Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 01
Gonga94 · Stories

MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 01

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Story……………….MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 01
Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER
Whatsap………....0613083801
……………………….0748697173
Umri………………..18+

Kwa jina naitwa Fatuma karibu katika mkasa huu ili upate kujua yaliyonipata baada ya mimi kukutana na shemeji yangu aliyekuwa amemuoa dada yangu wa kumfata tuliyezaliwa nae tumbo moja.

Chondechondechondee..... story hii ni kwa wakubwa tu wale walio juu ya umri wa miaka 18 na kuendelea, na kwa wale walio na umri wa chini ya miaka 18 naomba mtupishe kidogo.

Ilikuwa ni mida ya asubuhi niliyokuwa nimelala kitandani, nilisikia sauti ya mama kwa mbali ikiniamsha lakini mimi sikutaka kuamka.

Mama baada ya kuona sitaki kuamka aliamua kuingia kwenye chumba changu na kuanza kuniamsha huku akiyapiga makalio yangu.
"Wewe Fatuma amka haraka uende nyumbani kwa dada yako, kanipigia simu nakuniambia kuwa shemeji yako anakusubiri umpeleke vyeti vyako"
"Mmmmh mama lakini!! mbona bado mapema sana niache niendelee kulala kwanza" nilimjibu mama na kujifunika shuka kwa ajili ya kuendelea kulala.
"Unaona sasa ujinga ulionao wewe mtoto!? ndiyo maana mpaka sasa ivi upo upo tu huna mwelekeo wa maisha, amka haraka huko" mama aliniambia kwa msisitizo hali iliyonifanya niamke na kukaa kitandani huku nikipiga miayo kutokana na chembe chembe za usingizi nilizokuwa nazo.

Baadae nilitoka kitandani na kwenda bafuni kuoga kwa ajili ya kujiandaa kuelekea kwenye nyumba ya dada yangu aliyekuwa akiitwa Aisha ili nikakutane na shemeji yangu aliyekuwa akiitwa Rashidi na lengo kubwa ni shemeji Rashidi anisaidie kunitafutia kazi kwenye hospital aliyokuwa akifanyia kazi.

Nilijiandaa na baada ya kumaliza nilibeba begi langu lililokuwa na nguo baadhi kisha baada ya hapo nilimuaga mama na kuondoka. Nilienda kupanda kwenye gari na nikiwa ndani ya gari niliishika simu yangu na kumtumia ujumbe Aisha nikimwambia kuwa nipo njiani nakuja nyumbani kwake.

Dada alijibu ujumbe niliomtumia kwa kuniambia kuwa shemeji Rashidi ndiye atakayenipokea kwani yeye alikuwa amebanana kidogo. Baada ya kuwasiliana na dada niliegemea kwenye siti ya gari niliyokuwa nimekaa na baadae nilijikuta nikipitiwa na usingizi, nilikuja kushituka baada ya masaa kadhaa kupita hasa baada ya kugundua kuwa gari imefika sehemu niliyokuwa nikielekea.

Niliteremka kwenye gari nililokuwa nimepanda na bahati nzuri kuna namba ngeni mda huo huo ilinipigia kwenye simu yangu hivyo niliamua kuipokea na sauti iliyosikika ilikuwa ni sauti ya shemeji Rashidi akiniuliza kama tayari nimeshafika.

Nilimwambia kuwa nimeshafika na shemeji Rashidi aliahidi atafika baada ya mda mfupi tu, nilimsubiri Shemeji Rashidi na baada ya mda aliweza kufika akiwa kavaa kanzu kama ilivyo tamaduni ya dini yetu.

Shemeji Rashidi alisogea mahali nilipokuwa mimi huku akiniangalia machoni na aliponifikia tulisalimiana kwa kushikana mikono lakini nilishangaa kumuona shemeji Rashidi akinitekenya kwenye kiganja changu cha mkono huku akiniambia.
"Umekuwa sana Fatuma"
"Mbona nipo vile vile tu Shemeji" nilimjibu huku nikiangalia pembeni kutokana na aibu niliyokuwa nayo.
"Mmmh basi mtu uliyenae atakuwa anakufaudu sana Fatuma"
Shemeji Rashidi aliongea hivyo na mimi ilibidi nimuulize.
"Kwanini unasema hivyo Shemeji..!?"
"Umejaliwa kuwa na umbo zuri Fatuma kuliko ata dada yako Aisha natamani mimi ndiye ningeipata hiyo bahati ya kuwa na wewe ila tayari nimeshamuoa dada yako" alinijibu na ndipo nilipotambua dhumuni la Shemeji Rashidi kuniambia kuwa nimejaliwa kuwa na umbo zuri.
"Shemeji hapana!! mimi nipo kawaida mbona!" nilimjibu na baadae niliamua kubadilisha mada ili asiendelee kuongea maneno yaliyokuwa yakinipa wakati mgumu kuyajibu.

Baadae tuliondoka na kuelekea nyumbani kwake na baada ya mda tuliweza kufika na kumkuta dada Aisha akiwa anafanya usafi kwenye nyumba tena akiwa kajifunga kitenge tu. Sikushangaa sana kumkuta akiwa amevaa vile kwani dada ndivyo alivyokuwa amezoea kuvaa toka tulivyokuwa tukiishi wote nyumbani.

Tulisalimiana na Aisha alinikaribisha nyumbani kwake na kuchukia mizigo yangu na kuipeleka chumbani. Nilibaki mimi pamoja na shemeji Rashidi lakini nilishangaa kwa jinsi alivyokuwa akiniangalia huku akichezesha miguu yake na baadae aliamua kuniuliza kama vyeti vyangu nimekuja navyo, nilimjibu nimekuja navyo hivyo nilienda kuvichukua na kumpatia.

Vyeti vyangu vilikuwa na ufaulu wa kawaida ila nilishangaa kumuona shemeji Rashidi akinisifia baada ya kuvikagua kwa kuniambia kuwa nilifanya vizuri shuleni kitu kilichonishangaza maana sikuwa na ufaulu wa kulizisha kiasi hicho kama aliyokuwa akinisifia shemeji Rashidi.

Baadae shemeji Rashidi aliniahidi atanisaidia ili niweze kupata kazi na siku mbili zilipita nikiwa naishi nyumbani kwa dada huku shemeji Rashidi akihangaika kunitafutia kazi kwenye hospital aliyokuwa akifanyia kazi yeye.

Siku moja nilipatwa na homa kali hivyo shemeji Rashidi aliingia kwenye chumba nilichokuwa nimelala na kupeleka mikono yake kwenye mashavu yangu kwa ajili ya kupima joto la mwili wangu.
"Hali yako ni mbaya sana shemeji ila nisubiri nije mara moja" Shemeji Rashidi aliongea na kutoka chumbani.
Baada ya mda alirudi huku akiwa kashika sindano kwenye mkono wake na kuufunga mlango kisha baada ya hapo aliniambia.
"Shemeji itabidi nikuchome sindano ya kutuliza hali uliyonayo kisha baada ya hapo nitakupeleka hospital ili uweze kuchukuliwa vipimo"
Baada ya shemeji Rashidi kuniambia kuwa anataka kunichoma sindano nilianza kuingiwa na hofu kwani nilikuwa mwoga sana wa kuchomwa sindano.

Ilibidi nimpe mkono wangu ili aweze kunichoma sindano lakini shemeji Rashidi alikataa kunichoma sindano kwenye mkono na badala yake aliniambia.
"Ingekuwa vizuri kama ungevua ili niweze kukuchoma kwenye makalio yako shemeji"
"Mmmh shemeji hiyo hapana kwanini usinichome kwenye mkono hapa!?" nilimjibu lakini shemeji Rashidi aliendelea kunitaka nivue nguo ili aweze kunichoma sindano kwenye makalio yangu huku akidai ni kwa ajili ya usalama wa afya yangu.....ITAENDELEA.

Aya sasa kazi kwenu ndiyo kwanza sehemu ya kwanza, nahitaji like 300 pamoja na komenti za kutosha ili nitupie kipande cha pili leo leo ?????????????????????

Maoni

You're not logged in


Tangazo - CEO usinivue mi nimchumba wa mtu mwanzo wa simulizi Hadi Mwisho wa simulizi
CEO usinivue mi nimchumba wa mtu mwanzo wa simulizi Hadi Mwisho wa simulizi
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 01

Story……………….MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 01
Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER
Whatsap………....0613083801
……………………….0748697173
Umri………………..18+

Kwa jina naitwa Fatuma karibu katika mkasa huu ili upate kujua yaliyonipata baada ya mimi kukutana na shemeji yangu aliyekuwa amemuoa dada yangu wa kumfata tuliyezaliwa nae tumbo moja.

Chondechondechondee..... story hii ni kwa wakubwa tu wale walio juu ya umri wa miaka 18 na kuendelea, na kwa wale walio na umri wa chini ya miaka 18 naomba mtupishe kidogo.

Ilikuwa ni mida ya asubuhi niliyokuwa nimelala kitandani, nilisikia sauti ya mama kwa mbali ikiniamsha lakini mimi sikutaka kuamka.

Mama baada ya kuona sitaki kuamka aliamua kuingia kwenye chumba changu na kuanza kuniamsha huku akiyapiga makalio yangu.
"Wewe Fatuma amka...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mmmmh-shemeji-hapana-01

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending 🐓 Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mmmmh-shemeji-hapana
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 30 FINAL
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 30 FINAL
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 03
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 03
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 04
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 04
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 29
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 29
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 15
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 15
MMMMH....SHEMEJI HAPANA!!!?? 02
MMMMH....SHEMEJI HAPANA!!!?? 02
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 12
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 12
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 26
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 26
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 22
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 22
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 27
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 27
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 20
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 20
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 28
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 28
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 24 Mtunzi……………
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 24 Mtunzi……………
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 13
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 13
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 16
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 16
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 14
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 14
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 05
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 05
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? (18 & 19)
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? (18 & 19)
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 25
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 25
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 17
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 17
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 23
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 23
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 06
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 06
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 21 Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 21 Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 07
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 07
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 09
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 09
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 08
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 08
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 11
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 11
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 10
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 10
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE

NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE

447
LETICIA Sehemu ya 19 na 20

LETICIA Sehemu ya 19 na 20

333
CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10

CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10

111
MFALME KIPOFU  27

MFALME KIPOFU 27

98
MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17

MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17

83
MFALME KIPOFU  17 -- 18

MFALME KIPOFU 17 -- 18

62
MFALME KIPOFU  19 -- 20

MFALME KIPOFU 19 -- 20

58
MFALME KIPOFU  25 -- 26

MFALME KIPOFU 25 -- 26

56
MFALME KIPOFU  21 -- 22

MFALME KIPOFU 21 -- 22

55
MFALME KIPOFU  23 -- 24

MFALME KIPOFU 23 -- 24

42

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

12.03K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.71K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.91K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.67K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

3.11K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

3.04K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.91K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.86K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.76K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.71K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Mmmh nilihisi utumbo unacheza, kwa nn haruhusiwi ndoa sasa? Au ameoa? Nilijiuliza sana, keanu akasema sijakuelewa kwa nn siruhusiwi kuoa sasa? Akasema kuna mashart katika kila kanisa ili...

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18 Post Mpya
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18
@majario LIVE

Mida ya jioni vipindi vilipoisha tuliongozana na Glad hadi kwa kaka yake ilikuwa ni saa kumi na moja za jioni hivyo alikuwa kasharudi toka kazini tulimkuta nyumbani 🏡. Karibuni...

CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10 Post Mpya
CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10
@majario LIVE

SEHEMU YA 08 "Kwanza haoni ajabu kukufukuza,na akisema hakutaki ujue hakuna was kukutetea hata mama hataongea .... kwaiyo muangalie hivyo hivyo kauli yake moja tu inakuondoa........... Nicole aliposema hivyo nilimuogopa sana...

Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii Post Mpya
Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii
@mjukuu LIVE

Screengrab from video put out by Iranian state media Tasnim News of an Iranian missile with Trump's name on it, in response to the great gift from Iran Trump claimed...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE
@majario LIVE

:131 Nikawa natoa ile bahasha. Vile natoa, namuona Boss Yule anakuja. Ni wazi alisikia kengele au aliniona kwa juu. Nikasema kwa ndani “niondoke?” Ataona Kama namkimbia, Nikajikaza pale kusubiri. Basi kweli alifika,...

MFALME KIPOFU  27 Post Mpya
MFALME KIPOFU 27
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 27 (FINAL) Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Nawauliza Princess Nailet yupo wapi? alipotazama Pembeni hakuamini kuona mwili wa binti yake....... ENDELEA NAYO...... Mfalme Tengu alilia kama mtoto mdogo "Pole sana mfalme kwa kipindi kigumu unachopitia Prince...

MFALME KIPOFU  25 -- 26 Post Mpya
MFALME KIPOFU 25 -- 26
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 25 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno ya Lindiwe yalimfanya Princess Nailet kutabasamu nakutulia kuwaacha waongonzane watu watatu tu Malikia,Prince Yao na Amma mwenyewe kwenda kutafuta iyo dawa...... ENDELEA NAYO.......... Malikia andwaa aliongoza msafara wa...

MFALME KIPOFU  23 -- 24 Post Mpya
MFALME KIPOFU 23 -- 24
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 23 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno yale yalipenya kwenye masikio ya Amma na baadhi ya watu waliokuwa pale wakitazama tu badala ya kutoa msaada,Babaaaaa............ ENDELEA NAYO.......... "Baba amka",Amma alimwita baba yake, Aliye kuwa tayali amepoteza...

MFALME KIPOFU  21 -- 22 Post Mpya
MFALME KIPOFU 21 -- 22
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 21 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Malikia alichanganyikiwa baada ya kusikia maneno yale ya dakitari Malikia aliita walinzi na ,kuwapa maagizo ya kuwakamata matabibu wote...... ENDELEA NAYO....... Walisubili pakuche msako uanze wa kuwakamata matabibu...

MFALME KIPOFU  19 -- 20 Post Mpya
MFALME KIPOFU 19 -- 20
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............19 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Ni mapenzi ya ajabu aliyokuwa nayo Princess Nailet kwa Yao licha ya kumfahamu kwa mda mfupi tu lakini aliteka sehemu kubwa ya moyo wake... ENDELEA NAYO....... Aliendelea na safari ya...

MFALME KIPOFU  17 -- 18 Post Mpya
MFALME KIPOFU 17 -- 18
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............17 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Lindiwe alitege sikio vizuri na kweli alisikia sauti emu njoo huku alimvuta Prince Yao pembeni na kujificha sehemu ni ngumu kuonekana. Namu sura ya General haikutoka machoni mwake alimuona...

MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17 Post Mpya
MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17
@mjukuu LIVE

Ilipoishia sehemu iliyopita...... Asikari",Mfalme Tengu aliita kwa hasira "Nendeni mkawarudishe haraka" "Mfalme tayali wameshavuka mpaka" "Nimesema nendeni mkawarudishe" Waliondoka na kumuacha Mfalme akiendelea ..... SEHEMU YA 16 ENDELEA NAYO...... Waliondoka na kumuacha mfalme akiendelea kuongea na binti...

LETICIA Sehemu ya 19 na 20 Post Mpya
LETICIA Sehemu ya 19 na 20
@majario LIVE

💍💍💍💍💍💍 Nikasikia madam prisca anasema nyie uko jikoni mbona kama mnajibizana sana ,polela akasema amna madamu ,kisha akaondoka basi mwenzenu polela akawa ananisumbua kila siku ,yaani kila akiniona nipo peke yangu...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 121 - 130 SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 121 - 130 SEASON THREE
@majario LIVE

:121 Nilishtushwa na maumivu yake kabla sijafanya kitu, mama akawa anaingia, nikamzuia mama, mama alinitazama kisha Dorice, nikamuonesha mama Ishara asiseme kitu na badala yake atoke. Mama yangu ana upendo sana, alitii...

ZARA❤️ MPYA ( 1 MPAKA 5) Post Mpya
ZARA❤️ MPYA ( 1 MPAKA 5)
@majario LIVE

MPYA MPYA MPYA ⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️ ⚪️⚪️ Sehemu ya 1 na 2 Ilikuwa ni siku ambayo nna raaha kweli kweli, nikiagana na rafiki zangu shuleni, ni siku ambayo tayali wanafunzi wa kidato cha...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest