Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

PENZI LA MHALIFU 40
Gonga94 · Stories

PENZI LA MHALIFU 40

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
PENZI LA MHALIFU 40

Nilifika na kumkuta mtoto wa mbunge amekaa huku amepiga nne kwenye ofisi ya mkuu tena akiwa anachezea simu yake.
"Angel unajua nilichokuitia hapa!?" Mkuu aliniuliza.
"Hapana sijui" nilimjibu na aliniambia nikae kwa ajili ya mazungumzo.

Mkuu aliniambia kuwa nimempa namba za uongo mtoto wa mbunge na aliniambia kuwa ni kosa kwani mimi ni asikari na sikutakiwa kuwa muongo kwa mtoto wa kiongozi au kwa raia yoyote yule hasa anayehitaji msaada kutoka kwa asikari.

Nilibaki nimeshangaa kwa kile alichoniambia na nilijiuliza ni sheria gani hiyo inayomlazimisha mtu agawe namba zake kwa mtu yoyote!? ila nilijifanya mjinga mbele yao.
"Mkuu basi itakuwa nilikosea kuandika namba" niliongea na baadae ilibidi nimwandikie namba yangu ya kweli.

Baada ya kufanya hivyo mkuu aliniruhusu niondoke.

Siku hiyo hiyo majira ya usiku nikiwa nyumbani pamoja na Cyborg nilipigiwa na namba ngeni na nilipoipokea sauti ya mtoto wa mbunge ilisikika.
"Afande Angel nakuhitaji sasa ivi kwenye ofisi yangu kuna wizi umetokea, nakutumia location hapo ili uweze kufika kwa wakati" aliongea na kukata simu.
"Ujinga gani huu!! ata kama wizi umetokea ndiyo anipigie simu mimi na kuniambia niende!?" nilianza kuongea kwa kulalamika mbele ya Cyborg aliyeamua kuniuliza na mimi niliamua kumwambia kile nilichoambiwa na mtoto wa mbunge.

Cyborg aliniomba simu yangu na mimi nilimpatia, aliangalia namba ya mtu aliyetoka kunipigia mda sio mrefu na kuamua kumpigia.

Alipiga na bahati nzuri simu ilipokelewa na mtoto wa mbunge.
"Mke wangu hawezi kuja kwenye ofisi yako sasa ivi" Cyborg aliongea na kukata simu ila haikupita mda simu ilipigwa tena.
"Unajua unaongea na nani!?" kijana wa mbunge alimuuliza.
"Sihitaji kujua ila mke wa mtu aheshimiwe nimeshasema hawezi kuja huko sasa ivi sitaki maelezo mengine huu ni mda wa sisi kuzagamuana" baada ya Cyborg kuongea alikata simu.

Mtoto wa mbunge aliendelea kunipigia simu ila Cyborg alikuwa anakata kila akipiga na baadae aliamua kuizima kabisa.

"Malaika hii kazi yako uje uache tuungane kwenye biashara" Cyborg aliongea lakini mimi kiukweli swala la kuacha kazi sikutaka kukubaliana nalo kabisa kwa sababu ilikuwa ni kazi ya ndoto yangu kwani nilitamani kuwa asikari toka nikiwa mdogo.

Basi mimi na Cyborg tuliamua kubadilisha mazungumzo na tuliingia kwenye mazungumzo ya vitendo.
Cyborg alinivua chupi niliyokuwa nimevaa na baada ya hapo alianza kujipimia kwa kunisugia kwenye kuta zote za kisima changu.
"Aaashhh" nilitoa sauti iliyoambatana na utamu niliokuwa nikiupata.
"Unasikia raha baby!?" Cyborg aliniuliza huku akiendelea kuninyandua.
"Ndiooo tena sana Cy..... nilimjibu na Cyborg utamu ulipoanza kumkolea hakuacha kuendelea kupiga makelele yake.

Tuliendelea kupeana mahaba mimi na Cyborg mpaka tulipotosheka.

Palipokucha nilipigiwa simu na mkuu wangu na aliniambia natakiwa kuwahi haraka kwenye ofisi yake asubuhi hiyo.

Niliondoka na nilipofika ofisi nilimkuta akinisubiri kwa hamu.
"Angel sheria zinasemaje kwa mtu aliyejitolea kulitumikia taifa?" aliniuliza na mimi niliamua kumjibu baadhi ya sheria nilizokuwa nikizifahamu.
"Kama unafahamu kuwa ni wajibu wa asikari kumlinda raia kwa nini uligoma kwenda sehemu uliyopigiwa simu!?, unajua alikuwa na tatizo gani kwa wakati huo!?" Mkuu aliniuliza.
"Hakunifafanulia vizuri ndiyo maana sikuweza kwenda" nilimjibu na kuongea maneno mengine ya kujitetea.

Mkuu aliamua kunionya kuwa nisije kurudia tena na endapo itatokea basi sheria itachukua nafasi yake.

Niliondoka huku nikiwa nawaza ni kitu gani mtoto wa mbunge anachohitaji kutoka kwangu na nilihisi kabisa lazima kuna kitu akichokuwa amempa mkuu wangu ndiyo sababu iliyokuwa ikimfanya awe upande wake kila mara.

Siku hiyo ya mchana kijana wa mbunge alinipiga simu na kuniambia kwa mara nyingine niende haraka sehemu anayotaka tuonane. pale pale kengele ya hatari iligonga kwenye kichwa changu na nilijua kuna kila dalili za kwenda kuzagamuliwa.

Nilienda kupanda kwenye gari yangu na kuondoka kuelekea mahali nilipoelekezwa.

Nilielekezwa mpaka kwenye nyumba moja ya kisasa kidogo na nilipofika nje alikuja kijana mwingine niliyekuwa simfahamu kwa ajili ya kunipokea.

Ilinibidi nimtumie ujumbe Cyborg wa kumwambia sehemu nilipo na huenda likanikuta jambo baya mda wowote ule hasa la kuzagamuliwa.

Baada ya kumtumia ujumbe Cyborg niliongezana na kijana aliyekuja kunipokea na moja kwa moja tulifika mpaka ndani na kumkuta mtoto wa mbunge akiwa kakaa huku akiwa kapiga nne kama ilivyo kawaida yake.

Ila kuna wanaume wanamajivuno ya pesa khaaa yani mngemuona jinsi alivyokuwa na malingo huyo mtoto wa mbunge basi mngeamini maneno yangu.

Basi tuendelee na story yetu aliamua kumwambia kijana aliyenileta atupishe.
"Angel Angel Angel, nimekuita mara tatu sababu leo utaenda kwako saa tatu usiku" aliongea na alijua nitamheshimu na kumuogopa kutokana na madaraka ya baba yake pamoja na pesa za familia yao.
"Wewe kama nani unaenipangia mda wa kurudi nyumbani kwangu!? " nilimuuliza lakini hakutaka kuzunguka sana aliamua kuniambia kuwa lazima tufanye mapenzi na nitaondoka pale tu atakapolidhika.

Kuna mda nilikuwa nikijilaumu kwa uzuri niliokuwa nao kwani niliona kama umekuwa kero kwangu ya kuingia kwenye majaribu karibu kila mara na niseme tu ukweli kama ningekuwa ni mwepesi wa kukubali au ningekuwa na tamaa ya pesa huenda ningekuwa nimeshatembea na wanaume tofauti tofauti mpaka mda huo.

Hakuishia hapo bali alienda kuchukua mafuta na kuja nayo kisha baada ya hapo aliniambia.
"Usijali kuhusu malipo utapokea pesa za kutosha kwa sababu mimi huwa sili mbele tu nakula na nyuma ndiyo maana nimekuletea mafuta haya hapa ili mtalimbo wangu usihangaike kupita" aliongea na mimi nilihisi labda kwa mwonekano wangu alihisi ndiyo tabia yangu ya kutembea na wanaume hivyo niiliamua kumwambia.
"Ivi unahisi mimi ni malaya eeeh!?"
Nilimuuliza lakini mtoto wa mbunge aliamua kunijibu "Huenda wewe sio malaya mimi hilo sijali ninachohitaji ni kukutia tu" aliongea.....ITAENDELEA

Maoni

You're not logged in


Tangazo - MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

PENZI LA MHALIFU 40

PENZI LA MHALIFU 40

Nilifika na kumkuta mtoto wa mbunge amekaa huku amepiga nne kwenye ofisi ya mkuu tena akiwa anachezea simu yake.
"Angel unajua nilichokuitia hapa!?" Mkuu aliniuliza.
"Hapana sijui" nilimjibu na aliniambia nikae kwa ajili ya mazungumzo.

Mkuu aliniambia kuwa nimempa namba za uongo mtoto wa mbunge na aliniambia kuwa ni kosa kwani mimi ni asikari na sikutakiwa kuwa muongo kwa mtoto wa kiongozi au kwa raia yoyote yule hasa anayehitaji msaada kutoka kwa asikari.

Nilibaki nimeshangaa kwa kile alichoniambia na nilijiuliza ni sheria gani hiyo inayomlazimisha mtu agawe namba zake kwa mtu yoyote!? ila nilijifanya mjinga mbele yao.
"Mkuu basi itakuwa nilikosea...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/penzi-la-mhalifu-40

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending 🐓 Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi penzi-la-mhalifu
PENZI LA MHALIFU 33.
PENZI LA MHALIFU 33.
PENZI LA MHALIFU 01.
PENZI LA MHALIFU 01.
PENZI LA MHALIFU 02
PENZI LA MHALIFU 02
PENZI LA MHALIFU 43 (FINAL).
PENZI LA MHALIFU 43 (FINAL).
PENZI LA MHALIFU 04.
PENZI LA MHALIFU 04.
PENZI LA MHALIFU 22
PENZI LA MHALIFU 22
PENZI LA MHALIFU 36
PENZI LA MHALIFU 36
PENZI LA MHALIFU 08
PENZI LA MHALIFU 08
PENZI LA MHALIFU 05.
PENZI LA MHALIFU 05.
PENZI LA MHALIFU 23.
PENZI LA MHALIFU 23.
PENZI LA MHALIFU 30
PENZI LA MHALIFU 30
PENZI LA MHALIFU 06
PENZI LA MHALIFU 06
PENZI LA MHALIFU 27
PENZI LA MHALIFU 27
PENZI LA MHALIFU 13.
PENZI LA MHALIFU 13.
PENZI LA MHALIFU 03
PENZI LA MHALIFU 03
PENZI LA MHALIFU 41
PENZI LA MHALIFU 41
PENZI LA MHALIFU 29
PENZI LA MHALIFU 29
PENZI LA MHALIFU 15.
PENZI LA MHALIFU 15.
PENZI LA MHALIFU 26
PENZI LA MHALIFU 26
PENZI LA MHALIFU 35.
PENZI LA MHALIFU 35.
PENZI LA MHALIFU 20
PENZI LA MHALIFU 20
PENZI LA MHALIFU 24
PENZI LA MHALIFU 24
PENZI LA MHALIFU 10
PENZI LA MHALIFU 10
PENZI LA MHALIFU 09
PENZI LA MHALIFU 09
PENZI LA MHALIFU 37
PENZI LA MHALIFU 37
PENZI LA MHALIFU 42
PENZI LA MHALIFU 42
PENZI LA MHALIFU 28
PENZI LA MHALIFU 28
PENZI LA MHALIFU 11.
PENZI LA MHALIFU 11.
PENZI LA MHALIFU 39
PENZI LA MHALIFU 39
PENZI LA MHALIFU 07.
PENZI LA MHALIFU 07.
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 81 na 82 enjoy Sunday

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 81 na 82 enjoy Sunday

1.37K
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 83 na 84

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 83 na 84

673
LETICIA 15:16

LETICIA 15:16

263
NAKUPENDA BILA MIPAKA 76 - 86 SEASON TWO

NAKUPENDA BILA MIPAKA 76 - 86 SEASON TWO

256
CHUMBANI KWETU 💚   Sehemu   ya   10

CHUMBANI KWETU 💚 Sehemu ya 10

191
CHAGUO LA MOYO ❣️ SEHEMU YA 01--- 05

CHAGUO LA MOYO ❣️ SEHEMU YA 01--- 05

141
NAKUPENDA BILA  MIPAKA 87 - 95 SEASON TWO

NAKUPENDA BILA MIPAKA 87 - 95 SEASON TWO

74
MFALME KIPOFU Sehemi..ya............14

MFALME KIPOFU Sehemi..ya............14

34
Poor Orphan Got Pregnant With Twins & Was Kicked Out By Her Stepmom -Unexpectedly Baby's Dad Was CEO

Poor Orphan Got Pregnant With Twins & Was Kicked Out By Her Stepmom -Unexpectedly Baby's Dad Was CEO

18
USIKAE KWENYE NYUMBA MOJA YA KUPANGA KWA MUDA MREFU.

USIKAE KWENYE NYUMBA MOJA YA KUPANGA KWA MUDA MREFU.

18

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.93K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.63K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.87K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.42K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

3.03K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.99K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.83K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.79K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.7K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.66K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
NAKUPENDA BILA MIPAKA 96 - 100 MWISHO SEASON TWO Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 96 - 100 MWISHO SEASON TWO
@majario LIVE

:96 Yeye akawa tu anaendesha kama vile hakuna kitu amezungumza. Mimi hapo tena naona tu kesho ifike tu nipelekwe tu hiyo sehemu. Sijui hata ni kuchinjwa au nikutekwa mimi tayari tu nipo...

MFALME KIPOFU Sehemi..ya............14 Post Mpya
MFALME KIPOFU Sehemi..ya............14
@majario LIVE

Ilipoishia sehemu iliyopita.... Huyo hawezi kuishi bira wewe mana haoni na nafasi ya mwisho ni kuondoka katika huu ufalme nisione sura zenu tena hapa...... ENDELEA NAYO........ Mfalme Tengu aliwafukuza Prince Yao na Lindiwe...

NAKUPENDA BILA  MIPAKA 87 - 95 SEASON TWO Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 87 - 95 SEASON TWO
@majario LIVE

:87 Nikacheka na kusema “sasa nikufiche nini, lakini sasa Dokta kama anampenda boss bora amwambie anateseka bure.” Dada Maria alicheka na kusema “wewe unawajua wanaume, wanaume hawana hata muda nakuambia, na vile...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 83 na 84 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 83 na 84
@majario LIVE

Namtak uyo maraya wako, namtaka nasema, mh nikajua apa kumekucha nikawaambia wanangu, nendeni chumbai kwenu haraka, kweli ummy akachukua mdogo wake arshaina wakaingia chumbani, mm.nikamsogelea mama.nikasema.mma ni ustaarabu gani, mama.mi.nilikuwa...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 76 - 86 SEASON TWO Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 76 - 86 SEASON TWO
@majario LIVE

:76 Nazwi niambie kuna tatizo, unagombana tena na dokta wako?” Nilitabasamu na kusema “mimi kugombana na dokta?, kwanini?, Hapana kuna vitu alikuwa ananielekeza tu.” Alinitazama, Nadhani aligundua kitu mimi sijui Ila sikuwa nimempa...

USIKAE KWENYE NYUMBA MOJA YA KUPANGA KWA MUDA MREFU. Post Mpya
USIKAE KWENYE NYUMBA MOJA YA KUPANGA KWA MUDA MREFU.
@majario LIVE

Tena ikiwezekana katika hizi nyumba za kupanga uwe na limit ya muda wa kukaa, mtu unakaa miaka na miaka kwenye hiyo nyumba mpaka unaonekana kama wewe ndiye mwenye nyumba. Inafikia...

LETICIA 15:16 Post Mpya
LETICIA 15:16
@majario LIVE

💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍 LETICIA Sehemu ya 15 Mwandishi;LISSA Yule dada alikuwa mcheshi dakika mbili tushazoeana ,nilikuwaga namuona tu kijijini ila hii siku ndio nikamjua vizuri .alinambia anaitwa rehema. Tulipiga story mno akanipa na namb yake...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 81 na 82 enjoy Sunday Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 81 na 82 enjoy Sunday
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi bwana sasa siku iyo nakumbuka nilikuwa kwa jalia , nikamuuliza jalia mbona huna tumbo alafu mimba si itakuwa na miezi 2 , akanmbia mh naona...

CHAGUO LA MOYO ❣️ SEHEMU YA 01--- 05 Post Mpya
CHAGUO LA MOYO ❣️ SEHEMU YA 01--- 05
@majario LIVE

MTUNZI RITHA STORIES WHATSAPP 0754380244 AU 0680992844 SONGA NAYO................. Mpenzi msomaji Leo na kuletea kisa hiki Cha mapenz ambacho Kita kufunza mengi na kukusisimua,kukufurahisha, na kukuhuzunisha pia Karibu tuende wote👇 Unaweza kuniita Sonia...

Poor Orphan Got Pregnant With Twins & Was Kicked Out By Her Stepmom -Unexpectedly Baby's Dad Was CEO Post Mpya
Poor Orphan Got Pregnant With Twins & Was Kicked Out By Her Stepmom -Unexpectedly Baby's Dad Was CEO
@majario LIVE

If you don't leave my house right now, I will cut you into pieces today. Mrs. Helen screamed, waving a big sharp cutlass in the air. Grace backed away, her...

CHUMBANI KWETU 💚   Sehemu   ya   10 Post Mpya
CHUMBANI KWETU 💚 Sehemu ya 10
@majario LIVE

Nilifurahi sana❤😘nikaletea mtoto wangu nikamuona nililia kwa furaha nikamshukuru sana Betty maana amekuwa msaada sana kwangu🙏❤ asubuhi ya siku iliyofuata mume wangu nae akaja kumuona mtoto nae alifurahi sana...

ROWAN (Mine alone) 1 - 5 Post Mpya
ROWAN (Mine alone) 1 - 5
@majario LIVE

MTUNZI: Mr Burudan Sehemu ya: 01 ANZA NAYO.... Niite Vee, jina la kifupisho cha jina langu la Vera, Vera ndio jina langu halisi nililopewa...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 66 - 75 SEASON TWO Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 66 - 75 SEASON TWO
@majario LIVE

:66 Mimi nilitoka nikiwa na furaha sana, Niliondoka hapa ni Kama nimezaliwa upya. Moyo wangu ulikuwa umechangamka mno. Ingawa nilifika kwa kujivuta sana lakini siku imeisha na tabasamu pana kwenye uso...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 80 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 80
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Basi nikaludi ndani sasa , nikamkuta zena ana mawazo sana, nikasema zena naomba nikupe chakula kwanza kisha tutaongea tu nitakuelezea kila kitu mke wangu, zena akanmbia sawa, wala hakuwa na...

IN LOVE WITH ZURI*   Chapter 7 Post Mpya
IN LOVE WITH ZURI* Chapter 7
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Kitendo cha mimi kuongea kwa ukali kiasi hicho kiliwashtua sana Idress lakini pia na Ethan, Ethan yeye mpaka alinyanyuka na kuja sehemu niliyokaa kisha akachukua hiyo chai ambayo nasemea...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest