PENZI LA MHALIFU 06
Ilibidi aniombe msamaha na aliniambia sababu iliyomfanya awe anamsumbua Cyborg.
"Angel rafiki yangu, mpenzi wangu hanilizishi kabisa yani akinitia kidogo tu chali"
"Sasa ndio mpka umsumbue mme wangu!?"
"Uliniambia mwenyewe kuwa Cyborg huwa anakutia na kukulizisha, nilitamani na mimi anatie ata mara moja walau nionje utamu wa kulizishwa ila kwakuwa umejua sitamsumbua tena mme wako rafiki yangu" Afande Neema aliniambia na mimi niliamua kumsamehe baada ya kunielezea kiundani zaidi.
Kumbe bhana, Afande Davi alikuwa pembeni akitusikiliza na tulisitisha mazungumzo baada ya kusikia simu yake ikiita. aliamua kuondoka nakutuacha tulimwangalia.
"Wanaume wengine bwana bora ata angezaliwa na matiti kama sisi wanawake" Niliongea baada ya kugundua kuwa alikuwa akitusikiliza.
Urafiki wangu mimi na Afande Neema uliendelea na kwa upande wa Afande Davi alipunguza kunifatilia bira kujua kuwa ana mpango gani .
Siku hiyo nikiwa kazini nilipigiwa simu kuwa niende nyumbani kwani kulikuwa na tatizo. Sikutaka kuchelewa maana nilihisi mwanangu atakuwa kwenye tatizo.
Nilifika nakumkuta Cyborg akiwa kwenye hali mbaya na sikujua amepatwa na tatizo gani. Vijana waliomleta Cyborg waliondoka na kutuacha wenyewe nyumbani.
"Mme wangu kimetokea nini!?" nilimuuliza Cyborg aliyeanza kuongea kwa sauti ya chini.
Alisema kuna kundi la vijana lilimvamia sehemu aliyokuwa akifanyia kazi na kuanza kumpiga.
Nilimuuliza sababu ni ipi ila Cyborg aliniambia.
"Kipindi wananipiga kijana mmoja aliwaambia wenzake wanipige kiunoni ili nisiwe na nguvu ya kukutia kama ninavyokutia mke wangu"
"Kunitia!?"
"Ndio mamiloo tena kijana mwingine aliwaambia wenzake wanikate mtalimbo wangu kabisa ila washikaji walikuja kunisaidia"
Cyborg alimaliza kunielezea huku akishika kiuno chake kilichokuwa na maumivu.
"Hao masela nitakuja kuwaonyesha ngoja nipone"
"Pole mme wangu" niliongea huku nikimkanda sehemu zilizokuwa zimeanza kuvimba.
"Emu twende ndani kwanza hapa tayari nimeshikwa na upwiru"
Cyborg sijui alikuwa ni mwanaume wa aina gani yani hakujali kama binti yetu wa kazi alikuwa pale yeye alichokuwa anawaza kwa wakati huo nikwenda kunitia tu.
Sijui nilikuwa na radha gani kwake sababu alikuwa hanichoki kabisa. Nilimwambia hatutaweza kufanya mapenzi kwani hayupo kwenye utimamu wake ila hakutaka kunielewa.
Nilimjua jinsi alivyokuwa king'ang'anizi hivyo niliamua kumkubalia nakuelekea nae ndani ili akanizagamue vizuri. Tulifika kitandani na alivyojaribu kunitia kiuno chake kiligoma kutokana na maumivu aliyokuwa akiyapata.
Nilimwambie alale chali nae alifanya kama nilivyomwambia, na mimi nilimkalia nakuanza kujipimia.
Asikwambie mtu utamu niliokuwa naupata ulinifanya nisahau kama mwenzangu ana majeraha hivyo nilianza kumshika shika kila sehemu na nilipomshika kwenye ubavu wake wa kushoto alipiga kelele kwa maumivu aliyokuwa akiyapata na nilivyotaka kujitoa kwenye mwili wake Cyborg alinizuia.
"Endelea kuikatikia Malaika bora nife ila sio kuishia njiani" sikutaka kumkatalia nilimpatia utamu mme wangu na baada ya kumaliza ndipo hali ya Cyborg ilipozidi kuwa mbaya.
Nilimchukua na kumpeleka hospital kwa ajili ya matibabu na alikaa siku kadhaa na baada ya mda aliweza kupona na kurejea nyumbani.
Cyborg alikuwa na hasira kwa watu waliompiga na alipanga kuwatafta kwa ajili ya kulipa kisasi ila ilibidi nimkataze.
"Achana nao haina haja ya kuwafatilia!?"
"Malaika ata usemeje lazima niwatafte yani walitaka kunikata mpini wangu ili nisiwe nakutia?" siku hiyo Cyborg alikuwa ni yule wa zamani kwani aliongea matusi ya kila aina akiwatukana watu waliompiga.
Siku mbili zilipita na Cyborg alikuwa akiendelea na kazi yake ya halali.
Ilikuwa ni siku ya jumamosi siku hiyo Cyborg alikuja huku akiwa anavuta bangi kitu kilichonishangaza.
"Kumbe bado unavuta bangi?"
"Malaika, Afande Davi lazima nimuue yeye ndiyo kanifanya leo nivute bangi msenge yule kabisa"
"Afande Davi!?" nilimuuliza na Cyborg aliniambia kuwa Afande Davi ndiye aliyetuma watu wampige Cyborg na yote bhana kumbe nikutokana na story nilizokuwa nikipiga mimi pamoja na Afande Neema nikimsifia Cyborg kuwa anajua kutia.
Cyborg aliendelea kuvuta bangi mpaka pale alipomaliza.
"Hapa akili imekaa sawa utazipata habari za Afande mwenzako" Cyborg aliongea nakuondoka, sikutaka kumuacha japo siku hiyo nilikuwa nimevaa pensi tu na mapaja yote yalikuwa wazi niliamua kumfata Cyborg kwa ajili ya kumzuia.
Cyborg kwakuwa alikuwa akipajua kwa Afande Davi alienda mpaka kwake nakumkuta Afande Davi akiwa pamoja na mke wake nakuanza kupigana nae.
Mda huo na mimi nilikuwa nimeshafika nakumkuta Cyborg kamkaba Afande Davi huku mke wake akipiga kelele za kuhitaji msaada.
Nilisogea mpaka katikati yao nakuwa achanisha.
"Niache nimpasue ili apate adabu na aniambie kwanini alinitumia watu kwa ajili ya kunipiga?"
Nyie acheni tu Cyborg alikuwa na nguvu kwani alinisukuma nakuendelea kumpiga Afande Davi na ukizingatia alikuwa na kakitambi ndio kabisa hakuwa na uwezo wa kupambana na Cyborg. Bahati nzuri kuna wanaume walikuja na kuwa achanisha.
Cyborg kutokana na bangi aliyokuwa amevuta hakuacha kutukana matusi ya kila aina.
Ilibidi nimchukue na kurudi nae nyumbani.
"Huyo mpumbavu hatarudia tena nimemuaibisha mbele ya mke wake"
Cyborg aliongea ila mimi nilikuwa kimya tu mda huo.
"Malaika wangu umechukia?"
"Ndio tena sana tu kwanini uvute bangi!?" Niliongea huku nikiwa nimekasirika.
Cyborg alinisogelea nakunishika huku matiti yangu akiyagusisha kwenye kifua chake.
"Leo ni mara ya mwisho kuvuta bangi Malaika niamini mimi, naomba usije kuniacha nitajiua kabisa, nakupenda sana mke wangu"
Cyborg aliongea na sijui alinipa nini kwani nilikuwa sijiwezi kwake na sikuwa na mpango wa kumuacha kabisa.
Afande Davi alipunguza kunisumbua na alianza kuniheshimu na hakuwahi tena kuongea maneno ya kijinga mbele yangu.......ITAENDELEA.
Inapatikana kwa Tsh 1000 tu.
Namba za malipo.????????????????
0613083801 HALOPESA Jina John Bugumba.
0755271203 M-pesa Jina John Bugumba..