Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94

MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 12

14th Apr, 2025 Views 12

Story……………….MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 12
Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER
Whatsap………....0613083801/0748697173
Umri………………..18+

ENDELEA.........
Nasir aliniachia baada ya kumuona Shemeji akija upande wetu.
"Bora ata umekuja ivi unaakili kweli wewe jamaa!? huyu si shemeji yako sasa kwanini unamtaka kimapenzi!?" Nasir alimuuliza na mimi niliona kuna hatari ya ugomvi kutokea baina yao hivyo niliondoka maeneo hayo na kuwaacha wenyewe.

Sikujua kilichoendelea pale ila tangu siku hiyo mimi na Nasir hatukuwa kwenye mawasiliano, siku zilizidi kwenda huku nikiendelea na kazi lakini ndani ya moyo wangu sikuwa na amani kabisa ya kufanya kazi sehemu moja pamoja na shemeji Rashidi hivyo nilianza kutafuta kazi sehemu nyingine pasipo kumshirikisha mtu yoyote yule.

Furaha ya shemeji Rashidi ilikuwa ni kuniona nikiwa single bira kuwa na mwanaume yoyote yule.

Tangu niachane na Nasir shemeji Rashidi nae alirudisha upendo kwa dada na hakuwahi kumnunia tena, nakumbuka siku moja dada alinipigia simu na kunitaka niende nyumbani kwake, Nilimwambia kuwa haitowezekana lakini alinisisitizia ni lazima niende kwani kulikuwa na kitu cha mhimu kilichomfanya aniite.

Ilibidi nikubali kwenda na nilipofika niliwakuta wakiwa wamekaa pamoja huku shemeji Rashidi akiwa kamkumbatia dada Aisha.
"Karibu mdogo wangu yani kama ungekataa kuja basi nisingekupigia simu tena kwenye maisha yangu yote" dada aliongea.
"Kwani kuna nini!?"
Hakutaka kunijibu badala yake aliniambia nisogee nikae karibu yao kisha baada ya hapo alinyenyuka na kuondoka huku akituacha sisi wawili tu yani mimi na shemeji Rashidi.

Shemeji Rashidi baada ya kuona tumebaki wawili alinisogelea na kuupeleka mkono wake kwenye kiuno changu.
"Mmmh shemeji toa mkono wako" nilimwambia nikimtaka autoe mkono wake ili dada asije kutukuta.
"Nimekumiss sana Fatuma" Shemeji Rashidi aliongea huku akiwa bado amenishika kwenye kiuno na mda huo huo alifika dada hivyo shemeji Rashidi aliutoa mkono wake haraka na alijifanya anatafuta kitu nyuma ya mgongo wangu nilipokaa.
"Mbona unamsumbua mdogo wangu mme wangu!?" Aisha aliongea baada ya kuuona mkono wa mme wake nyuma ya mgongo wangu.
"Natafuta limoti mke wangu ila siioni"
"Limoti!!!"
"Ndio limoti" shemeji Rashidi alimjibu huku akiendelea kupapasa pembeni ya kochi.
"Heeeeeh!!! limoti siipo hapo pembeni yako Rashidi au huna macho siku hizi...!?"
Shemeji Rashidi aliangalia sehemu aliyoelekezwa na dada na alifanikiwa kuiona limoti.
"Mambo mengi mke wangu ata hivyo shemeji samahani kwa kukusumbua" aliongea na mimi sikutaka kumjibu zaidi ya kuachia tabasamu la kinafiki mbele yake maana ata yeye alikuwa akiniigizia tu.

Dada alisogea akiwa amebeba mfuko na kuuweka juu ya meza na kuniambia.
"Aya sasa Fatuma kazi kwako kuna nyama za kuku kwenye huo mfuko na ndicho nilichokuitia mdogo wangu" Aisha aliongea na mimi nilinyenyuka mahali nilipokuwa nimekaa na kuuchukua mfuko, nilipoangalia ndani ya mfuko nilijithibitishia mwenyewe kuwa ni nyama za kuku hivyo nilimshukuru dada na kuwaaga kwa ajili ya kuondoka lakini shemeji Rashidi aliongea.
"Mke wangu ngoja nimsindikize mdogo wako"
Baada ya shemeji Rashidi kusema anisindikize nilijua lazima atataka kufika mpaka kwangu ili anizagamue.
"Shemeji wewe baki tu, uzuri nyumbani ni karibu hivyo nitaenda mwenyewe tu"
"Hapana shemeji lazima nikusindikize au mke wangu nafanya vibaya kumsindikiza!?" aliongea huku akimuuliza dada.
"Upo sawa mme wangu ila mzoee tu Fatuma ndivyo alivyo huwa ni mbishi mno huyu ata kwenye mambo ya mhimu yeye anabisha tu, Fatuma mdogo wangu sasa ivi ni saa 5 usiku sio vizuri kwenda mwenyewe ni vizuri ukasindikizwa na shemeji yako" dada nae alikazia pasipo kujua lengo la mme wake ni lipi na baada ya kuona wote wawili wameungana ilibidi nikubali kusindikizwa na shemeji Rashidi.

Tuliondoka huku tukitembea kwa miguu na njiani nilikuwa kimya huku nikiwa na mawazo yangu, shemeji Rashidi alikuwa akibaki nyuma kila mda nahisi alikuwa akiyaangalia makalio yangu, baadae alinisogelea na kunishika kiuno.
"Shemeji sio vizuri hichi unachokifanya" nilimwambia huku nikiutoa mkono wake kwenye kiuno changu.
"Kwani kuna kipi kipya ambacho hatujawahi kukifanya Fatuma!?
"Ata kama lakini huu kwangu ni kama utumwa mpaka najuta kuja kuomba msaada kwako wakunitafutia kazi" niliongea mbele yake pasipo kumuogopa.
"Basi yaishe haina haja ya kuongea sana Fatuma lakini kuna kitu nahitaji kukuuliza!?" shemeji Rashidi aliamua kubalisha story.
"Uliza tu!?"
"Kwanini dada yako hashiki mimba maana ni mda sasa sijaona dalili zozote zile za dada yako kulamba ndimu!?"
"Hilo mimi sifahamu kwakweli labda uende ukaongee nae vizuri, atakuwa akijua tatizo nini!?"
"Basi sawa ila na swali jingine, mbona wewe ni mtamu kuliko dada yako!?"
"Swali gani hilo unaloniuliza shemeji!?" nilimuuliza huku nikiwa nimekasirika lakini haikumfanya shemeji Rashidi aache kuniuliza maswali ya kijinga na ya kichokozi.

Tulifika nyumbani na mimi niligoma kufungua mlango maana nilijua itakuwa hatari kwangu.
"Fatuma mbona hutaki kufungua mlango!?"
"Mpaka wewe uondoke ndiyo nitafungua mlango!?" niliongea na haukupita mda dada alinipigia simu hivyo niliipokea simu mbele ya shemeji Rashidi.
"Fatuma shemeji yako amekufikisha salama!?"....ITAENDELEA.

Full Tsh1000 namba za malipo ????????????

0613083801 HALOPESA JINA JOHN BUGUMBA

0755271203 M-PESA JINA JOHN BUGUMBA.

Za hivi punde ni za 🔥🔥🔥 | Sema Jambo

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest