Ingia

Sema Jambo 2025

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94

PENZI LA MHALIFU 28

30th Nov, -0001 Views 68

PENZI LA MHALIFU 28

Cyborg alipoona asikari wake hataka kusimama aliamua kumlazimisha kwa kumuingiza hivyo hivyo kwenye uchi wangu huku akiwa na matumaini kuwa atasimama mbele ya safari.

Licha ya kuwa na matalajio hayo bado haikusaidia kitu kwani asikari wake aligoma kabisa kusimama na kumfanya Cyborg amtoe kwenye kitumbua changu huku akiwa na masononeko makubwa.
"Malaika nani kanifanyia huu mchezo wa kijinga!?" Cyborg aliongea kwa kulalamika na mimi nilihuzunishwa na hali aliyokuwa nayo na ukizingatia ni mme wangu, ata mimi nilimisi kuzagamuliwa lakini sikuwa na ujanja kwa wakati huo.

Ilibidi nianze kumtia moyo kuwa mambo yatakaa sawa tu kisha baada ya hapo niliamua kurudi kazini.

Nilifika huku nikiwa na mawazo na kwakuwa nilikuwa nimekaa karibu na Afande Joel hakuacha kuniangalia kila mda na alionesha ana kitu anachotamani kuongea na mimi ila alishindwa pakuanzia.

Baadae uvumilivu ulimshinda na kuamua kunifata.
"Nahitaji kuongea na wewe Angel" Afande Joel aliniambia.
"Unaweza kuongea tu haina shida ila yasiwe maongezi mengine tofauti na ya kikazi" nilimwambia sababu nilijua huenda anataka kunishawishi kwa mara nyingine nikubali kwenda kufanya nae mapenzi tena.

Afande Joel alikubali na baadae tuliamua kwenda nje kwa ajili ya kufanya maongezi vizuri.
Tulivyofika Afande Joel aliniambia "Najua utashangaa kwa hichi nitakachokwambia ila utanisamehe tu sababu nahitaji kuonja penzi lako Angel walau mara moja tu"
"Afande Joel mbona unazunguka sana!? una maana gani kuniambia hivyo na kwani umesahau kama nilikuonya usije kurudia tena kuniambia mambo ya sisi kuwa pamoja!?" niliongea kwa ukali kidogo.
"Bado sijasahau ila hii ni kwa ajili ya mme wako ambae hasimamishi kwa sasa lasivyo jogoo wake atashindwa kupanda mtungi siku zote za maisha yake" Afande Joel aliongea na moja kwa moja nilimjua mmbaya wangu ni nani aliyemfanya Cyborg ashindwe kusimamisha.

Afande Joel aliniambia kuwa yeye ndiye aliyeamua kumfanya Cyborg asiweze kusimamisha na alimtuma kijana aliyekuja nyumbani na kuiba nguo ya Cyborg kisha baada ya hapo aliipeleka kwa mganga na kwenda kumloga Cyborg, sababu kubwa aliyoniambia ni mimi kukataa kufanya nae mapenzi na aliniambia kama nataka Cyborg arudi kwenye hali yake basi ni lazima nikubali kusex nae.

Kwa hasira nilizokuwa nazo nilitamani kumpiga risasi Afande Joel ili aweze kupoteza maisha ila niliamua kujizuia na kuondoka bira kumjibu chochote nikimuacha Afande Joel akiniangalia kwa dharau kwani aliamini lazima nitakubali kufanya mapenzi na yeye.

Siku hiyo nilikuwa ni mtu mwenye mawazo na mda wa kazi ulipoishi nilirudi nyumbani. nikiwa nyumbani nilitamani kumsimulia Cyborg kila kitu ila niliingiwa na hofu kidogo kwani kungetokea machafuko makubwa maana nilizijua hasira za Cyborg zilivyo.

Niliamua kumshauri Cyborg kuwa na sisi inatakiwa twende kwa mganga kwa ajili ya kutafuta tiba.
"Sawa Malaika nimekubali ila huyu mjinga aliyenifanyia huu mchezo siku nikimjua atajuta kuzaliwa, lazima nimuue Malaika" Cyborg aliongea huku akitupa kila aina ya laana kwa mtu aliyemfanya asiwe na uwezo wa kusimamisha bira kujua kuwa ni Afande Joel na sababu ni mimi kukataa kufanya nae mapenzi.

Siku iliyofata asubuhi na mapema tuliondoka na kwenda kumtafuta mganga na bahati nzuri tuliweza kuelekezwa kwa bibi mmoja aliyekuwa akisifika kwenye mtaa huo.

Tulifika na Cyborg alimweleza tatizo alilokuwa nalo na mganga aliamua kumwambia.
"Pole sana kijana sasa hilo tatizo lako ni dogo sana inatakiwa uvue nguo zako na huyo mzee wako umweke kwenye hichi kibuyu" mganga alimwambia Cyborg na hakuwa na aibu yoyote ile, Cyborg alikubali kuvua nguo zake na kufanya kama alivyoambiwa.

Cyborg aliweka mtalimbo wake kwenye kibuyu kisha baada ya mda alimpatia mganga kibuyu chake.

Mganga baada ya kupewa kibuyu alikiweka kwenye masikio yake na baadae alikitoa kwenye masikio yake na kutuambia.
"Tatizo lako ni dogo sana ata sasa ivi unaweza kupona ila ili upone unatakiwa umtafute mwanamke bikra ufanye nae mapenzi au bibi ambae umri wake umeenda kama nilivyo mimi na baadae mambo yako yatakaa sawa" Mganga alituambia na wote tulibaki kwenye mshangao.

Nilimwangalia Cybrog aliyekuwa kwenye wakati mgumu kwa wakati huo ila aliamua kuongea kitu kilichonishitua.
"Kwani bibi hatuwezi tukamalizana hapa hapa na mke wangu akiwepo kisha baada ya hapo nitakulipa pesa yako na sisi tutaondoka!?" Cyborg aliongea akimaanisha afanye mapenzi na mganga.
"Kelvin!!!!?" nilimwita sababu sikuamini kama angeongea vile.
"Hamna njia nyingine Malaika huyo bikra nitamtoa wapi mimi au ndiyo kutafuta kesi ya kubaka wanafunzi bora tu tuzagamuane na bibi hapa tumalizane ili nipone" Cyborg aliongea bira ata kuwa na aibu na mimi nilivyofikiria niliona yupo sahihi ila kilichokuwa kikinitatiza ni mwonekano wa bibi aliokuwa nao.

Mganga alikubali na alianza kutoa mashuka aliyokuwa amejifunga na baadae alivua mpaka chupi aliyokuwa amevaa tena ikiwa imeishaisha.

Mganga alionesha ata yeye alikuwa na hamu ya kuzagamuliwa na Cyborg labda ni kwa sababu aliuona uume wake jinsi ulivyokuwa ukitamanisha......ITAENDELEA..
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

PENZI LA MHALIFU 28  >>> https://gonga94.com/semajambo/penzi-la-mhalifu-28



#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war

#love #instagood #photooftheday #fashion #beautiful #happy #tbt #followme #picoftheday #art #nature #travel #fitness #motivation #life #fun #instagram #friends #smile #food


 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

Maoni

You're not logged in


Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi penzi-la-mhalifu
PENZI LA MHALIFU 33.
PENZI LA MHALIFU 33.
PENZI LA MHALIFU 01.
PENZI LA MHALIFU 01.
PENZI LA MHALIFU 02
PENZI LA MHALIFU 02
PENZI LA MHALIFU 43 (FINAL).
PENZI LA MHALIFU 43 (FINAL).
PENZI LA MHALIFU 04.
PENZI LA MHALIFU 04.
PENZI LA MHALIFU 05.
PENZI LA MHALIFU 05.
PENZI LA MHALIFU 30
PENZI LA MHALIFU 30
PENZI LA MHALIFU 13.
PENZI LA MHALIFU 13.
PENZI LA MHALIFU 03
PENZI LA MHALIFU 03
PENZI LA MHALIFU 08
PENZI LA MHALIFU 08
PENZI LA MHALIFU 23.
PENZI LA MHALIFU 23.
PENZI LA MHALIFU 41
PENZI LA MHALIFU 41
PENZI LA MHALIFU 15.
PENZI LA MHALIFU 15.
PENZI LA MHALIFU 22
PENZI LA MHALIFU 22
PENZI LA MHALIFU 36
PENZI LA MHALIFU 36
PENZI LA MHALIFU 40
PENZI LA MHALIFU 40
PENZI LA MHALIFU 06
PENZI LA MHALIFU 06
PENZI LA MHALIFU 09
PENZI LA MHALIFU 09
PENZI LA MHALIFU 24
PENZI LA MHALIFU 24
PENZI LA MHALIFU 20
PENZI LA MHALIFU 20
PENZI LA MHALIFU 10
PENZI LA MHALIFU 10
PENZI LA MHALIFU 29
PENZI LA MHALIFU 29
PENZI LA MHALIFU 35.
PENZI LA MHALIFU 35.
PENZI LA MHALIFU 11.
PENZI LA MHALIFU 11.
PENZI LA MHALIFU 42
PENZI LA MHALIFU 42
PENZI LA MHALIFU 26
PENZI LA MHALIFU 26
PENZI LA MHALIFU 27
PENZI LA MHALIFU 27
PENZI LA MHALIFU 07.
PENZI LA MHALIFU 07.
PENZI LA MHALIFU 39
PENZI LA MHALIFU 39
PENZI LA MHALIFU 12
PENZI LA MHALIFU 12
SIMULIZI NA SAUTI ZETU
You're not logged in