PENZI LA MHALIFU 02
Nilichukua kitambaa changu nakufunga jeraha langu nakuelekea walipo wenzangu. tuliwafikisha kituoni vijana tuliowakamata nakuanza kuwahoji ni wapi walipokuwa wakizitoa bangi na nani anayewauzia bangi pamoja na madawa ya kulevya.
Tuliamua kutumia nguvu kwa kuwapiga mpaka walianza kusema wenyewe ni nani anayewauzia bangi.
"Kila mtu huwa ana sehemu yake ya kununua bangi kwangu mimi huwa na nunua kwa Cyborg"
"Emu rudia umesema huwa unanunua bangi kwa nani!?" Afande Davi alimuuliza kijana aliyesema kuwa huwa ananunua bangi kwa mme wangu.
"Kwa Cyborg Afande"
Kijana hiyo alimjibu na Afande Davi alinigeukia nakuniambia.
"Mme wako anauza bangi nenda kamkamate mwenyewe uje nae kituoni hapa"
"Mbona sijawahi kumuona akiuza bangi na ata hivyo hatuwezi kwenda kumkamata mtu bira kuwa na ruhusa kutoka kwa mkuu" niliongea na nilipingana na kile alichoniambia Afande Davi.
Afande Davi aliamua kwenda kuongea mwenyewe na mkuu ili wakafanye msako nyumbani kwangu waone kama watabahatika kuona bangi ndani. mkuu aliwaruhusu na mimi niliamua kuongozana nao mpaka nyumbani. Tuliweza kumkuta mme wangu Cyborg akiwa kambeba mtoto wetu.
Cyborg hakushituka alivyotuona kwani alijua wale ni maafande wenzangu ila alikunja sura yake baada ya kumuona Afande Davi.
Cyborg alimuweka mtoto chini nakunisogelea na alipotazama mkono wangu aliona sehemu niliyokuwa nimefunga jeraha langu.
"Malaika nani kakuumiza mkono wako nikakate shingo yake sasa ivi!?"
Cyborg aliongea bira kujali kama nimekuja na asikari wenzangu.
"Hayo mahaba yenu mtaonyeshana baadae tumekuja kufanya ukaguzi humu ndani tuone kama tutapata bangi unazowauzia watu"
"Bangi!!, humu ndani nani kawaambia kuwa kuna bangi!?" Cyborg aliwauliza na mimi nilimwambia awaache wakague waone kama watazipata bangi.
Cyborg alitaka kukichafua kwani macho yake yalibadilika na kuwa kama mtu aliyetoka kuvuta bangi mda mfupi uliopita.
Afande Davi aliingia ndani pamoja na afande wengine tuliokuja nao na mimi ilibidi niwafate. walikagua kila sehemu na hawakuweza kuona bangi yoyote ile ndani.
Afande Davi alifungua droo ninayotunzia chupi zangu nakuanza kukagua chupi moja baada ya nyingine.
"Afande mpaka huko!?"
Mwenzetu aliongea mda huo mimi nilikuwa kimya.
"Mtu akishaolewa na jambazi na yeye anaweza kuwa jambazi mda wowote ule" Afande Davi aliongea huku akiendelea kukagua chupi zangu na aliweza kushika moja ya chupi iliyokuwa imeanza kuisha kwani ilikuwa imechanika.
"Mpaka chupi anashindwa kukununulia" Afande Davi aliongea na mimi niliona anataka kunizoea.
"Naomba tuheshimiane afande!, Cyborg ni mme wangu na ananitia mimi wewe kinachokuuma ni nini!?" nilimuuliza sababu nilijua kinachomusumbua ni wivu wa mimi kuolewa na Cyborg.
Sauti yangu ilimfikia mme wangu aliyekuwa nje na aliamua kuingia ndani na kukuta chupi zangu zimetupwa tupwa hovyo na Afande Davi.
"Yani unashika kabisa chupi za mke wangu wewe malaya!?" mbele ya asikari wenzangu Cyborg alimfata Afande Davi nakuanza kumpiga bira kujali uwepo wetu sisi.
Licha ya mafunzo aliyoyapitia Afande Davi ila hakuwa na uwezo wa kupigana na mme wangu hivyo maafande wenzangu waliingilia na kuwatuliza baada ya kuona Afande Davi kazidiwa.
Kutokana na mme wangu kupigana na asikari walimchukua nakumpeleka kituoni na alipofikishwa alianza kuongea maneno ya kila aina.
"Huyo mjinga mleteni hapa nimfunze adabu haiwezekani ashika chupi za mke wangu" ilikuwa ni aibu kwangu kwa maneno aliyokuwa akiongea mme wangu.
Mkuu wetu wa kazi aliniita baada ya kusikia maneno aliyokuwa akizungumza Cyborg na mimi nilimweleza kila kitu kilichotokea na sikutaka kumficha.
Nilimwambia jinsi Afande Davi alivyokuwa akihitaji niwe mpenzi wake na yote yaliyotokea nyumbani kwangu, kwakuwa mkuu wangu alikuwa akiniheshimu alitoa ruhusa ya Cyborg kuachiwa na mimi nilimchukua mme wangu nakurudi nae nyumbani.
Tukiwa njiani Cyborg aliniuliza.
"Malaika ina maana na wewe ulikuwa unaamini kuwa kuna bangi ndani ya nyumba yetu?"
"Hapana mme wangu kuna mtu alituambia kuwa umemuuzia bangi"
"Mimi huyu niuze bangi!? huwa nabust tu nikiwa na hamu ila sio kuuza bangi"
Cyborg aliongea na alishangazwa na kile nilichomwambia.
Nilimsimulia kila kitu kilichotokea kuanzia pale tulipopewa kazi na mkuu wetu ya kwenda kukamata wavuta bangi mpaka mimi kupata jeraha kwenye mkono wangu.
"Niambie ni nani huyo aliyekusababishia jeraha kwenye mkono wako nikamfunze adabu sasa ivi, yani mwanamke unayenipa utamu kwenye mizagamuo alafu anatokea mpuuzi na kukuumiza!?" alizungumza huku akiwa na hasira na mimi nilijua ananipenda sana na yupo tayari kufanya chochote kile kwa ajili yangu hivyo niliamua kumtuliza.
"Uliniambia umebadilika kitabia mme wangu kumbe bado upo kama mwanzo?"
Licha ya mimi kuongea vile ila Cyborg alisema "Nikweli nimebadilika ila mtu yoyote atakayekugusa lazima nimfunze adabu na bado afande mwenzako nae nitamfunza adabu haiwezekani ashike chupi zako, kitendo cha yeye kushika chupi zako ni kama amekutia mke wangu"
Kiukweli nilikuwa nikijivunia jinsi Cyborg alivyokuwa akinipenda na kunijali, alikuwa tayari kufanya chochote kile kwa mtu yoyote yule atakaye jaribu kunisogelea na kunikosea. Cyborg aliamini hamna mwanaume mwingine mwenye haki ya kunisogelea zaidi yake........ITAENDELEA.
Inapatikana kwa Tsh 1000 tu.
Namba za malipo.????????????????
0613083801 HALOPESA Jina John Bugumba.
0755271203 M-pesa Jina John Bugumba..