Story……………….MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 30 FINAL
Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER
Whatsap………....0613083801/0748697173
Umri………………..18+
ENDELEA.........
Mida ya jioni ilipofika Shemeji Nasib alirudi nyumbani na alipopata upenyo aliamua kuniuliza.
"Fatuma kile nilichokwambia ulikifanyia kazi!?"
"Kwa kiasi chake ila kuna kitu nahitaji kukwambia sizani kama kaka yako alikuambia"
"Kitu gani Fatuma!?"
"Sio kwa nia mbaya ni kwa nia njema tu, naomba uondoke hapa nyumbani na uende kujitegemea mwenyewe, sihitaji uendelee kuishi hapa" niliongea pasipo kumuangalia usoni.
"Ina maana hunipendi kiasi hichi Fatuma!?"
"Ivi umeshawaza siku kaka yako akijua kuwa nimeshafanya mapenzi na wewe!? unafikiri ni maamuzi gani atakayoyafanya!?"
"Hapana sijawaza bado"
"Basi jiongeze wewe ni msomi na ni mwelewa haina haja ya kukufafanulia zaidi" nilimwambia na Shemeji Nasib aliniahidi ataondoka kwa ajili ya kwenda kujitegemea.
Baada ya siku kadhaa shemeji Rashidi aliondoka pia niliamua kuajiri dada mwingine wa kazi kwa ajili ya kutusaidia.
Rashidi hakuwahi kutumia dawa za kuongeza nguvu tena, na alirudi kwenye maisha yake ya kawaida hivyo kwangu kulikuwa na unafuu mkubwa.
Kwenye hospital niliyokuwa nikifanyia kazi kuna binti aliajiriwa aliyekuwa na sura nzuri huku nyuma akiwa kajariwa kuwa na shape yenye mvuto japo makalio yangu yalikuwa makubwa kuliko yake, Nasir pamoja na Dr David walipunguza kunitongoza na majeshi waliyahamishia kwa mwajiriwa mwenzetu mpya aliyekiwa akiitwa Faith.
Faith alikuwa mgawaji kwa wote wawili Nasir na Dr David mpaka kuwa gumzo kwa karibu kila mfanyakazi. Alipangiwa kufanyakazi za usiku kama mimi hivyo siku moja baada ya kumaliza kutoa huduma kwa wagonjwa nilienda kwenye chumba cha wahudumu kwa ajili ya kupumzika, nilifika na kuusukuma mlango lakini uligoma kufunguka.
Niligeuka kwa ajili ya kuondoka ila mlango ulifunguliwa na Nasir alitoka huku akifunga zipu ya suruali yake.
"Mwenzako mtamu kuliko wewe na anatoa pote nyuma na mbele" Nasir alizungumza.
"Mimi mambo yenu yananihusu nini! kama ni mtamu si yeye"
"Nakwambia ili uache kulinga maana unalingia sana na makalio yako"
"Bhana eeeh!! Kama umeyapenda nenda ukawekewe na wewe uwe na makalio kama yangu" niliongea na sikutaka kuendelea kumsikiliza zaidi ya kuingia kwenye chumba cha wauguzi kwa ajili ya kupumzika.
Nilifika na kumkuta Faith akiwa kakaa kwenye kiti akichezea simu yake bira kunisemesha. kutokana na kihelehele nilichokuwa nacho nilisogea kwenye kitanda kwa ajili ya kulala ila nilipokaa kitandani nilishangaa kushika maji maji na niligundua kuwa ni mbegu za kiume.
"Faith njoo ufute uchafu wako" nilimwambia Faith aliyekuwa bize na simu.
"Wewe futa tu mwenyewe kwani kuna ubaya gani ukifuta! Kama kuliwa nimeliwa mimi hivyo hamna tatizo lolote lile Fatuma"
"Yani wewe ndiyo umetoka kufanya mapenzi alafu mimi nifanye usafi hapa unakichaa!?"
"Nani anakichaa au unanionea wivu kisa napendwa na Nasir pamoja na Dr David!?"
"Nikuone wivu ili iweje!?" nilimuuliza na ndipo kulipotokea kutokuelewana kati yangu na Faith.
Tangu siku hiyo tulikuwa hatupatani, Faith alizidisha kutoka kimapenzi na Nasir pamoja na Dr David akiamini kuwa ananikomoa mimi ili nisiweze kutoka nao.
Siku zilizidi kwenda na baada ya mwezi mmoja kupita Shemeji Nasib alituletea taarifa kuwa amepata mwanamke wa kumuoa, kwangu kulikuwa na uafadhali mkubwa kwani niliamini atapunguza kunifikiria na kunifatilia ili siri iendelee kuwepo bira ya Rashidi kujua kama tayari tumeshawahi kufanya mapenzi. upande wa dada Aisha biashara yake ya duka la vipodozi ilikuwa ikimuendea vizuri na tulikuwa tukiwasiliana mara kwa mara kwa ajili ya kujuliana hali huku mda mwingine akinitania kuwa nilimuibia mme, Dada Aisha nae aliendelea kuishi na mwanaume aliyezaa nae, siku moja mama yetu mzazi aliweza kutuita kwa ajili ya kutufanikisha kikao mimi pamoja na dada.
"Fatuma kila mtu sasa ivi ana mme wake, nisije kuwaona tena mnachukuliana wanaume hasa wewe Fatuma uliyevunja ndoa ya mwenzako"
"Mama halitajirudia tena jambo kama hilo na tumeshayamaliza mimi pamoja na dada"
"Ety Aisha ni kweli mmeshayamaliza!?"
"Ndio mama" dada Aisha alimhakikisha mama kwa kumjibu kuwa haitatokea tena mimi kutembea na mwanaume anayeishi nae au dada kurudiana na Rashidi ambae ni mme wangu.
Baada ya kikao kifupi cha familia tuliondoka na kila mtu alienda kuendelea na mambo yake, kwakuwa ilikuwa ni siku ya mapumziko nilifika nyumbani na kumkuta Rashidi aliyeanza kunitazama kwa macho ya matamanio baada ya kuniona.
"Fatuma makalio yako huwa yanapandisha hisia zangu sana, nilikuwa sina hamu ya kufanya mapenzi ila baada ya kukuona tayari imesimama inahitaji tiba"
"Mmmh!! au na leo umetumia dawa za kuongeza nguvu!?"
"Wala!! au unataka nitumie ili nikuzagamue vizuri" Rashidi nae aliniuliza.
"Siku ukitumia tunaacha siku hiyo hiyo, nabeba kilicho changu nakuondoka" niliongea na matani yaliendelea kati yetu ila Rashidi hakuacha kunisisitizia kuwa anahitaji kufanya mapenzi na mimi.
Tulipelekana mpaka chumbani kwa ajili ya kwenda kuzagamuana na kila mtu alikuwa na furaha na mwenzake.
Mpaka namaliza kusimulia story hii bado naendelea kuishi na Rashidi kama mme wangu licha ya maneno mengi yanayoongelewa kutokana na Rashidi kuwa shemeji yangu hapo nyuma lakini sisi tumeamua kuishi bira kujali maneno ya watu pia bado nafanya kazi kwenye hospital ile ile na Faith anaendelea na tabia yake ya umama huruma ya kugawa kwa karibu kila mwanaume anayetaka kutoka nae kimapenzi, upande wa Nasir licha ya kuwa kwenye mahusiano na Faith ila ameshaoa mwanamke mwingine, bado anamfanya Faith kama mchepuko wake. Dr David ameshahamishiwa kwenye hospital nyingine na anaendelea na kazi yake ya udakitari.
MWISHOOOOO.
Mwisho wa story hii ndiyo mwanzo wa story zingine, asanteni kwa kuifatilia story hii kuanzia mwanzo mpaka mwisho ??? tukutane tena kwa wakati mwingine.
Mwandishi: ZOOPER
Msimuliaji: FATUMA.