Story……………….MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 21
Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER
Whatsap………....0613083801/0748697173
Umri………………..18+
ENDELEA.........
"Bora nimekuona kwanini uliamua kwenda moja kwa moja bira ata kurudi kuomba nikurudishe kazini!?"
"Kasimu wewe sindio ulinifukuza kisa nilikataa kufanya mapenzi na wewe!?"
"Ni kweli ila ata hivyo nataka tuelewane Fatuma, nipo tayari kukuhonga ata gari ila ukubali kufanya mapenzi na mimi kwa mara nyingine"
"Mmmh hapana kwakweli wewe unafanya kwakukomoa, kamtafute mwanamke mwingine" niliongea na kuanza kuondoka ila Kasimu aliniwahi na kunizuia.
"Fatuma kuwa mwelewa!!, nitakupa gari ila ukubali kufanya mapenzi na mimi walau mara moja tu"
"Mbona umeng'ang'ania sana kuna kitu gani umepanga Kasimu!? basi nimeshafanya maamuzi sipo tayari kwa hilo ni vyema ukatafute mwanamke mwingine" niliongea na kukataa maana nilikuwa simwamini Kasimu baada ya kukumbuka kuwa aliwahi kuniambia anautamani mtaro wangu, niligundua lengo lake ni kutaka kuniingilia kinyume na maumbile kutokana na ukubwa wa makalio yangu yalivyokuwa.
"Huyu anataka kunilawiti tu hana kingine" niliwaza huku nikiendelea kutembea, kwani ilichukua mda mimi kufika nyumbani, ni ndani ya mda mfupi tu nilikuwa tayari nimeshafika nyumbani kwangu.
Maisha yaliendelea na nilijikuta mimi na Shemeji Rashidi tukiwa karibu zaidi, kwa kipindi hicho Rashidi hakuwa shemeji yangu tena bali alikuwa ni mpenzi wangu na tulikuwa tukiishi nyumba moja. Upande wa dada Aisha nae alikuwa akiishi na mchepuko wake aliyempa mimba hivyo mimi nilimtafuta nakumuomba msamaha kwa mara nyingine na bahati nzuri dada alikubali kunisamehe.
Dada alinogewa na penzi la mwanaume aliyekuwa nae licha ya kuwa alikuwa akiishi kwenye maisha ya kawaida tofauti na aliyokuwa akiishi mwanzo, upande wangu pia nilikuja kugundua kuwa na mimba ya Rashidi na alikuwa ni mwenye furaha baada ya kumwambia kuwa na mimba yake.
"Fatuma haya ndiyo mambo niliyokuwa nikiyataka dada yako nimeishi nae miaka mitano bira kushika mimba ila wewe kidogo tu na mimba juu"
"Usimponde dada yangu mbona huko aliko anamimba!?" nilimuuliza na Rashidi alikaa kimya na baadae aliongea.
"Huenda mimi na dada yako ata tungeishi miaka 100 bado tusingepata watoto...Rashidi alinijibu...kwanza ata hivyo leo na hamu Fatuma"
Baada ya kuona Rashidi akiingiza habari za mapenzi nilitaka kuondoka ili kumkwepa maana hiyo siku sikuwa na hamu yoyote ile ya kufanya mapenzi lakini hakutaka kuniruhusu zaidi ya kunivuta.
Alinitazama machoni na alionesha kweli anahitaji kufanya sex.
"Ivi hunikinai Rashidi na pia huogopi maneno ya watu huko nje!?"
"Fatuma wewe ni chakula cha mwili wangu, radha yako ni zaidi ya asali naanzaje kukukinai" shemeji Rashidi aliongea hivyo wote tulipelekana sehemu nzuri kwa ajili ya kuanza kufanya yetu.
Kiukweli mimi mwenyewe nilikuwa mimeshampenda shemeji Rashidi licha ya maneno mengi yaliyokuwa yakiendelea mtaani ya kunituhumu kuwa nimemuibia dada mme.
Mimba yangu ilizidi kukua na nilijikuta nikimchukia Rashidi kutokana na mimba niliyokuwa nayo yani nilikuwa sitamani kuona akiwa karibu yangu, kila akinisogelea nilikuwa nikisikia kichefu kichefu na kutema mate hovyo, siku hiyo Rashidi alikuja nyumbani na vizawadi kedekede.
Alinikuta nikiwa nimekaa na kwa kipindi hicho nilipewa likizo ya mda mfupi kazini.
"Oooh Fatuma mke wangu nimekumiss sana" aliongea huku akinisogelea kwa ajili ya kunikiss.
"Hey!! nitokee hapa kwanza unanuka Rashidi" niliongea huku nikitema mate chini.
"Mimi nanuka!?"
"Sasa kwani husikii kama unanuka!?, jinuse utapata jibu mwenyewe" nilimjibu na Rashidi aliongea.
"Kama ndiyo mimba zako ziko ivi basi hii itakuwa ya mwisho sitaki upate tena mimba nyingine Fatuma, ata hivyo hapa nilipo na upwiru twende chumbani ukanipe utamu"
"Nani akakupe utamu!?"
"Fatuma mda wako unazidi kusogea lazima nikusaidie kukutengenezea njia lasivyo utakuja kujifungua kwa upasuaji" Rashidi aliongea kwa kulalamika na kiukweli nilikuwa na mda sijafanya nae mapenzi, nilikuwa mkali mno kila alipokuwa akinisogelea.
Baadae Rashidi alipigiwa simu na alitoka nje huku aliniambia kuwa kuna mtu anaenda kumpokea.
"Bora kabisa kaondoka maana nilikuwa nasikia kichefuchefu kweli" niliongea huku nikijipepea mwenyewe. Rashidi alirudi akiwa na mgeni wa kiume na alimtambulisha kwa jina la Nasib.
Nasib alikuwa ni mdogo wake na alinisogelea kwa ajili ya kunisalimia, kidogo yeye nilikuwa sisikii kichefuchefu akinisogelea, ilikuwa tofauti na anapokuwa akinisogelea Rashidi.
Siku mbili zilipita huku shemeji Nasib akiwa anaishi nyumbani na nilijikuta nikipatana nae, siku moja nilimwambia aende kununua karata ili tuweze kucheza na kweli alifata na baada ya mda alirudi akiwa amezishika mkononi.
"Shemeji leo nataka nikufunge magoli mpaka ujute kucheza na mimi" Nasib aliongea na mimi nilimwambia kamwe hawezi kunifunga.
Tulikaa kwa kutazamana na kuanza kucheza, tulicheza kwa mda mrefu kidogo na baadae nilishangaa kumuona shemeji Nasib akiwa ananitazama katika ya miguu yangu hivyo ilibidi nimuulize.
"Mbona unachungulia huku chini kuna nini!?"
"Hamna kitu shemeji ila kiukweli umeumbika sana shemeji" Nasib alinijibu.
"Kawaida ata wewe umeumbika ndiyo maana unasehemu ya kukojolea" nilimjibu huku nikiendelea kucheza.
Baadae tulimaliza kucheza hivyo nilinyenyuka na kwenda chumbani kwangu kwa ajili ya kuoga, nilipofika huko nilivua teneti langu na ndipo nilipokumbuka kuwa sikuvaa chupi yoyote ile ndani.
"Mmmh ina maana Nasib ameona kila kitu! ata kama ameona hakijaharibika kitu kwangu" niliongea nikiwa mwenyewe na kuelekea bafuni kuoga nikiwa uchi.
Nikiwa bafuni nilisikia mlango ukifunguliwa na mimi nilijua ni Rashidi ndiyo itakuwa amerudi, niliendelea kuoga huku nikijipaka sabuni kuanzia usoni na kwenye mwili wangu wote, nikiwa naoga nilisikia tena mlango wa bafuni ukifunguliwa.
"Rashidi ni wewe!?" nilimuuliza pasipo kuangalia mtu aliyeingia bafuni, hakutaka kunijibu zaidi ya kusogea sehemu niliyokuwa na kuanza kunisugua mgongoni.
Kidogo nilishangaa maana sikusikia kichefuchefu cha Rashidi kunisogelea kama ilivyo siku zote hivyo nilitamani kujihakikishia mwenyewe kwa kujimwagia maji usoni na kutoa povu lililokuwa limetanda kwenye uso wangu.
Baada ya kumaliza niligeuza uso wangu na sikuamini kumuona shemeji Nasib akiwa nyuma yangu akiendelea kunisugua.
"Shemejiiii!!! ni wewe!!"
"Ndio shemeji ni mimi, nimekuja hapa kukusaidia kukusugua vizuri"
"Mmmh hapana shemeji naweza kufanya mwenyewe naomba utoke bafuni haraka!!" niliongea kwa msisitizo nikimwambia shemeji Nasib lakini hakutaka kujali zaidi ya kuendelea kunisugua mgongoni nakuniambia.
"Kila kitu nimeshakiona kama uchi wako nimeuona toka tunacheza karata hivyo hamna kipya kwangu"
"Lakini Shemeji.. nilisita kuongea baada ya kumuona akiyasugua makalio yangu, gafra nilitamani kumuona akiendelea kunisugua hivyo niliamua kumuacha afanye alichokuwa akikifanya.....ITAENDELEA
Full Tsh 800 namba za malipo ????????????
0613083801 HALOPESA JINA JOHN BUGUMBA
0755271203 M-PESA JINA JOHN BUGUMBA.