Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

PENZI LA MHALIFU 35.
Gonga94 ยท Stories

PENZI LA MHALIFU 35.

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
PENZI LA MHALIFU 35.

Baada ya kubaki mimi pamoja na mwanangu Irene niliamua kutafuta dada mwingine wa kazi na kujaribu kuishi maisha ya peke yangu bira ya uwepo wa Cyborg.

Sikujua kwa wakati huo Cyborg alikuwa akiishi wapi ila alikuwa akinisumbua kila mara akiniomba msamaha na mimi niliamua kumuwekea ugumu na sikutaka kumsamehe kabisa kuna mda kaka yake alikuwa akinitafuta akijaribu kunisihi niweze kumsamehe mdogo wake lakini sikutaka kumsamehe Cyborg.

Siku hiyo nilirudi nyumbani mida ya saa mbili usiku, nilimkuta Cyborg akiwa kakaa huku binti wa kazi niliyemuajiri akiwa pembeni yake. Cyborg aliponiona alinyenyuka na kunifata.
"Malaika naomba unisamehe mke wangu tuendelee na maisha yetu" Cyborg aliongea huku akiwa anategemea lazima nitamsamehe.
Kiukweli alikuwa ameshanitoka moyoni kabisa kwa wakati huo.

Binti wa kazi aliamua kuondoka na kuelekea chumbani akituacha sisi wenyewe pale sebleni.

Sikutaka ata Cyborg anishike sababu nilijua jinsi alivyo ni lazima angenishawishi tu mpaka ningekubali kumsamehe.
"Nimeshasema siwezi kukusamehe naomba utoke ndani ya nyumba yangu Kelvin kabra sijakubadilikia" niliongea lakini Cyborg hakutaka kutoka kabisa na baada ya kuona nimekataa kumsamehe aliamua kutumia nguvu sababu alijua udhaifu wangu ni upi.

Alinisogelea na kunishika kwenye kiuno changu na kunivutia karibu na kifua chake.
"Yasikilize mapigo ya moyo wangu Angel yanavyodunda, siwezi kuishi bira wewe naomba unielewe mpenzi" aliongea lakini mimi niliona kama ananiletea mapenzi ya kihindi kwa wakati huo huku mimi ni mwafrica.

Kwakuwa nilikuwa bado na hasira nilimpiga ngumi ya kwenye mdomo na alianza kutema damu na kuamua kuniachia.

Alisogea pembeni na baadae aliongea.
"Nimekubali unipige Malaika ila mimi nipo hapa kwa ajili ya kukuomba msamaha kwa kile kilichotokea"
Cyborg aliniambia kuwa ile siku niliyoenda msibani alisikia sauti za mdogo wangu Anna pamoja na mfanyakazi wakiwa kwenye chumba chao wakisagana na kwakuwa hiyo siku sikuwepo alijikuta akiingiwa na tamaa na kuamua kuwafata na ndipo walipokubali kufanya mapenzi na yeye.

Licha ya yeye kuniambia bado sikuwa na sababu ya kumsamehe kabisa kiukweli na baadae aliamua kuondoka na kuniacha mwenyewe.

Tangu siku hiyo sikuwahi kumuona tena Cyborg wala hakuwahi kunipigia simu tena kwa ajili ya kuniomba msamaha.

Taarifa ya mimi kuachana na Cyborg ilisambaa na ilimfikia Afande Joel, siku hiyo nikiwa kazini kwangu Afande Joel alinifata na kuniambia.
"Nasikia mmeachana wewe pamoja na malaya mwenzako" Afande Joel aliongea na nilichukia baada ya kuniita malaya.
"Nani malaya!!?"
Nilimuuliza huku nikimwangalia usoni kwa hasira na baadae aliamua kuondoka na kuniacha mwenyewe.

Siku hiyo ilipita na siku moja yakiwa ni majira ya usiku nikiwa nimelala nilisikia mtu akigonga kwenye mlango wa nyumba yangu, niliamka na kutembea kwa ajili ya kwenda kufungua mlango huku nikiwa na tahadhali.

Nilifika mlangoni na kuamua kumuuliza mtu aliyekuwa akigonga mlango.
"Nani wewe uliye hapo nje!?"
"Ni mimi Malaika" sauti ya Cyborg ilisikika na baada ya kutambua ni yeye sikutaka kabisa kwenda kumfungulia.
"Bora uondoke tu sababu siwezi kukufungulia mlango" niliongea na kuanza kuondoka kwa ajili ya kurudi kwenye chumba changu.
"Sawa Malaika ila nikifa wewe ndiyo utakuwa sababu hapa nilipo nina majeraha na nipo kwenye hali mbaya, nimekuja kukuona kwa mara ya mwisho kisha baada ya hapo hutoniona tena kwenye maisha yako" Cyborg aliongea na mimi nilishituka baada ya kuongea vile kwani kuna moment nzuri nilizokuwa nikizikumbuka alizonifanyia Cyborg.

kiukweli nikili wazi licha ya kuwa na hasira nae bado haikunifanya nisahau ni wapi tulipotoka mimi na Cyborg.

Sijui ni kitu gani kilichonikuta kwani nilijikuta nikienda kumfungulia mlango na Cyborg aliingia ndani.
Baada ya Cyborg kuingia nilipomtazama sikuona majeraha yoyote yale.
"Toka haraka nje ya nyumba yangu" niliongea baada ya kuona hana tatizo lolote lile lakini Cyborg alinisogelea na kunishika kwa nguvu.
"Nitaondoka kama unavyotaka ila naomba leo nifanye mapenzi na wewe kwa mara ya mwisho tu" Cyborg aliongea.
"Nimes.....

Nyie acheni tu kwani alikuwa ananisikia kile nilichokuwa nikimwambia, aliivuta kanga niliyokuwa nimejifunga na kwakuwa nilikuwa nikipenda kulala na chupi Cyborg hakupata shida.

Kiukweli sikuwa na hamu ya kufanya nae mapenzi ila sijui kilitokea nini tu kwani Cyborg aliniinamisha palepale sebleni na kuniingizia mpini wake. nilijikuta nikimuacha anizagamue sababu ata mimi nilikuwa nikisikia raha kwa utamu niliokuwa nikiupata.

Cyborg alinizagamua na baada ya kumaliza alivaa nguo zake na kuondoka bira kuongea chochote kile.

Baada ya Cyborg kuondoka nilijikuta nikimiss uwepo wake na nilitamani tena tuendelee kufanya mapenzi kwa mzunguko mwingine.

Niliokota kitenge changu na kujifuta mbegu alizonimwagia Cyborg kisha baada ya hapo nilielekea chumbani kulala.

Nilifika na kujitupa kitandani huku nikiwa na mawazo na katika kuwaza kwangu nilijikuta nikimuwaza Cyborg pasipo kutegemea na kilichokuwa kikinitatiza zaidi nikuniambia kuwa sitamuona tena mbele ya macho yangu.

Mwanzo nilijua ni utani lakini wiki tatu zilipita bira Cyborg kuonekana na nilikuja kugundua kuwa ninaujauzito wa Cyborg.
Niliamua kuulea mwenyewe na Cyborg hakuwahi kuonekana tena mbele ya macho yangu wala kunitafuta........ITAENDELEA.
Tangazo - TAKE NOW
TAKE NOW
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

PENZI LA MHALIFU 35.

PENZI LA MHALIFU 35.

Baada ya kubaki mimi pamoja na mwanangu Irene niliamua kutafuta dada mwingine wa kazi na kujaribu kuishi maisha ya peke yangu bira ya uwepo wa Cyborg.

Sikujua kwa wakati huo Cyborg alikuwa akiishi wapi ila alikuwa akinisumbua kila mara akiniomba msamaha na mimi niliamua kumuwekea ugumu na sikutaka kumsamehe kabisa kuna mda kaka yake alikuwa akinitafuta akijaribu kunisihi niweze kumsamehe mdogo wake lakini sikutaka kumsamehe Cyborg.

Siku hiyo nilirudi nyumbani mida ya saa mbili usiku, nilimkuta Cyborg akiwa kakaa huku binti wa kazi niliyemuajiri akiwa pembeni yake. Cyborg aliponiona alinyenyuka na kunifata.
"Malaika naomba unisamehe mke wangu tuendelee na maisha...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/penzi-la-mhalifu-35

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi penzi-la-mhalifu
PENZI LA MHALIFU 33.
PENZI LA MHALIFU 33.
PENZI LA MHALIFU 01.
PENZI LA MHALIFU 01.
PENZI LA MHALIFU 02
PENZI LA MHALIFU 02
PENZI LA MHALIFU 43 (FINAL).
PENZI LA MHALIFU 43 (FINAL).
PENZI LA MHALIFU 04.
PENZI LA MHALIFU 04.
PENZI LA MHALIFU 05.
PENZI LA MHALIFU 05.
PENZI LA MHALIFU 30
PENZI LA MHALIFU 30
PENZI LA MHALIFU 13.
PENZI LA MHALIFU 13.
PENZI LA MHALIFU 03
PENZI LA MHALIFU 03
PENZI LA MHALIFU 08
PENZI LA MHALIFU 08
PENZI LA MHALIFU 23.
PENZI LA MHALIFU 23.
PENZI LA MHALIFU 22
PENZI LA MHALIFU 22
PENZI LA MHALIFU 15.
PENZI LA MHALIFU 15.
PENZI LA MHALIFU 36
PENZI LA MHALIFU 36
PENZI LA MHALIFU 41
PENZI LA MHALIFU 41
PENZI LA MHALIFU 40
PENZI LA MHALIFU 40
PENZI LA MHALIFU 29
PENZI LA MHALIFU 29
PENZI LA MHALIFU 06
PENZI LA MHALIFU 06
PENZI LA MHALIFU 24
PENZI LA MHALIFU 24
PENZI LA MHALIFU 27
PENZI LA MHALIFU 27
PENZI LA MHALIFU 09
PENZI LA MHALIFU 09
PENZI LA MHALIFU 20
PENZI LA MHALIFU 20
PENZI LA MHALIFU 26
PENZI LA MHALIFU 26
PENZI LA MHALIFU 10
PENZI LA MHALIFU 10
PENZI LA MHALIFU 11.
PENZI LA MHALIFU 11.
PENZI LA MHALIFU 42
PENZI LA MHALIFU 42
PENZI LA MHALIFU 28
PENZI LA MHALIFU 28
PENZI LA MHALIFU 39
PENZI LA MHALIFU 39
PENZI LA MHALIFU 07.
PENZI LA MHALIFU 07.
PENZI LA MHALIFU 37
PENZI LA MHALIFU 37
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

8.86K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

5.49K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.23K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.17K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

1.91K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

1.91K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

1.72K
RUNGU LA KIPOFU 21.

RUNGU LA KIPOFU 21.

1.64K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

1.62K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

1.62K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest