PENZI LA MHALIFU 37
Baada ya Afande James kuondoka nilipanga kuvunja uhusiano nae maana niliona hatuendani kabisa.
Siku iliyofata aliendelea kuniletea usumbufu nikubali kumpa penzi langu kwa mara nyingine ila nilimwambia haitawezekana tena mimi na yeye kuwa pamoja.
Afande James hakukata tamaa ya kuendelea kunishawishi niweze kukubali lakini niliendelea kumchenga Afande James na sikutaka tena kufanya nae mapenzi na hii ni baada ya kugundua kuwa mpaka atumie dawa ya kuongeza nguvu ndiyo aninyandue, sikutaka kabisa kuwa na mwanaume wa aina hiyo.
Afande James alipunguza mazoea na mimi baada ya kuona sipo tayari kufanya nae mapenzi kwa mara ya pili.
Nakumbuka ilikuwa siku ya jumamosi nilikuwa nimekaa nje, kwa mbali niliweza kuona gari ikija kwenye nyumba yangu na ilipofika ilipaki kisha baada ya hapo nilimshuhudia Cyborg akishuka ndani ya gari aliyokuja nayo.
Cyborg alikuwa amenenepa kidogo tofauti na alivyoondoka.
Cyborg baada ya kuniona alinifata kwa ajili ya kunikumbatia licha ya kunikumbatia ila mimi sikutaka kusimama kupokea kumbatio lake zaidi ya kuendelea kukaa.
"Angel nilikumiss sana" Cyborg aliongea baada ya kunikumbatia.
Kiukweli sikutaka kumshobokea licha ya miaka miwili kupita bira kumuona.
Cyborg baada ya kuona simshobokei aliamua kuniambia.
"Nilienda kutafuta pesa Malaika na hilo gari unaloliona nimekuletea wewe ili nitimize ahadi yangu niliyowahi kukuahidi miaka ya nyuma" Cyborg aliongea akifikiri nitamsifia kwa kile alichoniambia ila nilikuwa kawaida japo nilikuwa nimemkumbuka.
Cyborg alishangaa kuona mtoto aliyekuwa amebebwa na mfanyakazi wangu aliyekuwa na mwaka mmoja na sehemu.
Cyborg alimwangalia mtoto kwa umakini na kwakuwa walikuwa wakifanana pua hakutaka ata kuuliza ni mtoto wa nani moja kwa moja alijua ni mtoto wake.
Cyborg aliamua kunishika mkono na alianza kunivuta kunipeleka chumbani.
"Najua una hasira na mimi Angel ila usijali nimerudi kwa ajili yako" aliongea na mimi niligoma kuingia chumbani sababu nilijua tukifika huko lazima tuzagamuane.
"Siwezi kuingia huko chumbani, mimi siwezi nikakuamini tena Cyborg" niliongelesha kwa mara ya kwanza tangu awasili.
"Angel ndiyo umefikia huko Malikia wangu!? basi twende tukapime sasa ivi maana najua unaogopa magonjwa" Cyborg aliongea na kuongoza njia huku akiniacha ndani nikiwa natafakari maneno yake.
Kwakuwa Cyborg alikuwa ni mwanaume pekee aliyekuwa kwenye moyo wangu na ukizingatia ni baba wa wanangu wawili niliowazaa, niliamua kukubali kuongozana nae maana ata mimi nilikuwa na hamu ya kufanya mapenzi hasa baada ya kumuona Cyborg.
Tulifika kwenye moja ya maabara iliyokuwa karibu na mtaa wetu na kuchukua vipimo, Cyborg aliniambia kuwa hakuwahi kulala na mwanamke yoyote yule tangu ule mwaka tuliofanya mapenzi siku ya mwisho lakini haikunifanya nimwamini.
Tulipewa majibu na yalionesha wote tupo salama hivyo tulienda kupanda kwenye gari tuliyokuja nayo na safari ilianza ya kuelekea nyumbani
Tukiwa barabarani Cyborg aliipaki gari pembeni na kuniambia.
"Angel nimekumiss sana kipenzi, hapa natamani tunyanduane ndani ya hili gari, njoo basi unikalie Malikia" Cyborg aliongea huku akifungua mkanda wa suruali yake na kutoa mtalimbo wake uliokuwa umesimama.
Mimi niliona mazingira sio rafiki kwetu.
"Ondoa gari Kelvin lasivyo nitashuka kwenye gari yako" nilimwambia huku nikiweka sura ya ukauzu kidogo.
"Mmmh Malaika umekuwaje siku hizi wewe mtoto!? mbona zamani hukuwa na hasira kama ulivyo sasa!?" licha ya Cyborg kuniuliza mimi sikutaka kumjibu kwa wakati huo.
Niwaambie tu wanaume kuna mda wanawake akili zetu huwa tunazijua wenyewe unaweza kuhisi mwanamke wako hakupendi hasa kwa kukukalia kimya lakini kumbe ndani ya moyo wake anafuraha na anakupenda zaidi ya unavyofikiria ndivyo nilivyokuwa mimi.
Basi tuendelee na story yetu.
Mimi na Cyborg tulifika nyumbani na Cyborg alionekana anahamu na mimi na ata mimi nilikuwa na hamu ya kufanya mapenzi na yeye ila sikutaka kujionesha mbele yake.
Tulieleka chumbani na baada ya kufika Cyborg alianza kunifanyia utundu wake, siku hiyo karibu kila style zilipigwa mpaka ile style ya "baby inama ufunge kamba za viatu" nayo ilipigwa.
Baada ya kunyanduana na kuzagamuana vya kutosha kidogo nilijikuta hasira nilizokuwa nazo kwa Cyborg zikipungua maana kukaa karibu miaka miwili bira kuzagamuliwa kisawa sawa sio mchezo.
"Niambie kwanza uliondoka na ulienda wapi!?" nilimuuliza na Cyborg aliniambia kuwa alienda machimboni na huko ndiko alikopata pesa zilizomfanya aweze kununua mpaka gari.
Cyborg alinisimulia mambo mengi aliyopitia pia hakuchoka kuniomba msamaha kwa kile alichowahi kukifanya cha kutembea na mdogo wangu Anna.
Nilikubali kuanza maisha upya na Cyborg na kwakuwa pesa alikuwa amekuja nazo aliamua kufungua duka la kuuza viatu vya kike na vya kiume vya special.
Basi maisha yaliendelea nikiwa naishi na Cyborg na Afande James alizipata habari za mimi kurudiana na Cyborg hivyo siku hiyo aliamua kuja kuniuliza.
"Angel ina maana kumbe ndiyo sababu iliyokufanya uvunje mahusiano na mimi na unikatae!?"
"Yule ni mme wangu na nilifunga nae ndoa na pia ni baba wa wanangu, wewe umeshawahi kusikia wapi wazazi wanaachana!?" niliongea na Afande James aliamua kuondoka........ITAENDELEA..