PENZI LA MHALIFU 05.
Siku kadhaa zilipita na kwenye kituo changu cha kazi aliletwa asikari wa kike mpya aliyekuwa akiitwa Neema.
Mimi na Askari Neema tulipatana na tulikuwa marafiki.
Afande Neema alizipata taarifa zangu za kuolewa na mwanaume aliyewahi kuwa mharifu hapo nyuma.
Siku hiyo tukiwa tunapata lunch aliamua kuniuliza pasipo kuogopa.
"Afande Angel uliwezaje kuolewa na mtu aliyewahi kuwa mharifu!?"
"Ni upendo tu nilionao kwake, ananipa vitu ambavyo mwanaume mwingine hawezi kunipa" nilimjibu na Afande Neema aliamua kuniuliza.
"Una maanisha anakutia na kukuu kuna pande zote kwenye kisima chako!?"
Aliniuliza na mimi nilimkubalia na kumwaga sifa baadhi za Cyborg kwake.
Tulimaliza kula na kwenda kuendelea na majukumu yetu.
Siku mbili zilipita na siku hiyo ilikuwa ni siku ya jumapili. nikiwa mimi pamoja na mme wangu Cyborg alianza kulalamika kwa kutafutwa na namba ngeni aliyokuwa haitambui.
"Malaika mimi nimeshabadilika kabisa hivyo ni lazima nikuambie ukweli" Cyborg aliongea ilibidi nimuulize ni ukweli gani anaotaka kuniambia.
"kuna malaya nisiyemjua amenitafuta, anataka niende kumzagamua!?"
Cyborg aliongea.
"Huyo malaya katolewa wapi namba zako?" Nilimuuliza na Cyborg alisema hajui chochote. kwakuwa nilikuwa na wivu na mme wangu nilichukua namba na kumtafuta mwanamke aliyekuwa akimsumbua mme wangu.
Nilipiga lakini simu ilikuwa haipokelewi.
Siku hiyo ilipita na Cyborg alipunguza kusumbuliwa na namba ya mwanamke huyo.
Siku ya jumatatu niliamkia kazini na kwakuwa Afande Neema alikuwa ni rafiki yangu wa karibu nilijikuta nikimwambia habari za mme wangu kusumbuliwa na mwanamke tuliyekuwa hatumjui.
"Mmmh huenda huyo mwanamke amepata habari za Cyborg kuwa anajua kutia vizuri na kumlizisha mwanamke" Afande Neema aliongea na kabra sijamjibu kumbe Afande Davi alikuwa akitusikiliza tu nakuamua kuongea kwa sauti ya juu.
"Tangu lini mwizi akasumbuliwa na wanawake wanaojielewa huyo atakuwa ni malaya tu aliyekuwa anamtia kipindi cha nyuma"
"Afande mbona unapenda kuingilia maongezi ya wanawake kwani umekuwa mwijaku wewe!?" Afande Neema alimwambia lakini haikumfanya Afande Davi anyamaze, aliendelea kumponda mme wangu.
Niliangalia kwenye ofisi ya mkuu wetu na nilipoona mlango umefungwa niligundua kuwa mkuu wetu hayupo hivyo niliona acha nimtolee uvivu Afande Davi.
"Kwani k yangu inanini mpaka ushindwe kuendelea na maisha yako nakuendelea kumponda mme wangu kila siku!?"
"Ndiyo hapo sasa emu mwambie au alitaka yeye aolewe na Cyborg wako" Neema nae aliongea na wote tulianza kumchamba Afande Davi aliyeamua kuondoka na kutuacha wenyewe.
Siku kadhaa zilipita na yakiwa ni majira ya saa 1 asubuhi niliamka kwa ajili ya kwenda kujiandaa ili niende kazini ila Cyborg alinivuta nakunikumbatia.
"Nataka unipe cha asubuhi Malaika"
"Jana usiku siulinitia mme wangu kwani hukulidhika tu!?"
"Kwa utamu wako naanzaje kulidhika au unataka niende kutafta malaya kwa ajili ya kutuliza hamu zangu?"
Cyborg alining'ang'ania nakunibana kisawa sawa na kwakuwa nilikuwa sijavaa chupi, Cyborg aliuchomeka mtalimbo wake nakuanza kunizagamua na mimi nilimpa ushirikiano.
Tulitumia mda mrefu kuzagamuana na baadae tulimaliza huku mda ukiwa umeenda.
Nikiwa najiandaa kwa ajili ya kwenda kuoga simu yangu iliita hivyo niliipokea nakukutana na namba ngeni.
Sauti ya Afande Neema ilisikika na aliniuliza kwanini nimechelewa kiasi hicho kwenda kazini kwani ni mimi tu nilikuwa bado sijareport. Tuliongea huku akinisii niwahi kazini, baadae Afande Neema alikata simu.
Baada ya Afande Neema kukata simu nilijikuta nikipigwa na butwaa baada ya kuikumbuka vizuri namba aliyoitumia Afande Neema kunipigia.
"Mme wangu una ile namba ya Malaya aliyekuwa anakusumbua!?"
"Ndio ninayo kwani vipi Mke wangu au kuna tatizo!?"
"Emu nipatie" nilimwambia na Cyborg alinipa namba ya mwanamke aliyekuwa akimsumbua.
Namba aliyonipatia ilifanana na ile aliyonipigia Neema. sikutaka kuamini kama rafiki yangu ndiye mtu aliyekuwa akimsumbua mme wangu hivyo nilijiandaa haraka na kwenda kazini na ata Cyborg sikumwambia kama nimemjua mtu aliyekuwa akimsumbua.
Nilifika na kumkuta Neema aliyekuwa na wasiwasi nahisi aligundua kuwa nimeujua ukweli.
"Afande Neema kumbe ulikuwa wewe uliyekuwa ukimsumbua mme wangu?"
nilimuuliza Afande Neema aliyeinamisha kichwa kwa kushikwa na aibu......ITAENDELEA.
Inapatikana kwa Tsh 1000 tu.
Namba za malipo.????
0613083801 HALOPESA Jina John Bugumba.
0755271203 M-pesa Jina John Bugumba..