PENZI LA MHALIFU 42
Nilikuwa kwenye wakati mgumu kwa wakati huo kwani nilikuwa sitaki kabisa kuwa na mwanaume mwenye watoto wa nje ya ndoa.
Upande wa chumbani Cyborg baada ya kuona nimechelewa kurudi chumbani uvumilivu ulimshinda, aliamua kuvaa nguo zake na kutoka chumbani.
Alimkuta mfanyakazi na alikutana na taarifa kuhusu mtoto aliyekuja nae huku ikisemekana ni mtoto wake.
Cyborg alimchukua mtoto na kujaribu kumwangalia kama watakuwa wanafanana.
Baada ya kumuangalia Cyborg aliongea.
"Wewe huyu sio mtoto wangu, mimi watoto wangu nawajua"
"Ni wako kaka, wewe ndiye baba yake naomba uamini hilo" mfanyakazi wangu wa zamani aliongea na mimi mda huo nilikuwa nikisikiliza maongezi yao kwani nilikuwa na mawazo yangu.
Sikutaka kuongea chochote zaidi ya kuondoka kwani nilizijua vizuri hasira zangu jinsi zilivyo.
Cyborg aliamua kunifata baada ya kuniona nikielekea chumbani.
"Malaika niamini mimi yule sio mtoto wangu, emu kaangalie masikio yake yalivyo makubwa, ivi kweli kwakuniangalia mimi na masikio ya aina ile!?" Cyborg alijaribu kujitetea lakini maneno yake kwangu hayakuwa na maana kwa wakati huo.
Nilimwambia afanye maamuzi haraka kabra sijachukua mimi maamuzi, Cyborg aliamua kumfata mfanyakazi wetu wa zamani na kuamua kukubali kuwa ni mtoto wake kisha baada ya hapo alimpatia pesa na kumwambia kuwa atakuwa akijitahidi kumtumia pesa za matumizi ya mtoto mara moja moja.
Alikubali kuondoka na kutuacha sisi wenyewe ndani.
Nilibaki nikimulaumu Cyborg kwanini aliamua kunifanyia usaliti kipindi kile na Cyborg alibaki akiniomba msamaha.
Maisha yaliendelea huku Cyborg akijitajidi kutuma pesa kwa mtoto wake wa nje na deni alilokuwa anadaiwa la milion 7 alianza kupunguza kidogo kidogo.
Uzuri biashara ya Cyborg iliendelea kuimalika siku hadi siku huku wateja wake wakizidi kuongezeka.
Siku hiyo nilipigiwa simu na sauti iliyosikika ilikuwa ya mdogo wangu Anna nilitamani kumkatia lakini siku zote damu ni nzito kuliko maji, niliamua kumsikiliza ni kitu gani alichopanga kuniambia.
Aliniomba msamaha kwa kile kilichowahi kutokea kwani hatukuwa na mawasiliano mazuri tangu aondoke na ilitokana na kile kilichotokea cha kufanya mapenzi na Cyborg.
Aliniambia kuwa anataka aje anitembele kitu ambacho sikukubaliana nacho kabisa kwani niliamini wanaweza kunyanduana na Cyborg kwa mara nyingine.
Baada ya kumkatalia mama yangu alinipigia simu na kuniambia kwanini nimepunguza mawasiliano nao na mimi nilimjibu ni ubize wa kazi niliokuwa nao hivyo mama aliniambia kama sitaki Anna aje kwangu basi yeye mwenyewe atakuja kunitembelea na kuongea na mimi ili ajue tatizo ni nini.
Nilimkubalia na niliona bora aje mama kunitembelea ila sio mdogo wangu Anna.
Baada ya siku kadhaa kupita mama alikuja kunitembelea na siku hiyo tulishinda wote na aliniuliza sababu ya mimi kutokuwa na mawasiliano mazuri na mdogo wa Anna. sikutaka kumwambia ukweli kuwa alifanya mapenzi na mme wangu zaidi ya kumwambia kuwa mdogo wangu haniheshimu kama dada yake.
Tuliendelea kuongea na mda wa kulala ulipofika nilibaki njia panda huku nikifikiria nini cha kufanya kwani nilimjua vizuri Cyborg anavyopenda kupiga kelele wakati wa kufanya mapenzi.
Sikuwa na nguvu ata za kupanda kitandani kwa wakati huo.
"Malaika mbona umesimama njoo tulale" Cyborg aliniambia bira kujua mawazo niliyokuwa nayo kwenye kichwa changu. kabra sijamjibu niliamua kutoka chumbani na kwenda sebleni kwani kuna wazo nililokuwa nimelipata.
Nilipofika huko nilichomoa waya wa radio na kuibeba na kuipeleka chumbani.
Cyborg alishangaa kuona nikiingia na radio chumbani.
"Angel radio ya nini tena chumbani!?" aliniuliza ila mimi nilienda kuichomeka kwenye switch na kuiwasha na kuweka sauti ya chini.
"Angel sinakuuliza mke wangu radio ya nini humu chumbani!?" aliniuliza kwa mara nyingine.
"Wewe unavyopenda kupiga kelele wakati wa kufanya mapenzi mara useme tamu mara useme fck you na mama yangu yupo siutaniabisha Cyborg!?" nilimwambia na Cyborg alikubaliana na kile nilichokisema kwani sauti ya radio iliyokuwa ikisikika kwenye chumba chetu ilisaidia kwa kiasi flani ata tulipoanza kufanya mapenzi na Cyborg alipokuwa akipiga kelele zake, sauti ya radio ilisaidia sauti ya Cyborg kutokusikika kwenye chumba alichokuwa amelala mama yangu.
Asubuhi ilipofika nilimsalimia vizuri mama na uzuri hakuweza kugundua chochote kile na siku hiyo alishinda nyumbani kwa mara nyingine.
Usiku kama kawaida yetu mimi pamoja na Cyborg tulikuwa kwenye mizagamuo huku nikiwa nimewasha radio.
Bahati mbaya umeme uliweza kukatika na Cyborg alikuwa akiendelea kuninyandua huku akitamka maneno yake.
"Wewe Cyborg acha sauti inasikika" nilimwambia aacha kuendelea kunizagamua ila Cyborg aliongea.
"Siachi siachi siachi malikia wewe mtamuuu" kwa jinsi alivyokuwa akiongea niliamini ata kama mama alikuwa usingizini mda huo lazima angeamka tu.
Kwakuwa nilikuwa nimeshamjua vizuri mme wangu niliamua kumpa style ambayo huwa inamfanya afike haraka kileleni.
Baada ya kumpa style niliyokuwa nikiiamini Cyborg hakuchelewa alipiga bao na baada ya hapo alijitupa pembeni ya kitanda na kuongea.
"Malaika mbona sisikii sauti ya radio!?" Cyborg aliniuliza na ndipo nilipogundua kuwa akili zake zilikuwa pengine kipindi tunafanya mapenzi.
"Wewe kipindi nakuambia uache kunizagamua ulikuwa ukiendelea tu sijapenda kwakweli" niliongea huku nikigeukia upande mwingine na kumtegea mgongo.
"Basi samahani malaika siunajua upwiru ukinishika nakuwa mtu mwingine kabisa na ulivyo mtamu ndiyo kabisa siwezi ata kujizuia" Cyborg aliongea na mimi mawazo yangu yalikuwa mbali kwa wakati huo.
"Mmmh kesho sijui nitamuangaliaje mama usoni" niliongea lakini Cyborg aliniambia ni jambo dogo hilo na mama ni mtu mzima haina haja ya mimi kuwa na aibu.
Basi tulilala huku Cyborg akiwa kanikumbatia kwa nyuma huku akinigusisha mpini wake wake kwa nyuma kwenye makalio yangu.
Nilikuwa nikiombea asiweze kushikwa na hamu na kuhitaji kuendelea kufanya sex.......ITAENDELEA..