PENZI LA MHALIFU 04.
Basi baada ya kufika chumbani Cyborg alianza kunicheza bira kunipa nafasi ya kuvua uniform zangu za kazi.
"Tulia basi na wewe mme wangu nivue kwanza uniform hii K ni yako haraka ya nini!?"
niliongea huku nikijaribu kumsogeza pembeni lakini mwenzangu hakutaka kuelewa kabisa.
"Kuhusu uniform niachie mimi nitakuvulisha mwenyewe, ujue nini Malaika!?, nilikuwa kwenye mihangaiko yangu na gafra mhogo wangu ukasimama, sikutaka kukusaliti ndiyo maana niliamua kuja mapema nyumbani kwa ajili ya kukutia mke wangu yani nataka nikutie mpaka mhogo wangu ulidhike"
Cyborg aliongea huku akikichezea kisima changu.
Basi bwana ilibidi nimuache afanye anachotaka kwani ata mimi aliniambukiza ugonjwa wa kutamani kufanya mapenzi mara kwa mara na ilifika mda kisima changu kilizoea kutiwa na kilihitaji kupunguziwa maji kila mda na Cyborg.
Alinitia na baadae alifunga magoal mawili ya kiwango huku goli moja akifunga kwa kupiga mpira kuanzia katikati ya kiwanja mpaka golini, ndipo aliponipa nafasi ya mimi kupumua.
Alijitupa pembeni yangu huku akiendelea kushika matiti yangu na kuongea.
"Siku nikija kuona mtu yoyote anakugonga zaidi yangu lazima nimuue"
Cyborg aliongea.
"Mimi sio mtu wa kutiwa na wanaume hovyo wewe peke yako unanitosha japo hapa nilipo na mawazo" nilimwambia na Cyborg alikaa vizuri na kuniuliza.
"Niambie Malaika tatizo gani linalokusumbua, wewe ndiyo dunia yangu sitaki kuona ukipata shida kabisa"
"Nimepewa kazi ya kupeleleza wizi uliotokea usiku uliopita na sijui nianzie wapi" niliongea na Cyborg alikaa kimya na alionyesha kuna kitu anachokifahamu.
Nikiwa kama asikari nilianza kushikwa na mashaka hasa kwa kile alichoniambia usiku uliopita kuwa bado anaendelea na kazi zake za wizi.
"Au wewe ndio uliyehusika na wizi uliotokea!?" nilimuuliza Cyborg.
"Dah acha tu nikwambie ukweli Malaika" Cyborg aliongea na alianza kunisimulia kila kitu jinsi wizi ulivyotokea huku na yeye akiwa ni miongoni mwa watu waliofanya wizi huo.
Nilibaki nikijiuliza ivi nitawezaje kuishi na mwanaume mwizi huku mimi nikiwa ni asikari wa jeshi la polisi. Kilichokuwa kikiniumiza kichwa ni kazi ya upelelezi niliyokuwa nimepewa huku moja ya wahusika akiwa ni Cyborg mme wangu.
"Cyborg nimechoka haya maisha na kama ukiendelea ivi basi ndoa yetu itavunjika mda wowote ule, siwezi kuendelea kuishi na wewe tena"
Nilimwambia Cyborg.
"Basi sitarudia tena Malaika na mimi nitakusaidia kuweza kuwakamata waharifu na vitu vyote vilivyoibiwa utavipata"
Cyborg aliongea lakini nilijikuta nikicheka nakuongea.
"Ata wewe nimhusika huoni kama nikiwakamata wenzako watakutaja na wewe!?"
"Sawa tu nimeshazoea kwenda selo mhimu kazi yako iende vizuri"
Cyborg alinijibu na kwakuwa nilikuwa tayari nikimpenda mme wangu nilienda kumdanganya mkuu wangu kuwa imeshindikana kuwapata wezi.
Niliamua kufanya vile kwa ajili ya kumlinda Cyborg na mimi pia kwani angekamatwa bado ningeendelea kujichafulia jina langu la kuishi na mwanaume ambae ni mwizi.
Cyborg aliniahidi hatorudi kwenye kazi hiyo tena ata iweje na ata bangi sikuwahi kumuona akivuta hivyo aliamua kujichanganya mtaani kwa kufanya kazi mbali mbali.
Ukiachana na tabia ya wizi aliyokuwa nayo mme wangu ila kwenye mambo ya upambanaji na kujali mwanamke alikuwa ni mwanaume mwenye kila sifa. Kwakuwa Cyborg alikuwa akifahamiana na watu wengi alipata kazi kwa tajiri mmoja ya udereva.
Maisha yaliendelea huku furaha ikiongezeka kwenye ndoa yangu baada ya Cyborg kuacha tabia ya kuibia watu.
Nakumbuka ilikuwa jamatatu nikiwa kwenye kituo cha kazi siku hiyo tuliletewa taarifa za watu kufanya vuluga kwenye soko lililokuwa karibu na kituo chetu cha polisi.
Tuliondoka nikiwa mimi pamoja na asikari wenzangu kwa ajili ya kwenda kuzuia vulugu zilizokuwa zikiendelea. wafanya biashara wa soko hilo walikuwa wakitolewa na migambo kwa nguvu kwenye maeneo yao hali iliyowafanya waanze kuleta vulugu kwa kuwaponda na mawe migambo waliokuwa wakiwatoa kwa nguvu.
Tulikuwa na kazi ya kuwatuliza na kijana mmoja aliyeonekana na hasira aliyekuwa akinifahamu alianza kunitukana matusi ya nguoni.
"Nyie hamna kitu chochote mnachofanya kwenye hii nchini kama wewe asikari demu ndio mjinga kabisa wa mwisho yani unakubali kuolewa na kutiwa na mwizi alafu unategemea uweze kutulinda sisi wananchi wako!?" aliongea maneno ya kila aina huku vijana wengine wakiungana nae kunitukana.
Ilibidi mabomu ya machozi yatumike kwa ajili ya kutuliza vulugu zilizokuwa zikiendelea.
Baada ya mda kupita hakukuwa na vulugu tena na asikari mwenzangu mmoja alinifata nakuniambia.
"Afande Angel, mimi naona ni bora uje utafute mwanaume mwingine wa kukuoa na yule uliyenae uachane nae tu" aliongea kama kunipa ushauri lakini ushauri wake uliingilia sikio la kulia na kutokea kushoto.
Sikutaka kuukubali ushauri alionipatia kwani Cyborg alikuwa akinitia kisawasawa na kunilizisha.
Cyborg alikuwa akinijali na kunipa kile nilichokuwa nikitaka kulingana na uwezo wake. ningeanzaje kuachana na mwanaume kama huyo? hasa nikisikia wanawake wenzangu wanalalamika kuwa wanaume zao hawa walizishi kwenye mapenzi. Niliona nitakuwa mjinga wa mwisho kama nitafata ushauri wa kuachana na Cyborg.
Nilimwambia Asikari mwenzangu haitowezekana kuachana na Cyborg na nipo tayari kuvumilia maneno watakayo kuwa wakiongea watu ila sio kuachana na mpenzi wangu Cyborg.......ITAENDELEA.
Inapatikana kwa Tsh 1000 tu.
Namba za malipo.????????????????
0613083801 HALOPESA Jina John Bugumba.
0755271203 M-pesa Jina John Bugumba..