Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  artist

PENZI LA MHALIFU 22

4th Jul, 2025 Views 72

PENZI LA MHALIFU 22

Siku tatu zilipita bira Cyborg kuniambia chochote kile kilichokuwa kikiendelea na ata sisi kituoni tulikuwa tumeshaanza kulipotezea tukio hilo na kuendelea na majukumu mengine.

Siku ya nne nikiwa kazini Cyborg alinipigia Cm na kuniambia niende na Asikari wenzangu kwani ameshajua ni wapi wanapoishi magaidi waliofanya tukio la mauaji, sikuamini sababu nilihisi kama ananitania ila alinisisitizia nifanye haraka kabra mambo hayajaharibika.

Nilienda kuwajulisha asikari wenzangu na moja kwa moja tuliende sehemu aliyotuelekeza Cyborg na kubahatika kumkuta.

Afande Joel alishangaa kumuona mme wangu na hakuamini kama ndiye aliyeamua kutusaidia bira kujua kama Cyborg ameamua kunisaidia mimi ili asikari wa kiume wasiwe karibu na mimi.

Cyborg alitupeleka mpaka kwenye makazi ya magaidi waliokuwa wakiishi na baada ya kutufikisha alituachia kazi sisi huku yeye akienda kusimama pembeni, tuligonga mlango na alifungua kijana mmoja na alipotuona alitaka kukimbilia ndani ila asikari mwenzetu mmoja alimuwahi na kumshika.

Ilikuwa ni patashika kwani vijana wengine waliokuwa ndani hawakutaka kukamatwa kizembe zaidi kushika siraha walizokuwa nazo na kuanza kutushambulia.

Bahati nzuri tulifanikiwa kuwathibiti na kuwakamata.

Baada ya kazi kukamilika siku hiyo mkuu wetu alitumwangia kila aina ya sifa na hakuacha kumsifia mme wangu Cyborg kwa kazi aliyoifanya kwani bira yeye ata hao magaidi tusingeweza kuwakamata.

Baada ya kupongezwa na mkuu Afande Joel aliniita pembeni na kuniambia.
"Hongera sana Angel kwa kuwa na mwanaume kama yule ila ata hivyo wewe ni mwanamke mrembo sana na umejaliwa kuwa na umbo linalovutia na kumfanya kila mwanaume atamani kusex na wewe" Afande Joel aliongea na kunimwangia kila aina ya sifa.
"Asante ila mimi sio mzuri kiasi hicho nipo kawaida tu" niliongea kwa kupingana na kile alichoniambia ila Afande joel hakuacha kunisifia.

Nilishindwa kumwelewa na nilianza kuhisi yanaweza kujirudia yale ya Afande Davi na Aliyewahi kuwa mkuu wangu ambae ni Robert kwenye kituo nilichokuwa nafanya kazi mwanzo.

Niliamua kusitisha maongezi na Afande Joel na baadae nilielekea nyumbani.

Nilimkuta Cyborg akiwa katulia na mimi nilimfata na kwenda kumkiss na yeye alilipokea kiss langu na wote tulijikuta tukianza kubadilishana ndimi zetu bira kujali kama tupo sebleni  tena tunaishi na mdada wa kazi.

Tuliendelea kuchezeana lakini nilipotazama dirishani nilishituka kumuona mtu akituchungulia.

"Emu subiri kwanza mme wangu, kuna mtu anatuchungulia" nilimwambia Cyborg kwa sauti ya chini na baadae nilitoka na kuzunguka kwenda kumwangalia mtu aliyekuwa anatuchungulia.

Nilifika na kumkuta mwanamke akiwa anaendelea kuchungulia na nilimkumbuka vizuri kwani alikuwa ni  jirani yangu aliyewahi kuniita kipindi cha nyuma na kuniuliza kama Cyborg anatumia dawa yoyote ya kuongeza nguvu za kiume.
"Hii ndiyo tabia yako ya kuchunguliwa watu wakiwa wanajiandaa kuzagamuana sio!?" nilimuuliza huku nikiwa na sura ya uaskari na sio kimalaika tena.
"Nisamehe jirani yangu nilitaka kuangalia utundu wenu wakati wa kufanya mapenzi ili na mimi nikamfundishe mme wangu yani hajui kitu kabisa, emu fikiria nipo nae kwenye ndoa kwa miaka 6 sasa ivi na hatujawahi kupata mtoto ata mmoja" jirani yangu aliongea na ilibidi nimtazame vizuri na niligundua kuwa alikuwa amejifunga kitenge huku akiwa hajavaa nguo yoyote ile ndani kwani mapaja yote yalikuwa nje.
"Hio haitasaidia nenda kamuulize mmeo vizuri huenda miaka ya nyuma aliwahi kupiga punyeto akapata madhala na ndiyo inamfanya ashindwe kukulizisha kama inavyotakiwa" nilijaribu kumshauli.

Cyborg akiwa ndani baada ya kuona na tumia mda mrefu aliamua kutoka nje na alinikuta nikiendelea kufanya maongezi na jirani yangu.

Cyborg alikuwa amevaa pensi ya kulalia na alisogea mpaka sisi tulipo.

ile Cyborg amefika nilishangaa kumuona jirani yangu akiwa anamwangalia kila mda Cyborg kwenye pensi yake.

Ndipo nilipogundua kuwa anaangalia mhogo wa Cyborg uliokuwa umeanza kutuna.
"Jirani naomba uende" niliamua kumwambia na jirani aliondoka huku akiwa anageuka kila mara kumuangalia Cyborg na alivyonadharau alikuwa akitembea huku akitikisa makalio yake.

Cyborg aliishia kuguna baada ya kuona makalio ya Jirani yetu yalivyokuwa yakitikisika.
"Duh huyo mwanamke inaokana ana upwiru sio bure" Cyborg aliongea.
"Emu twende ndani upwiru ata mimi ninao" nilimwambia ili kumfanya asiendelea kuyafikiria mkalio ya jirani mwenzangu na kiukweli nikili wazi kuwa jirani yangu alikuwa amenizidi makalio kwa kiasi kikubwa.

Tulipelekana mpaka ndani kwa ajili ya kwenda kuendelea na mchezo wetu sababu jirani alitukatisha.....ITAENDELEA..
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

PENZI LA MHALIFU 22  >>> https://gonga94.com/semajambo/penzi-la-mhalifu-22
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 11.

majario rewards 100 Comments 0
 

GIGY MONEY DAH😭

majario rewards 100 Comments 0
 

YOUNG AFRICANS,

majario rewards 100 Comments 0
 

BAKORA VILLAGE

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 7...8

majario rewards 100 Comments 0
 

HUYU KAKA EPISODE 2

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE...5...6

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 3...4

majario rewards 100 Comments 0
 

HUYU KAKA 1

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈21

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈20

majario rewards 100 Comments 0
 

DADA WA KAZI EPISODE 8

majario rewards 100 Comments 0
 

DADA WA KAZI EPISODE 7

majario rewards 100 Comments 0
 

Life in a Year (2020)

majario rewards 100 Comments 0
 

Kenya, Tanzania, Congo

majario rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 40

majario rewards 100 Comments 0
 

POSHY QUEEN:

majario rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 39

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈19

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈18

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈17

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈16

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈15

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 05 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 04 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 03 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 02 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 01 ❤❤.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 34

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈14

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈13

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈10

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

TUWASHUKURU KINA BABA

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest