PENZI LA MHALIFU 08
Nilifika na kuwakuta wenzangu wakinisubiri hivyo niliingia kwenye gari na kimbembe kilikuwa kwangu kwani siti zote zilikuwa zimekaliwa na watu kasolo siti moja ambayo pembeni yake alikuwa amekaa Afande Davi.
Niliamua kwenda kukaa kwenye siti hiyo na safari ilianza.
Afande Davi alikuwa akinitazama na kuamua kuniongelesha kwa mara ya kwanza.
"Cyborg anaendeleaje!?"
"Mzima tu" nilimjibu na Afande Davi alikaa kimya na kukoswa neno jingine la kuniongelesha.
Jamani kuna wanaume wana midomo mizito ya kuongelesha mademu sijui tatizo huwa nini tu ndivyo alivyokuwa Afande Davi, baada ya kukoswa maneno ya kuniongelesha alijifanya amelala na mimi sikutaka kujihangaisha nae.
Nikiwa nimekaa ndani ya gari simu yangu ilitumiwa ujumbe na aliyenitumia hakuwa mwingine bali alikuwa Afande Neema aliyekuwa amekaa nyuma yetu.
"Leo kazi unayo shoga yangu umekaa na adui yako" ulikuwa ni ujumbe wa Afande Neema na ilibidi nimjibu na tulianza kuchati tukiwa ndani ya gari.
Tulifika sehemu husika na Asikari wa kike tulikuwa na vyumba vyetu ata upande wa Asikari wa kiume nao pia walikuwa na vyumba vyao.
Mimi pamoja na Afande Neema tulichagua kulala kwenye chumba kimoja kutokana na urafiki wetu tuliokuwa nao.
yakiwa ni majira ya usiku Cyborg aliweza kunipigia simu na maongezi yetu Afande Neema alikuwa akiyasikia.
"Malaika ujue umeniacha na upwiru huku hapa nilipo naichezea tu bakora yangu" Cyborg aliongea kwa sauti ya juu iliyomfikia Afande Neema na kumfanya acheke.
"Jamani ata siku haijaisha tayari umeshikwa na upwiru!?" Niliongea na tulizidi kuongea story zetu za mapenzi. Cyborg hakuacha kuongea maneno yake ya kichokozi kama ilivyokawaida yake.
Tulitumia mda mrefu kuongea na baadae ilibidi nimuage na kulala.
Asubuhi ilifika na ulikuwa ni mda wa kazi, mimi pamoja na asikari wenzangu tulienda sehemu tuliyohitajika kwa ajili ya kukamata waharifu tukisaidizana na asikari wengine wa maeneo yale. baada ya kumaliza kufanya kazi ulifika mda wa sisi kupata chakula.
Niliongozana na Afande Neema na tulikaa kwenye meza moja na baada ya mda alifika Afande Davi na kukaa pembeni yetu. mimi na Afande Neema tuliangaliana pasipo kuongea chochote kile na Afande Davi aliligundua hilo nakuongea.
"Au mnataka niondoke niwaache wenyewe!?" Alituuliza na Afande Neema alimjibu haina haja ya yeye kuondoka.
Afande Davi aliamua kubaki na kusikiliza maongezi yetu bira kuchangia chochote kile na baada ya mimi kumaliza kula niliondoka nikiwa na Afande Neema.
Pasipo kujua kumbe nilisahau simu yangu kwenye meza tuliyokuwa tumekaa na Afande Davi aliiona simu yangu.
Sikujua ni kitu gani kilichotokea tena ila Afande Davi aliniletea simu yangu na kuniambia kuwa niliisahau kwenye meza, nilimshukuru kwa kuwa mwaminifu kwangu.
Siku hiyo ilipita pasipo Cyborg kunitafuta, nilijua labda atakuwa amebanana na kazi. siku iliyofata napo Cyborg hakunitafuta hivyo niliamua kumpigia mwenyewe ili nijue shida nini. Nilimpigia zaidi ya mara mbili lakini Cyborg hakuweza kupokea simu yangu, akili ya haraka haraka ilinituma nimpigie binti yangu wa kazi ili nijue tatizo nini.
Nilimpigia na bahati nzuri alipokea simu.
"Cyborg yupo wapi mbona nampigia simu hapokei!?" nilimuuliza binti wa kazi.
"Alikuwa hapa nyumbani na ameondoka mda sio mrefu ila anaonekana ni mtu mwenye mawazo" binti wa kazi alinijibu na kunifanya nishindwe kuelewa Cyborg amekubwa na tatizo gani mpaka awe kwenye hali ile.
ilipita wiki bira Cyborg kuongea na mimi na ata sms nilizokuwa nikimtumia alikuwa hazijibu kabisa.
Niliamua kumshirikisha Afande Neema nione atanishauri kitu gani.
"Huenda kuna tatizo lililotokea ndiyo sababu inayomfanya asitake kuongea na wewe"
"Sijamzoea Cyborg kuwa kimya kiasi hicho na anavyopenda kuzagamuana lazima angekuwa ananitafuta na kuongelea mambo ya kutiana kila mara" niliongea na Afande Neema alinishauri nifanye kazi kwanza na mambo mengine nitaenda kuyamalizia nyumbani mimi pamoja na Cyborg.
Mwezi mmoja ulipita na Cyborg hakuwahi kunitafuta wala kuongea na mimi. kazi tuliyotumwa kufanya ilikamilika na nilikuwa na hamu ya kufika nyumbani haraka ili nikaongee na mme wangu.
Nilifika na bahati nzuri nilimkuta Cyborg, nilipomwangalia usoni macho yake yalikuwa kwenye dalili ya mtu aliyetoka kuvuta bangi mda mfupi uliopita.
ilibidi nimsogelea kwa ajili ya kumuuliza na ndipo nilipoisikia harufu ya bangi.
"Cyborg umevuta bangi tena kwa mara nyingine!?" nilimuuliza lakini Cyborg siku hiyo kwa mara ya kwanza alinyenyua mkono wake na kunipiga pasipo mimi kujua sababu ni ipi iliyomfanya anipige.
"Cyborg nimekukosea nini mpaka unipige!?" nilimuuliza na Cyborg alianza kuongea huku akiwa ni mwenye hasira.
"Umeenda kugongwa na kutiwa na Afande Davi sasa ivi unajifanya hujui kosa lako!?" Cyborg aliongea na kuniacha njia panda.
Nilijiuliza tangu lini mimi nikakubali Afande Davi anitia mtu ambae hajui ata kutongoza.
"Mimi Cyborg!?" ilibidi nimuulize maana kwangu zilikuwa ni taarifa za kushangaza.
Cyborg alianza kuongea kila kitu na aliniambia kuwa alinipigia nilipokuwa kazini na simu yangu ilipokelewa na Afande Davi na alimwambia kuwa yupo na mimi anatia anavyotaka.
Nilikuwa na kazi ya kumwelewesha Cyborg na ilibidi nimtafute Afande Neema aliyekuja nyumbani siku hiyo.
Afande Neema alimwambia kila kitu Cyborg kilichotokea na baadae Cyborg alielewa na kuamua kuniomba msamaha.
"Mamiloo nisamehe nilikulupuka Malikia wangu" Cyborg aliongea na alikuwa tayari ameshatambua kosa lake.
"Uliniahidi hutovuta bangi tena kwanini leo umevuta!?" Nilimuuliza na Cyborg aliniambia sababu kubwa iliyomfanya avute ni baada ya Afande Davi kumwambia kuwa alinitia hivyo kitu pekee alichoona kitakachomfanya apunguze mawazo aliyokuwa nayo ni kuvuta bagi.
Sikutaka kumlaumu Cyborg ila lawama zote nilizipeleka kwa Afande Davi na niliamua kumsamehe mme wangu huku nikimwambia alitakiwa apokee simu nilipokuwa nikimpigia na huenda tusingefikia tulipokuwa tumefikia.
Upendo ulirudi upya ndani ya nyumba na cyborg alionyesha upendo mara dufu kwangu.....ITAENDELEA.
Inapatikana kwa Tsh 1000 tu.
Namba za malipo.????????????????
0613083801 HALOPESA Jina John Bugumba.
0755271203 M-pesa Jina John Bugumba..