Story……………….MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 24
Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER
Whatsap………....0613083801/0748697173
Umri………………..18+
ENDELEA.........
Siku hiyo ilipita na ndiyo ulikuwa utaratibu wetu huku nikibakiza siku chache kwa ajili ya kwenda kujifungua. siku moja nikiwa nimelala kitandani mimi pamoja na Rashidi, aliomba game.
Nilijaribu kuweka ugumu ili tu kumkwepa lakini Rashidi huwa hawezi kubembeleza hasa anaposhikwa na hamu ya kufanya mapenzi, alitumia nguvu kufanya mapenzi na mimi kitu alichofanikiwa ila alishangaa baada ya kuona nikiwa tayari nimeshafanyiwa usafi kwenye bustani yangu.
Mtalimbo wake ulisinywaa gafra na kuacha kufanya kile alichotaka kukifanya, Rashidi alizubaa gafra huku macho yake akiwa ameyatoa.
Mimi nilijua hisia zimekata za kufanya mapenzi na mimi hivyo nilijitengeneza vizuri kwa ajili ya kulala na ndipo niliposikia akiniuliza.
"Nani kakunyoa huku chini!?"
"Wapi!?" na mimi nilirudisha swali kwa Rashidi
"Huku kwenye tunda lako"
"Oooh kumbe huko!! jana nilivyoenda clinic kuna nesi ninayejuana nae alinifanyia usafi" niliamua kumdanganya na Rashidi aliridhika na jibu langu, baadae alirudisha hisia zake na kuendelea alipokuwa ameishia kwa kulazimisha kufanya mapenzi na mimi kitu ambacho alifanikiwa.
Ulifika mda wa kujifungua na bahati nzuri kwangu niliweza kujifungua salama mtoto wa kiume, mama hakuja kunipongeza maana bado alikuwa hajafurahishwa kuniona mimi nikiwa naishi na Rashidi mwanaume aliyekuwa mme wa dada, Shemeji Nasib alikuwa bado akiishi nyumbani na kaka yake alimtafutia nafasi ya kazi kwenye hospital aliyokuwa akifanyia kazi yeye hivyo walikuwa wakiongozana wote kuelekea kazini.
Upande wangu baada ya hali yangu kukaa sawa nilirudi kazini na nilikutana na mabadiliko siku hiyo ya kupangiwa kazi za usiku, nilijaribu kuuliza sababu ni ipi lakini waliniambia kuwa ni utaratibu mpya uliokuwa umewekwa. wanasema kazi ni kazi ndicho kilichotokea kwangu kwani niliyakubali majukumu niliyopatiwa kwenye hospital niliyokuwa nikifanyia kazi.
Tuliajiri mdada kwa ajili ya kumuangalia mtoto maana hakukuwa na mtu aliyekuwa akishinda nyumbani, wiki ya kwanza ilikatika nikiwa nafanyakazi za usiku huku mida ya asubuhi nikirudi nyumbani, Rashidi pamoja na Shemeji Nasib wao walikuwa wakienda kazini wakati wa kutwa. Siku moja mida ya asubuhi baada ya kutoka kazini shemeji Nasib alinitumia ujumbe.
"Nimekukumbuka sana Fatuma leo nitatoroka kazini, naomba ukubali please" ni ujumbe uliokuwa ukisomeka kwenye simu yangu hivyo niliamua kuufuta ili kuepusha mambo mengine yasije kutokea.
Niliendelea na ratiba zangu na baada ya mda nilisikia sauti ya Rashidi na moja kwa moja aliingia mpaka chumbani.
"Nimeutafuta upenyo wa kuja kwako mke wangu mpaka nimeupata, na hamu na wewe kweli" Rashidi aliongea huku akinisogelea.
Kidogo nilipunguza chuki kwake na sikuwa kama kile kipindi nilichokuwa mjamzito, sikutaka kumnyima haki yake hivyo nilikubali na Rashidi aliamua kuitumia nafasi niliyompatia, tukiwa tayari tumeshatumia zaidi ya dekika 10 kwenye mizagamuo huku tukiwa bado tunaendelea kwa mbali niliuona mlango wa chumba chetu ukifunguliwa, bahati nzuri Rashidi alikuwa amegeukia upande wangu na kuutegea kisogo mlango, mtu aliyekuwa akifungua mlango alikuwa ni shemeji Nasib, alishangaa kumkuta kaka yake akiwa juu ya kifua changua akinishughulikia, aliufunga mlango haraka ili kaka yake asiwe kumuona na kuondoka.
Baadae Rashidi alitosheka na kujitoa kwenye kifua changu, na ndiyo ilikuwa shida yake yani alikuwa hajali kama nimeridhika au la!! Alienda kuoga haraka na baada ya kumaliza aliniaga nakuondoka kwa ajili ya kuwahi kazini, nilinyenyuka kitandani kwa ajili ya kwenda kuoga ila mda huo huo nilimuona Shemeji Nasib akiingia chumbani.
"Shemeji umeijia nini chumbani kwangu!?"
"Fatuma kwani umesahau kama nilikutumia ujumbe mda mchache uliopita!?"
"Sawa ulinitumia ila kile kipindi nakuruhusu kugusa mwili wangu ilikuwa mimba na hazikuwa akili zangu, naomba utoke kwenye chumba changu Nasib!" niliongea kwa msisitizo na sikutaka kumpa nafasi Shemeji Nasib ya kuongea mbele yangu maana yule mmmh! Alikuwa anajua mno kumshawishi mwanamke na mimi nililitambua hilo. Shemeji Nasib alinibembeleza ila sikutaka kumpa nafasi kabisa, alitoka chumbani na mimi nilielekea bafuni kuoga. Nilitumia dekika kadhaa na baada ya kumaliza nilisikia mtoto wangu akilia.
Nilitoka chumbani na kwenda kumuangalia mtoto, nilishangaa kumuona akiwa kwenye kochi na kama nisingefika mda mwafaka basi mwanangu angedondoka chini.
"Huyu mfanyakazi yupo wapi mbona kamuacha mwanangu peke yake!?" niliongea huku nikimbembeleza mwanangu ila kwa mbali nilisikia sauti za miguno ya mahaba.
Nilianza kuifatilia sauti niliyoisikia na ilinipeleka kwenye chumba cha mfanyakazi wangu wa ndani, nilitega sikio vizuri kusikiliza kile kilichokuwa kikiendelea.
"Mmmhh mimi sitakii kaka"
"Subiri naweka taratibu hutaumia" nilisikia sauti ya Shemeji Nasib na ili kuhakikisha vizuri nilijaribu kufungua mlango nione kama utakubali kufunguka na bahati nzuri ulikubali kufunguka, niliusukuma taratibu na kuchungulia kile kilichokuwa kikiendelea.
Nilimuona Shemeji Nasib akiwa juu ya kifua cha mfanyakazi wa ndani wakifanya yao hivyo niliamua kuufunga mlango taratibu pasipo kuwashitua.
"Mmmh ina maana alikuwa amekabwa na upwiru mpaka kaamua kufanya mapenzi na mfanyakazi wa ndani, mbona hawaendani!?" niliongea maana mwonekano wa beki tatu wetu mmh!! niishie hapo tu nisije nikaponda uumbaji wa muumba bure.
Basi nilitembea na kwenda kwenye kochi na kuanza kumbembeleza mtoto wangu na baada ya mda nilikuwa sisikii sauti za mahaba tena kwenye chumba cha mfanyakazi, baada ya dekika kadhaa kupita alitoka shemeji Nasib, alishangaa kuniona nikiwa nimekaa sebleni na hakutaka kuniongelesha zaidi ya kunipita na kutoka nje, baadae alitoka mfanyakazi chumbani.
"Nenda ukaoge kwanza ili uje umbembeleze mtoto" niliongea na mfanyakazi alifanya kama nilivyomwambia, baadae nilimkabizi mtoto na mimi nilienda chumbani kwa ajili ya kupumzika.
Nilivyofika nilisikia ujumbe ukiingia kwenye simu yangu na nilipouangalia ulikuwa ni ujumbe wa Shemeji Nasib akiniomba samahani kwa kile kilichotokea cha kutembea na mfanyakazi wa ndani, nilimshangaa maana ilikuwa ni haki yake kukata upwiru na hakukuwa na mwanamke mwingine zaidi ya mfanyakazi wa ndani wa kutembea nae nyumbani kwani mimi sikutaka tena kushiriki nae tendo la ndoa.......ITAENDELEA
Full Tsh 800 namba za malipo ????????????
0613083801 HALOPESA JINA JOHN
0755271203 M-PESA JINA JOHN.