenda kupanda kwenye gari yake na mpaka mda huo shemeji Rashidi alikuwa hataki kabisa kuniongelesha, wote tulikuwa kimyaa ndani ya gari huku tukiendelea na safari ya kuelekea hospital.

Baada ya safari ya dekika kadhaa shemeji Rashidi aliipaki gari yake pembeni na kuniongelesha kwa mara ya kwanza.
"Ivi Fatuma unajua nimepambana kiasi gani mpaka kukutafutia nafasi wewe pale kazini!?"
"Sijui shemeji" nilimjibu na shemeji Rashidi aliongea.
"Kwakuwa hujui ngoja nikwambie sasa, nimetoa pesa nyingi sana ili waweze kukuajiri wewe na mimi niliamua kukusaidia wewe sio kwa sababu ni shemeji yangu ila ni kwakuwa nakupenda na nahitaji uwe mtu wangu" shemeji Rashidi aliongea kwa hisia.
"Wewe tayari ni mme wa dada haiwezekani mimi kuwa pamoja na wewe" nilimjibu pasipo kumuangalia usoni.
"Kwani mimi nimekwambia nataka nikuoe Fatuma!? mimi ninachotaka kwako ni mapenzi tu na sio kingine".
"Mmmmh shemeji hiyo haitawezekana siku dada akijua hatonisamehe na italeta picha mbaya kwa upande wangu"
"Oooh basi chagua moja ushuke kwenye gari yangu na hutopata kazi au ukubali kuwa unafanya mapenzi na mimi kisiri ili upate kazi" shemeji Rashidi aliniambia, nilibaki njia panda kutokana na kile alichokiongea......ITAENDELEA.
Tangazo - mtoto wa mke wangu 1 to 20 final
mtoto wa mke wangu 1 to 20 final
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 04

Story……………….MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 04
Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER
Whatsap………....0613083801/0748697173
Umri………………..18+

ENDELEA.........
Nilimtimua na shemeji Rashidi aliondoka na mimi nilirudi kitandani na kukaa huku nikiendelea kuwaza kile kilichotokea, baadae nilipata wazo na kuanza kukunja nguo zangu.
"Siwezi kuendelea kukaa hapa tena sitaweza kumuangalia dada Aisha usoni" niliongea mwenyewe huku nikikunja nguo zangu na kuziweka kwenye begi.

Baada ya kumaliza nilienda kuoga na bahati nzuri shemeji Rashidi alitoka na kwenda kazini na kuniacha mimi mwenyewe nyumbani. Baada ya kumaliza kuoga nilivaa nguo na kubeba begi na kuianza safari ya kurudi nyumbani pasipo kumuaga mtu yoyote yule.

Nilifika nyumbani na mama alishangaa kuniona maana sikumjulisha kama nitakuja siku hiyo.
"Fatuma mbona gafra sana!?"
"Mama nahitaji...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mmmmh-shemeji-hapana-04

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mmmmh-shemeji-hapana
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 01
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 01
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 30 FINAL
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 30 FINAL
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 03
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 03
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 29
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 29
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 15
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 15
MMMMH....SHEMEJI HAPANA!!!?? 02
MMMMH....SHEMEJI HAPANA!!!?? 02
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 12
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 12
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 27
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 27
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 26
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 26
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 24 Mtunzi……………
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 24 Mtunzi……………
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 28
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 28
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 22
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 22
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 20
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 20
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 14
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 14
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 16
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 16
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? (18 & 19)
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? (18 & 19)
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 13
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 13
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 05
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 05
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 25
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 25
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 17
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 17
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 23
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 23
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 06
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 06
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 21 Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 21 Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 07
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 07
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 11
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 11
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 08
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 08
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 09
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 09
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 10
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 10
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

8.84K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

5.48K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.22K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.17K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

1.91K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

1.89K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

1.71K
RUNGU LA KIPOFU 21.

RUNGU LA KIPOFU 21.

1.64K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

1.61K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

1.61K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest