Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

PENZI LA MHALIFU 27
Gonga94 · Stories

PENZI LA MHALIFU 27

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
PENZI LA MHALIFU 27

TULIPOISHIA.....
Kiukweli nilikuwa njia panda na nilishindwa kufanya maamuzi ya kwenda kwenye gest kwa ajili ya kuzagamuana na Afande Joel ili milion 4 ziendelee kuwa kwenye mikono yangu au niache kwenda kwa ajili ya kulinda heshima ya ndoa yangu na Cyborg.

TUENDELEE......
Basi niliamua kufikiria ni wapi tulipotoka mimi pamoja na Cyborg wangu hivyo niliona nitakuwa namkosea kama nitaamua kumsaliti.
Nilichukua pesa alizonipatia Afande Joel na kwenda nazo kwenye gest aliyonielekeza.

Nilivyofika sikutaka kuingia ndani ya gest bali nilichukua simu yangu nakumpigia.

Nilimwambia aje tuonane nje ya gest na Afande Joel alikuja huku akiwa na furaha sababu alikuwa na uhakika siku hiyo lazima tungeenda kufanya sex ila mimi nilichukua pesa nilizokuja nazo na kumkabizi kitu kilichomshangaza.
"Angel mbona umeamua kunirudishia pesa ina maana haupo tayari kufanya mapenzi na mimi!?"
"Sipo tayari na naomba iwe mwanzo na mwisho kuniambia habari ya sisi kufanya mapenzi, mwanzo nilitaka kujisahau tu ila sipo tayari kumsaliti mme wangu Cyborg" nilimwambia Afande Joel na hakuamimi kile nilichokiongea.
"Lakini tunafanya mara moja tu na nitahakikisha hamna mtu atakayejua kama tayari tumeshafanya mapenzi, tafadhali Angel naomba usinifanyie hivyo" Afande Joel alizidi kunibembeleza nikubali kuongozana nae ili tukafanye mapenzi lakini mimi nilizidi kuweka msimamo wangu.

Baadae niliamua kuondoka na kumuacha akiwa bado hamini kama nimeamua kumtolea nje.

Ile nafika nyumbani Afande Joel alinitumie ujumbe mrefu huku akijaribu kunibembeleza nikubali kwenda kufanya nae mapenzi. kiukweli niliamua kumblock kwa wakati huo kwani alikuwa na usumbufu mkubwa.

Upande wa Afande Joel baada ya kuona nimekataa aliamua kumpigia mchepuko wake ambae ni boss wa mme wangu Cyborg kwa ajili ya kutuliza hamu zake.

Cyborg akiwa anaendelea na kazi pamoja na wafanyakazi wenzake walishangaa kuona boss wao akiwaambia wasitishe kile walichokuwa wakikifanya na wataendelea na kazi siku nyingine.

Cyborg aliondoka na alipofika nyumbani alinikuta nikiwa nimekaa chumbani.
"Mizagamuo imenitufanya leo tuondoke mapema kazini" Cyborg aliongea.
"Una maana gani!?"
"Boss wetu alipigiwa simu na mchepuko wake nakutuzuia tusiendelee na kazi"
"Huwezi jua huenda kunadharura ameipata na sio kama unavyofikiria wewe" nilimjibu sababu nilijua mda wote yeye anawaza mambo ya sex tu.
"Dharura wapi alikuwa akiwahi kwenye mizagamuo sababu nilimsikia akiuliza gest anayotakiwa kwenda na uhakika ni yule Afande Joel uliyewahi kuja nae hapa, ndiyo maana sitaki kukuona ukiwa na mazoea nae kabisa" Cyborg aliongea bira ata kunificha na mimi nilielewa huenda ni kutokana na mimi kukataa kufanya mapenzi na Afande Joel ndiyo sababu iliyomfanya ampigie simu mchepuko wake.

Wiki mbili zilipita na Afande Joel hakuwahi kunisumbua tena alikuwa akinisalimia kwa heshima pale tulipokuwa tukikutana.

Siku moja nikiwa kazini mfanyakazi wangu wa ndani alinipigia simu na kuniambia kuwa kuna mtu aliingia kwenye chumba chetu na alibahatika kumuona na alivyojaribu kupiga kelele za kuhitaji msaada wa kumkamata, mtu huyo alikimbia huku akiwa ameshika nguo kwenye mkono wake.

Baada ya kupewa taarifa hiyo sikuwa na hamu tena ya kuendelea kufanyakazi niliwaaga maafande wenzangu na kuondoka kurudi nyumbani. nilifika na kujaribu kuangalia kwenye chumba chetu nione kama kuna kitu chochote  kilichoibiwa ila sikubahatika kuona kitu chochote kile kilichoibiwa, kila kitu kilikuwa kwenye mpangilio wake.

Lawama zote nilizipeleka kwa mfanyakazi wangu kwa uzembe alioufanya wa kuacha mlango wazi na ata Cyborg aliporudi nae alishangaa kukutana na taarifa hizo.

Siku hiyo ilipita na siku nyingine iliyofata yakiwa ni majira ya usiku, nilikuwa nimelala na Cyborg mme wangu.
Nilibaki kushangaa siku hiyo kwani Cyborg alikuwa hawezi  kusimamisha mnala wake kitu ambacho hakikuwahi kumtokea.
"Malaika mbona haisimami!?" aliniuliza na mimi nilijaribu kumfanyia ufundi wa kila aina lakini wapi, ilikataa kabisa kusimama.
"Emu lala kwanza mme wangu upumzike huenda umechoka na kazi ndiyo maana haisimami"
Baada ya kumwambia Cyborg aliamua kulala.

Mida ya saa 8 usiku Cyborg alianza kunipapasa ili apandishe hisia zake kwa ajili ya sisi kuzagamuana, alifanya kila aina ya utundu lakini bado mpini wake ulikataa kusimama kabisa.
"Kuna mtu kaniloga Malaika hii sio kawaida yangu" Cyborg aliongea na mimi nilianza kuyaamini maneno yake sababu kwa nilivyokuwa nikimjua mida hiyo tungekuwa tumeshazagamuana mpaka basi.

Basi siku hiyo tulilala huku Cyborg akiwa anafikiria ni mtu gani aliyemfanyia huo mchezo mpaka ashindwe kusimamisha. ilipofika asubuhi Cyborg aliondoka na mimi mda wa kwenda kazini ulifika hivyo nilijiandaa na kuondoka.

Nilifika kazini siku hiyo na nilishangaa kumuona Afande Joel akiniangalia kila mara.
"Mmmh au huyu ndio kamloga mme wangu!?" nilijiwazia mwenyewe huku nikiendelea kumuangalia Afande Joel.

Nikiwa namtazama simu yangu iliweza kuita na mpigaji alikuwa ni Cyborg mwenyewe.
"Malaika njoo nyumbani sasa ivi"
Cyborg aliongea na kunifanya nishangae sababu ulikuwa ni mda wa kazi mda huo.
"Cyborg hujui kama nipo kazini sasa ivi!?"
Nilimuuliza ila Cyborg aliamua kunijibu " Najua na ndiyo maana nimekupigia simu uje" aniambia na mimi nilianza kuwaza nitumie njia gani ya kuweza kuondoka kwa ajili ya kwenda kuonana na Cyborg.

Sikutaka kumuaga mtu yoyote yule zaidi ya kuondoka na kurudi nyumbani kwangu na nilipofika nilimkuta Cyborg akiwa chumbani huku ndani ya chumba chetu kukiwa na harufu ya bangi na ilionesha Cyborg ametoka kuvuta bangi mda sio mrefu.
"Cyborg umevuta bangi tena!?" nilimuuliza ila Cyborg yeye hakutaka kunijibu badala yake alivua nguo zake na kubaki uchi huku asikari wake akiwa kalala fofo na hakuwa na dalili ya kusimama kabisa.

"Ni kwa leo tu Malika naomba uiname kidogo nijaribishe nione kama itakubali kuamka" Cyborg aliongea huku akiushikashika mtalimbo wake.
"Yote sawa ndiyo mpaka uvute bangi tena kwenye chumba chetu kwani umesahau kama mimi ni asikari polisi!?" nilimuuliza lakini Cyborg hakutishika na maneno yangu kabisa.
"Malaika, kuna mda huwa nikivuta bangi basi stimu za kufanya mapenzi zinanipanda ndiyo maana nimeamua kuvuta ili nione kama sitimu zitapanda, emu inama kabra stimu hazijakata" aliongea na alipoona sitaki kufanya kile anachokitaka alinisogelea akiwa na harufu yake ya bangi na kuniinamisha kisha baada ya hapo alinivulisha kwa kuishusha chini nguo yangu pamoja na chupi na kitumbua changu kikawa kinaonekana. kazi ilibaki kwake sasa ya kuanza kunizagamua.....ITAENDELEA.

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

PENZI LA MHALIFU 27

PENZI LA MHALIFU 27

TULIPOISHIA.....
Kiukweli nilikuwa njia panda na nilishindwa kufanya maamuzi ya kwenda kwenye gest kwa ajili ya kuzagamuana na Afande Joel ili milion 4 ziendelee kuwa kwenye mikono yangu au niache kwenda kwa ajili ya kulinda heshima ya ndoa yangu na Cyborg.

TUENDELEE......
Basi niliamua kufikiria ni wapi tulipotoka mimi pamoja na Cyborg wangu hivyo niliona nitakuwa namkosea kama nitaamua kumsaliti.
Nilichukua pesa alizonipatia Afande Joel na kwenda nazo kwenye gest aliyonielekeza.

Nilivyofika sikutaka kuingia ndani ya gest bali nilichukua simu yangu nakumpigia.

Nilimwambia aje tuonane nje ya gest na Afande Joel alikuja huku akiwa na furaha sababu alikuwa na uhakika siku hiyo...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/penzi-la-mhalifu-27

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending <br>

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi penzi-la-mhalifu
PENZI LA MHALIFU 33.
PENZI LA MHALIFU 33.
PENZI LA MHALIFU 01.
PENZI LA MHALIFU 01.
PENZI LA MHALIFU 02
PENZI LA MHALIFU 02
PENZI LA MHALIFU 04.
PENZI LA MHALIFU 04.
PENZI LA MHALIFU 22
PENZI LA MHALIFU 22
PENZI LA MHALIFU 43 (FINAL).
PENZI LA MHALIFU 43 (FINAL).
PENZI LA MHALIFU 36
PENZI LA MHALIFU 36
PENZI LA MHALIFU 05.
PENZI LA MHALIFU 05.
PENZI LA MHALIFU 23.
PENZI LA MHALIFU 23.
PENZI LA MHALIFU 30
PENZI LA MHALIFU 30
PENZI LA MHALIFU 08
PENZI LA MHALIFU 08
PENZI LA MHALIFU 13.
PENZI LA MHALIFU 13.
PENZI LA MHALIFU 06
PENZI LA MHALIFU 06
PENZI LA MHALIFU 03
PENZI LA MHALIFU 03
PENZI LA MHALIFU 29
PENZI LA MHALIFU 29
PENZI LA MHALIFU 40
PENZI LA MHALIFU 40
PENZI LA MHALIFU 41
PENZI LA MHALIFU 41
PENZI LA MHALIFU 15.
PENZI LA MHALIFU 15.
PENZI LA MHALIFU 26
PENZI LA MHALIFU 26
PENZI LA MHALIFU 35.
PENZI LA MHALIFU 35.
PENZI LA MHALIFU 20
PENZI LA MHALIFU 20
PENZI LA MHALIFU 10
PENZI LA MHALIFU 10
PENZI LA MHALIFU 09
PENZI LA MHALIFU 09
PENZI LA MHALIFU 24
PENZI LA MHALIFU 24
PENZI LA MHALIFU 37
PENZI LA MHALIFU 37
PENZI LA MHALIFU 42
PENZI LA MHALIFU 42
PENZI LA MHALIFU 28
PENZI LA MHALIFU 28
PENZI LA MHALIFU 11.
PENZI LA MHALIFU 11.
PENZI LA MHALIFU 39
PENZI LA MHALIFU 39
PENZI LA MHALIFU 07.
PENZI LA MHALIFU 07.
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 73

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 73

977
SHAMIRA Sehemu ya 110&111

SHAMIRA Sehemu ya 110&111

603
SHAMIRA 112 na 113

SHAMIRA 112 na 113

527
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 74 na 75

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 74 na 75

315
LETICIA 7-----------14

LETICIA 7-----------14

166
BILLIONS OF LOVE💓💓   SEHEMU YA "9_10"💓😽

BILLIONS OF LOVE💓💓 SEHEMU YA "9_10"💓😽

148
SHAMIRA 114 mwisho ni 115

SHAMIRA 114 mwisho ni 115

148
wasanii waliotoa hit moja kali kisha wakapotea kimyakimya.

wasanii waliotoa hit moja kali kisha wakapotea kimyakimya.

7
MATUKIO YA TIMU KUSUSIA MCHEZO NA KUTOKA UWANJANI

MATUKIO YA TIMU KUSUSIA MCHEZO NA KUTOKA UWANJANI

STATEMENT ON THE DECISION BY THE CONFEDERATION OF AFRICAN FOOTBALL (CAF) TO WITHDRAW THE AFCON 2025 CHAMPIONSHIP FROM SENEGAL AND AWARD TO MOROCCO.

STATEMENT ON THE DECISION BY THE CONFEDERATION OF AFRICAN FOOTBALL (CAF) TO WITHDRAW THE AFCON 2025 CHAMPIONSHIP FROM SENEGAL AND AWARD TO MOROCCO.

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.84K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.56K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.86K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.35K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.97K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.96K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.8K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.75K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.68K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.62K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
STATEMENT ON THE DECISION BY THE CONFEDERATION OF AFRICAN FOOTBALL (CAF) TO WITHDRAW THE AFCON 2025 CHAMPIONSHIP FROM SENEGAL AND AWARD TO MOROCCO. Post Mpya
STATEMENT ON THE DECISION BY THE CONFEDERATION OF AFRICAN FOOTBALL (CAF) TO WITHDRAW THE AFCON 2025 CHAMPIONSHIP FROM SENEGAL AND AWARD TO MOROCCO.
@majario LIVE

March 18, 2026 In football, the Laws of the Game are clear: the referee on the pitch is the final authority on decisions made during the match. Once play is allowed...

MATUKIO YA TIMU KUSUSIA MCHEZO NA KUTOKA UWANJANI Post Mpya
MATUKIO YA TIMU KUSUSIA MCHEZO NA KUTOKA UWANJANI
@majario LIVE

Mwaka 2007 , Wachezaji wa Lille walitoka uwanjani baada ya Gigs kufunga goli kwa mpira faulo [ Alipiga haraka ] muda ambao Lille walikuwa ndio wanaweka ukuta 2013, Kelvin Prince...

SHAMIRA 114 mwisho ni 115 Post Mpya
SHAMIRA 114 mwisho ni 115
@majario LIVE

( MWISHOOO ) 🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀 🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀 SHAMIRA Sehemu ya 114 Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Aseèe nilikuwa sinanngibu kabisa nikasiki malngo unavunjwa apk mimi jilikuwa napata maumivu makari mno ya tumbo yani sama...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 74 na 75 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 74 na 75
@majario LIVE

Daaah apo na mm nilishachanganikiwa ,nikabaki nimemshika mkono zena sasa, nimemshika tu mke wangu kumtuliza, ila.wapi zena ana hasira ana lia tu, ananambia anataka twende viwege, akahakikishe uko kuna nani,...

LETICIA 7-----------14 Post Mpya
LETICIA 7-----------14
@majario LIVE

💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍 LETICIA Sehemu ya 7 na 8 Mwandishi; LISSA Basi hata hatukukaa sana wazazi wakarudi saa 3 ,na wakawa wanalalamika wamechoka walipitiliza kuoga na kulala ata chakula hawakula ,mama alisema wamekula uko walikotoka.​ Mimi...

wasanii waliotoa hit moja kali kisha wakapotea kimyakimya. Post Mpya
wasanii waliotoa hit moja kali kisha wakapotea kimyakimya.
@majario LIVE

Orodha ya wasanii waliotoa hit moja kali kisha wakapotea kimyakimya. K sal ft ferooz Mwana mkiwa Hii ngoma ilivuma sana miaka ya 2000, baadaye K sal akatoa ngoma ingine aliofanya na Mandojo...

BILLIONS OF LOVE💓💓   SEHEMU YA "9_10"💓😽 Post Mpya
BILLIONS OF LOVE💓💓 SEHEMU YA "9_10"💓😽
@majario LIVE

"BY BABIE LOVE" Chap yule jamaa akashuka kwenye gari na mzigo wake wa mboga , akashika sijui ni kisimu akakibonyeza chwaaaaaa chapuuuuuuu geti waaaaa likafunguka akaingia ndani bahati nzuri ...

SHAMIRA 112 na 113 Post Mpya
SHAMIRA 112 na 113
@majario LIVE

SHAMIRA Sehemu ya 112 Mwandishi; HURU MEDIA HAIPINGWI NI CHAGUO LA WASOMAJI ) Basi mnazni jilillala sikuweza kulala ata kidogo. Nikashika vhini ya ile lodge kulikuwa na bar .aseee ndo jimaahiza pombe...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 73 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 73
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Mwandiishi; LISSA Basi sasa mm na mke wangu tukatafuta mahari tukawa tumekaa , tukawaacha ummy na mdogo wake wanacheza, aka kadogo nikawa nimekashika mm, mke wangu akataka chipsi kuku...

SHAMIRA Sehemu ya 110&111 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 110&111
@majario LIVE

(SEASON FOUR) 🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀 Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media nikawa nalia nikamwambia love nampenda sana kaka yako plsss namuhitaji sana naomba anielew ni maisha...

KAMA ULIZALIWA BAADA YA MWAKA 1995 HAYA MAMBO YALIKUPITA: Post Mpya
KAMA ULIZALIWA BAADA YA MWAKA 1995 HAYA MAMBO YALIKUPITA:
@majario LIVE

1. Kupakwa GV kwenye kidonda 2. Kung'olewa jino kwa uzi 3. Ubwabwa kupikwa jumapili tu 4. Kidonda kuwekwa unga wa 'rangi mbili' a.k.a tetesakrin 5. Kupamba kadi na pamba sebuleni 6. Ukumbi wa sherehe kupambwa...

SHAMIRA 107 Hadi 109 Post Mpya
SHAMIRA 107 Hadi 109
@majario LIVE

Sehemu ya 107 Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Akasema acha na masuala ya mtoto bwana apa nipo mimi na wewe plsss mpenzi . Nikajikuta nacheka tu akanmbia daah ukicheka...

Jamie Carragher baada ya Senegal🇸🇳 kuinyang’anywa(na CAF)ubingwa na kuitangaza Morocco🇲🇦 kuwa mabingwa wapya:🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿🎙 Post Mpya
Jamie Carragher baada ya Senegal🇸🇳 kuinyang’anywa(na CAF)ubingwa na kuitangaza Morocco🇲🇦 kuwa mabingwa wapya:🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿🎙
@majario LIVE

“Sawa, subiri kidogo… kwa hiyo Senegal wanashinda fainali ya AFCON, mashabiki wanashangilia, wachezaji wanainua kombe, kila mtu anasherehekea halafu sasa wanaambiwa: 'Hapana, samahani, Morocco ndio washindi 3-0!' Unatania?" "Yaani, hii ndiyo...

 💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO💋 8,9,10 Post Mpya
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO💋 8,9,10
@majario LIVE

O8 Unamaanisha hii simu📱ni yangu 🤔 nilimuuliza , Ndio ni yako lete nisevu namba yangu baadae nataka tuongee kuhusu kazi . Sawa nashukuru 🙏 sana kaka Denis Mungu akubarikii ulipotoa akuzidishie....

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO💋 6 na 7 Post Mpya
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO💋 6 na 7
@majario LIVE

O6 Umekuja tena ? nilimuuliza . Ndio kwani ni vibaya kuja kukujulia hali wakati wewe ni jirani yangu sasa kwanini jana ulikataa kuwa sio wewe wakati nakufahamu vizuri hadi nimeenda kumuuliza...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest