Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? (18 & 19)
Gonga94 · Stories

MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? (18 & 19)

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Story……………….MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? (18 & 19)
Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER
Whatsap………....0613083801/0748697173
Umri………………..18+

Sehemu ya 18

ENDELEA.........
Kuna nafsi nyingine ilinizuia kufanya kile alichoniambia shemeji Rashidi ila kwa wakati huo shemeji Rashidi niliona ndiyo msaada wangu mkubwa, niliamua kwenda kuufungua mlango na kuuacha wazi ili shemeji Rashidi asipate shida kuingia.

Kiufupi sikutaka kujali kama shemeji Rashidi ni mme wa dada. Nilitamani kazi pia sikutaka kuishi maisha magumu.

Baada ya kuufungua mlango nilirudi kitandani na kulala, nilipitiwa usingizi na katikati ya usingizi nilisikia makalio yangu yakipapaswa na mtu, moja kwa moja nilitambua kuwa ni shemeji Rashidi.

Moyoni nilijua namkosea dada ila sikuwa na njia nyingine, niliamua kukaza roho ili nifanikishe lengo langu, nilimuacha shemeji Rashidi afanye kila anachokitaka kwenye mwili wangu.

Na kweli, hiyo siku shemeji Rashidi alinigeuza vile alivyokuwa akitaka yeye ila alitaka kupitiwa wakati tufanya mapenzi kwa kuanza kuyapigapiga makalio yangu.
"Shemeji acha kunipiga huko dada atasikia..!"
"Tulia Fatuma wewe ndiyo mke wangu kuanzia leo na sio dada yako"
"Mmmh shemeji hapana mimi siwezi kuwa mkeo ila hapa nimeamua kukupa tu" niliongea kwa sauti ya mahaba, sikutaka kumuonesha kuwa shida ndiyo zimenifanya nikubali kufanya nae mapenzi kwa ajili ya kufanikisha lengo langu la kupata kazi.

Shemeji Rashidi alipunguza kunipiga kwenye makalio hivyo tuliendelea kufanya mapenzi mpaka pale alipotosheka na kunyenyuka kitandani.
"Kuanzia leo Fatuma uwe unalala hapa nyumbani, sitaki tena urudi kwako"
"Hiyo haitawezekana shemeji, hatuwezi kuishi nyumba moja" nilimjibu na kumwambia aondoke ili Dada asije akatufuma.

Shemeji Rashidi aliondoka na kuniacha mwenyewe, nililala na asubuhi ilipofika niliamka mda ukiwa umeenda ila nilishangaa kumuona dada akiwa hana raha.
"Dada kuna tatizo mbona huna raha!?" nilimuuliza lakini alikuwa kimya.
"Mmmh au tayari ameshagundua kuwa jana nilikuwa na shemeji Rashidi!!?" niliwaza mwenyewe na kabra sijamuuliza kwa mara ya pili aliongea.
"Shemeji yako jana kanikera sana usiku"
"Mmmh kwanini dada!?"
"Yani naamka usiku nakumuomba haki yangu alafu ananyima!"
"Pole labda jana hakuwa kwenye mudi ya kufanya mapenzi!" niliongea na kujaribu kumtuliza.Baadae niliondoka na kurudi nyumbani kwangu.

Tangu siku hiyo nilikuwa mwepesi kwa shemeji Rashidi na haikupita muda nilipata kazi kwenye hospital nyinyine na sio aliyokuwa akifanyia kazi yeye, nilitumia nguvu kubwa kumshawishi mpaka akakubali kunisaidia.

Shemeji Rashidi alikuwa akija kulala nyumbani kwangu mara kwa mara na jambo lile lilikuwa likimkera dada Aisha hivyo akiwa kama mwanadamu aliye na nyama aliamua kutafuta mchepuko wa kutuliza hisia zake.

Siku moja dada alikuja nyumbani na kunikuta mwenyewe, haikupita mda shemeji Rashidi alinitumia ujumbe akiniambia kuwa yupo njiani anakuja, nilimtumia sms haraka ya kumwambia asije nyumbani kwani dada alikuwepo na sikuwa na uhakika kama aliisoma.

Tuliongea mengi mimi na dada siku hiyo na pasipo kunificha dada aliniambia.
"Shemeji yako kawa msumbufu kwangu Fatuma hataki kushiriki mapenzi na mimi ila kuna jamaa nimempata anajua mambo kuliko ata shemeji yako" dada Aisha aliongea.
"Mmmh huoni kama italeta shida baadae siku shemeji akijua!?"
"Ata akijua haina shida bora ndoa ivunjike tu, mwenyewe nashangaa mpaka sasa ivi sijabeba mimba kwake ila yule jamaa nahisi kabisa sitachelewa kupata mimba na nikiipata nambambikizia shemeji yako" dada aliongea kwa kujiamini.

Tukiwa tunaendelea na maongezi wote tulisikia sauti ya honi ya gari hivyo moyo wangu ulienda mbio maana nilihisi lazima atakuwa Shemeji Rashidi, nilitoka nje na nilichokuwa nikikiwaza kilikuwa sahihi kwani alikuwa ni shemeji Rashidi.

Bahati nzuri dada nae alinifata hivyo shemeji Rashidi alisita baada ya kumuona mkewe, aliamua kutusogelea.
"Umefika huku sangapi Aisha!? mbona hukuniambia kama utakuja kwa mdogo wako!?"
"Kwani kuna ubaya mimi kuwa kwa mdogo wangu!?" Dada Aisha alimjibu, nilitambua kuwa ndoa yao haina amani kutokana na majibishano yaliyokuwepo.

Niliamua kuwakatisha kwa kuwakaribisha ndani ili wasiendelee kujibishana lakini dada aliondoka akiwa na hasira zake na kumuacha shemeji Rashidi akiwa amesimama nje.
"Mfate dada ukamtulize Rashidi, wewe ndiyo mwenye makosa!"
"Muache aende ata hivyo hatupatani sasa ivi!" Shemeji Rashidi aliongea na kutaka kuingia ndani ila nilimzuia na kumwambia.
"Kama unataka nikasirike basi nenda kinyume na kile ninachokwambia, mfate dada Aisha ukamtulize" niliongea kwa msisitizo na shemeji Rashidi alienda kupanda kwenye gari yake na kuondoka.

Sikujua kama alifanikiwa kumpata dada au la ila baada ya dekika 30 kupita shemeji Rashidi alirudi akiwa na gari yake.......ITAENDELEA.

Story……………….MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 19
Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER
Whatsap………....0613083801/0748697173
Umri………………..18+

ENDELEA.........
Shemeji Rashidi alinifata na kuniambia.
"Dada yako ata nyumbani hajaenda itakuwa kaenda kwa mchepuko wake huko" Shemeji Rashidi aliongea kitu kilichonishangaza.
Nilijiuliza maswali ya kila aina ina maana anajua kuwa dada anamchepuko!?, kama anajua kwanini amemuacha ajiachie pasipo kumfatilia!?. kuzubaa kwangu kulimfanya Shemeji Rashidi aniulize.
"Mbona umezubaa au kisa nimesema ameende kwa mchepuko wake!?"
"Hujakosea ndicho ninachowaza hicho"
"Twende ndani nikueleze vizuri" aliongea huku akinishika kiuno.

Tulifika ndani na shemeji Rashidi aliniambia kuwa aliwahi kushika simu ya mkewe na aligundua kuwa dada anachepuka baada ya kukuta jumbe mbalimbali za mahaba.

Shemeji Rashidi baada ya kunisimulia aliniuliza.
"Fatuma unajua ni kwanini sikumfatilia dada yako!?"
"Hapana sijui" nilimjibu shemeji Rashidi.
"Basi kilichonifanya nisimfatilie dada yako ni hichi" aliongea huku mikono yake akiipitisha kwenye mapaja yangu nakuanza kunipapasa.
"Mmmh shemeji"
"Fatuma nakupenda kuliko ata dada yako, kiujumla hayumo kwenye moyo wangu sasa ivi"
"Shemeji hapana hatuwezi kuwa pamoja ila... nilisita kuongea baada ya mkono wa shemeji Rashidi kuingia kwenye papuchi yangu nakunifanya hisia zianze kunipanda za kufanya mapenzi baada ya shemeji kuanza kuisugua, mimi na shemeji Rashidi tuliingia kwenye ulimwengu wa mahaba huku kila mtu akijaribu kuonesha ufundi wake, mpaka tunakuja kumaliza kila mtu alikuwa hoi.

Baadae shemeji Rashidi alienda kuoga na kuondoka, baada ya shemeji Rashidi kuondoka nilienda kujifunga kitenge na kwenda bafuni kuoga.

Nikiwa bafuni nilisikia simu ikiita ila sikutaka kuipokea zaidi ya kuendekea kuoga, baadae nilitoka na kwenda kuangalia mtu aliyekuwa akinipigia, hakuwa mwingine bali alikuwa Dada Aisha.
Nilimpigia mwenyewe na baada ya mda alipokea simu na kuniambia.
"Fatuma leo sitarudi nyumbani ila nimemwambia shemeji yako kuwa nitalala kwako hivyo akikutafuta mwambie nipo nyumbani kwako"
"Dada kwani upo wapi!?" nilimuuliza na pembeni yake nilisikia sauti ya mwanaume ikimuongelesha kwa mbali ila nilitaka kupata uhakika kutoka kwake.

Dada aliniambia kuwa yupo kwa mchepuko wake na amepanga kulala huko, baada ya kuongea nilibaki nikiwa nawaza na niliona kabisa ndoa ya dada Aisha itavunjika mda wowote ule.

Usiku ulipofika ulikuwa ni mda wa kulala na shemeji Rashidi nae alinipigia simu na kuniambia.
"Nipo njiani nakuja Fatuma huyo dada yako kaamua kulala kwa mchepuko wake" Shemeji Rashidi aliongea na hakutaka ata kusubiri jibu langu zaidi ya kukata simu yake.

Ndani ya mda mfupi shemeji Rashidi alifika na siku hiyo alikuja pasipo kuwa na gari yake. siku hiyo alilala nyumbani kwangu na mida ya asubuhi tukiwa tumelala tena ikiwa ni mida ya saa 12 asubuhi kuelekea na nusu tulisikia sauti ya dada Aisha ikigonga mlango wa nje.
"Huyo dada yako asubuhi hii kimemleta nini tena au ameshajua nilipolala!?" Shemeji Rashidi aliongea bira kuwa na wasiwasi wowote ule tena alikuwa amenikumbatia.
"Shemeji nikamwambieje mimi jamani!?" niliongea huku nikiwa na hofu maana ndugu atabaki kuwa ndugu siku zote.

Shemeji Rashidi aliniambia niende kumfungulia na ni mwambie kuwa nipo na mpenzi wangu ndani, nilifanya kama alivyoniambia na kwenda kufungua mlango.

Baada ya kufungua mlango dada aliingia mpaka ndani na kutaka kuingia chumbani kwangu ila nilimzuia.
"Dada samahani shemeji yako yupo chumbani amelala"
"Mmh Fatuma hapa na usingizi kweli, jana usiku sijalala kabisa na kitumbua changu kinaniuma kweli"
"Pole dada ila ungeenda nyumbani tu kulala kwanza ata hivyo shemeji atakuwa ameshaenda kazini sasa ivi maana aliniambia anazamu ya asubuhi" sikutamani kumuona dada akiendelea kukaa ndani ya nyumba yangu maana nilijua mda wowote ule mambo yanaweza kuharibika.

Dada alikubaliana na maneno yangu na aligeuka kwa ajili ya kuondoka ila alipotazama chini aliona viatu vya shemeji Rashidi. Dada aliinama chini na kuviokota viatu na kuanza kuvikagua.
"Mmmh Fatuma hichi kiatu si cha Rashidi!?" nilijikuta mdomo ukiwa mzito gafra mbele ya dada nakushindwa namna ya kumjibu, dada alivyoona simjibu alijiongeza na kuingia mwenyewe chumbani kwangu pasipo ata kunisemesha.

Nilibaki nikiwa nimefunika mdomo wangu na ndipo ule msemo wa siku za mwizi ni arobaini ulipochukua nafasi yake japo sizani kama mimi na Shemeji Rashidi tulifanya mapenzi mara 39 na siku hiyo ilikuwa siku ya arobaini.

Dada aliingia chumbani na kumkuta Shemeji Rashidi akiwa amelala kitandani.
"Rashidi wewe ndiyo wa kutembea na mdogo wangu!?" Dada Aisha alimuuliza.
"Ongea taratibu kama ameumbika mdogo wako kuliko wewe ulitaka nifanyeje!?"
"Kwahiyo mimi sijaumbika!? Kwani ulilazimishwa kunioa mimi!?" Aisha alimuuliza maswali ya kila aina na baada ya kuona shemeji Rashidi hatishiki alitoka chumbani na kunifata mimi.

Nilivyomuona anakuja niliamua kutoka nje na kukimbia huku nikiwa nimejifunga kitenge, dada hakutaka kuniacha nae alitokana na kuanza kunikimbiza bahati nzuri kwangu shemeji Rashidi alikuwa nyuma yetu huku akiwa kwenye pensi tu.

Nyie hiyo siku sitaisahau, kutokana na ukubwa wa makalio yangu sikuweza kufika mbali, dada alinifikia na kuanza kunipiga makofi ya kila aina ila shemeji alifika na kuanza kumvuta akimzuia asiendelee kunipiga.
"Acha nimuoneshe huyu malaya yani umekoswa wanaume wakutembea nao mpaka ukaamua kutembea na shemeji yako!?" Dada aliongea kwa hasira lakini shemeji Rashidi alimvuta na kumpeleka ndani.

Baadae shemeji Rashidi aliondoka akiwa na dada Aisha aliyekuwa akinitukana matusi ya kila aina akinilaumu kutembea na mme wake, sikujua kilichotokea ila niliingia ndani na kuvaa nguo zangu na siku hiyo sikuwa na hamu ya kwenda kazini......ITAENDELEA.

Full Tsh 800 namba za malipo ???

0613083801 HALOPESA JINA JOHN BUGUMBA

0755271203 M-PESA JINA JOHN BUGUMBA

Maoni

You're not logged in


Tangazo - boss Enzo fully stories
boss Enzo fully stories
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? (18 & 19)

Story……………….MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? (18 & 19)
Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER
Whatsap………....0613083801/0748697173
Umri………………..18+

Sehemu ya 18

ENDELEA.........
Kuna nafsi nyingine ilinizuia kufanya kile alichoniambia shemeji Rashidi ila kwa wakati huo shemeji Rashidi niliona ndiyo msaada wangu mkubwa, niliamua kwenda kuufungua mlango na kuuacha wazi ili shemeji Rashidi asipate shida kuingia.

Kiufupi sikutaka kujali kama shemeji Rashidi ni mme wa dada. Nilitamani kazi pia sikutaka kuishi maisha magumu.

Baada ya kuufungua mlango nilirudi kitandani na kulala, nilipitiwa usingizi na katikati ya usingizi nilisikia makalio yangu yakipapaswa na mtu, moja kwa moja nilitambua kuwa ni shemeji Rashidi.

Moyoni nilijua namkosea dada ila sikuwa na njia nyingine, niliamua kukaza roho ili nifanikishe lengo langu, nilimuacha...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mmmmh-shemeji-hapana-18-19

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending 🐓 Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mmmmh-shemeji-hapana
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 30 FINAL
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 30 FINAL
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 01
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 01
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 03
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 03
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 04
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 04
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 29
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 29
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 15
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 15
MMMMH....SHEMEJI HAPANA!!!?? 02
MMMMH....SHEMEJI HAPANA!!!?? 02
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 12
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 12
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 26
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 26
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 22
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 22
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 27
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 27
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 20
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 20
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 28
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 28
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 24 Mtunzi……………
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 24 Mtunzi……………
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 13
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 13
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 16
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 16
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 14
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 14
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 05
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 05
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 25
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 25
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 17
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 17
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 23
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 23
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 06
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 06
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 21 Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 21 Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 07
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 07
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 09
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 09
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 08
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 08
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 11
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 11
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 10
MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 10
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE

NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE

447
LETICIA Sehemu ya 19 na 20

LETICIA Sehemu ya 19 na 20

333
CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10

CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10

111
MFALME KIPOFU  27

MFALME KIPOFU 27

98
MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17

MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17

83
MFALME KIPOFU  17 -- 18

MFALME KIPOFU 17 -- 18

62
MFALME KIPOFU  19 -- 20

MFALME KIPOFU 19 -- 20

58
MFALME KIPOFU  25 -- 26

MFALME KIPOFU 25 -- 26

56
MFALME KIPOFU  21 -- 22

MFALME KIPOFU 21 -- 22

55
MFALME KIPOFU  23 -- 24

MFALME KIPOFU 23 -- 24

42

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

12.03K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.71K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.91K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.67K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

3.11K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

3.04K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.91K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.86K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.76K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.71K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Mmmh nilihisi utumbo unacheza, kwa nn haruhusiwi ndoa sasa? Au ameoa? Nilijiuliza sana, keanu akasema sijakuelewa kwa nn siruhusiwi kuoa sasa? Akasema kuna mashart katika kila kanisa ili...

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18 Post Mpya
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18
@majario LIVE

Mida ya jioni vipindi vilipoisha tuliongozana na Glad hadi kwa kaka yake ilikuwa ni saa kumi na moja za jioni hivyo alikuwa kasharudi toka kazini tulimkuta nyumbani 🏡. Karibuni...

CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10 Post Mpya
CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10
@majario LIVE

SEHEMU YA 08 "Kwanza haoni ajabu kukufukuza,na akisema hakutaki ujue hakuna was kukutetea hata mama hataongea .... kwaiyo muangalie hivyo hivyo kauli yake moja tu inakuondoa........... Nicole aliposema hivyo nilimuogopa sana...

Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii Post Mpya
Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii
@mjukuu LIVE

Screengrab from video put out by Iranian state media Tasnim News of an Iranian missile with Trump's name on it, in response to the great gift from Iran Trump claimed...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE
@majario LIVE

:131 Nikawa natoa ile bahasha. Vile natoa, namuona Boss Yule anakuja. Ni wazi alisikia kengele au aliniona kwa juu. Nikasema kwa ndani “niondoke?” Ataona Kama namkimbia, Nikajikaza pale kusubiri. Basi kweli alifika,...

MFALME KIPOFU  27 Post Mpya
MFALME KIPOFU 27
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 27 (FINAL) Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Nawauliza Princess Nailet yupo wapi? alipotazama Pembeni hakuamini kuona mwili wa binti yake....... ENDELEA NAYO...... Mfalme Tengu alilia kama mtoto mdogo "Pole sana mfalme kwa kipindi kigumu unachopitia Prince...

MFALME KIPOFU  25 -- 26 Post Mpya
MFALME KIPOFU 25 -- 26
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 25 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno ya Lindiwe yalimfanya Princess Nailet kutabasamu nakutulia kuwaacha waongonzane watu watatu tu Malikia,Prince Yao na Amma mwenyewe kwenda kutafuta iyo dawa...... ENDELEA NAYO.......... Malikia andwaa aliongoza msafara wa...

MFALME KIPOFU  23 -- 24 Post Mpya
MFALME KIPOFU 23 -- 24
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 23 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno yale yalipenya kwenye masikio ya Amma na baadhi ya watu waliokuwa pale wakitazama tu badala ya kutoa msaada,Babaaaaa............ ENDELEA NAYO.......... "Baba amka",Amma alimwita baba yake, Aliye kuwa tayali amepoteza...

MFALME KIPOFU  21 -- 22 Post Mpya
MFALME KIPOFU 21 -- 22
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 21 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Malikia alichanganyikiwa baada ya kusikia maneno yale ya dakitari Malikia aliita walinzi na ,kuwapa maagizo ya kuwakamata matabibu wote...... ENDELEA NAYO....... Walisubili pakuche msako uanze wa kuwakamata matabibu...

MFALME KIPOFU  19 -- 20 Post Mpya
MFALME KIPOFU 19 -- 20
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............19 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Ni mapenzi ya ajabu aliyokuwa nayo Princess Nailet kwa Yao licha ya kumfahamu kwa mda mfupi tu lakini aliteka sehemu kubwa ya moyo wake... ENDELEA NAYO....... Aliendelea na safari ya...

MFALME KIPOFU  17 -- 18 Post Mpya
MFALME KIPOFU 17 -- 18
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............17 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Lindiwe alitege sikio vizuri na kweli alisikia sauti emu njoo huku alimvuta Prince Yao pembeni na kujificha sehemu ni ngumu kuonekana. Namu sura ya General haikutoka machoni mwake alimuona...

MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17 Post Mpya
MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17
@mjukuu LIVE

Ilipoishia sehemu iliyopita...... Asikari",Mfalme Tengu aliita kwa hasira "Nendeni mkawarudishe haraka" "Mfalme tayali wameshavuka mpaka" "Nimesema nendeni mkawarudishe" Waliondoka na kumuacha Mfalme akiendelea ..... SEHEMU YA 16 ENDELEA NAYO...... Waliondoka na kumuacha mfalme akiendelea kuongea na binti...

LETICIA Sehemu ya 19 na 20 Post Mpya
LETICIA Sehemu ya 19 na 20
@majario LIVE

💍💍💍💍💍💍 Nikasikia madam prisca anasema nyie uko jikoni mbona kama mnajibizana sana ,polela akasema amna madamu ,kisha akaondoka basi mwenzenu polela akawa ananisumbua kila siku ,yaani kila akiniona nipo peke yangu...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 121 - 130 SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 121 - 130 SEASON THREE
@majario LIVE

:121 Nilishtushwa na maumivu yake kabla sijafanya kitu, mama akawa anaingia, nikamzuia mama, mama alinitazama kisha Dorice, nikamuonesha mama Ishara asiseme kitu na badala yake atoke. Mama yangu ana upendo sana, alitii...

ZARA❤️ MPYA ( 1 MPAKA 5) Post Mpya
ZARA❤️ MPYA ( 1 MPAKA 5)
@majario LIVE

MPYA MPYA MPYA ⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️ ⚪️⚪️ Sehemu ya 1 na 2 Ilikuwa ni siku ambayo nna raaha kweli kweli, nikiagana na rafiki zangu shuleni, ni siku ambayo tayali wanafunzi wa kidato cha...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest