Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

PENZI LA MHALIFU 20
Gonga94 · Stories

PENZI LA MHALIFU 20

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
PENZI LA MHALIFU 20

Afande Neema aliyekuwa amesimama karibu yangu alinisogelea nakuniongelesha kwa sauti ya chini.
"Angel ivi ni masikio yangu au!!? yani leo mkuu anaitwa mke tena na kijana wa mtaani?"
"Nyamaza kwanza Afande Neema tutaongea baadae" ilibidi nimwambie baada ya kumwona mkuu akisogea sehemu tulipo sisi pamoja na asikari waliokuwa wamemshika kijana aliyekuwa akiendelea kumuita mkuu wetu mke wake.

Mkuu alifika na kuchomoa bastora, alimnyooshea kijana akitaka kumpiga risasi ila Afande Davi aliyekuwa karibu nae alimshika na kumzuia.

Mkuu wetu alitaka kwenda kinyume na taratibu za nchi jinsi zilivyo ndiyo sababu iliyomfanya Afande Davi amzuie.
"Mkuu acha usifanye hivyo" Afande Davi aliongea huku akiendelea kumzuia.
"Mwache nimuonyeshe, kwanza haiwezekani anitoe marinda kijana mdogo kama huyu pamoja na wezake" Mkuu hasira alizokuwa nazo alijikuta akilopoka yeye mwenyewe mbele ya asikari wenzangu ambao wote walibaki kushangaa kwa maneno yake.

Kijana baada ya kusikia mkuu kaongea mwenyewe alianza kucheka kwa dharau na Afande Davi aliyekuwa amemshika alijikuta nae akimuuliza.
"Mkuu kweli umetolewa marinda kama ulivyosema?" baada ya Afande Davi kumuuliza, Mkuu aliamua kuondoka mwenyewe bira kuongezea neno lolote lile.

"Wewe afande waambie waniache haraka lasivyo tutatuma video yako ya jinsi tunavyokutia" yalikuwa ni maneno ambayo bado aliendelea kuyalopoka kijana waliokuwa wamemshika.

Kila mtu siku hiyo alikuwa akiongea lake huku wengine wakisema kuwa huenda ni kweli alichokuwa anakizungumza kijana mvuta bangi na wengine walisema ni kutokana na bangi alizokuwa amevuta kijana huyo ndiyo zilimfanya aongee maneno ya kumuita mkuu wetu mke wake Japo ukweli wote nilikuwa nikiufahamu.

Ndani ya mda huo huo tulimuona mkuu akitoka kwenye ofisi yake nakuondoka akiwa kwenye gari yake.

Mimi niliporudi nyumbani nilimkuta Cyborg na nilimpa taarifa ya kile kilichomkuta mkuu wetu. Cyborg ata hakushituka na alinihakikishia kuwa mkuu hawezi kufanya kitu chochote kile.

Upande wa Cyborg alikuwa akiendelea kusumbuliwa na mke wa mkuu wangu akimtaka walau afanye nae mapenzi ata kwa dekika 1. Cyborg aliendelea kuweka msimamo wake wa kukataa kufanya nae mapenzi.

Siku hiyo kwa mara nyingine mke wa mkuu wangu alikuja kwenye nyumba yetu tuliyokuwa tukiishi mimi pamoja na Cyborg. Alinikuta mimi pamoja na binti wa kazi.

Alianza kuongea maneno ya kunibembeleza ili niweze kumpa ruhusa ya kufanya mapenzi na Cyborg walau ata mara moja.

Ilibidi nimwambie mke wa mkuu wangu.
"ile siku niliyokuruhusu ufanye mapenzi na mme wangu ilikuwa ni cku yenu ya mwisho, kwanini usiende kutafta mwanaume mwingine wa kukuzagamua mpaka ukaridhika?" nilijaribu kumshauri.
"Sijaona mwanaume mwingine wa kuweza kunisaidia zaidi ya mme wako Cyborg, naomba unisitili mimi ni mwanamke mwenzako" Aliongea na alionesha uhitaji wa kufanya mapenzi na Cyborg kwa mara nyingine.

Kiukweli nilishindwa kuelewa Cyborg kampa nini mama wa watu mpaka ampende kiasi hicho.

Siku hiyo nilimkatalia kabisa hivyo aliamua kuondoka.

Niliona sasa usumbufu unataka kuzidi na huenda matatizo yakawa makubwa zaidi, nilipata wazo na kuamua kumshirikisha Cyborg.

Niliamua kumshauri tuhame mkoa huo na tuhamie kwenye mkoa mwingine ambao hakuna watu wanaotufahamu ili tukaishi kwa amani, Cyborg hakutaka kupinga ushauri niliompatia.

Alikubali na mimi nilianza kufanya talatibu za kufatilia uhamisho wa kikazi.
Afande Neema alizipata taarifa za mimi kufatilia uhamisho na alinifata na kuniuliza sababu ni ipi, nilimwelezea baadhi ya mambo yaliyonifanya nichukue maamuzi ya kuhama na kuhamia mkoa mwingine.

Afande Neema alihuzunika kwa sababu tulikuwa tumeshazoeana na tulikuwa tukiishi kama ndugu.

Baada ya kuhangaika kwa mda wrefu nilifanikiwa kupata uhamisho, upande wa Mr Robert aliamua kuthibitha uhamisho wangu na kuniruhusu kwani hakutaka mambo yake yaliyomkuta ya kuingiliwa kinyume na maumbilie wayajue watu wengine.

Tulihamia kwenye mazingira ambayo watu walikuwa hawatujui na ilikuwa ngumu kwa Cyborg kupata kazi kwa wakati huo.
Cyborg hakuwa na kitu chochote cha kufanya zaidi ya kukaa ndani.

Siku moja nikiwa natoka kazini kuna mwanamke aliniita baada ya kuniona, niliamua kusogea sehemu aliyokuwa amesimama.
"Jirani samahani, mimi ni jirani yako naishi kwenye nyumba ile" aliongea huku akinionyesha kwa kidole nyumba aliyokuwa akiishi na nyumba yake ilikuwa karibu kabisa na nyumba tuliyokuwa tukiishi sisi.

Niliamua kumuuliza sababu ni ipi iliyomfanya aniite na aliamua kuongea pasipo ata kuogopa mavazi ya asikari polisi niliyokuwa nimevaa.
"Jirani naomba unipe siri kuhusu mmeo"
Aliongea nakunifanya nimshangae na kumuuliza.
"Mme wangu!?"
"Ndio mme wako, sababu kila siku usiku huwa nasikia sauti zenu mkiwa mnafanya mapenzi, nafurahishwa na nyinyi kwani mnatumia mda mrefu kufanya mapenzi na inaonekana mmeo anakulizisha vizuri" jirani aliongea na kunifanya nielewe sababu iliyomfanya anisimamishe.

Nilimwambia hamna chochote anachotumia Cyborg zaidi ya utundu alionao kwenye mapenzi, jirani alibaki akishangaa baada ya mimi kumjibu kwani hakukubaliana na maneno yangu na alikuwa akihitaji niweze kumsaidia dawa ili ampatie mme wake awe anamzagamua mpaka analizika.

Sikutaka kuongea nae sana sababu tungetumia mda mrefu kuongea hivyo niliamua kuondoka huku nikimwacha jirani akinitazama.

Nilifika ndani na kumkuta Cyborg anatazama tv huku akiwa kambeba mtoto wetu.

Ilibidi nimwambie Cyborg apunguze kelele zake anazopiga usiku wakati wa kufanya mapenzi ila Cyborg aliniambia.
"kwa jinsi ulivyomtamu naanzaje kuacha kupiga kelele Malaika" aliongea na pale pale aliniambia kuwa anataka anionyeshe nini maana ya upendo.

Cyborg alinivulisha nguo zangu nakunibeba huku akinipeleka bafuni kwa ajili ya kwenda kuniogesha. Siku hiyo alitaka kunifanyia mambo ambayo hajawahi kunifanyia tangu tumeoana.....ITAENDELEA.

Maoni

You're not logged in


Tangazo - SHAMIRA fully episode
SHAMIRA fully episode
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

PENZI LA MHALIFU 20

PENZI LA MHALIFU 20

Afande Neema aliyekuwa amesimama karibu yangu alinisogelea nakuniongelesha kwa sauti ya chini.
"Angel ivi ni masikio yangu au!!? yani leo mkuu anaitwa mke tena na kijana wa mtaani?"
"Nyamaza kwanza Afande Neema tutaongea baadae" ilibidi nimwambie baada ya kumwona mkuu akisogea sehemu tulipo sisi pamoja na asikari waliokuwa wamemshika kijana aliyekuwa akiendelea kumuita mkuu wetu mke wake.

Mkuu alifika na kuchomoa bastora, alimnyooshea kijana akitaka kumpiga risasi ila Afande Davi aliyekuwa karibu nae alimshika na kumzuia.

Mkuu wetu alitaka kwenda kinyume na taratibu za nchi jinsi zilivyo ndiyo sababu iliyomfanya Afande Davi amzuie.
"Mkuu acha usifanye hivyo" Afande Davi aliongea huku...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/penzi-la-mhalifu-20

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending 🐓 Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi penzi-la-mhalifu
PENZI LA MHALIFU 33.
PENZI LA MHALIFU 33.
PENZI LA MHALIFU 01.
PENZI LA MHALIFU 01.
PENZI LA MHALIFU 02
PENZI LA MHALIFU 02
PENZI LA MHALIFU 43 (FINAL).
PENZI LA MHALIFU 43 (FINAL).
PENZI LA MHALIFU 04.
PENZI LA MHALIFU 04.
PENZI LA MHALIFU 22
PENZI LA MHALIFU 22
PENZI LA MHALIFU 36
PENZI LA MHALIFU 36
PENZI LA MHALIFU 08
PENZI LA MHALIFU 08
PENZI LA MHALIFU 05.
PENZI LA MHALIFU 05.
PENZI LA MHALIFU 23.
PENZI LA MHALIFU 23.
PENZI LA MHALIFU 30
PENZI LA MHALIFU 30
PENZI LA MHALIFU 06
PENZI LA MHALIFU 06
PENZI LA MHALIFU 13.
PENZI LA MHALIFU 13.
PENZI LA MHALIFU 27
PENZI LA MHALIFU 27
PENZI LA MHALIFU 03
PENZI LA MHALIFU 03
PENZI LA MHALIFU 40
PENZI LA MHALIFU 40
PENZI LA MHALIFU 41
PENZI LA MHALIFU 41
PENZI LA MHALIFU 15.
PENZI LA MHALIFU 15.
PENZI LA MHALIFU 29
PENZI LA MHALIFU 29
PENZI LA MHALIFU 26
PENZI LA MHALIFU 26
PENZI LA MHALIFU 35.
PENZI LA MHALIFU 35.
PENZI LA MHALIFU 10
PENZI LA MHALIFU 10
PENZI LA MHALIFU 24
PENZI LA MHALIFU 24
PENZI LA MHALIFU 09
PENZI LA MHALIFU 09
PENZI LA MHALIFU 42
PENZI LA MHALIFU 42
PENZI LA MHALIFU 28
PENZI LA MHALIFU 28
PENZI LA MHALIFU 37
PENZI LA MHALIFU 37
PENZI LA MHALIFU 11.
PENZI LA MHALIFU 11.
PENZI LA MHALIFU 39
PENZI LA MHALIFU 39
PENZI LA MHALIFU 07.
PENZI LA MHALIFU 07.
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 81 na 82 enjoy Sunday

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 81 na 82 enjoy Sunday

1.37K
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 83 na 84

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 83 na 84

674
LETICIA 15:16

LETICIA 15:16

263
NAKUPENDA BILA MIPAKA 76 - 86 SEASON TWO

NAKUPENDA BILA MIPAKA 76 - 86 SEASON TWO

256
CHUMBANI KWETU 💚   Sehemu   ya   10

CHUMBANI KWETU 💚 Sehemu ya 10

191
CHAGUO LA MOYO ❣️ SEHEMU YA 01--- 05

CHAGUO LA MOYO ❣️ SEHEMU YA 01--- 05

141
NAKUPENDA BILA  MIPAKA 87 - 95 SEASON TWO

NAKUPENDA BILA MIPAKA 87 - 95 SEASON TWO

76
MFALME KIPOFU Sehemi..ya............14

MFALME KIPOFU Sehemi..ya............14

34
Poor Orphan Got Pregnant With Twins & Was Kicked Out By Her Stepmom -Unexpectedly Baby's Dad Was CEO

Poor Orphan Got Pregnant With Twins & Was Kicked Out By Her Stepmom -Unexpectedly Baby's Dad Was CEO

18
USIKAE KWENYE NYUMBA MOJA YA KUPANGA KWA MUDA MREFU.

USIKAE KWENYE NYUMBA MOJA YA KUPANGA KWA MUDA MREFU.

18

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.93K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.63K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.87K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.42K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

3.03K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.99K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.83K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.79K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.7K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.66K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
NAKUPENDA BILA MIPAKA 96 - 100 MWISHO SEASON TWO Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 96 - 100 MWISHO SEASON TWO
@majario LIVE

:96 Yeye akawa tu anaendesha kama vile hakuna kitu amezungumza. Mimi hapo tena naona tu kesho ifike tu nipelekwe tu hiyo sehemu. Sijui hata ni kuchinjwa au nikutekwa mimi tayari tu nipo...

MFALME KIPOFU Sehemi..ya............14 Post Mpya
MFALME KIPOFU Sehemi..ya............14
@majario LIVE

Ilipoishia sehemu iliyopita.... Huyo hawezi kuishi bira wewe mana haoni na nafasi ya mwisho ni kuondoka katika huu ufalme nisione sura zenu tena hapa...... ENDELEA NAYO........ Mfalme Tengu aliwafukuza Prince Yao na Lindiwe...

NAKUPENDA BILA  MIPAKA 87 - 95 SEASON TWO Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 87 - 95 SEASON TWO
@majario LIVE

:87 Nikacheka na kusema “sasa nikufiche nini, lakini sasa Dokta kama anampenda boss bora amwambie anateseka bure.” Dada Maria alicheka na kusema “wewe unawajua wanaume, wanaume hawana hata muda nakuambia, na vile...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 83 na 84 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 83 na 84
@majario LIVE

Namtak uyo maraya wako, namtaka nasema, mh nikajua apa kumekucha nikawaambia wanangu, nendeni chumbai kwenu haraka, kweli ummy akachukua mdogo wake arshaina wakaingia chumbani, mm.nikamsogelea mama.nikasema.mma ni ustaarabu gani, mama.mi.nilikuwa...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 76 - 86 SEASON TWO Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 76 - 86 SEASON TWO
@majario LIVE

:76 Nazwi niambie kuna tatizo, unagombana tena na dokta wako?” Nilitabasamu na kusema “mimi kugombana na dokta?, kwanini?, Hapana kuna vitu alikuwa ananielekeza tu.” Alinitazama, Nadhani aligundua kitu mimi sijui Ila sikuwa nimempa...

USIKAE KWENYE NYUMBA MOJA YA KUPANGA KWA MUDA MREFU. Post Mpya
USIKAE KWENYE NYUMBA MOJA YA KUPANGA KWA MUDA MREFU.
@majario LIVE

Tena ikiwezekana katika hizi nyumba za kupanga uwe na limit ya muda wa kukaa, mtu unakaa miaka na miaka kwenye hiyo nyumba mpaka unaonekana kama wewe ndiye mwenye nyumba. Inafikia...

LETICIA 15:16 Post Mpya
LETICIA 15:16
@majario LIVE

💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍 LETICIA Sehemu ya 15 Mwandishi;LISSA Yule dada alikuwa mcheshi dakika mbili tushazoeana ,nilikuwaga namuona tu kijijini ila hii siku ndio nikamjua vizuri .alinambia anaitwa rehema. Tulipiga story mno akanipa na namb yake...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 81 na 82 enjoy Sunday Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 81 na 82 enjoy Sunday
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi bwana sasa siku iyo nakumbuka nilikuwa kwa jalia , nikamuuliza jalia mbona huna tumbo alafu mimba si itakuwa na miezi 2 , akanmbia mh naona...

CHAGUO LA MOYO ❣️ SEHEMU YA 01--- 05 Post Mpya
CHAGUO LA MOYO ❣️ SEHEMU YA 01--- 05
@majario LIVE

MTUNZI RITHA STORIES WHATSAPP 0754380244 AU 0680992844 SONGA NAYO................. Mpenzi msomaji Leo na kuletea kisa hiki Cha mapenz ambacho Kita kufunza mengi na kukusisimua,kukufurahisha, na kukuhuzunisha pia Karibu tuende wote👇 Unaweza kuniita Sonia...

Poor Orphan Got Pregnant With Twins & Was Kicked Out By Her Stepmom -Unexpectedly Baby's Dad Was CEO Post Mpya
Poor Orphan Got Pregnant With Twins & Was Kicked Out By Her Stepmom -Unexpectedly Baby's Dad Was CEO
@majario LIVE

If you don't leave my house right now, I will cut you into pieces today. Mrs. Helen screamed, waving a big sharp cutlass in the air. Grace backed away, her...

CHUMBANI KWETU 💚   Sehemu   ya   10 Post Mpya
CHUMBANI KWETU 💚 Sehemu ya 10
@majario LIVE

Nilifurahi sana❤😘nikaletea mtoto wangu nikamuona nililia kwa furaha nikamshukuru sana Betty maana amekuwa msaada sana kwangu🙏❤ asubuhi ya siku iliyofuata mume wangu nae akaja kumuona mtoto nae alifurahi sana...

ROWAN (Mine alone) 1 - 5 Post Mpya
ROWAN (Mine alone) 1 - 5
@majario LIVE

MTUNZI: Mr Burudan Sehemu ya: 01 ANZA NAYO.... Niite Vee, jina la kifupisho cha jina langu la Vera, Vera ndio jina langu halisi nililopewa...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 66 - 75 SEASON TWO Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 66 - 75 SEASON TWO
@majario LIVE

:66 Mimi nilitoka nikiwa na furaha sana, Niliondoka hapa ni Kama nimezaliwa upya. Moyo wangu ulikuwa umechangamka mno. Ingawa nilifika kwa kujivuta sana lakini siku imeisha na tabasamu pana kwenye uso...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 80 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 80
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Basi nikaludi ndani sasa , nikamkuta zena ana mawazo sana, nikasema zena naomba nikupe chakula kwanza kisha tutaongea tu nitakuelezea kila kitu mke wangu, zena akanmbia sawa, wala hakuwa na...

IN LOVE WITH ZURI*   Chapter 7 Post Mpya
IN LOVE WITH ZURI* Chapter 7
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Kitendo cha mimi kuongea kwa ukali kiasi hicho kiliwashtua sana Idress lakini pia na Ethan, Ethan yeye mpaka alinyanyuka na kuja sehemu niliyokaa kisha akachukua hiyo chai ambayo nasemea...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest