Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 09
Gonga94 · Stories

MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 09

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Story……………….MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 09
Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER
Whatsap………....0613083801/0748697173
Umri………………..18+

ENDELEA..........
Sio kwamba nilikuwa napenda kuona akiwa na mchepuko na ukizingatia ni mme wa dada ila nilitaka kikombe kiniepuke cha shemeji Rashidi kunitaka kimapenzi, niliona bora awe anatoka na mtu mwingine kuliko mimi, nilijua siku dada Aisha akigundua basi lazima undugu ufe.

Licha ya kumwambia shemeji kuwa nitamtaftia mchepuko mwenye makalio makubwa haikumfanya aache kufanya kile alichokuwa amethamilia, alivua nguo zake nakubaki uchi kisha baada ya hapo aliniambia.
"Fatuma njoo tulane kwa mara ya mwisho kabra hujanitafutia zigo jingine"
"Mmmmh shemeji hapana kwakweli" nilimjibu huku nikipandisha mabega yangu juu ishara ya kukataa.
"Hapo tu ndipo unaponikera Fatuma, emu njoo huko" Shemeji Rashidi aliamua kutumia nguvu kwa kunivuta na kwenda kuniinamisha kitandani huku nikiwa bado nimevaa nguo.
"Ukoje lakini shemejii mbona hivyo..oo
"Tulia Fatuma nipate utamu" shemeji aliongea huku akilipandisha gauni langu, baadae aliishusha nguo yangu ya ndani mpaka kwenye magoti yangu na kupeleka kidole chake kwenye mdomo wake kwa ajili ya kulamba mate mfano wa mtu anayetaka kuhesabu pesa na kuyapaka kwenye mjegeje wake.

Baada ya hapo shemeji Rashidi aliuchomkea mtalimbo nakunifanya nisahau kama sekunde kadhaa tu nilikuwa nakataa kufanya nae mapenzi, nilijikuta nikisikia raha nisitamani shemeji Rashidi auchomoe kunako! Siku hiyo nilisahau kama Rashidi ni shemeji yangu hivyo tulipeana ushirikiano wa nguvu na nilikuwa na hisia kali za kufanya mapenzi na kujiachia mbele ya shemeji Rashidi, hiyo siku shemeji Rashidi alilala nyumbani kwangu.

Ikiwa ni mida ya asubuhi na mapema tukiwa bado tumelala nilisikia simu yangu ikiita, kutokana na uchovu niliokuwa nao niliichukua simu yangu na kuipokea huku namba ya mpigaji ikiwa ngeni.
"Hello!!" niliongea kwa kutoa sauti iliyojaa uchovu wa hali juu huku macho yangu yakiwa na mawenge ya usingizi.
"Hello Fatuma ni mimi Aisha"
"Dada!!!" niliongea kwa mshangao baada ya kusikia sauti ya dada na kugeuka kumwangalia Shemeji Rashidi aliyekuwa bado amelala tena akiwa anakoroma.
"Fatuma shemeji yako hajarudi tangu aondoke jana kwenda kazini au huko hospital kuna kazi aliyopewa iliyomfanya ashindwe kurudi nyumbani jana!?" swali la dada lilinifanya kijasho chembamba kianze kunitoka ingawa kulikuwa na kaubaridi asubuhi hiyo, nilijikuta nikikaa kimya nakusahau kama nilikuwa naongea na dada kwenye simu.
"Fatuma ivi unanisikia kweli!?"
"Eee!! Ndiyo nakusikia ila sijui kama kuna kazi aliyopewa shemeji iliyomfanya asije nyumbani" nilimjibu na baadae dada Aisha alikata simu.

Kwanza ilibidi nitoke kitandani na kwenda kuvaa nguo ili ata shemeji Aisha akiamka asiweze kuniomba mechi, baada ya kuhakikisha nimevaa vizuri nilimsogelea na kumuamsha.
"Shemeji Amka!!"
"Fatuma niache nilale kwanza, unajua jana usiku ulitaka kuvunja kiuno changu wewe mrembo!?" Shemeji aliongea huku akiwa amefumba macho yake, nilitamani nimzabe kibao kwa michezo aliyokuwa akinifanyia maana alijua nashida na kazi ndiyo maana aliamua kuitumia nafasi ila nilijizuia na kuendelea kumuamsha.
"Kwani kuna shida gani nikiendelea kulala!?" aliniuliza na mimi niliamua kumwambia sababu iliyokuwa ikinifanya nimuamshe.
"Nimetoka kuongea na dada mda sio mrefu kwenye simu"
"Amesemaje kwani!?"
"Ameniuliza ni wapi ulipo pia yupo njiani anakuja sasa ivi hapa nyumbani kwangu" niliamua kumuongopea ili tu aondoke na kweli baada ya kumwambia kuwa dada Aisha anakuja shemeji aliamka na kutoka kitandani huku mjegeje wake ukiwa unaning'inia.

Hakuta ata kuoga zaidi ya kuvaa haraka haraka nakuondoka.

Baada ya shemeji Rashidi kuondoka nilibaki mwenyewe na niliona kitu ninachokifanya cha kutembea na shemeji yangu sio sahihi hivyo wazo nililolipata nikutafuta mwanaume wa kuwa nae kwenye mahusiano pia baada ya kuwaza kwa kina niliona haitakuwa sahihi kumtafutia Shemeji Rashidi mchepuko mwenye makalio makubwa kama alivyokuwa akihitaji sababu ningechangia kuivuluga ndoa ya dada hapo baadae.

Basi baadae nilijiandaa na kwenda kazini na haikupita mda Dada Aisha alinitumia ujumbe akiniambia kuwa mme wake amesharudi nyumbani.
"Mmmh alafu dada anampenda kweli shemeji ila shemeji yeye ananipenda mimi hii mbona kali..!!!" niliongea mwenyewe baada ya kuusoma ujumbe wa dada, sikutaka kuujibu ujumbe wa dada alionitumia.

Siku mbili zilizofata kuna doctor aliyekuwa akiitwa doctor Nasir, Dr Nasir alinitongoza na alinitaka nikubali kutoka nae kimapenzi, haikuwa kazi kwangu kumkubali maana nilikuwa na shida ya kuwa kwenye mahusiano ili tu Shemeji Rashidi asiendelee kunisumbua, nilikubali kuingia kwenye mahusiano na Dr Nasir.

Mahusiano yangu na Nasir hayakuwa ya siri na mtu aliyekuwa akisambaza taarifa za mahusiano yetu alikuwa ni Suzi, karibu kila mtu kwenye hospital niliyokuwa nikifanyia kazi alijua kuwa natoka na Dr Nasir, kimbembe kilikuja baada ya Shemeji Rashidi kujua.

Siku hiyo nikiwa kazini Shemeji Rashidi aliniita na nilipofika sehemu alipokuwa aliniuliza.
"Fatuma kwanini umekubali kuingia kwenye mahusiano na yule malaya!?" Shemeji Rashidi aliniuliza.
"Nani malaya!?"
"Kwani unatoka na nani!?"
"Natoka na Dr Nasir"
"Oooh!! ndiyo namuongelea huyo huyo, Nasir ni malaya hamna mtu asiyejua kwenye hospital hii, nakushangaa wewe kuona ukiwa nae" Shemeji Rashidi aliniambia na mimi nilijua kilichokuwa kikimsumbua ni wivu aliokuwa nao baada ya kuniona nipo kwenye mahusiano na mwanaume mwingine hivyo nilimwambia kuwa ata kama Nasir ni mwanaume ambae hajatulia nimempenda hivyo hivyo.
"Unajifanya jeuli utajuta nakwambia kuwa na Nasir, pia bado sijasahau ahadi uliyoniahidi ya kunitafutia mwanamke mwenye makalio makubwa, uliniahidi kumbuka Fatuma!!!"
"Unashida gani lakini shemeji mbona dada yangu anakupenda, kwanini usitulie nae!!" niliongea kwa hisia ila shemeji Rashidi aliondoka pasipo ata kunijibu.

Nilibaki nikiwa na mwangalia na haikupita mda kuna mkono upande wa nyuma ulishika kiuno changu nakunifanya nigeuge nyuma.
"Mmmh Nasir mazingira sio rafiki kipenzi"
"Fatuma kwani kuna shida gani mimi kukushika kiuno maana wewe ni mpenzi wangu, alafu unabonge ya makalio wewe mwanamke" Nasir aliongea pasipo kuutoa mkono wake kwenye kiuno changu, kabra sijamjibu alirudi shemeji Rashidi na alimkuta Nasir akiwa amenishika kiuno. Nilishuhudia jinsi macho ya Shemeji Rashidi yalivyobadilika na kuwa mekundu nahisi kama angekuwa peke yake basi ni lazima angetoa machozi.....ITAENDELEA.

Full Tsh1000 namba za malipo ????????????

0613083801 HALOPESA JINA JOHN BUGUMBA

0755271203 M-PESA JINA JOHN BUGUMBA

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Mimi sikuachi fully stories
Mimi sikuachi fully stories
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 09

Story……………….MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 09
Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER
Whatsap………....0613083801/0748697173
Umri………………..18+

ENDELEA..........
Sio kwamba nilikuwa napenda kuona akiwa na mchepuko na ukizingatia ni mme wa dada ila nilitaka kikombe kiniepuke cha shemeji Rashidi kunitaka kimapenzi, niliona bora awe anatoka na mtu mwingine kuliko mimi, nilijua siku dada Aisha akigundua basi lazima undugu ufe.

Licha ya kumwambia shemeji kuwa nitamtaftia mchepuko mwenye makalio makubwa haikumfanya aache kufanya kile alichokuwa amethamilia, alivua nguo zake nakubaki uchi kisha baada ya hapo aliniambia.
"Fatuma njoo tulane kwa mara ya mwisho kabra hujanitafutia zigo jingine"
"Mmmmh shemeji hapana kwakweli" nilimjibu huku nikipandisha mabega yangu juu ishara ya kukataa.
"Hapo tu ndipo unaponikera Fatuma, emu njoo huko" Shemeji...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mmmmh-shemeji-hapana-09

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending 🐓 Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mmmmh-shemeji-hapana
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 30 FINAL
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 30 FINAL
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 01
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 01
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 03
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 03
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 04
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 04
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 29
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 29
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 15
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 15
MMMMH....SHEMEJI HAPANA!!!?? 02
MMMMH....SHEMEJI HAPANA!!!?? 02
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 12
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 12
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 22
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 22
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 26
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 26
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 27
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 27
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 20
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 20
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 28
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 28
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 24 Mtunzi……………
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 24 Mtunzi……………
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 13
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 13
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 14
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 14
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 16
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 16
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 05
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 05
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? (18 & 19)
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? (18 & 19)
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 25
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 25
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 17
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 17
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 23
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 23
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 06
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 06
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 21 Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 21 Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 07
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 07
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 08
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 08
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 11
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 11
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 10
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 10
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE

NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE

439
LETICIA Sehemu ya 19 na 20

LETICIA Sehemu ya 19 na 20

327
CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10

CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10

105
MFALME KIPOFU  27

MFALME KIPOFU 27

96
MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17

MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17

83
MFALME KIPOFU  17 -- 18

MFALME KIPOFU 17 -- 18

62
MFALME KIPOFU  19 -- 20

MFALME KIPOFU 19 -- 20

58
MFALME KIPOFU  21 -- 22

MFALME KIPOFU 21 -- 22

55
MFALME KIPOFU  25 -- 26

MFALME KIPOFU 25 -- 26

55
MFALME KIPOFU  23 -- 24

MFALME KIPOFU 23 -- 24

41

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

12.03K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.71K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.91K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.67K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

3.1K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

3.04K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.9K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.86K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.76K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.71K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18 Post Mpya
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18
@majario LIVE

Mida ya jioni vipindi vilipoisha tuliongozana na Glad hadi kwa kaka yake ilikuwa ni saa kumi na moja za jioni hivyo alikuwa kasharudi toka kazini tulimkuta nyumbani 🏡. Karibuni...

CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10 Post Mpya
CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10
@majario LIVE

SEHEMU YA 08 "Kwanza haoni ajabu kukufukuza,na akisema hakutaki ujue hakuna was kukutetea hata mama hataongea .... kwaiyo muangalie hivyo hivyo kauli yake moja tu inakuondoa........... Nicole aliposema hivyo nilimuogopa sana...

Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii Post Mpya
Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii
@mjukuu LIVE

Screengrab from video put out by Iranian state media Tasnim News of an Iranian missile with Trump's name on it, in response to the great gift from Iran Trump claimed...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE
@majario LIVE

:131 Nikawa natoa ile bahasha. Vile natoa, namuona Boss Yule anakuja. Ni wazi alisikia kengele au aliniona kwa juu. Nikasema kwa ndani “niondoke?” Ataona Kama namkimbia, Nikajikaza pale kusubiri. Basi kweli alifika,...

MFALME KIPOFU  27 Post Mpya
MFALME KIPOFU 27
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 27 (FINAL) Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Nawauliza Princess Nailet yupo wapi? alipotazama Pembeni hakuamini kuona mwili wa binti yake....... ENDELEA NAYO...... Mfalme Tengu alilia kama mtoto mdogo "Pole sana mfalme kwa kipindi kigumu unachopitia Prince...

MFALME KIPOFU  25 -- 26 Post Mpya
MFALME KIPOFU 25 -- 26
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 25 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno ya Lindiwe yalimfanya Princess Nailet kutabasamu nakutulia kuwaacha waongonzane watu watatu tu Malikia,Prince Yao na Amma mwenyewe kwenda kutafuta iyo dawa...... ENDELEA NAYO.......... Malikia andwaa aliongoza msafara wa...

MFALME KIPOFU  23 -- 24 Post Mpya
MFALME KIPOFU 23 -- 24
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 23 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno yale yalipenya kwenye masikio ya Amma na baadhi ya watu waliokuwa pale wakitazama tu badala ya kutoa msaada,Babaaaaa............ ENDELEA NAYO.......... "Baba amka",Amma alimwita baba yake, Aliye kuwa tayali amepoteza...

MFALME KIPOFU  21 -- 22 Post Mpya
MFALME KIPOFU 21 -- 22
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 21 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Malikia alichanganyikiwa baada ya kusikia maneno yale ya dakitari Malikia aliita walinzi na ,kuwapa maagizo ya kuwakamata matabibu wote...... ENDELEA NAYO....... Walisubili pakuche msako uanze wa kuwakamata matabibu...

MFALME KIPOFU  19 -- 20 Post Mpya
MFALME KIPOFU 19 -- 20
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............19 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Ni mapenzi ya ajabu aliyokuwa nayo Princess Nailet kwa Yao licha ya kumfahamu kwa mda mfupi tu lakini aliteka sehemu kubwa ya moyo wake... ENDELEA NAYO....... Aliendelea na safari ya...

MFALME KIPOFU  17 -- 18 Post Mpya
MFALME KIPOFU 17 -- 18
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............17 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Lindiwe alitege sikio vizuri na kweli alisikia sauti emu njoo huku alimvuta Prince Yao pembeni na kujificha sehemu ni ngumu kuonekana. Namu sura ya General haikutoka machoni mwake alimuona...

MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17 Post Mpya
MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17
@mjukuu LIVE

Ilipoishia sehemu iliyopita...... Asikari",Mfalme Tengu aliita kwa hasira "Nendeni mkawarudishe haraka" "Mfalme tayali wameshavuka mpaka" "Nimesema nendeni mkawarudishe" Waliondoka na kumuacha Mfalme akiendelea ..... SEHEMU YA 16 ENDELEA NAYO...... Waliondoka na kumuacha mfalme akiendelea kuongea na binti...

LETICIA Sehemu ya 19 na 20 Post Mpya
LETICIA Sehemu ya 19 na 20
@majario LIVE

💍💍💍💍💍💍 Nikasikia madam prisca anasema nyie uko jikoni mbona kama mnajibizana sana ,polela akasema amna madamu ,kisha akaondoka basi mwenzenu polela akawa ananisumbua kila siku ,yaani kila akiniona nipo peke yangu...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 121 - 130 SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 121 - 130 SEASON THREE
@majario LIVE

:121 Nilishtushwa na maumivu yake kabla sijafanya kitu, mama akawa anaingia, nikamzuia mama, mama alinitazama kisha Dorice, nikamuonesha mama Ishara asiseme kitu na badala yake atoke. Mama yangu ana upendo sana, alitii...

ZARA❤️ MPYA ( 1 MPAKA 5) Post Mpya
ZARA❤️ MPYA ( 1 MPAKA 5)
@majario LIVE

MPYA MPYA MPYA ⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️ ⚪️⚪️ Sehemu ya 1 na 2 Ilikuwa ni siku ambayo nna raaha kweli kweli, nikiagana na rafiki zangu shuleni, ni siku ambayo tayali wanafunzi wa kidato cha...

NAKUPENDA BILA MIPAKA: 109 - 120 SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA: 109 - 120 SEASON THREE
@majario LIVE

109 Mwenzenu nimechambwaaa, nishanangwa siamini kama ndiyi nilifunguliwa mlango mimi, nikapelekwa mtoko mimi, na nikawa natumiwa ujumbe. Leo hii kwa ukali nafokewa macho yametoka mpaka natetemeka. Nilikuwa nimechoka sana. Sijui nini kiliendelea,...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest