Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

PENZI LA MHALIFU 24
Gonga94 · Stories

PENZI LA MHALIFU 24

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
PENZI LA MHALIFU 24

Sikujua alikuwa na mpango gani hivyo Cyborg aliondoka na kwenda kufanya kazi ya kuhubiri.

Baada ya masaa kadhaa kupita Cyborg alikuja nyumbani akiwa na mfuko uliokuwa na sadaka na baadae alizimwaga kwenye meza iliyokuwa sebleni kwetu.

"Leo nimehubiri sana sijui ata upako ulitokea wapi" Cyborg aliongea huku akifungua vishikizo vya shati lake.
"Kelvin ivi ni kweli unahubiri kwa ajili ya kutangaza neno la mungu au kwa ajili ya kujipatia pesa!?" Nilimuuliza sababu bado sikuona kama Cyborg kaamua kuokoka kutokana na baadhi ya matendo yake yaliyokuwa yakijionyesha.

Cyborg alinisogelea karibu na kuniambia.
"Wewe unajua kabisa mimi ni mpambanaji Malaika, acha nitangaze neno la mungu kwa mda na baadae nikichoka nitaacha na kufanya kazi nyingine ila sadaka lazima nizichukue" aliongea na kuanza kuhesabu sadaka alizokuja nazo.

Cyborg aliendelea  na kazi hiyo ya kuhubiri na maisha yalikuwa yakiendelea ila kilichokuwa kinanishangaza hakuacha kutamka matusi  ya kila aina wakati wa kufanya mapenzi.

Siku hiyo ilikuwa ni mida ya saa 5 usiku tukiwa tumelala tulisikia mtu akibisha hodi kwenye mlango wetu na mimi nilinyenyuka na kwenda kufungua mlango.

Nilikutana na mwanamke ambae ni mpangaji wetu aliyezoea kutupiga chapo wakati wa kufanya mapenzi na alikuwa kwenye hali ya wasi wasi mkubwa baada ya kuniona.
"Una shida gani jirani!?" Nilimuuliza na jirani yangu aliniambia.
"Na shida na mchungaji kuna tatizo kwenye chumba changu"
"Tatizo!?"
"Ndio kuna tatizo kubwa sana" Alinijibu na mimi nilimtazama machoni nione kama anachoongea kina ukweli wowote ule.

Jirani yangu alinielezea kuwa kuna mzimu ameuona kwenye chumba chake hivyo alikuwa anahitaji Cyborg aende akakiombee chumba chake.

Niliamua kumuita Cyborg na alikubali kwenda kuomba kwenye chumba cha jirani yetu japo nilikuwa na uhakika hakuna upako wowote ule aliokuwa nao Cyborg kwani mimi ndiye niliyekuwa nikiishi nae.

Cyborg alienda kwenye chumba cha jirani yetu na kuniacha ndani ya nyumba yetu.

Dekika 15 zilipita bira Cyborg kurudi na baadae machale yalianza kunicheza baada ya kujumlisha matukio ya jirani yangu hasa ya kumsifia Cyborg kuwa yupo vizuri kwenye mambo ya mizagamuo.
"Isije kuwa wanakulana hawa" niliongea mwenyewe na kuondoka na kwenda kwenye nyumba ya jirani yangu.

Nilifika na kweli nilisikia sauti ya Cyborg kwa mbali akiomba, kidogo nilipata uhakika kuwa kuna usalama hivyo niliamua kurudi kwenye nyumba yetu na kuendelea kumsubiri Cyborg.

Upande wa Cyborg yeye alikuwa akiomba kumbe jirani yangu alikuwa na mpango wake na kwakuwa alikuwa na makalio makubwa, alianza kuyabinua makusudi ili kumtamanisha Cyborg.

Jirani aliona haitoshi kwani alizidi kumsogezea makalio yake Cyborg kitu alichofanyikiwa maana Cyborg alisimamisha baada ya kugusishwa makalio na jirani.

Sijui ni hisia gani nilizokuwa nikizipata kwani nilijikuta nikiishiwa raha na  gafra nilipata ujasili wa kwenda kwenye nyumba ya jirani yangu kwa mara nyingine. nilifika mlangoni na temu sikuisikia ata sauti ya Cyborg kuomba.

Moyo wangu ulihisi kutakuwa na kitu kinachoendelea hivyo nilijaribu kusukuma mlango na bahati nzuri ulikuwa wazi, niliingia kwenye nyumba ya jirani yangu na moja kwa moja nilielekea kwenye chumba walichokuwemo.

Ile nafungua mlango nilimkuta Cyborg akiwa kashika mwichi wake akijiandaa kuuweka na kuutwanga kwenye kinu cha jirani yangu.
"Cyborg!!!" nilimwita na kumfanya asitishe kile alichokuwa akitaka akifanye.

Jirani yangu aliokota kitenge chake haraka na kujifunga. Cyborg nae alipandisha suruali yake na kuvaa vizuri kwani mambo tayari yalikuwa yameharibika.

Niliondoka kwa hasira na kurudi kwenye nyumba yetu na nilipofika nilifunga mlango ili Cyborg asiingie ndani na ata mfanyakazi wetu aliyekuwa akishinda na mtoto nilimwambie asijaribu kumfungulia Cyborg.

Cyborg aligonga mlango ili nimfungulie lakini sikuta kabisa kwenda kumfungulia na nilikuwa kwenye hasira kwa wakati huo.

Cyborg baada ya kuona hatumfungulii alisogea kwenye dirisha la chumba chetu nilichokuwa nimelala na kuanza kuongea.
"Malaika naomba unisamehe kipenzi, jirani aliyagusisha makalio yake kwenye mhogo wangu na mimi nilijikuta nikitamani kumzagamua, nisamehe Malaika sitarudia tena" Cyborg aliongea maneno ya kila aina ila mimi nilijifanya simsikii kabisa.

Kumbe jirani alikuwa amedhamilia siku hiyo Cyborg amzagamue na ukizingatia mme wake hakuwepo aliona ndiyo nafasi ya pekee ya kufanikisha mpango wake.

Alikuwa akisikiliza jinsi Cyborg alivyokuwa akinibembeleza dirishani ili nimfungulie na baada ya kuona sitaki kumfungulia jirani alitoka kwenye nyumba yake na kumfata Cyborg.
"Samahani mchungaji, naomba ukalale kwangu na ilikuwa bahati mbaya tu" jirani aliongea.
"Mchungajiiii!! unaniita mchungaji sababu wewe ndio uliyenigusisha makalio yako mpaka nikashikwa na upwiru na kusababisha mke wangu akatae mpaka kunifungulia" Cyborg aliongea kwa kulalamika na mazungumzo yao nilikuwa nikiyasikia.

Haraka nilitoka na kwenda kufungua mlango sababu niliona nikizembea watatiana kweli, Cyborg baada ya kuniona nimefungua mlango aliingia ndani akiwa na bibilia yake mkononi utafikiri ni mtu wa mungu kweli.

Jirani yetu ilibidi aondoke baada ya kuona mpango wake umeharibika.

Cyborg siku hiyo alikuwa na kazi ya kuniomba msamaha na baada ya kuona nimemchunia na sitaki kumsamehe, Cyborg aliamua atumie mbinu yake ya siku zote.

Alianza kunipapasa kwa ajili ya kuniandaa ili tufanye mapenzi. kiukweli siku hiyo sikuwa na hisia kabisa licha ya kutumia utundu wake anaonifanyia siku zote bado sikuwa na hisia za kufanya nae mapenzi.....ITAENDELEA.

Maoni

You're not logged in


Tangazo - My true love mwanzo Hadi Mwisho
My true love mwanzo Hadi Mwisho
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

PENZI LA MHALIFU 24

PENZI LA MHALIFU 24

Sikujua alikuwa na mpango gani hivyo Cyborg aliondoka na kwenda kufanya kazi ya kuhubiri.

Baada ya masaa kadhaa kupita Cyborg alikuja nyumbani akiwa na mfuko uliokuwa na sadaka na baadae alizimwaga kwenye meza iliyokuwa sebleni kwetu.

"Leo nimehubiri sana sijui ata upako ulitokea wapi" Cyborg aliongea huku akifungua vishikizo vya shati lake.
"Kelvin ivi ni kweli unahubiri kwa ajili ya kutangaza neno la mungu au kwa ajili ya kujipatia pesa!?" Nilimuuliza sababu bado sikuona kama Cyborg kaamua kuokoka kutokana na baadhi ya matendo yake yaliyokuwa yakijionyesha.

Cyborg alinisogelea karibu na kuniambia.
"Wewe unajua kabisa mimi ni mpambanaji Malaika, acha nitangaze neno la...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/penzi-la-mhalifu-24

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi penzi-la-mhalifu
PENZI LA MHALIFU 33.
PENZI LA MHALIFU 33.
PENZI LA MHALIFU 01.
PENZI LA MHALIFU 01.
PENZI LA MHALIFU 02
PENZI LA MHALIFU 02
PENZI LA MHALIFU 04.
PENZI LA MHALIFU 04.
PENZI LA MHALIFU 43 (FINAL).
PENZI LA MHALIFU 43 (FINAL).
PENZI LA MHALIFU 22
PENZI LA MHALIFU 22
PENZI LA MHALIFU 05.
PENZI LA MHALIFU 05.
PENZI LA MHALIFU 36
PENZI LA MHALIFU 36
PENZI LA MHALIFU 30
PENZI LA MHALIFU 30
PENZI LA MHALIFU 23.
PENZI LA MHALIFU 23.
PENZI LA MHALIFU 13.
PENZI LA MHALIFU 13.
PENZI LA MHALIFU 27
PENZI LA MHALIFU 27
PENZI LA MHALIFU 03
PENZI LA MHALIFU 03
PENZI LA MHALIFU 08
PENZI LA MHALIFU 08
PENZI LA MHALIFU 41
PENZI LA MHALIFU 41
PENZI LA MHALIFU 15.
PENZI LA MHALIFU 15.
PENZI LA MHALIFU 29
PENZI LA MHALIFU 29
PENZI LA MHALIFU 40
PENZI LA MHALIFU 40
PENZI LA MHALIFU 26
PENZI LA MHALIFU 26
PENZI LA MHALIFU 35.
PENZI LA MHALIFU 35.
PENZI LA MHALIFU 06
PENZI LA MHALIFU 06
PENZI LA MHALIFU 42
PENZI LA MHALIFU 42
PENZI LA MHALIFU 09
PENZI LA MHALIFU 09
PENZI LA MHALIFU 10
PENZI LA MHALIFU 10
PENZI LA MHALIFU 20
PENZI LA MHALIFU 20
PENZI LA MHALIFU 28
PENZI LA MHALIFU 28
PENZI LA MHALIFU 11.
PENZI LA MHALIFU 11.
PENZI LA MHALIFU 07.
PENZI LA MHALIFU 07.
PENZI LA MHALIFU 37
PENZI LA MHALIFU 37
PENZI LA MHALIFU 39
PENZI LA MHALIFU 39
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU Ya tisa*

960
MY CRAZY BOSS 18 hadi Mwisho

MY CRAZY BOSS 18 hadi Mwisho

422
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7

377
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 8

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 8

158
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9

80
When you think of real Bollywood love stories, Ajay Devgn and Kajol

When you think of real Bollywood love stories, Ajay Devgn and Kajol

7
What a beautiful throwback from the music recording days of Bobby ~

What a beautiful throwback from the music recording days of Bobby ~

4

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.4K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.18K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.74K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.19K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.59K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.44K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.43K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.38K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.34K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.31K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Mbali na ivyo zile zawadi alizo tumiwa Noela zilimuuma vile vile. Alihisi Noela hastahili vitu vizuri wala maisha ya kifahari. Alitaka kila kitu kiwe chake, wanaume wote wawe wake. Hata...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi bwana , mwanaume wala sikuwa na shaka, kazi zote ambazo nilibakiwa nazo pale ofisini, nikamuachia ibraaa, na ukiacha ushikaji, mi bafo ibra ni mkubwa wake wa kazi,...

MY CRAZY BOSS 18 hadi Mwisho Post Mpya
MY CRAZY BOSS 18 hadi Mwisho
@majario LIVE

MY CRAZY BOSS 18 " Tulishuka kwenye gari Erick alinishika mkono kisha tukaelekea ndani." "Hello dad, hello mom, Erick aliwasalimia wazee wawili wa makamo tuliokutana nao ndani". Muda wote nilikuwa...

What a beautiful throwback from the music recording days of Bobby ~ Post Mpya
What a beautiful throwback from the music recording days of Bobby ~
@majario LIVE

A very young Dimple Kapadia and Rishi Kapoor — both just starting out — probably had no idea they were about to become such huge stars. There’s that innocent...

When you think of real Bollywood love stories, Ajay Devgn and Kajol Post Mpya
When you think of real Bollywood love stories, Ajay Devgn and Kajol
@majario LIVE

definitely come to mind. They’re honestly the perfect example of how opposites attract. Ajay is quiet, intense, and keeps things low-key. Kajol is loud, expressive, and full of life....

Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU Ya tisa*
@majario LIVE

Kwanza kitendo cha pully kumuona mama yake mzazi kwenye eneo ilo Tena gafla alijikuta akishtuka sana na pasi na kutalajia akajikuta akimuuliza kwa jazba. "Mama umekuja kufanya nini hapa?" Kila mtu akashtuka...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 8 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 8
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Siku iliyofuata Asubui, Noela aliamka na kitu cha kwanza alichofanya ni kumtumia Salmon ujumbe akimuomba msamaha. Alitegemea atajibiwa lakini haikua ivyo licha ya Salmon kusoma meseji zote🥱. Sasa Dada watu akawa...

MY CRAZY BOSS 17 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 17
@majario LIVE

Haikuchukua muda sana , tuliwasili nyumbani kwa boss, tuliingia kiustaarabu sana na tulivyozama tu boss alianza kunionesha ukichaa wake. Alinisogelea karibu aligusanisha mdomo wake na wangu kwa fujo alianza kunipa...

 AMINATA,BINTI AGEUKA NA KUWA MTU HATARI BAADA YA KUTEKWA, AMEOKOA MAELFU YA WAAFRIKA | Movie Recap Post Mpya
AMINATA,BINTI AGEUKA NA KUWA MTU HATARI BAADA YA KUTEKWA, AMEOKOA MAELFU YA WAAFRIKA | Movie Recap
@majario LIVE

Huyu binti hapa anaitwa Aminata na ana umri wa miaka 11 tu. Aminata alikumbwa na changamoto ya biashara ya utumwa. Na baada ya kutekwa hapa tunawaona wakiwa wamepelekwa katika soko la utumwa...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 7 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 7
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Bila kusema neno lolote, Mr. Marvel aligeuka akaondoka. Basi Salmon alitakiwa kusimamisha party lakini kabla hajafanya hivyo alimwangalia Noela akamwambia “Ondoka! Unasubiria nini tena?”😒 “Hutanipeleka hostel?” “No, sina muda” “Kwa nini? Nitarudi vipi jamani?”...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* 7 na 8 Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* 7 na 8
@majario LIVE

*SEHEMU YA SABA* Mimi na Enzo tulishtuka sana Walahi, lakini Mimi Ndio nilishtuka zaidi, Yaani hii ni zaidi ya sibu imagine mpaka baba mkwe sa hapa Ndio inakuja ile hali ya kutaka...

MWANAMKE ALIYEMNYIMA BABA YAKE MZAZI MAJI YA KUNYWA NA KUJA KUFILISIKA SIKU YA HARUSUI Post Mpya
MWANAMKE ALIYEMNYIMA BABA YAKE MZAZI MAJI YA KUNYWA NA KUJA KUFILISIKA SIKU YA HARUSUI
@majario LIVE

Sheila alikuwa binti aliyefanikiwa sana jijini. Alikuwa na kampuni ya uagizaji wa vipodozi na alikuwa akiishi maisha ya kifahari. Sheila alikuwa anajiandaa kufunga ndoa na Dr. Oscar, kijana kutoka...

*ASSSSSSSH BOSS ENZO* *Season two*   *SEHEMU YA SITA* Post Mpya
*ASSSSSSSH BOSS ENZO* *Season two* *SEHEMU YA SITA*
@majario LIVE

SONGA NAYO Kiukweli uwaga namuogopa sana madam groly lakini safari hii imekuwa tofauti sana Tena sana. yaani sijasikia uoga wa aina yoyote fla na sikusikia Kuwa na wasiwasi juu ya uwezo...

SHAMIRA  🏀 sehemu ya 32&33 Post Mpya
SHAMIRA 🏀 sehemu ya 32&33
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Bai tumefika nyumbani akanishusha mwenye gari. akanikokota mpaka chumbani moja kwamoja akanipeleka bafuni nilichafuka na mapombe kama yote. Mwanaume akaniweka kwanza chini akaanza kunimwagia maji...

SHAMIRA sehemu ya 30&31 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 30&31
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi mie nikaongea na asha .akanambia shoga vijora vishafika nikamwambia changu nipelekee kwa fundi mwambie akitatue mpma mapajani na mgongoni kuwe wazi. kama kawaida yangu...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest