Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 10
Gonga94 · Stories

MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 10

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Story……………….MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 10
Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER
Whatsap………....0613083801/0748697173
Umri………………..18+

ENDELEA.........
Baadae alitupita nakuendelea na safari.
"Fatuma leo usiku nakuja kulala kwako kipenzi" Nasir alizungumza.
"Nilishakwambia mpaka ndoa ndiyo utapata utamu Nasir kuwa mwelewa tafadhali!!"
"Kwani bado bikra mpaka uniambie mpaka ndoa!!?"
"Sio bikra ila tu nimeshafanya maamuzi Nasir kama unanipenda utafata maamuzi yangu"
"Sasa kama sio bikra kwanini ukatae kulala na mimi au hunipendi!?" Nasir aliongea kwa kulalamika akitaka nikubali kumpa tunda la kati.
"Kwani kuna shida gani tukioane alafu unile mpaka unikinai mwenyewe!?"
"Hakuna ubaya wowote ila sio haki hii Fatuma kabisa!! kama mwanaume aliyekutoa bikra ulikubali kumpa kwanini isiwe mimi! nitaanzaje kukuamini kama kweli unanipenda!?" nyie hiyo siku Nasir alilalamika akinitaka nikubali kufanya nae mapenzi ila niliendelea kumuwekea ugumu huku nikiwa na lengo langu.

Bahati nzuri kuna mfanyakazi mwenzetu alifika na kumwambia Nasir kuwa kuna mgonjwa anayetakiwa kwenda kumhudumia, Nasir aliondoka na mimi niliendelea na kazi zangu.

Mda wa kwenda nyumbani ulipofika niliondoka na kwenda nyumbani kwangu na hazikupita dekika 5 dada Aisha alinipigia simu na kuniambia.
"Fatuma njoo nyumbani mara moja"
"Nije nyumbani kwani kuna kitu gani dada!?" nilimuuliza huku nikiwa na wasiwasi mkubwa na hofu yangu ilikuwa ni siri iliyokuwepo kati yangu na shemeji Rashidi hivyo niliamua kumuuliza dada lakini hakutaka kuniambia sababu ya kunitaka niende nyumbani kwake.

Nilitamani kumtafuta shemeji Rashidi ili nimuulize kuna shida gani!? ila nafsi nyingine ilinisuta hivyo nilijiandaa na kwenda nyumbani kwa dada.

Haikuchukua mda niliweza kufika nyumbani kwa dada huku nikiwa na wasiwasi, nilifungua mlango na mtu wa kwanza kumuona alikuwa ni shemeji Rashidi aliyekuwa amekaa kwenye kochi.
"Shemeji za mida!!" nilitoa salamu kwa shemeji Rashidi lakini hakunijibu na mda huo huo dada alifika na kunikuta nikiwa nimesimama.
"Fatuma bora ata umekuja shemeji yako kaninunia toka atoke kazini na hataki kunisemesha kabisa labda uongee nae wewe huenda atakuelewa" Dada Aisha aliongea na mimi ndani ya moyo wangu nilisijemea kama ningejua kitu alichoniitia dada basi nisingekubali kuja.
"Aya dada ngoja nijaribu kuongea na shemeji" nilimjibu ili kumlizisha, baadae dada aliondoka na kutuacha sisi wawili hapo ndipo kimbembe kingine kilipoanzia maana nilishindwa nianze wapi kumuongelesha shemeji.
"Usije ukajaribu kunisogelea Fatuma nitakupiga hicho kibao ambacho hujawahi kupigwa" shemeji Rashidi aliniambia kwa sauti ya chini iliyojaa msisitizo.

Niliamua kunyenyuka na kumfata dada, nilimkuta akiwa jikoni akipika.
"Umeshaongea nae tayari!?" Dada Aisha aliniuliza, haraka niliwaza ni kitu gani nachotakiwa kuongea mbele ya dada hivyo niliamua kutunga uongo mbele yake.
"Eeeh dada nimeshaongea"
"Kakwambia shida nini inayomfanya awe kimya kiasi kile!?"
"Chakula dada, tatizo ni chakula unachompikia leo, amesema hajisikii kabisa kula chakula unachompikia" nilitunga uongo wangu mbele ya dada.
"Mbona ndiyo chakula anachopenda na ata hivyo kaninunia kabra ata sijaanza kupika chakula"
"Mmmh ila mimi ndiyo kaniambia hivyo sasa" nilimjibu na baadae ilibidi nimuage maana sikutaka kuendelea kukaa nyumbani kwa dada licha ya kuwa ilikuwa ni usiku.

Niliondoka na kwenda nyumbani kwangu na kabra ata sijafungua mlango Dr Nasir alinipigia simu hivyo niliamua kuipokea simu.
"Fatuma nipo mtaa wenu na ninazawadi zako hapa kipenzi changu, nielekeze vizuri ili niweze kufika kwako maana nimeshapasahau" Nasir aliongea na mimi nilijua ni mtego ili aweze kufanya sex na mimi ila sikutaka kuziacha zawadi alizokuja nazo.
"Basi nisubiri nakuja kukufata hapo ulipo" Nasir alikata simu na mimi niliondoka na kumfata mahali alipokuwa. Nilifika na kumkuta akiwa kwenye gari yake.
"Ingia ndani ya gari unielekeze njia vizuri kipenzi" Nasir alizungumza na mimi nilikiri kuwa hiyo siku ni ngumu kuchomoka kwenye mtego wa Nasir aliyeonesha uhitaji mkubwa wa kutaka kufanya mapenzi na mimi.

Niliingia ndani ya gari nakuanza kumwelekeza na baada ya mda tulifika mahali nilipokuwa nikiishi. Nasir alikuwa wa kwanza kuteremka na kwenda kufungua buti ya gari na kuanza kutoa vitu alivyokuwa amekuja navyo huku kukiwa na mchele, mafuta na vitu vingine vingi.

Nilienda kufungua mlango huku nikisaidizana na Nasir kuingiza vitu alivyokuwa ameniletea kama zawadi.

Baada ya kufungua mlango mimi na Nasir tulisaidizana kuingiza vitu na baadae Nasir alinisogelea na kunikumbatia.
"Leo nataka nilale hapa kipenzi changu" aliongea huku akiyashika makalio yangu.
"Lakini sin...
"Sitaki uendelee kuongea Fatuma maana najua hutaki kuona nikilala hapa" aliniambia na baadae alinisogezea mdomo wake akihitaji tukisiane.

Ningeanzaje kukataa sasa na ukizingatia kaniletea zawadi za kutosha. nilikubali kumkiss kitu kilichokuwa na lilikuwa kosa nililolifanya kwani Nasir alipandwa na hisia na kushikwa na upwiru wa hatari. Nikiwa Sina hili wa lile alinisukumia kwenye kochi nakuanza kufungua mkanda wa suruali, nilibaki nikimwangalia mpaka pale alipomaliza kufungua mkanda wa suruali yake na kuivua kabisa.

Baadae alinisogelea na kunitaka nimpe ushirikiano. Kiukweli kuna mda moyo wangu ulikuwa mzito kukubali lakini mwenzangu damu yake tayari ilikuwa imeshaanza kuchemka hivyo ilikuwa ngumu kwangu kumkwepa.

Nasir alivyoona najishauri alinivulisha nguo mwenyewe na kuzitoa zote kwenye mwili wangu. Siku hiyo kwa mara ya kwanza mimi na yeye tulifanya mapenzi japo shemeji Rashidi alikuwa anaufundi wa uangalau kwenye kufanya mapenzi kuliko Nasir.

Nasir alishinda nyumbani kwangu usiku huo na siku iliyofata asubuhi na mapema dada alinipigia simu. Niliipokea simu yake na dada Aisha aliniambia kuwa shemeji Rashidi aliondoka usiku uliopita nyumbani na hakurudi tena.
"Yani hapa nimechanganyikiwa Fatuma nahisi kabisa shemeji yako ameshapata mwanamke huko nje na nikimjua huyo mwanamke lazima anitambue vizuri ata kwa waganga nitaenda Fatuma"
"Mmmmh dada pole kwa hilo ila jaribu kufatilia vizuri" nilimjibu na nikiwa bado naendelea kuongea nae mikono ya Nasir ilianza kuyashika makalio yangu kwa kuyapapa.....ITAENDELEA.

Full Tsh1000 namba za malipo ????????????

0613083801 HALOPESA JINA JOHN BUGUMBA

0755271203 M-PESA JINA JOHN BUGUMBA

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Mimi sikuachi fully stories
Mimi sikuachi fully stories
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 10

Story……………….MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 10
Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER
Whatsap………....0613083801/0748697173
Umri………………..18+

ENDELEA.........
Baadae alitupita nakuendelea na safari.
"Fatuma leo usiku nakuja kulala kwako kipenzi" Nasir alizungumza.
"Nilishakwambia mpaka ndoa ndiyo utapata utamu Nasir kuwa mwelewa tafadhali!!"
"Kwani bado bikra mpaka uniambie mpaka ndoa!!?"
"Sio bikra ila tu nimeshafanya maamuzi Nasir kama unanipenda utafata maamuzi yangu"
"Sasa kama sio bikra kwanini ukatae kulala na mimi au hunipendi!?" Nasir aliongea kwa kulalamika akitaka nikubali kumpa tunda la kati.
"Kwani kuna shida gani tukioane alafu unile mpaka unikinai mwenyewe!?"
"Hakuna ubaya wowote ila sio haki hii Fatuma kabisa!! kama mwanaume aliyekutoa bikra ulikubali kumpa kwanini isiwe mimi! nitaanzaje kukuamini kama kweli unanipenda!?" nyie hiyo siku Nasir alilalamika...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mmmmh-shemeji-hapana-10

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending 🐓 Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mmmmh-shemeji-hapana
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 30 FINAL
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 30 FINAL
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 01
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 01
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 03
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 03
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 04
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 04
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 29
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 29
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 15
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 15
MMMMH....SHEMEJI HAPANA!!!?? 02
MMMMH....SHEMEJI HAPANA!!!?? 02
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 12
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 12
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 22
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 22
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 26
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 26
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 27
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 27
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 28
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 28
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 20
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 20
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 24 Mtunzi……………
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 24 Mtunzi……………
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 16
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 16
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 13
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 13
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 14
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 14
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 05
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 05
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? (18 & 19)
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? (18 & 19)
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 25
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 25
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 17
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 17
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 23
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 23
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 06
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 06
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 07
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 07
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 09
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 09
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 21 Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 21 Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 08
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 08
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 11
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 11
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE

NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE

447
LETICIA Sehemu ya 19 na 20

LETICIA Sehemu ya 19 na 20

333
CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10

CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10

111
MFALME KIPOFU  27

MFALME KIPOFU 27

98
MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17

MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17

83
MFALME KIPOFU  17 -- 18

MFALME KIPOFU 17 -- 18

62
MFALME KIPOFU  19 -- 20

MFALME KIPOFU 19 -- 20

58
MFALME KIPOFU  25 -- 26

MFALME KIPOFU 25 -- 26

56
MFALME KIPOFU  21 -- 22

MFALME KIPOFU 21 -- 22

55
MFALME KIPOFU  23 -- 24

MFALME KIPOFU 23 -- 24

42

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

12.03K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.71K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.91K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.67K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

3.11K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

3.04K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.91K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.86K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.76K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.71K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Mmmh nilihisi utumbo unacheza, kwa nn haruhusiwi ndoa sasa? Au ameoa? Nilijiuliza sana, keanu akasema sijakuelewa kwa nn siruhusiwi kuoa sasa? Akasema kuna mashart katika kila kanisa ili...

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18 Post Mpya
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18
@majario LIVE

Mida ya jioni vipindi vilipoisha tuliongozana na Glad hadi kwa kaka yake ilikuwa ni saa kumi na moja za jioni hivyo alikuwa kasharudi toka kazini tulimkuta nyumbani 🏡. Karibuni...

CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10 Post Mpya
CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10
@majario LIVE

SEHEMU YA 08 "Kwanza haoni ajabu kukufukuza,na akisema hakutaki ujue hakuna was kukutetea hata mama hataongea .... kwaiyo muangalie hivyo hivyo kauli yake moja tu inakuondoa........... Nicole aliposema hivyo nilimuogopa sana...

Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii Post Mpya
Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii
@mjukuu LIVE

Screengrab from video put out by Iranian state media Tasnim News of an Iranian missile with Trump's name on it, in response to the great gift from Iran Trump claimed...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE
@majario LIVE

:131 Nikawa natoa ile bahasha. Vile natoa, namuona Boss Yule anakuja. Ni wazi alisikia kengele au aliniona kwa juu. Nikasema kwa ndani “niondoke?” Ataona Kama namkimbia, Nikajikaza pale kusubiri. Basi kweli alifika,...

MFALME KIPOFU  27 Post Mpya
MFALME KIPOFU 27
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 27 (FINAL) Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Nawauliza Princess Nailet yupo wapi? alipotazama Pembeni hakuamini kuona mwili wa binti yake....... ENDELEA NAYO...... Mfalme Tengu alilia kama mtoto mdogo "Pole sana mfalme kwa kipindi kigumu unachopitia Prince...

MFALME KIPOFU  25 -- 26 Post Mpya
MFALME KIPOFU 25 -- 26
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 25 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno ya Lindiwe yalimfanya Princess Nailet kutabasamu nakutulia kuwaacha waongonzane watu watatu tu Malikia,Prince Yao na Amma mwenyewe kwenda kutafuta iyo dawa...... ENDELEA NAYO.......... Malikia andwaa aliongoza msafara wa...

MFALME KIPOFU  23 -- 24 Post Mpya
MFALME KIPOFU 23 -- 24
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 23 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno yale yalipenya kwenye masikio ya Amma na baadhi ya watu waliokuwa pale wakitazama tu badala ya kutoa msaada,Babaaaaa............ ENDELEA NAYO.......... "Baba amka",Amma alimwita baba yake, Aliye kuwa tayali amepoteza...

MFALME KIPOFU  21 -- 22 Post Mpya
MFALME KIPOFU 21 -- 22
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 21 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Malikia alichanganyikiwa baada ya kusikia maneno yale ya dakitari Malikia aliita walinzi na ,kuwapa maagizo ya kuwakamata matabibu wote...... ENDELEA NAYO....... Walisubili pakuche msako uanze wa kuwakamata matabibu...

MFALME KIPOFU  19 -- 20 Post Mpya
MFALME KIPOFU 19 -- 20
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............19 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Ni mapenzi ya ajabu aliyokuwa nayo Princess Nailet kwa Yao licha ya kumfahamu kwa mda mfupi tu lakini aliteka sehemu kubwa ya moyo wake... ENDELEA NAYO....... Aliendelea na safari ya...

MFALME KIPOFU  17 -- 18 Post Mpya
MFALME KIPOFU 17 -- 18
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............17 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Lindiwe alitege sikio vizuri na kweli alisikia sauti emu njoo huku alimvuta Prince Yao pembeni na kujificha sehemu ni ngumu kuonekana. Namu sura ya General haikutoka machoni mwake alimuona...

MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17 Post Mpya
MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17
@mjukuu LIVE

Ilipoishia sehemu iliyopita...... Asikari",Mfalme Tengu aliita kwa hasira "Nendeni mkawarudishe haraka" "Mfalme tayali wameshavuka mpaka" "Nimesema nendeni mkawarudishe" Waliondoka na kumuacha Mfalme akiendelea ..... SEHEMU YA 16 ENDELEA NAYO...... Waliondoka na kumuacha mfalme akiendelea kuongea na binti...

LETICIA Sehemu ya 19 na 20 Post Mpya
LETICIA Sehemu ya 19 na 20
@majario LIVE

💍💍💍💍💍💍 Nikasikia madam prisca anasema nyie uko jikoni mbona kama mnajibizana sana ,polela akasema amna madamu ,kisha akaondoka basi mwenzenu polela akawa ananisumbua kila siku ,yaani kila akiniona nipo peke yangu...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 121 - 130 SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 121 - 130 SEASON THREE
@majario LIVE

:121 Nilishtushwa na maumivu yake kabla sijafanya kitu, mama akawa anaingia, nikamzuia mama, mama alinitazama kisha Dorice, nikamuonesha mama Ishara asiseme kitu na badala yake atoke. Mama yangu ana upendo sana, alitii...

ZARA❤️ MPYA ( 1 MPAKA 5) Post Mpya
ZARA❤️ MPYA ( 1 MPAKA 5)
@majario LIVE

MPYA MPYA MPYA ⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️ ⚪️⚪️ Sehemu ya 1 na 2 Ilikuwa ni siku ambayo nna raaha kweli kweli, nikiagana na rafiki zangu shuleni, ni siku ambayo tayali wanafunzi wa kidato cha...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest