Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 25
Gonga94 · Stories

MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 25

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Story……………….MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 25
Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER
Whatsap………....0613083801/0748697173
Umri………………..18+

ENDELEA.........
Mida ya jioni ilipofika nilijiandaa kwa ajili ya kwenda kazini, siku hiyo hakukuwa na wagonjwa wengi wa kuwahudumia hivyo mda mwingi niliutumia kulala, nikiwa nimelala nilikuja kuamshwa na Dr wa kiume alikuwa akiitwa Dr David, David aliniambia nimfate ili akanipe maelekezo vizuri ya kazi ninayotakiwa kuifanya.

Nilimfata huku nikiwa na uchovu na moja kwa moja tuliingia kwenye chumba chake.
"Fatuma kuna kazi natakiwa nikupe"
"Haina shida Dr ndiyo majukumu yetu haya" nilimjibu huku nikipiga miayo kutokana na uchovu niliokuwa nao.
"Kazi yenyewe sio kubwa ila ni ndogo tu tena ya dekika kadhaa"
"Oooh sawa nipo tayari"
Baada ya kumjibu Dr David alikaa kimya kwa mda na baadae alinyenyuka mahali alipokuwa amekaa na kunisogelea.

Dr David alinisogelea karibu zaidi nilipokuwa nimesimama na kunifanya nianze kurudi nyuma.
"Haina haja ya kurudi nyuma nesi Fatuma, kazi yenyewe ninayotaka kukupa ni ndogo tu"
"Ndiyo mpaka unisogelee karibu kiasi hichi Doctor!? naomba heshima ichukue nafasi yake" niliongea kwa msisitizo kidogo mbele yake maana niliona kuna kila dalili za Dr David kuhitaji mizagamuo.

Dr David alianza kunilazimisha akinitaka nikubali kufanya nae mapenzi lakini mimi sikuwa tayari hivyo nilitoka kwenye chumba chake huku nikiwa na hasira, siku hiyo sikufanyakazi kwa amani hasa baada ya kumkatalia Dr David, siku iliyofata napo Dr David aliendelea kunisumbua akitaka kutoka na mimi kimapenzi lakini bado niliendelea kumuwekea msimamo wa kumkatalia.

Bahati mbaya kwangu sehemu niliyokuwa nikifanyia kazi nilishangaa kumuona Nasir na aliniambia kuwa amehamia kwenye hospital hiyo baada ya ile ya mwanzo kushindwana nao kwenye maswala ya malipo. Wiki ya kwanza ilipita na Nasir hakuwahi kunisumbua kunitaka kimapenzi zaidi ya Dr David peke yake ila baada ya mda nae alianza usumbufu wa kutaka turudiane ili tuwe kama zamani.
Siku hiyo usiku nikiwa nimetulia mwenyewe baada ya kumaliza kazi za kuhudumia wagonjwa nilipitiwa na usingizi na nilikuja kushituka baada ya kushikwa makalio yangu.
"Nasir unataka kufanya nini!?" nilimuuliza baada ya kumuona akiwa kasimama nyuma ya mgongo wangu.
"Fatuma nimekumbuka penzi lako kipenzi" Nasir aliongea hivyo Niliamua kusimama nakumgeukia Nasir.
"Iwe mwanzo na mwisho kunishika makalio Nasir!"
"Fatuma mbona umekubali kuishi na shemeji yako na umezaa nae!? Kwanini tusirudiane tu nikaja kukuoa baadae!?"
"Haikuhusu Nasir ata kama naishi na Rashidi kila mtu afanye mambo yake pasipo kufatiliana" niliongea nakutaka kuondoka ila Nasir aliniwahi na kunishika mkono kisha baada ya hapo aliongea.
"Badilisha maamuzi yako Fatuma watu wanakusema vibaya kwa kumuibia dada yako mme, mimi nipo tayari kubeba mzigo wa mtoto uliyezaa nae ili ionekane kuwa ni mwanangu"
"Nitolee maneno yako hapa najua unanitamani tu na hamna cha maana kingine, achia mkono wangu Nasir" niliongea na Nasir aliachia mkono wangu.

Niliondoka huku nikimuacha Nasir akiyatazama makalio yangu na ndicho kilichokuwa kikimtamanisha Nasir, natoka kumkwepa Nasir nakutana na msala mwingine tena wa Dr David.
"Fatuma nifate huku" Dr David aliniambia na mimi niliamua kumfata.
Alingia kwenye chumba chake cha kazi lakini mimi nilisita kuingia, Dr David aligeuka na kuniona nikiwa nimeganda mlangoni.
"Ebhu ingia huko sio kila mda unafikiri nataka kukutongoza ata hivyo sina shida na wewe sasa ivi" aliongea kwa hasira hivyo ilibidi niingie na kusogea mpaka sehemu aliyokuwa.
"Fatuma ukweli ni kuwa makalio yako yanatutesa sana sisi madoctor kama kungekuwa na uwezekano basi tungeyapunguza ili yasitutamanishe"
"Dr huko unaenda mbali mimi ndivyo nilivyoumbwa haitawezekana kuyapunguza ata siku moja"
"Kwakuwa wewe sio mwanaume ndiyo maana, angalia jinsi nilivyosimamisha na mbaya zaidi tukikutongoza unakataa kutupa!!, basi tu Fatuma ila unatutesa mno" Dr David aliongea na mimi niliamua kumkatisha kwa kumuuliza sababu iliyomfanya akaniita.

Dr David alinipa maelekezo ya mgonjwa ninayetakiwa kwenda kumpatia huduma hivyo niliondoka, na nilivyokuwa nikiondoka alikuwa akiyatazama makalio yangu.
"Haya makalio yangu yanazidi kuwa kero kwangu!" niliwaza huku nikiwa naelekea sehemu husika kwa ajili ya kwenda kumpatia huduma mgonjwa.

Nilifika na kumkuta mzee wa makamo amelazwa aliyekuwa na ndevu zenye mvi, hali yake haikuwa mbaya sana hivyo nilimpatia huduma na baada ya kumaliza nilitaka kuondoka lakini mgonjwa aliniita hivyo niliamua kumsikiliza.
"Samahani nesi unaweza kunipatia namba yako ya simu"
"Unashida gani mpaka uhitaji namba yangu ya simu mbona hali yako siyo mbaya na huduma bado tunakupatia!?"
"Siombi namba yako kwa ajili maradhi niliyonayo ila nataka nije nikutafute siku nikiagwa" mzee aliongea.
"Basi nakuletea namba zangu mda sio mrefu" nilimjibu na kuondoka, sikuwa na mpango wa kumpatia namba zangu za simu sema niliamua kumdanganya ili asiendelee kuniongelesha......ITAENDELEA.

Full Tsh 800 namba za malipo ????????????

0613083801 HALOPESA JINA JOHN BUGUMBA

0755271203 M-PESA JINA JOHN BUGUMBA

Maoni

You're not logged in


Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 25

Story……………….MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 25
Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER
Whatsap………....0613083801/0748697173
Umri………………..18+

ENDELEA.........
Mida ya jioni ilipofika nilijiandaa kwa ajili ya kwenda kazini, siku hiyo hakukuwa na wagonjwa wengi wa kuwahudumia hivyo mda mwingi niliutumia kulala, nikiwa nimelala nilikuja kuamshwa na Dr wa kiume alikuwa akiitwa Dr David, David aliniambia nimfate ili akanipe maelekezo vizuri ya kazi ninayotakiwa kuifanya.

Nilimfata huku nikiwa na uchovu na moja kwa moja tuliingia kwenye chumba chake.
"Fatuma kuna kazi natakiwa nikupe"
"Haina shida Dr ndiyo majukumu yetu haya" nilimjibu huku nikipiga miayo kutokana na uchovu niliokuwa nao.
"Kazi yenyewe sio kubwa ila ni ndogo tu tena ya dekika kadhaa"
"Oooh sawa nipo tayari"
Baada ya kumjibu...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mmmmh-shemeji-hapana-25

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending 🐓 Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mmmmh-shemeji-hapana
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 30 FINAL
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 30 FINAL
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 01
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 01
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 03
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 03
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 04
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 04
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 29
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 29
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 15
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 15
MMMMH....SHEMEJI HAPANA!!!?? 02
MMMMH....SHEMEJI HAPANA!!!?? 02
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 12
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 12
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 22
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 22
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 26
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 26
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 27
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 27
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 20
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 20
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 28
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 28
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 24 Mtunzi……………
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 24 Mtunzi……………
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 13
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 13
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 16
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 16
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 14
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 14
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 05
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 05
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? (18 & 19)
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? (18 & 19)
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 17
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 17
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 23
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 23
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 06
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 06
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 07
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 07
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 09
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 09
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 21 Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 21 Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 08
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 08
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 11
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 11
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 10
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 10
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE

NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE

447
LETICIA Sehemu ya 19 na 20

LETICIA Sehemu ya 19 na 20

333
CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10

CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10

111
MFALME KIPOFU  27

MFALME KIPOFU 27

98
MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17

MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17

83
MFALME KIPOFU  17 -- 18

MFALME KIPOFU 17 -- 18

62
MFALME KIPOFU  19 -- 20

MFALME KIPOFU 19 -- 20

58
MFALME KIPOFU  25 -- 26

MFALME KIPOFU 25 -- 26

56
MFALME KIPOFU  21 -- 22

MFALME KIPOFU 21 -- 22

55
MFALME KIPOFU  23 -- 24

MFALME KIPOFU 23 -- 24

42

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

12.03K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.71K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.91K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.67K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

3.11K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

3.04K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.91K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.86K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.76K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.71K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Mmmh nilihisi utumbo unacheza, kwa nn haruhusiwi ndoa sasa? Au ameoa? Nilijiuliza sana, keanu akasema sijakuelewa kwa nn siruhusiwi kuoa sasa? Akasema kuna mashart katika kila kanisa ili...

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18 Post Mpya
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18
@majario LIVE

Mida ya jioni vipindi vilipoisha tuliongozana na Glad hadi kwa kaka yake ilikuwa ni saa kumi na moja za jioni hivyo alikuwa kasharudi toka kazini tulimkuta nyumbani 🏡. Karibuni...

CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10 Post Mpya
CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10
@majario LIVE

SEHEMU YA 08 "Kwanza haoni ajabu kukufukuza,na akisema hakutaki ujue hakuna was kukutetea hata mama hataongea .... kwaiyo muangalie hivyo hivyo kauli yake moja tu inakuondoa........... Nicole aliposema hivyo nilimuogopa sana...

Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii Post Mpya
Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii
@mjukuu LIVE

Screengrab from video put out by Iranian state media Tasnim News of an Iranian missile with Trump's name on it, in response to the great gift from Iran Trump claimed...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE
@majario LIVE

:131 Nikawa natoa ile bahasha. Vile natoa, namuona Boss Yule anakuja. Ni wazi alisikia kengele au aliniona kwa juu. Nikasema kwa ndani “niondoke?” Ataona Kama namkimbia, Nikajikaza pale kusubiri. Basi kweli alifika,...

MFALME KIPOFU  27 Post Mpya
MFALME KIPOFU 27
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 27 (FINAL) Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Nawauliza Princess Nailet yupo wapi? alipotazama Pembeni hakuamini kuona mwili wa binti yake....... ENDELEA NAYO...... Mfalme Tengu alilia kama mtoto mdogo "Pole sana mfalme kwa kipindi kigumu unachopitia Prince...

MFALME KIPOFU  25 -- 26 Post Mpya
MFALME KIPOFU 25 -- 26
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 25 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno ya Lindiwe yalimfanya Princess Nailet kutabasamu nakutulia kuwaacha waongonzane watu watatu tu Malikia,Prince Yao na Amma mwenyewe kwenda kutafuta iyo dawa...... ENDELEA NAYO.......... Malikia andwaa aliongoza msafara wa...

MFALME KIPOFU  23 -- 24 Post Mpya
MFALME KIPOFU 23 -- 24
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 23 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno yale yalipenya kwenye masikio ya Amma na baadhi ya watu waliokuwa pale wakitazama tu badala ya kutoa msaada,Babaaaaa............ ENDELEA NAYO.......... "Baba amka",Amma alimwita baba yake, Aliye kuwa tayali amepoteza...

MFALME KIPOFU  21 -- 22 Post Mpya
MFALME KIPOFU 21 -- 22
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 21 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Malikia alichanganyikiwa baada ya kusikia maneno yale ya dakitari Malikia aliita walinzi na ,kuwapa maagizo ya kuwakamata matabibu wote...... ENDELEA NAYO....... Walisubili pakuche msako uanze wa kuwakamata matabibu...

MFALME KIPOFU  19 -- 20 Post Mpya
MFALME KIPOFU 19 -- 20
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............19 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Ni mapenzi ya ajabu aliyokuwa nayo Princess Nailet kwa Yao licha ya kumfahamu kwa mda mfupi tu lakini aliteka sehemu kubwa ya moyo wake... ENDELEA NAYO....... Aliendelea na safari ya...

MFALME KIPOFU  17 -- 18 Post Mpya
MFALME KIPOFU 17 -- 18
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............17 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Lindiwe alitege sikio vizuri na kweli alisikia sauti emu njoo huku alimvuta Prince Yao pembeni na kujificha sehemu ni ngumu kuonekana. Namu sura ya General haikutoka machoni mwake alimuona...

MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17 Post Mpya
MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17
@mjukuu LIVE

Ilipoishia sehemu iliyopita...... Asikari",Mfalme Tengu aliita kwa hasira "Nendeni mkawarudishe haraka" "Mfalme tayali wameshavuka mpaka" "Nimesema nendeni mkawarudishe" Waliondoka na kumuacha Mfalme akiendelea ..... SEHEMU YA 16 ENDELEA NAYO...... Waliondoka na kumuacha mfalme akiendelea kuongea na binti...

LETICIA Sehemu ya 19 na 20 Post Mpya
LETICIA Sehemu ya 19 na 20
@majario LIVE

💍💍💍💍💍💍 Nikasikia madam prisca anasema nyie uko jikoni mbona kama mnajibizana sana ,polela akasema amna madamu ,kisha akaondoka basi mwenzenu polela akawa ananisumbua kila siku ,yaani kila akiniona nipo peke yangu...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 121 - 130 SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 121 - 130 SEASON THREE
@majario LIVE

:121 Nilishtushwa na maumivu yake kabla sijafanya kitu, mama akawa anaingia, nikamzuia mama, mama alinitazama kisha Dorice, nikamuonesha mama Ishara asiseme kitu na badala yake atoke. Mama yangu ana upendo sana, alitii...

ZARA❤️ MPYA ( 1 MPAKA 5) Post Mpya
ZARA❤️ MPYA ( 1 MPAKA 5)
@majario LIVE

MPYA MPYA MPYA ⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️ ⚪️⚪️ Sehemu ya 1 na 2 Ilikuwa ni siku ambayo nna raaha kweli kweli, nikiagana na rafiki zangu shuleni, ni siku ambayo tayali wanafunzi wa kidato cha...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest