Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 13
Gonga94 · Stories

MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 13

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Story……………….MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 13
Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER
Whatsap………....0613083801/0748697173
Umri………………..18+

ENDELEA..........
"Ndio dada na ameondoka mda sio mrefu nazani atafika hapo nyumbani mda wowote ule" niliongea huku nikimwangalia shemeji na baadae dada alikata simu.
"Kwanini umeamua kumuambia hivyo dada yako!?"
"Kwani kuna ubaya shemeji yule si mke wako!? anahaki ya kufahamu kuhusu hili"
"Sawa leo naondoka ile kesho usiku nitakuja kulala hapa" shemeji Rashidi aliongea na kuondoka.

Baada ya kuondoka nilifungua mlango na kuingia ndani. Niliwaza nitumie njia gani ili niwe mbali na shemeji Rashidi na njia pekee niliyoona inafaa nikufanya kazi sehemu nyingine ili niwe huru.

Nilianza kutafuta kazi sehemu nyingine huku nikiwa mwajiriwa wa hospital niliyokuwa nikifanyia kazi, nilienda kwenye moja ya zahanati ya kibinafsi na kubahatika kukutana na mhusika mkuu niliyeelekezwa aliyekuwa ni mwanaume asiyepungua miaka 45. Alikuwa akinitazama kila dekika na mimi moja kwa moja nilitambua kavutiwa na mimi.
"Binti kazi haipo ila ninaweza kukusaidia ukapata kazi"
"Nitashukuru sana kama utanisaidia kwenye hili" nilimjibu huku nikiwa na matumaini makubwa ya kupata kazi.
"Ila kuna kitu unatakiwa utoe ndiyo upate kazi lasivyo huwezi kupata kazi hapa" Aliongea huku akiniangalia machoni na mimi sikutaka kuyakwepesha macho yangu zaidi ya kumkodolea pasipo kumwogopa.
"Kitu gani hicho!?"
"Wewe sio mtoto jiongeze binti, umesema unaitwa Fatuma!!"
"Ndio, naitwa Fatuma"
"Basi jiongeze Fatuma"
Aliongea kwa mara nyingine na mimi nilijifanya sielewi kile anachohitaji kutoka kwangu japo hisia zangu ziliniambia kuwa anahitaji nimpatie rushwa ya ngono.
"Kweli boss sielewi unachomaanisha"
"Ooooh!! kama huelewi ngoja nikwambie, tengeneza V upate kazi"
"Nitengeneze V mbona sikuelewi boss!?"
"Tengeneza V upate kazi Fatuma, wewe ni mtu wa mjini unashindwaje kuelewa maana ya V!?" aliniambia kwa msisitizo ila bado nilikuwa njia panda hivyo nilimuuliza kwa mara nyingine na ndipo aliponiambia maana ya kutengeneza ni kupanua mapaja yangu, yajichore mfano wa V ili aweze kufanya mapenzi na mimi.

Baada ya kuniambia nifanye nae mapenzi ili nipate kazi nilibaki njia panda na kushindwa namna ya kumjibu hivyo nilijikuta nikikaa kimya kwa mda mbele yake.
"Nasubiri jibu lako Fatuma upo tayari kufanya mapenzi nikupe kazi au haupo tayari!?" aliniuliza kwa mara nyingine na mimi katika kufikiria kwangu niliona bora nimpe kitumbua changu mwanaume huyo kuliko kuendelea kufanya kazi kwenye hospital niliyokuwa nikifanya kazi maana shemeji Rashidi angeendelea kunisumbua tu.
"Mmmh lakini mimi naogopa bos...
"Unaogopa nini Fatuma kwani hujawahi kufanya mapenz!?"
"Nimewahi ila ni mara moja tu" niliongea kwa kumdanganya ili nipandishe thamani kwake na nimwingize kwenye mtego wangu.

Kiukweli wanaume walio wengi huwa nidhaifu mno mbele ya wanawake hasa wanapozidiwa na hisia ndiyo maana usishangae mwanaume kumhonga mwanamke gari au pesa za kutosha wakati huo nyumbani kwake hajaacha ata ile shilingi mia.

Basi baada ya kumuona hisia zimemzidia akitaka nikubali kufanya nae mapenzi niliamua kumwambia kuwa anipe kazi kwanza ndiyo nifanye nae mapenzi.
"Ina maana uniamini Fatuma!?"
"Nakuamini ila sio sana ndiyo maana nataka unipe kazi kwanza ili nikuamini kwa asilimia zote maana tunaweza kufanya mapenzi na kazi usinipe, sitakuwa na uwezo wa kukufanya chochote kile"
"Mmmmmh binti mjanja wewe!! basi sawa kazi umepata, kesho kutwa njoo asubuhi lakini nikuonye tu hutakiwi kuwa na mtu yoyote yule kwenye hii zabanati zaidi yangu lasivyo nitakutimua" aliniambia kwa msisitizo na mimi sikujali kile alichoniambia zaidi ya kuwa na furaha baada ya kuniambia kuwa nimeshapata kazi.

Nilinyenyuka kwenye kiti na kutaka kuondoka ila alinizuia na kuniambia.
"Sogea hapa nikuoneshe kitu"
"Mmmmh"
"Unataka kazi hutaki kazi!?" aliniuliza baada ya kunisikia nikiguna huku akinitaka nisogee mahali alipokuwa amekaa, ilibidi nisogee kwa kutembea huku nyuma makalio yangu yakitikisika na baada ya kufika sehemu aliyokuwa amekaa aliniambia.
"Geuka nyuma" ilikuwa ni amri aliyoitoa kwangu hivyo niligeuka bira kuleta ubishi wowote ule mbele yake.

Baada ya kugeuka nilishangaa kumuona akiyashika makalio yangu nakuanza kuyabinywa binywa kwa nguvu.
"Ohhhhsshhhh Fatuma twende ukanipe ata kidogo tu kwanza, kitu chenyewe hichi" aliongea huku akiendelea kuyashika shika na mimi nyege kwa mbali zilianza kunipanda hivyo haraka nilisogea pembeni ili asiendelee kunishika.
"Leo haitawezekana, kumbuka tumekubaliana boss, takuja kesho kutwa kuanza kazi na mimi nitatimiza ahadi yako"
"Duuh huu upwiru naupeleka wapi sasa Fatuma!?, nahitaji kupata utamu sasa ivi" licha ya kunibembeleza ila sikutaka kufanya kama alivyokuwa akitaka hivyo niliondoka nakuahidi nitakuja siku husika kama tulivyokuwa tumekubaliana na ndiyo siku nitakayofanya nae mapenzi kwa mara ya kwanza.......ITAENDELEA.

Full Tsh1000 namba za malipo ????????????

0613083801 HALOPESA JINA JOHN BUGUMBA

0755271203 M-PESA JINA JOHN BUGUMBA

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 13

Story……………….MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 13
Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER
Whatsap………....0613083801/0748697173
Umri………………..18+

ENDELEA..........
"Ndio dada na ameondoka mda sio mrefu nazani atafika hapo nyumbani mda wowote ule" niliongea huku nikimwangalia shemeji na baadae dada alikata simu.
"Kwanini umeamua kumuambia hivyo dada yako!?"
"Kwani kuna ubaya shemeji yule si mke wako!? anahaki ya kufahamu kuhusu hili"
"Sawa leo naondoka ile kesho usiku nitakuja kulala hapa" shemeji Rashidi aliongea na kuondoka.

Baada ya kuondoka nilifungua mlango na kuingia ndani. Niliwaza nitumie njia gani ili niwe mbali na shemeji Rashidi na njia pekee niliyoona inafaa nikufanya kazi sehemu nyingine ili niwe huru.

Nilianza kutafuta kazi sehemu nyingine huku nikiwa mwajiriwa wa hospital niliyokuwa nikifanyia kazi,...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mmmmh-shemeji-hapana-13

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending 🐓 Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mmmmh-shemeji-hapana
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 30 FINAL
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 30 FINAL
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 01
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 01
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 03
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 03
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 04
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 04
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 29
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 29
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 15
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 15
MMMMH....SHEMEJI HAPANA!!!?? 02
MMMMH....SHEMEJI HAPANA!!!?? 02
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 12
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 12
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 22
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 22
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 26
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 26
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 27
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 27
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 28
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 28
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 20
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 20
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 24 Mtunzi……………
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 24 Mtunzi……………
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 16
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 16
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 14
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 14
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 05
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 05
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? (18 & 19)
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? (18 & 19)
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 25
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 25
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 17
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 17
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 23
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 23
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 06
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 06
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 07
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 07
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 09
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 09
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 21 Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 21 Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 08
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 08
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 11
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 11
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 10
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 10
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE

NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE

447
LETICIA Sehemu ya 19 na 20

LETICIA Sehemu ya 19 na 20

333
CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10

CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10

111
MFALME KIPOFU  27

MFALME KIPOFU 27

98
MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17

MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17

83
MFALME KIPOFU  17 -- 18

MFALME KIPOFU 17 -- 18

62
MFALME KIPOFU  19 -- 20

MFALME KIPOFU 19 -- 20

58
MFALME KIPOFU  25 -- 26

MFALME KIPOFU 25 -- 26

56
MFALME KIPOFU  21 -- 22

MFALME KIPOFU 21 -- 22

55
MFALME KIPOFU  23 -- 24

MFALME KIPOFU 23 -- 24

42

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

12.03K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.71K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.91K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.67K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

3.11K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

3.04K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.91K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.86K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.76K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.71K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Mmmh nilihisi utumbo unacheza, kwa nn haruhusiwi ndoa sasa? Au ameoa? Nilijiuliza sana, keanu akasema sijakuelewa kwa nn siruhusiwi kuoa sasa? Akasema kuna mashart katika kila kanisa ili...

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18 Post Mpya
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18
@majario LIVE

Mida ya jioni vipindi vilipoisha tuliongozana na Glad hadi kwa kaka yake ilikuwa ni saa kumi na moja za jioni hivyo alikuwa kasharudi toka kazini tulimkuta nyumbani 🏡. Karibuni...

CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10 Post Mpya
CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10
@majario LIVE

SEHEMU YA 08 "Kwanza haoni ajabu kukufukuza,na akisema hakutaki ujue hakuna was kukutetea hata mama hataongea .... kwaiyo muangalie hivyo hivyo kauli yake moja tu inakuondoa........... Nicole aliposema hivyo nilimuogopa sana...

Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii Post Mpya
Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii
@mjukuu LIVE

Screengrab from video put out by Iranian state media Tasnim News of an Iranian missile with Trump's name on it, in response to the great gift from Iran Trump claimed...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE
@majario LIVE

:131 Nikawa natoa ile bahasha. Vile natoa, namuona Boss Yule anakuja. Ni wazi alisikia kengele au aliniona kwa juu. Nikasema kwa ndani “niondoke?” Ataona Kama namkimbia, Nikajikaza pale kusubiri. Basi kweli alifika,...

MFALME KIPOFU  27 Post Mpya
MFALME KIPOFU 27
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 27 (FINAL) Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Nawauliza Princess Nailet yupo wapi? alipotazama Pembeni hakuamini kuona mwili wa binti yake....... ENDELEA NAYO...... Mfalme Tengu alilia kama mtoto mdogo "Pole sana mfalme kwa kipindi kigumu unachopitia Prince...

MFALME KIPOFU  25 -- 26 Post Mpya
MFALME KIPOFU 25 -- 26
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 25 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno ya Lindiwe yalimfanya Princess Nailet kutabasamu nakutulia kuwaacha waongonzane watu watatu tu Malikia,Prince Yao na Amma mwenyewe kwenda kutafuta iyo dawa...... ENDELEA NAYO.......... Malikia andwaa aliongoza msafara wa...

MFALME KIPOFU  23 -- 24 Post Mpya
MFALME KIPOFU 23 -- 24
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 23 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno yale yalipenya kwenye masikio ya Amma na baadhi ya watu waliokuwa pale wakitazama tu badala ya kutoa msaada,Babaaaaa............ ENDELEA NAYO.......... "Baba amka",Amma alimwita baba yake, Aliye kuwa tayali amepoteza...

MFALME KIPOFU  21 -- 22 Post Mpya
MFALME KIPOFU 21 -- 22
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 21 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Malikia alichanganyikiwa baada ya kusikia maneno yale ya dakitari Malikia aliita walinzi na ,kuwapa maagizo ya kuwakamata matabibu wote...... ENDELEA NAYO....... Walisubili pakuche msako uanze wa kuwakamata matabibu...

MFALME KIPOFU  19 -- 20 Post Mpya
MFALME KIPOFU 19 -- 20
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............19 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Ni mapenzi ya ajabu aliyokuwa nayo Princess Nailet kwa Yao licha ya kumfahamu kwa mda mfupi tu lakini aliteka sehemu kubwa ya moyo wake... ENDELEA NAYO....... Aliendelea na safari ya...

MFALME KIPOFU  17 -- 18 Post Mpya
MFALME KIPOFU 17 -- 18
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............17 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Lindiwe alitege sikio vizuri na kweli alisikia sauti emu njoo huku alimvuta Prince Yao pembeni na kujificha sehemu ni ngumu kuonekana. Namu sura ya General haikutoka machoni mwake alimuona...

MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17 Post Mpya
MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17
@mjukuu LIVE

Ilipoishia sehemu iliyopita...... Asikari",Mfalme Tengu aliita kwa hasira "Nendeni mkawarudishe haraka" "Mfalme tayali wameshavuka mpaka" "Nimesema nendeni mkawarudishe" Waliondoka na kumuacha Mfalme akiendelea ..... SEHEMU YA 16 ENDELEA NAYO...... Waliondoka na kumuacha mfalme akiendelea kuongea na binti...

LETICIA Sehemu ya 19 na 20 Post Mpya
LETICIA Sehemu ya 19 na 20
@majario LIVE

💍💍💍💍💍💍 Nikasikia madam prisca anasema nyie uko jikoni mbona kama mnajibizana sana ,polela akasema amna madamu ,kisha akaondoka basi mwenzenu polela akawa ananisumbua kila siku ,yaani kila akiniona nipo peke yangu...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 121 - 130 SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 121 - 130 SEASON THREE
@majario LIVE

:121 Nilishtushwa na maumivu yake kabla sijafanya kitu, mama akawa anaingia, nikamzuia mama, mama alinitazama kisha Dorice, nikamuonesha mama Ishara asiseme kitu na badala yake atoke. Mama yangu ana upendo sana, alitii...

ZARA❤️ MPYA ( 1 MPAKA 5) Post Mpya
ZARA❤️ MPYA ( 1 MPAKA 5)
@majario LIVE

MPYA MPYA MPYA ⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️ ⚪️⚪️ Sehemu ya 1 na 2 Ilikuwa ni siku ambayo nna raaha kweli kweli, nikiagana na rafiki zangu shuleni, ni siku ambayo tayali wanafunzi wa kidato cha...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest