Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 14
Gonga94 · Stories

MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 14

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Story……………….MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 14
Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER
Whatsap………....0613083801/0748697173
Umri………………..18+

ENDELEA.........
Kwakuwa tayari nilikuwa na uhakika na kazi baada ya kupewa ahadi siku iliyofata niliamuacha kuacha kazi nilipokuwa nikifanya mwanzo kwa kuandika barua na kwenda kuikabizi na kuondoka, nilifika nyumbani kwangu ikiwa ni mida ya saa 7 mchana na kuingia ndani.
"Mmmh bora kabisa niwe mbali na shemeji Rashidi hii itasaidia sana" niliongea mwenyewe na simu yangu iliita, mpigaji alikuwa ni Nasir, sikutaka kupokea simu zaidi ya kuiangalia.

Baada ya saa moja kupita nilisikia mlango ukigongwa wa nyumba niliyokuwa nikiishi, pasipo kuuliza nilienda kuufungua, mtu aliyekuwa amesimama nje alikuwa ni shemeji Rashidi.
"Fatuma kwanini umeamua kuacha kazi!?" Shemeji Rashidi aliniuliza.
"Nimeamua ili niwe mbali na wewe maana unanisumbua sana na kunipelekesha"
"Sasa kama wewe ni mtamu mimi nifanyeje!? angalia makalio yako yalivyo ivi ungekuwa wewe ni mwanaume ungeacha kumpenda mwanamke kama wewe!?" Shemeji Rashidi aliongea na mimi niliona kama ananipigia kelele hivyo nilimwambia aondoke kwani tayari maamuzi nilikuwa nimeyafanya.

Shemeji Rashidi alinifanyia mchezo kama anaonifanyia siku zote kwa kunisukuma na kwenda kuanguka chini upande wa ndani, Shemeji Rashidi aliingia ndani na kuufunga mlango wakati huo mimi nikiwa naugulia maumivu baada ya kuyaangukia makalio yangu vibaya hivyo yalikuwa yakiuma pamoja na kiuno.
"Fatuma naomba ubadilishe maamuzi yako kitu ulichokifanya sio sahihi na pia nisamehe kwa kukusukuma" Shemeji Rashidi aliongea na kutaka kunisogelea.
"Kaa mbali na mimi leo usijaribu ata kunigusa shemeji"
"Mmmh basi sikugusi maana leo unaonekana unahasira sana Shemeji kama simba jike..!" Shemeji Rashidi aliongea na kwenda kukaa kwenye kochi, nilinyenyuka kwa tabu huku nikiwa nimeshika makalio yangu pamoja na kiuno na kwenda kukaa pembeni ya kochi.

Mda huo bado nilikuwa nikisikia maumivu hivyo ata akili ya kumtimua shemeji Rashidi sikuwa nayo kabisa, wote tulikaa kimya kwa dekika 1 na baada ya maumivu kuisha ndipo akili yangu ilipokaa sawa.
"Aya simama uondoke nyumbani kwangu" nilimwambia Shemeji Rashidi ila mda huo huo tulisikia sauti upande wa nje iliyotufanya wote tukae kimya na shemeji Rashidi alisimama na kukimbilia chumbani kwangu kwa ajili ya kwenda kujificha.

Ilikuwa ni sauti ya dada Aisha aliyekuwa amefika nyumbani kwangu bira ata kunipa taarifa za ujio wake.
"Hii kazi nyingine dada akimuona Shemeji Rashidi lazima ataamini kuwa natoka nae" niliongea huku nikikuna kichwa changu na baadae nilienda kufungua mlango huku shemeji Rashidi akiwa kajificha chumbani kwangu.
"Fatuma kuna tatizo gani!?" ni swali aliloniuliza dada baada ya mimi kufungua mlango.
"Hapana hamna tatizo kwanini umeniuliza hivyo dada!?"
"Shemeji yako kanipigia simu na kuniambia kuwa umeamua kuacha kazi, alafu hili si gari lake Fatuma hapo nje!?"

Mtihani mwingine kwangu ni baada ya dada Aisha kuiona gari ya mme wake ikiwa imepaki pembeni ya nyumba yangu.
"Ndiyo ni yake alikuwa hapa mda sio mrefu na alikuwa akiniuliza kwanini nimeamua kuacha kazi!? ila limeharibika na ameenda kumtafuta fundi wa kuja kulitengeneza" niliongea huku nikiwa na wasiwasi wa hali ya juu, moyoni nilikuwa nikiombea dada asiweze kuingia ndani lakini mwenzangu aliingia pasipo ata kumkaribisha na sikuwa na uwezo wa kumzuia.

Aliingia na alipofika alikaa kwenye kochi na kuvua kibode chake alichokuwa amevaa na kubaki kwenye sindilia, baada ya hapo alianza kujipepea.
"Nyumba yako inajoto hii Fatuma lakini bado hujanieleza sababu ya wewe kuacha kazi!?" Dada Aisha aliniuliza kwa mara nyingine na mimi niliamua kumwambia ni kwa sababu ya masilahi, nilimwambia nimepata sehemu nyingine yenye mshahara mzuri.
"Hapo nimekuelewa mdogo wangu na leo nataka tushinde wote hapa nyumbani kwako"
"Karibu dada haina shida" nilimjibu na kuondoka huku nikimuacha mwenyewe.

Nilienda kwenye chumba changu ninacholala na kumkuta shemeji Rashidi akiwa kalala kitandani. Shemeji Rashidi baada ya kuniona alinisogelea na kuniambia.
"Fatuma mtoe dada yako nyumbani kwako ili nipate nafasi ya kuondoka"
"Kwani mimi nilikuita siulikuja mwenyewe" nilimwambia Shemeji huku nikivua nguo zangu nilizokuwa nazo kwa ajili kuvaa nguo nyepesi maana kulikuwa na joto kali siku hiyo.

Sikutaka kuogopa kuvua mbele ya shemeji Rashidi maana tayari alikuwa ameshaugusa mwili wangu.
Nilivua na kubaki kwenye chupi hivyo nilienda kuchukua dela langu kwa ajili ya kulivaa lakini kumbe lilikuwa ni kosa kubwa nililolifanya la kuvua mbele yake, nilishangaa kumuona shemeji Rashidi akinikumbatia nyuma ya mgongo wangu huku akishika mapaja yangu.
"Niachie shemeji lasivyo nitapiga kelele dada aje humu chumbani"
"Wewe piga tu shemeji mimi nipo tayari kuachana na dada yako ila siwezi kuacha kukukumbatia ata siku moja" Shemeji Rashidi aliongea na akili zake zilikuwa zimeluka yani hakujali kama Dada Aisha nimeuacha sebeleni mda huo.

Nilizisikia pulukushani zake za kufungua zipo ya suruali yake kwa ajili ya kuutoa mlambo wake hivyo nilisogea pembeni huku nikiwa nimeshika dela langu mkononi. Shemeji Rashidi aliutoa mtalimbo wake uliokuwa umeshasimama tayari.
"Sheme..ji" nilimuita shemeji Rashidi kwa sauti ya chini hasa baada ya kumuona akinifata, haraka nilipata wazo la kuvaa dela langu ili nitoke chumbani.

Nililishika vizuri na kulipitisha kichwani kwangu kwa ajili ya kuvaa, wakati mimi nikihangaika kuvaa dela Shemeji aliamua kuitumia nafasi hiyo kwani alinisogelea na kunisukumia kitandani kwa nguvu.
Bahati mbaya kwangu nilikuwa bado sijamaliza kuvaa vizuri, Shemeji Rashidi hakutaka kujali kuhusu hilo zaidi ya kuanza kunilazimisha kunivulisha chupi na pulukushani zetu dada Aisha alizisikia hivyo nilisikia sauti ya dada ikiniongelesha.
"Fatuma kuna kitu gani humo chumbani kinachoendelea!?" Nilibaki nikiwa nimezubaa na kushindwa namna ya kumjibu lakini shemeji Rashidi wala!!, alikuwa hajali kabisa kuhusu uwepo wa dada pale nyumbani kwangu na badala yake aliamua kuitumia kama faida kwake baada ya kuniona nimezubaa nikimsikiliza dada......ITAENDELEA.

Full Tsh1000 namba za malipo ????????????

0613083801 HALOPESA JINA JOHN BUGUMBA

0755271203 M-PESA JINA JOHN BUGUMBA

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Mwanangu Mungu ndio anae jua
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 14

Story……………….MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 14
Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER
Whatsap………....0613083801/0748697173
Umri………………..18+

ENDELEA.........
Kwakuwa tayari nilikuwa na uhakika na kazi baada ya kupewa ahadi siku iliyofata niliamuacha kuacha kazi nilipokuwa nikifanya mwanzo kwa kuandika barua na kwenda kuikabizi na kuondoka, nilifika nyumbani kwangu ikiwa ni mida ya saa 7 mchana na kuingia ndani.
"Mmmh bora kabisa niwe mbali na shemeji Rashidi hii itasaidia sana" niliongea mwenyewe na simu yangu iliita, mpigaji alikuwa ni Nasir, sikutaka kupokea simu zaidi ya kuiangalia.

Baada ya saa moja kupita nilisikia mlango ukigongwa wa nyumba niliyokuwa nikiishi, pasipo kuuliza nilienda kuufungua, mtu aliyekuwa amesimama nje alikuwa ni shemeji Rashidi.
"Fatuma kwanini umeamua kuacha kazi!?" Shemeji Rashidi aliniuliza.
"Nimeamua...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mmmmh-shemeji-hapana-14

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending 🐓 Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mmmmh-shemeji-hapana
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 01
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 01
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 30 FINAL
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 30 FINAL
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 03
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 03
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 04
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 04
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 29
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 29
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 15
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 15
MMMMH....SHEMEJI HAPANA!!!?? 02
MMMMH....SHEMEJI HAPANA!!!?? 02
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 12
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 12
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 26
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 26
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 22
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 22
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 27
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 27
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 20
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 20
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 28
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 28
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 24 Mtunzi……………
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 24 Mtunzi……………
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 13
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 13
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 16
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 16
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 05
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 05
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? (18 & 19)
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? (18 & 19)
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 25
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 25
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 17
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 17
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 23
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 23
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 06
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 06
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 21 Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 21 Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 07
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 07
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 09
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 09
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 08
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 08
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 11
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 11
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 10
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 10
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE

NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE

447
LETICIA Sehemu ya 19 na 20

LETICIA Sehemu ya 19 na 20

333
CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10

CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10

111
MFALME KIPOFU  27

MFALME KIPOFU 27

98
MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17

MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17

83
MFALME KIPOFU  17 -- 18

MFALME KIPOFU 17 -- 18

62
MFALME KIPOFU  19 -- 20

MFALME KIPOFU 19 -- 20

58
MFALME KIPOFU  25 -- 26

MFALME KIPOFU 25 -- 26

56
MFALME KIPOFU  21 -- 22

MFALME KIPOFU 21 -- 22

55
MFALME KIPOFU  23 -- 24

MFALME KIPOFU 23 -- 24

42

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

12.03K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.71K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.91K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.67K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

3.11K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

3.04K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.91K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.86K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.76K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.71K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Mmmh nilihisi utumbo unacheza, kwa nn haruhusiwi ndoa sasa? Au ameoa? Nilijiuliza sana, keanu akasema sijakuelewa kwa nn siruhusiwi kuoa sasa? Akasema kuna mashart katika kila kanisa ili...

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18 Post Mpya
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18
@majario LIVE

Mida ya jioni vipindi vilipoisha tuliongozana na Glad hadi kwa kaka yake ilikuwa ni saa kumi na moja za jioni hivyo alikuwa kasharudi toka kazini tulimkuta nyumbani 🏡. Karibuni...

CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10 Post Mpya
CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10
@majario LIVE

SEHEMU YA 08 "Kwanza haoni ajabu kukufukuza,na akisema hakutaki ujue hakuna was kukutetea hata mama hataongea .... kwaiyo muangalie hivyo hivyo kauli yake moja tu inakuondoa........... Nicole aliposema hivyo nilimuogopa sana...

Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii Post Mpya
Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii
@mjukuu LIVE

Screengrab from video put out by Iranian state media Tasnim News of an Iranian missile with Trump's name on it, in response to the great gift from Iran Trump claimed...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE
@majario LIVE

:131 Nikawa natoa ile bahasha. Vile natoa, namuona Boss Yule anakuja. Ni wazi alisikia kengele au aliniona kwa juu. Nikasema kwa ndani “niondoke?” Ataona Kama namkimbia, Nikajikaza pale kusubiri. Basi kweli alifika,...

MFALME KIPOFU  27 Post Mpya
MFALME KIPOFU 27
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 27 (FINAL) Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Nawauliza Princess Nailet yupo wapi? alipotazama Pembeni hakuamini kuona mwili wa binti yake....... ENDELEA NAYO...... Mfalme Tengu alilia kama mtoto mdogo "Pole sana mfalme kwa kipindi kigumu unachopitia Prince...

MFALME KIPOFU  25 -- 26 Post Mpya
MFALME KIPOFU 25 -- 26
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 25 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno ya Lindiwe yalimfanya Princess Nailet kutabasamu nakutulia kuwaacha waongonzane watu watatu tu Malikia,Prince Yao na Amma mwenyewe kwenda kutafuta iyo dawa...... ENDELEA NAYO.......... Malikia andwaa aliongoza msafara wa...

MFALME KIPOFU  23 -- 24 Post Mpya
MFALME KIPOFU 23 -- 24
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 23 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno yale yalipenya kwenye masikio ya Amma na baadhi ya watu waliokuwa pale wakitazama tu badala ya kutoa msaada,Babaaaaa............ ENDELEA NAYO.......... "Baba amka",Amma alimwita baba yake, Aliye kuwa tayali amepoteza...

MFALME KIPOFU  21 -- 22 Post Mpya
MFALME KIPOFU 21 -- 22
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 21 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Malikia alichanganyikiwa baada ya kusikia maneno yale ya dakitari Malikia aliita walinzi na ,kuwapa maagizo ya kuwakamata matabibu wote...... ENDELEA NAYO....... Walisubili pakuche msako uanze wa kuwakamata matabibu...

MFALME KIPOFU  19 -- 20 Post Mpya
MFALME KIPOFU 19 -- 20
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............19 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Ni mapenzi ya ajabu aliyokuwa nayo Princess Nailet kwa Yao licha ya kumfahamu kwa mda mfupi tu lakini aliteka sehemu kubwa ya moyo wake... ENDELEA NAYO....... Aliendelea na safari ya...

MFALME KIPOFU  17 -- 18 Post Mpya
MFALME KIPOFU 17 -- 18
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............17 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Lindiwe alitege sikio vizuri na kweli alisikia sauti emu njoo huku alimvuta Prince Yao pembeni na kujificha sehemu ni ngumu kuonekana. Namu sura ya General haikutoka machoni mwake alimuona...

MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17 Post Mpya
MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17
@mjukuu LIVE

Ilipoishia sehemu iliyopita...... Asikari",Mfalme Tengu aliita kwa hasira "Nendeni mkawarudishe haraka" "Mfalme tayali wameshavuka mpaka" "Nimesema nendeni mkawarudishe" Waliondoka na kumuacha Mfalme akiendelea ..... SEHEMU YA 16 ENDELEA NAYO...... Waliondoka na kumuacha mfalme akiendelea kuongea na binti...

LETICIA Sehemu ya 19 na 20 Post Mpya
LETICIA Sehemu ya 19 na 20
@majario LIVE

💍💍💍💍💍💍 Nikasikia madam prisca anasema nyie uko jikoni mbona kama mnajibizana sana ,polela akasema amna madamu ,kisha akaondoka basi mwenzenu polela akawa ananisumbua kila siku ,yaani kila akiniona nipo peke yangu...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 121 - 130 SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 121 - 130 SEASON THREE
@majario LIVE

:121 Nilishtushwa na maumivu yake kabla sijafanya kitu, mama akawa anaingia, nikamzuia mama, mama alinitazama kisha Dorice, nikamuonesha mama Ishara asiseme kitu na badala yake atoke. Mama yangu ana upendo sana, alitii...

ZARA❤️ MPYA ( 1 MPAKA 5) Post Mpya
ZARA❤️ MPYA ( 1 MPAKA 5)
@majario LIVE

MPYA MPYA MPYA ⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️ ⚪️⚪️ Sehemu ya 1 na 2 Ilikuwa ni siku ambayo nna raaha kweli kweli, nikiagana na rafiki zangu shuleni, ni siku ambayo tayali wanafunzi wa kidato cha...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest