Story……………….MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 16
Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER
Whatsap………....0613083801/0748697173
Umri………………..18+
ENDELEA.........
Baadae nilienda kuvaa nguo zangu huku nikiwa natembea kwa shida, Kasimu alikuwa akinitazama jinsi nilivyokuwa nikipata dabu kutembea.
"Utazoea tu Fatuma mimi ndiyo show zangu hizo sina show za mchezo mchezo na hapo mtaro sijakuomba je? ningepita kwenye mtaro ungeweza kutembea kweli!?" aliongea kwa kujigamba akiniuliza lakini mimi sikutaka kuendelea kusikiliza story zake zaidi ya kuondoka.
Kasimu aliniambia kuwa huo ndiyo mwanzo tu kwani kila atakapokuwa akipata hamu ya kufanya mapenzi na mimi basi ni lazima nikubali lasivyo atanitimua kazini.
Niliondoka na nilipofika nyumbani nilikuwa sina hamu kwa kile alichokuwa amenifanyia Kasimu, nilivua nguo zangu na kuwasha feni ili walau mwili wangu upigwe upepo. Siku hiyo ilipita na siku iliyofata nilienda kazini, nilipatana na binti aliyekuwa akiitwa Rose hivyo niliamua kumuuliza habari za Kasimu kwa ajili ya kumpeleleza vizuri.
"Weeee unamjua Kasimu wewe yule ni balaa hamna mdada asiyemjua hapa!?"
"Kwani ananini huyo Kasimu" nilimuuliza na Rose aliniambia.
"Kasimu siku akikwambia mkafanye nae mapenzi katakaa kabisa Fatuma usije kukubali!" Rose aliniambia kwa msisitizo.
"Mbona sikuelewi Rose!?" nilimuuliza na Rose aliniambia kuwa Kasimu huwa anaurafiki na mzungu anayemletea dawa za kuongeza nguvu za kiume na ata uume wake aliurefusha kupitia dawa ambazo huwa analetewa.
Baada ya Rose kuniambia niliyaamini maneno yake hasa baada ya kukumbuka kile kilichonitokea siku iliyopita.
"Au Kasimu amekutongoza nini!?"
"Wala!! ila nilitamani kujua tu kuhusu yeye" nilimjibu na baadae tulibadilisha story na kuanza kuongea mambo mengine.
Siku iliyofata Kasimu alinipigia simu na kutaka tukutane kwa mara nyingine tena kwa ajili ya kufanya mapenzi, kiukweli sikutaka kabisa kwenda kuonana nae hivyo niliamua kumwambia kuwa nimebanana na haitowezekana siku hiyo.
"Unataka kunivuluga Fatuma sasa!, kumbuka makubaliano yetu yalivyokuwa!!?"
"Nayakumbuka mno makubaliano yetu ila haitawezekana maana nyumbani nipo na mama na hali yake sio nzuri na hamna mtu wa kumwangalia zaidi yangu" niliamua kutunga uongo wangu na baadae Kasimu alinielewa ila aliniambia kesho lazima nikubali kuonana nae.
Nilikata simu na kuanza kuongea mwenyewe huku nikitoa lawama za kile aina, nilijiona kama mwenye mkosi kwani nilitoka kwenye hospital ya kwanza nikimchenga shemeji Rashidi lakini ata wiki haijaisha Kasimu ameanza kuwa kero kwangu licha ya kunitengenezea mpango wa kazi.
Siku iliyofata nilienda kazini na siku hiyo kwa mara nyingine nilimchenga Kasimu, sikutaka kwenda kufanya nae mapenzi maana bado nilikuwa na maumivu kwenye ukee wangu. Siku iliyofata Kasimu hakunisumbua na siku tatu zilipopita nilishangaa nikipewa taarifa za kuondolewa kazini.
"Ina maana kukataa kufanya nae mapenzi ndiyo kaamua kunitimua kazi!?" niliongea mwenyewe baada ya kuisoma barua niliyokuwa nimepatiwa.
Kiukweli nilivulugwa sio siri, nilirudi nyumbani kwangu nikiwa sina hamu na kwenye simu yangu ujumbe uliingia kutoka kwa Kasimu.
"Wewe siunajifanya mjanja basi tukuone utakachofanya yani ata kutambulika vizuri bado kwenye mfumo ila tayari umeshaanza kunilingia!? nenda ukatafute kazi sehemu nyingine huko na matako yako hayo" nilimaliza kuisoma sms ya Kasimu.
Sikutaka kumjibu wala kumbembeleza ila nilichukua maamuzi ya kwenda nyumbani kupumzika kwa mda huku nikiitafuta njia nyingine ya kujitafuta kimaisha, Mama alishangazwa na ujio wangu wa gafra hivyo nilimwambia kuwa sio muajiriwa tena. Mama ilibidi ampgie simu dada Aisha mbele yangu nakuanza kuongea nae.
"Mama, mimi nilishangaa kumuona Fatuma akiacha kazi sehemu aliyotaftiwa na shemeji yake bira kuwa na sababu ya msingi" dada alimwambia mama aliyeshangazwa na taarifa zile maana hakuwa nazo kabisa, alijua nimefukuza kazi sehemu aliyonitaftia shemeji Rashidi.
Hakutaka kuendelea kuongea na dada zaidi ya kukata simu na kuongea.
"Fatuma dada yako alichoniambia ni cha kweli kuwa uliacha kazi mwenyewe sehemu aliyokutaftia shemeji yako!?"
"Ndio mama niukweli" nilimjibu, Mama alikasikarika zaidi hasa baada ya mimi kukataa kumwambia sababu iliyonifanya nikaacha kazi maana ilikuwa ndani ya moyo wangu.
"Utajijua mwenyewe Fatuma shemeji yako alipambana kwa ajili yako"
"Mama hujui tu ni kitu gani kilichonifanya nikaacha kazi anakofanyia shemeji" niliongea nikimwambia mama maana sikupenda kuona akiendelea kunitupia lawama.
"Kwani kuna sababu ipi ya msingi!?"
Mama baada ya kuniuliza sikutaka kumficha, nilimwambia kuwa shemeji Rashidi alinitongoza na kunitaka kimapenzi japo sikumwambia kama tayari tumeshazagamuana.
"Mmmh huo mtihani mwingine ila shemeji yako hawezi kufanya kitu kama hichi!?"
"Mama huo ndiyo ukweli ndiyo maana nilitafuta sehemu nyingine ya kazi ili niwe mbali nae lakini bahati mbaya nako mambo yameenda hovyo"
"Duh basi pole binti yangu ngoja nitaongea na dada yako" Mama alizungumza na mimi sikutaka kuona akimwambia dada kwani ndoa yake ingevunjika, shemeji Rashidi alionekana kumchoka dada yangu ndiyo maana alikuwa hamwogi ata kidogo.
Nilimshauri mama kukaa kimya na asije kumwambia dada Aisha, bahati nzuri alinielewa na aliahidi hatokumwambia dada Aisha.
Upande wa shemeji Rashidi alizipata taarifa za mimi kufukuzwa kazi hivyo alikuja mpaka nyumbani na kunikuta nikiwa pamoja na mama.
Shemeji Rashidi alianza kunitupia lawama mbele ya mama aliyekuwa kimya, uvimilivu ulimshinda mama wa kukaa kimya na baadae alimwambia shemeji.
"Fatuma kaniambia kila kitu kinachoendelea kati yenu"
"Kitu gani alichokwambia!?"Shemeji Rashidi alimuuliza.
Mama pasipo kuogopa alilopoka mbele ya Shemeji Rashidi akimwambia kuwa alikuwa akinitaka kimapenzi......ITAENDELEA
Full Tsh1000 namba za malipo ???
0613083801 HALOPESA JINA JOHN BUGUMBA
0755271203 M-PESA JINA JOHN BUGUMBA.